Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
26 Feb 2026
26 views
VYOTE NDANI GONGA94
MY CRAZY BOSS 15
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ."
"Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako, mbaya zaidi harufu yako niliyoisikia kwa mbali kabla sijaondoka japo sikufanikiwa kulionja joto lako."๐คฃjamani manake kwanza nilijikuta nikitabasamu boss huyu aibu hana kabisa.
" Vipu lakini mama yangu? Hujanimiss? ".
" Sijakumiss, nilijibu huku nikinyanyuka na kuanza kuondoka. "
Kweli joy mbona unanifanyia hivyo, nimewahi kurudi kwajili yako kweli lakini๐คฃboss akaanza kulalama wala sikujali nilitoka nnje na kumuacha mule ndani, buana eeh mwanamke kuringa buana sio kile kitu ndio ndio kama spika wa bunge๐คฃ.
Nilielekea moja kwa moja kwenye gari nikiwa namsubiri boss kwaajili ya kuondoka kwakua muda wa kuondoka nyumbanj ulifika.
Haikuchukua muda sana boss alifika parking, uso wake ukijawa na hasira zilizopitiliza ni wazi mimi ndie chanzo.
"Natumaini tunaelekea nyumbani kwangu, nahitaji kuwa na wewe usiku wa leo, boss alizungumza."
"Kwanini unazungumza bila aibu lakini? Hata kama unanihitaji kimwili kuna lugha ya kuongea nikakuelewa na sio wazi kama hivyo, siwezi kuwa na wewe usiku wa leo nahitaji kuwaza na kuamua kwanza, nilijibu."
"Ni sawa." Boss aliitikia kwa ufupi.
"Tuelekee Mchikichini dereva, boss alitamka na mara moja safari ya mchikichini ilianza."
Haikuchukua muda mrefu tulifika hadi niishipo, uso wa boss haukuonesha furaha hata kidogo, nilishuka tukaagana kisha nikaingia ndani kwangu".
Usiku haukuwa mzuri kwangu, mara nyingi nilizoea Boss Erick atanipigia ila leo haipo hivyo," Au nimemkosea nilivyomjibu vile? Ila mimi๐ก".
Asubuhi ilifika, nikiwa mwingi wa mawazo sana , nilijiandaa kisha nikaelekea nyumbani kwa boss kwaajili ya kumuandaa.
Nilifika nyumbani hapo na kwa mara ya kwanza sikufanikiwa kumkuta Boss Erick nyumbani hapo ni wazi alikuwa tayari ameondoka.
" Mmmmh ni mpya hii, ila sio mbaya, nulijisemea kisha nikafunga safari kuelekea ofisini".
" Nilipofika ofisini nilielekea moja kwa moja ofisini kwa boss. "
" Usijisumbue , boss kaongozana na Leila kikaoni, sauti kutoka kwa mfanyakazi mwenzangu aitwaye Lina ilisikika. "
Nilibaki nikijiuliza kwanini yote haya tena gafla.
Niliamua kukaa na kusubiri yaliyojiri, baada ya muda mchache kupita nilimshuhudia boss na Leila wakiongozana na kuingia ofisini pamoja.
Sikuielewa ile hali ila nilipuuzia, siku zilisonga sana ukaribu kati yangu na boss ulipungua sana na mara zote Leila alipewa kipaumbele kuliko mimi, sio kunitambia tu hata matusi akinitukana hadharani kama mumjuavyo Leila kwa dharau
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY CRAZY BOSS 12,13,14
MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa ...
"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ."
"Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako, mbaya zaidi harufu yako niliyoisikia kwa mbali kabla sijaondoka japo sikufanikiwa kulionja joto lako."๐คฃjamani manake kwanza nilijikuta nikitabasamu boss huyu aibu hana kabisa.
" Vipu lakini mama yangu? Hujanimiss? ".
" Sijakumiss, nilijibu huku nikinyanyuka na kuanza kuondoka. "
Kweli joy mbona unanifanyia hivyo, nimewahi kurudi kwajili yako kweli lakini๐คฃboss akaanza kulalama wala sikujali nilitoka nnje na kumuacha mule ndani, buana eeh mwanamke kuringa buana sio kile kitu ndio ndio kama spika...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-crazy-boss-15
Maoni