Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PENZI LA OMBA OMBA 10
Gonga94 · Stories

PENZI LA OMBA OMBA 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa kila kitu, akasema …

Basi siku hio simu yangu alikaa nayo shureymu na wakat wote ilikuwa imezimwa, basi tukashinda pale tukiwa tunasaidiana usafi, tukapika pamoja, tukala na kuanza kupiga story na shureymu alikuwa anaonekana kama anafuraha sana akiwa na mimi, na kila wakat alikuwa ananiambia kuwa nimuahidi kuwa siwez kuwa mbali na yeye, na mm mtoto wa watu sikuwa na hiyana nikamuahidi pale, na alikuwa anaonekana kama ananipenda sana, kwa maana kuna muda alikuwa anaweza akawa ananiangalia tu huku aacheka, nikimuuliza shida nini, anaishia kusema “ mwanao kabarikiwa sana kupata mama kama wewe…..

Basi tumekaa pale, na kwenye majira ya kama saa kumi jioni tukasikia ari linaingia, shureymu ikabidi achungulie ni nani huyo, nikashangaa anasonya kisha akasema “ mamamaaaa, kisha akaend chumban kwake na kuvaa vzr, maana siku nzima alishinda akiwa kifua wazi….

Kweli akaingia ndani, mwanamama flani hivi wa kwenda, alikuwa amevaa madhaabu kama ugomvi, na libazee, alikuwa anaonekana kabisa ni jimama la kishua, na alikuwa anaongozana na bint , ambae alikuwa anaoenekana kama hana zaidi ya miaka 25, alikuwa amevaa na yeye abaya na mtandio, wakaingian ndani, ikabidi niwakaribishe ndani, Yule mama akaniangalia sana, nikamsalimia, akaitika kisha akasema “ angalau mwanangu amepata mfanya kazi kwa maana nyumba inanukia vzr kuliko alipokuwa anaishi pekee yake….

Sikumjibu kitu, zaidi sana nikawauliza wanakunywa nn…
‘ niletee maji, akasema Yule mama, na Yule bint akasema kinywaji chochote, kweli nikaleta maji na juice nikawapatia, mara shureymu akatoka akiwa amenuna huyo…

“ unanuna nini, kwani mimi ndio nilisababisha usioe mpaka sasa hivi, akasema mama yake mara baada ya kumuona shureymu….
“ mama lakin, kwani nimeseka siowi, nimeshampata mwanamke wa maisha yangu naomba mnipe muda na nitakuja kuwatambulisha kwenu siku sio nyingi, akasema shureymu…

“ nakujua wewe, na najua kabisa hapo unataka kunipooza tu na huenda hauna mtu yoyote Yule ambae umepenga kumuoa, sasa sitaki kupoteza muda, unamuona huyu bint niliekuja nae, anaitwa wahida, ni mtoto wa rafiki yangu, ni mrembo kama unavyomuona, naomba umuangalie kwa makin kisha uhakikishe unakuja na jibun zuri kwangu, akasema mama yake shureymu kisha akanyanyuka na kuondoka zake, akamuacha wahida pale…..

Shureymu alikuwa amenuna huyo, yaan muda mwingin alikuwa anautumia kukaa na mm na sio huyo mwanamke alieletewa na mama yake, yaan ni kama hakuwa anataka mazoea nae hata kidoo, mwisho akaona asipindishe pindishe akamfata kisha akamuambia kuwa “ mm kuna mwanamke Namenda, naomba nisikupotezee muda, kama unaweza kupata mwanaume naomba uhakikishe kuwa anakuoa, kwa maana naweza nikasema nimekukubali, nikakutumia na kukuacha kwa maana sina hisia kabisa na wewe, akasema shureymu…

Wahida alishusha pumzi kisha akasema “lakin mm nakupenda na unajua kabisa kuwa nakupenda kwa muda mrefu sana, na nimeshkuru sana kwa mama yako kutaka niolewe na wewe , na nimeridhika kabisa, naomba usimvunje moyo mama yako, na kingine kwenye kikao cha bodi unaakiwa kumtambulisha mke na mwanao, najua mtoto huna ila angalau uwe na mke, na mm nimekubali kabisa kwa moyo wangu mmoja kuwa mke wako, akasema wahida…

Shureymu aacheka kisha akasema “ aliekuambia kuwa mimi sina mke na mtoto ni nani, kwa maana mke ninae na mtoto ninae, na kuhusu utambulisho kwenye kikao cha bodi hilo niachie mimi, kwa maana wewe huna nafasi machoni wala moyoni, ni kweli wewe ni mzuri ila tafuta mwanaume ambae anaweza kuuona uzuri wako, akasema shureymu, Yule bint alishusha pumzi kisha akasema “ ni kweli nimekuelewa , naomba nikutakie maisha mema, akasema wahida kisha akaondoka zake…

“ sasa kwenye hicho kikao utampeleka nani, kwa sababu ninaamin kuwa hauna mwanamke kwa sasa na ndio maana unapataga muda wa kuongea na mm siku nzima, na usiku kucha, nikasema…

“ ni kwamba unanisimanga au unaniambia, ni kweli sina mpenzi, ila kwani wewe huwez kuwa mpenzi wangu na ukanikomboa kwenye hilo tatizo, akasema shureymu….

“ wewe mm siwez kuigiza, kwa maana nina my wangu na anawivu, si unamjua, nikasema, nikashangaa shureeymu amehema kwa nguvu, kisha akasema kwa saut ya unyonge kuwa “ sio wewe ila nilikuwa nataka tu kukutolea mfano, nan i kweli sijui nitampata wapi huyo mwanamke wakumpeleka, ila naamin nikitangaza dau wanawake watakuja, ila nina uhakika tangazo litaonekana na ndio maana nataka kufanya hili jambo kimya kimya, akasema shureymu…

Alafu kuna wazo nimepata, naomba unisaidie kama hutajal, akaendelea kusema shureymu…
“ jambo gani?...
“ nataka kukulipa, unaonaje kama nikikulipa alafu tukaenda wote kwenye party, alafu nikutambulishe pale , kwa maana wewe vigezo vyote unavyo, kwa maana una mtoto, akasema shureym..

“ sipendag kudanganya mm, naomba ufanye mambo yako mwenyewe, nikajibu kisha nikawa nataka kuondoka niende zangu ninapoishi kwa maana siku hio nilishinda na shureymu siku nzima….
“ naomba unisaidie plz, nitakulipam pesa yoyoteb ile unayoitaka, akasema shureymu, nikagoma kisha nikamuambia kuwa “ mwanaume wangu akijua ataniacha, kwa maana ataona kama namuigizia kuwa nae, na wakat nampenda kweli, nikasema nikashangaa shureymu kashusha pumzi kisha akatabasamu na kusema “ yaan unavyomtaja huyo mwanaume kila dakika, utasema ndio mwanaume pekee duniani, ila ni sawa nitatafuta namna nyingine ya kufanya ili nisije nikadhaliliakla akasema shureymu, na kunitaka nisiondoke nilale siku hio pale kwake, kiukweli sikukataa, kwa maana ilen nyumba ya shureymu ilikuwa ni kubwa na inazaidi ya vyumba vitano vya kulala, hivyo kulala pale haikuwa tatizo kabisa……

Basi kwakuwa muda ulikuwa tayar umeshaenda basi tukaagana na kwenda kulala, kila mtu akaenda kulala anapostahili, kwa maana mimi nilienda kulala na mwanangu na shureymu akaenda kulala chumban kwake, sasa nikiwa nimelala nikaanza kuhisi kama kuna mtu ananishika nywele nikawa nahisi ananiambia “ sijui imekuwaje mpaka nimejikuta nakupenda sana, ila jaman unajua sana kujal naomba uelewe sasa hisia zangu, sasa kwa namna nilivyokuwa na kichwa mbovu nikajua kuwa nilikuwa naota, yaan nilipoamka tu kitu cha kwanza nikamfata shureymu na kumuambia kuwa nimemuota…

“ eheee umeniotaje…
“ ety unasema unanipenda, au usikute unanipenda kweli wewe, nikasema ..
“ nani mimi!, yaan mm nikose kazi ya kufanya nianze kukupenda wewe si nitakuwa nimechanganyikiwa, akasema shureymu, mara simu yangu ikaanza kuita, na mtu pekee ambae alikuwa akinipigia alikuwa ni muswahabu, basi nikapokea simu yake, na alikuwa anaongea kwa wasiwasi muda wote huo, akawa ananiuliza kilitokea nn mpaka sipokei simu zake mara sipatikani, nikashangaa sauti inatoka nyuma yanu ikisema ‘ alikuwa na mm, huyo mwanamke ni mwanamke wangu yaan mpaka muswaabu akanywea, akajua kuwa hana chake tena akaamua kukata simu, alafu shureymu akawa anafanya mambo yake kana kwamba hakuna kitu chochote kile alichokifanya…

NAKUJA…

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PENZI LA OMBA OMBA 10



“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa kila kitu, akasema …

Basi siku hio simu yangu alikaa nayo shureymu na wakat wote ilikuwa imezimwa, basi tukashinda pale tukiwa tunasaidiana usafi, tukapika pamoja, tukala na kuanza kupiga story na shureymu alikuwa anaonekana kama anafuraha sana akiwa na mimi, na kila wakat alikuwa ananiambia kuwa nimuahidi kuwa siwez kuwa mbali na yeye, na mm mtoto wa watu sikuwa na hiyana nikamuahidi pale, na alikuwa anaonekana kama ananipenda...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-omba-omba-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-omba-omba
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

577
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

502
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

252
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

232
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

230
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

224
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

143
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

91

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest