Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
19 Aug 2025
32 views
VYOTE NDANI GONGA94
Huyu nyoka ana balaa Mwite Koboko,au Black mamba
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
HUYU ukimuona Husemi pepo shindwa
Kimbia au tulia kama hujamuona
Huyu nyoka ana balaa
Mwite Koboko,au Black mamba
Anapenda bifu,mkimchokoza hilo eneo anakua na ugomvi nalo atahakikisha anawamaliza
Anaweza kufikia urefu wa futi 12-18
Unazijua futi 18 nguzo ya umeme mara mbili
Chuma cha kinachosumbua ndani ya misitu ya tabora,
Ukienda Msumbiji wapo wa kutosha
South Afrika wapo.
#BlackMambaMentality
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
majario19 Aug 2025 20:53
Huyu nyoka ana balaa Mwite Koboko,au Black mamba >>> https://gonga94.com/semajambo/huyu-nyoka-ana-balaa-mwite-koboko-au-black-mamba
HUYU ukimuona Husemi pepo shindwa
Kimbia au tulia kama hujamuona
Huyu nyoka ana balaa
Mwite Koboko,au Black mamba
Anapenda bifu,mkimchokoza hilo eneo anakua na ugomvi nalo atahakikisha anawamaliza
Anaweza kufikia urefu wa futi 12-18
Unazijua futi 18 nguzo ya umeme mara mbili
Chuma cha kinachosumbua ndani ya misitu ya tabora,
Ukienda Msumbiji wapo wa kutosha
South Afrika wapo.
#BlackMambaMentality
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/huyu-nyoka-ana-balaa-mwite-koboko-au-black-mamba
Maoni
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war
Mwite Koboko,au Black mamba