MY CRAZY BOSS 12,13,14
Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza.
Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu.
"Sawa kama ni baadae,boss aliitikia"
Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea na kazi zangu.
"Jioni iliwadia muda wa nyumbani ulifika ndipo nikamfuata boss kwaajili ya kuelekea nyumbani".
"Boss ni muda huu,nilizungumza".
Ohoo sawa mama,nibebe hivi tuongozane.
Kwa pamoja tulitoka hadi kwenye parking na safari ilianza.
"Naomba uniegemee kipenzi,boss alizungumza huku akiniegemeza begani mwake" .
"Ni wazi shughuli tuendayo kuifanya leo ni tete,nimeujizuia kwa muda mrefu".
"Boss hata kama ni una nia hio ila wenzako hawasemagi wazi wazi hivyo jamani๐".Nilizungumza.
Sina haja ya kuficha ila usijari sitakuchomoa kizazi.
๐ณ๐ณBoss jamani๐๐
Itaendelea
MY CRAZY BOSS 13
๐ณ๐ณBoss jamani๐๐usiseme hivoo kaushaa,nilijisemea kimoyomoyo kisha nikapotezea .
Haikuchukua muda tulifika nyumbani kwa boss,mikocheni B,ni ajabu sana moyo wangu ulianza kudunda kwa kasi pale tu nilipoingia ndani ya nyumba hio.
Macho yangu yote yalikuwa kwa boss aliyeonekana kutabasamu kila nikimtazama ."Huyu boss kapania nini,mbona kama simuelewi leo,niliwaza."
Tuliingia ndani na kukaa sebleni huku tukiwa tunaangalia tv,boss akiwa yupo pembeni yangu muda wote akinitazama.
Muda ulizidi kwenda ukimya ulizidi kutawala kati yetu ndipo boss aliamua kuvunja ukimya,alianza kunisogelea taratibu akanishika kiuno changu na kukipapasa,haikutosha akaanza kuinyonya shingo yangu
Gafla zoezi hilo likasitishwa na mlio wa simu ya boss,sijui ni nani alipiga ila Erick alinyanyuka na kuongelea pembeni
Muda huo nilikuwa sijiwezi kabisa hakika nililegea kupita maelezo,macho yangu yote yalikuwa kwa boss,nilihitaji amalize tuingie vitani๐.
Baada ya dakika kadhaa ,boss alionekana akiwa kamalizana na maongezi yake,hivyo alirudi kuketi pembeni yangu.
"Natamani sana ,kuendelea na shughuli hii pevu ,ila sina jinsi mama,nimepatwa na dharura ,nahitaji kuwa Kenya baada ya masaa matatu kuna dili jipya la kampuni nahitaji kushughulikia,boss alizungumza.
Ni sawa.Niliitikia.
๐๐
"Am sorry Joy mama angu,nivumilie nakuahidi sitakaa sana,boss alizungumza".
"Ina maana unaniacha?,huendi na mimi ?.Niliuliza.
" Kwa mazingira ya kule na uhusiano tulionao sitoweza kufocus kama nikienda na wewe ,naomba unielewe mama".
Ni sawa.๐ก๐ก
Niliitikia huku nikiwa nimekasirika sana ila sikuwa na jinsi ni kazi.
Niliinuka na kuelekea chumbanj kwa boss,nilitoa begi lake kisha nikamuandalia baadhi ya nguo na vifaa vinginr atakavyovitumia safarini.
" Tayari,nimeandaa kila kitu japo sijui utachukua siku ngapi huko,niliuliza."
Ni siku kadhaa tu mama,usijari tutawasiliana .
Sawa,ina maana unaondoka leo?niliuliza.
Ndio ni hivi punde mama angu,boss alijibu.
Ni sawa.
MY CRAZY BOSS 14
"Usiwe hivo mama ,ntashindwa kufocus kazini ,usinifanyie hivyo.
Sawa,twende nikusindikize nilizungumza huku nikiongoza njia.
Tulitoka hadi nnje kisha boss alipanda gari,sikuwa na haja ya kumsindikiza hadi airpot kabisa.
" Stay safe mama ,i love ya๐โค๏ธ"
" Love you too papiloo๐."Tukaagana pale kisha nikarudi ndani.
Siku zilizidi kusonga muda wote nilikuwa nikiishi nyumbani kwa boss Erick pamoja na kusimamia majukumu yake kazini,ikiwemo na kuhudhuria vikao .
Zilipita wiki mbili bila mawasiliano yoyote kati yangu na boss Erick ,si simuni wala wapi hakupatikana,nilijikuta nikijawa na wasi wasi sana akili yangu iliwaza itakuwaje kama kapatwa na tatizo?๐๐
Siku moja nikiwa kwenyw kikao kama muwakirishi wa CEO Erick ,wajumbe na wawekezaji walionekana kubishana juu ya uwekezaji kwenyw mradi mpya wa madini.
Nilijaribu kuwatuliza kwa uwezo na ufanisi wangu lakini sikufua nanga kabisa.Makelele yalizidi kutawala ndani ya chumba cha kikao.
Hadi ikanilazimu kufumba macho .
"Ni jambo jema mkitulia na kutumia akili kufanya maamuzi na si nguvu".Nikiwa nimejiinamia mithili ya mtu aliyekata tamaa nilisikia sauti hio ikizungumza.
Ilinilazimu kunyanyua uso na kutazama mara mbilimbili kama ni kweli nikisikiacho.
Jamani๐๐๐๐hakuwa mwengine bali boss Erick ,nilijikuta nikitabasamu na kujawa na furaha,nilinyanyuka nakumuangalia akanikonyeza๐,miguu yangu ilitamani inyanyuke nikamkumbatie lakini akili ilisita .
" Uwekezaji utafanyika kama mtazingatia uzuri wa malighafi na kuwekeza akili zaidi ya nguvu,nawapa siku tatu ntahitaji maoni kutoka kwa kila mmoja wenu ili tuendelee na hili suala".Boss aliitimisha kisha akanifuata nilipokuwa nimekaa akasogeza kiti na kuketi pembeni yangu ,macho yake yote yakinitazama nami niliinama chini kwa aibu ya kike๐.
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni