AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe
Baba ya kulia kwa muda mrefu, nilijikuta nikipitiwa na usingizi na nikalala.
Nilikuja kuamka ikiwa ni Kama Majila ya Saa 8 usiku hivi, niliamka bado nikiwa siko Sawa, akili yangu ilipingana kabisa na ukweli wa mambo.
Baada ya kukaa kwa utulivu kwa muda nikavuta simu yangu na kuangalia, wooiiiiih missed call 14 kutoka kwa Enzo na sms za kutosha
Ila mapenzi konyo nyie mie sikomi, kitendo cha kuona Kuwa Enzo amenitafuta mfululizo, nilipata Furaha sana na kwa haraka nikampigia simu.
Enzo pia hakuwa amelala jamani, muda huo huo akapokea simu na kwa utulivu akaniuliza.
"Uko Sawa?"
Nikakaa kimya kidogo na kumuuliza.
"Unavyofikilia naweza Kuwa Sawa?"
"Nakuja sasa hivi usilale"
Alizungumza Enzo kisha akakata simu
Kwa haraka nikanyanyuka na kutoka nje chapu nikaoga Mtoto wa kike Maana nililala bila kuoga.
Nikachukua shuka pendwa kabisa la Enzo na
kulitandika kitandani, Yaani nilihakikisha Kuwa Enzo wangu akifika aboeki ata kidogo, nilihakikisha Kuwa namfanya a anakuwa na Furaha Maana SAUTI yake kwenye simu ilionesha wazi Kuwa hana raha ata kidogo Kijana
wa watu
Baada ya kuweka kila kitu Sawa, nikachukua night dress yangu nzuri kabisa ya mitego nikaivaa na kujitupia kitandani nikimsubilia Enzo.
Baada ya Kama Lisaa limoja hivi, Enzo akafika akiwa na shauku ya kuniona na alipoingia na kunikuta kwenye hali ambayo Mimi niliiandaa, Mwenyewe aka tabasamu na kushika kiuno.
"Ishani utaniua Mimi, unajua siko Sawa mwenzio
Alizungumza Enzo.
"Kwahiyo hautakula?"
Nilimuuliza uku nikimlingia, na kumtikisia tikisia kidogo.
"Acha Basi Alizungumza Enzo ni kiasi gani nilikuwa namchanganya Kijana wa watu
"Ouk, panda kitandani ulale, naona hauna mood tutaongea kesho"
Nilizungumza kwa kujifanya Kuwa nimechukia sana, kwa haraka nikavuta Shuka nikajifunika na kugeukia upande wa pili.
"Uwe na usiku Mwema"
Nilimwambia Enzo
Kwa utulivu na mahaba na uchu wa mwili, Enzo akapanda kitandani na kulala nyuma yangu uku akikumbatia kiuno changu vizuri kabisa, na kuninong'oneza.
"Leo hakuna kulala ma mtu
Weeeeh nyieeeh kupendana kuna raha yake Bwana, pulukushani za kuamishana ulimwengu zikaanza, mechi Kali ya Morocco na Senegal ikashika nafasi uku kila upande ukipambania ubigwa
Sijui niwaambie nini lakini mechi kati yangu na Enzo ilikuwa iko hot, mechi ilitaladadi nyieeeh, kuna Namna mpaka nikawa nawaza Kwanini Huyu kaka amechelewa kufika, kwa mechi ile Nina Uhakika ata majilani walilala kwa tabu sana.
Baada ya mechi hiyo, Mimi na Enzo tukalala usingizi mnono kabisa na tukaja kuamka Saa 4
asubuhi.
"Morning babe"
Alinisalimia Enzo baada ya Mimi kuamka Maana yeye ndio alikuwa wa kwanza kuamka kabla yangu.
"Morning my love umeamkaje?"
Nilimuuliza uku nikichezea chezea uchebe wake.
"Nashukuru Mungu, Asante Ishani, nimeamini wewe ni Furaha yangu
Alizungumza Enzo uku akiniangalia kwa mahaba mazito sana usoni mwangu.
"Kwaajili ya Furaha yako nitafanya chochote kile
Nilimwambia.
Enzo akaniangalia, akatabasamu kisha
akazungumza.
"Samahani kwa status ambayo umelona, ni mama yangu Ndio amepost kwani Ndio alikuwa na siku yangu siku nzima ya jana
"Usijali mpenzi"
Kwa wakati huo sikuwa nataka kusikia madal yoyote ile ambayo inaweza kunivulugia amani yangu Ambayo nimeipata usiku na kuamka nayo
asubuhi
"Umeshaoga?"
Nilimuuliza Enzo
"Nilikuwa nakusubili wewe mpenzi
Ila na sisi tumezidi Bwana, Choo chenyewe cha nje Tena cha kushare halafu tunataka kuoga wote.
Kwa Furaha tukachukua ndoo na sabuni kisha tukatoka nje kwajili ya kwenda kuoga, Mashoga zangu walibaki wakiwa wametoa macho tu
Maana ni kama walikuwa wanaona mapicha
Picha tu.
Katika siku Mimi na Enzo tulioneshana mahaba Basi ni siku hii jamani, woh Yaani ilikuwa ni Kama Ndio tunaanza mahusiano hivi maana haba lilikuwa shatashata.
Majila ya usiku Mimi na Enzo tukiwa tumekaa tu kitandani tunaangalia movie, gafla tu nikazima Tv na kumuuliza.
"Kesho ni ijumaa na kesho kutwa ni ndoa yako, plan yako ni nini Enzo?"
Enzo akashusha Pumzi Ndefu na kuzungumza.
"Plan yangu ni kulkimbia tu hiyo ndoa yangu ikiwa nimeshindwa kwa njia ya kawaida ya maongezi, Ishani, Lazima nifanye maamuzi magumu kwa sasa, iko hivi, kesho asubuhi,
nitaenda NYUMBANI kuchukua vitu vyangu vya muhimu na Mimi na wewe tutaondoka hapa mjini
"Unasema kweli?"
Nilimuuliza nikiwa na Furaha sana, baada ya muda nikajishtukia na Kuwa mpole.
"Enzo, mbona Kama nakuwa mbiinafsi hivi, vipi kuhusu Pully, ni maumivu kiasi gani atapitia baada ya Mimi na wewe kuondoka
"Huu sio muda wa kumuwazia Pully, Ishani, huu ni muda wa Mimi na wewe, haya ni maisha yetu sisi
Nikaamua tu kuungana na Enzo.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni