SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo mpaka home tena . Basi nilivyofika home nikamsalimia mam nikaimgia chumbani kwangu. Uko nikaingia bafuni nilipomaliza nikatoka nikaenda kujipumzisha njee kidogo . Haikuchukua mda namuona baraka analudi. Aseeee akasogea mpaka nilipo. Akanambia hujambo. nikasema sijambo shikamoo. Weeee kashajua siri zangu uyu mbwa lazima adabu iwepoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Akasema ooohh now una adabu eeeeh. Mijanga wewe. Eeeh vp umeludisha ile simu. Nikasema jamnai baraka si uongeee taratibu asa unapayuka nini ndio nimeshaludisha iyo simu. Na nimeshaachana naye. Akanmbia sawa . Jitambue shakira plsss. Nimasema sawa. Nyooo yeye angekuwa anajitambua angekuwa anakaa apa. Sula kama nimemzaa mimi. Basi akaingia ndani. Na ratiba zengine zikaendelea.
Ikapita kama mwezi hivi . Mama ndo anamsakama sana baraka na maneno ila mimi nilipunguza mana najua uyu bwana ana siri zangu. So nikijichanganya tu. Ana uwezo wa kunitolea siri zangu .nikadhalilika so apa nikaushe tu kimyaaaaa. Na kweli mdomo kidogo nilifumba japo.nilikuwa simpendi san baraka . Yani simpemdi ni vile basi sina cha kufanyaaa tu. Yani sina tu. Na yeye alikuwa mvumilivu mno nazani may be alijielewa kwetu kaja kufanyaaa nini. Hakuwa anajibazana na mam kabisaa na licha ya mama kutoitikia salamu zake . Ila bado hakuacha kumsalimia. Na akiludi tu nyumbani mala nyingi anakuwa chumbani kwake. Na mambo yake. Na anapenda sana kujisomea baraka. Yani ukiingia chumbani kwake lazima namkuta anasoma. Ama anaongea na ndugu zake mana ana kiswaswadu kidogo. Ila yeye anajulikana na kila mtu kuwa ana simu.
Sasa siku iyo . Nikaingia chumbani kwake. Mama alinituma nikamuite nikajaze maji katika tank. Ila nilipofika chumbani kwake . Sikukuta mtu kitandani ila nilikuwa nasikia maji chooni yanamwagika nimajua anaoga. Nikasema ebu ngoja na mimi leo nichezee iki kisimu chake. Basi nikachukua kisimu chake nikaaanza kuchezea . Nikakuta namba imeseviwa my future wife. Khaaaaa nilicheka kimya kimya nyie.. kumbe uyu kaka nae ana demu na alivyo mshamba mshamba hivi kweli wanawake tuna huruma au sijuh ata kuwa mwanamke zombi kama yeye. Nikasema ngoja .nikampigia yule mwanamke. Heee si akapokea anaongea kikabila nilicheka jamani. Yule dada akaniuliza we ni nani. Na mbona upo na simu ya baraka. Mie nikasema mimi mke mwenzio . Uyo baraka katoka kunitomba apa nnavyokwambia. Kachoka hoi kalala. Yule dada akasema baraka .baraka ndo ananifanyia hivyo wakati kanambia kabisa anaenda kusoma aje anioe. Nikacheka kwa sauti mno.nikasema hapa hakuna muoaji ndugu yangu . Kwanza alinambia hakutaki we ww si mwanamke wa uko kijijini kwao . Na sio mimi tu uko shuleni kwao ana maraya kibao anatembea nao. Nikasikia uyo mwanamke analia nikazidi kucheka nakwambia. Nazani baraka akiwa bafuni akanisikia..
Akaja harka haraka . Akaniuliza wwe unaongea na nani .nikasema na your future wife. Aseeee baraka akanipokonya kisimu chake akakata. Kanambia wewe una akiri kweli. Una akiri nakuuliza. Nikasema inauma eeeeh . Inauma eeeh. Ile siku umechukua simu ukaanza kumtishia mtu wangu ukajifanya mwamba .na mimi nimelipa za mana baba yangu kakulipia ada . Na katumia gharama nyingi kisha wewe unataka kuchanganya mapenzi na shule .nyooo ndo ukome sasa . Baraka akavimba akasema shakira unanitafuta nini wewe mtoto. Hivi unahisi mimi ni lika lako. Au unaniweza sana kwa sababu nakaa kwenu. Aseeee shakira siku ntakupiga kama mtoto. Nikanyanyuka nikamsonyaa kisha uyo nikatoka chumbani kwake nikiwa nnna rahaa kweli kweli. Si na mimi nimemualibia chezea mimi wewe.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni