Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY CRAZY BOSS 11
Gonga94 · Stories

MY CRAZY BOSS 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana 😘😘😘".

Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi nshayakanyaga
Mmmh ila mbona kama nampenda hivi?? Mmmh ila sawa.

Nakupenda sana joy😘😘sitokusaliti kamwe hata kama ukubwa wa masikio yako utazidi😁😁,jamani huyu boss🙌🙌.Tukakumbatiana pale kiaibu aibu

Baada ya muda tukaongozana hadi nnje huku nikiwa nimeshikwa mkono na MR😘 sio boss tenaa.Aliniongoza hadi garini akanifungulia mlango kisha akaniamuru nikae.

Haikuchukua muda tulifika hadi getoni kwangu mchikichini.

"Nitakumiss sana Usiku wa leo Joyce,sitamani kabisa kuwa mbali na ww".

"Nitakumiss pia boss,nyie😜😜sijui hata vimaneno vinatokaga wapi ila ndo hivyo".

" Tukiwa wawili naomba uniite Erick sawa enhee??."

" Sawa bo....ooh Erick".niliitikia.

Basi boss akanivuta ,akanikiss kwenye paji la uso 💋💋halafu akaniachia,nyie🥰🥰,raha iliyojee penzi jipya

Ile natoka kwenye gari ,nikasikia "Joy ntakumiss jamani,usiondoke".

🥰🥰🥰🥰Ntakumiss pia jamani Erick my boo

Asiwaambie mtu penzi jipya linautamu wake buana😘👌yaani mautamu utamu kama chocolate

Mie kwa aibu aibu ya nataka sitaki nikatoka nnje nikaelekea hadi mlangoni mwa chumba changu,huku nikiangalia angalia nyuma💋💋boss akanipa ishara ya busu kwenye kioo mie moyo ahhhh🥰🥰🥰looooh looooh hoi twaabani mie,nitake nini tena huba ndo kama hilo sasa ndi ndi ndi

Buana usiku ulikuwa usiku kwangu kila mara namuwaza boss wangu nyie japo hazijatimia ilaa mmmh kama mahaba anayajua hivi😁

Asubuhi niliamka mapema kama kawaida nikajianda ,uyoo hadi nyumbani kwa boss

"Oooh karibu mpenzi ,kufika na kufika ni kama alikuwa akinisubiria akanipa morning kiss😘😘".

"Asante ".

"Haina haja ya kuniandaa nipo tayari twaweza kwenda,boss alizungumza"

Kwa pamoja tuliongozana hadi ofisini,tulioifika wafanyakazi wote walikuwa wakinishangaa hadi nikaanza kuhisi vibaya

" Usishangae sana ni wazi kuwa umeanza kuwaka kwa kuwa upo na mimi🤣🤣".Boss alizungumza

🤣🤣🤣Nikajikuta nikicheka jambo lililowafanya wafanyakazi wenzangu wahisi huwenda nimekuwa kichaa.

Kwa pamoja tuliongozana na Boss Erick hadi ofisini,nikamuandalia kahawa pamoja na ratiba yake ya siku nzima.

"Boss ni muda wa lunch".

"Oooh ni mchana tayari?Njoo basi kipenzi changu unipooze,akaniita huku akinikumbatia".

Mmmh boss ni ofisini hapa usifanye mambo haya lakini,nilizungumza huku nazidi kumsogeza anikumbatie vema😜.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY CRAZY BOSS 11


"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana 😘😘😘".

Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi nshayakanyaga
Mmmh ila mbona kama nampenda hivi?? Mmmh ila sawa.

Nakupenda sana joy😘😘sitokusaliti kamwe hata kama ukubwa wa masikio yako utazidi😁😁,jamani huyu boss🙌🙌.Tukakumbatiana pale kiaibu aibu

Baada ya muda tukaongozana hadi nnje huku nikiwa nimeshikwa mkono na MR😘 sio boss tenaa.Aliniongoza hadi garini akanifungulia mlango kisha akaniamuru nikae.

Haikuchukua muda tulifika hadi getoni kwangu mchikichini.

"Nitakumiss sana Usiku wa leo Joyce,sitamani kabisa kuwa mbali na ww".

"Nitakumiss pia boss,nyie😜😜sijui hata vimaneno vinatokaga wapi ila...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-crazy-boss-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-crazy-boss
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 08
MY CRAZY BOSS 08
MY CRAZY BOSS 10
MY CRAZY BOSS 10
MY CRAZY BOSS 07
MY CRAZY BOSS 07
MY CRAZY BOSS 09
MY CRAZY BOSS 09
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

662
*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini*

*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*

465
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

249
REALLY LOVE* *31&32*

REALLY LOVE* *31&32*

216
SHAMIRA 17,18,19,20

SHAMIRA 17,18,19,20

140
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

130
SHAMIRA sehemu ya 13&14

SHAMIRA sehemu ya 13&14

126
SHAMIRA 21,22,23,24

SHAMIRA 21,22,23,24

118
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*

110
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10

106

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.31K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.06K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.37K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

SHAMIRA Sehemu ya 25&26 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi apo ndo maisha ya mimi na hamadi yakaanza. mwanzo nilikua simpendi sana ila siku zilivyooenda nikaanza kumpenda hamadi .mana nilikua naona anvyonipenda zile...

SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU Post Mpya
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
@majario LIVE

Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lakini Yona, akiona watu wale ni wakaidi sana, aliamua kukimbia...

MY CRAZY BOSS 11 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 11
@majario LIVE

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana 😘😘😘". Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 2 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 2
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEA Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa “ Karibu Camilla..” Alikaribishwaa ndani “ Asant sana ..”...

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo Post Mpya
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
@majario LIVE

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga Kidato cha nne pia...

REALLY LOVE* *31&32* Post Mpya
REALLY LOVE* *31&32*
@majario LIVE

alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu...

*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini* Post Mpya
*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*
@majario LIVE

Asubuhi na mapema Enzo akaamka na kwenda Nyumbani kwake, na Mimi nikaanza mandalzii ya safari, kwanza nikafua nguo ambazo zilikuwa chafu, kisha nikaanza kuchagua nguo ambazo nitaenda nazo safarini. "Kweli Enzo...

SHAMIRA 21,22,23,24 Post Mpya
SHAMIRA 21,22,23,24
@majario LIVE

sehemu ya 21&22 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafungua mlango wa gari nikaingia ndani akasema vp mamy .nikasema powa najifanya nimenuna nakwambia ahh wap uongo mtupu😂. Akanambia shamira unajua...

SHAMIRA 17,18,19,20 Post Mpya
SHAMIRA 17,18,19,20
@majario LIVE

sehemu ya 17&18 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani...

SHAMIRA sehemu ya 15&16 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 15&16
@majario LIVE

Watsapp 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest