Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

THE SECRET MESSAGE  3 to 4
Gonga94 ยท Stories

THE SECRET MESSAGE 3 to 4

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐Ÿ’ฌ03
Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya unataka, kila kiatu toleo jipya unataka, mwanangu utaona wapi pesa kama unashindana na watu wa mitindo?.

Kwenye utafutaji, ndiyo kuna wakati unatakiwa kufurahia unachapata lakini sio kuishi juu ya kipato chako. Rashid wewe una matumizi mabaya sana ya pesa, pombe na wanawake, nikuambie tu kitu hata ukeshe bar mwanangu, hata usilale unywe siku nzima huwezi kumaliza hizo pombe, hata usimamie kucha huwezi kumaliza wanawake wotee kwasababu kila siku anazaliwa mpya mwanangu.

Muda haurudi nyuma. Dunia ina matatizo mengi sana, magonjwa, mikosi na laana. Nimemaliza mwanangu, asiyesikia la mkuu huvunjika guu, na asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.โ€

Nilishusha pumzi na kusema โ€œmama maneno yote hayo wakati nimekuomba pesa kidogo tu.โ€

Mama yangu alisema โ€œungekuwa unapofanya kazi unatukumbuka, kwamba hii ni ya mama na baba ningehangaika mwanangu. Nilihangaika na wewe ukiwa chini yetu. Sasa una maisha yako. Sina pesa ya kukupa mimi.โ€

Nilijilalamisha na kukata simu huku nikiona mama ananionea sana. Nikiwa kwenye hali kama hiyo nilisikia hodi mlangoni. Alikuwa ni mama mwenye nyumba. Nilishangaa kwa maana sidaiwi mimi. Hivyo nilisalimia tu. Huyu mama alinijibu. Ni mama ambaye anaishi nyumba kubwa upande wake na sisi wapangaji tuna upande wetu.

Haikuwa siku nzuri kwangu, nakumbuka huyu mama alisema kwa kunitazama โ€œChiddy mwanangu, inatosha sasa. Nilikupangisha hapa kwasababu Nilikuamini na kuona kijana mstaarabu na mchapakazi.

Lakini badala yake umegeuza nyumba yangu Danguro. Kitu ambacho mimi sikifurahii kabisa. Nakuomba sana sana, tafuta mwanamke mmoja tu anatosha hapa. Kama huwezi tumia nyumba za wageni au hama.

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ04
Mimi ninajiheshimu sana. Hapa kuna watoto wamekuzunguka na watu wa heshima. Unajisikiaje kuvua nguo zako kwa kila mwanamke, sasa hayo ni maisha gani?, wazazi wako wakijua huu uchafu hawatapenda kabisa. Nilipangisha chumba sio danguro. Nafikiri umenielewa.โ€

Niliona kweli nina siku mbaya mno, nilikuwa nimetoka kufokewa na mama mzazi sasa mama mwenye nyumba. Nilimtazama kwa upole na kusema โ€œsamahani sana mama, nimekuelewa vizuri tu. Nashukuru mama.โ€

Mama mwenye nyumba alinitazama na kushusha pumzi kisha alianza kuondoka. Basi ile anaondoka mimi moyoni nasema โ€œbimkubwa kanielewa anashindwa kusema nini?, kama amenielewa aseme tu mimi napita naye.โ€

Halafu niliingia ndani, ni kweli, mimi wamama, watu wazima sio shida zangu. Nawashughulikia haswa.Sijui hata niseme nini juu ya maisha yangu. Maisha yangu yanatafunwa sana na dhambi ya uzinzi. Sijui kama umewahi kukutana na mtu kama mimi, au kuwa mimi, ni hatari sana.

Niliporudi ndani tu, simu yangu iliita, nilipokea na alikuwa ni mteja tena mteja wa maana. Nilianza kujiandaa haraka haraka. Nikapendeza, unyunyu sikusahau , kijana ukiniangalia hivi nimependeza balaa. Nilitoka na kumfuata huyo mteja. Aliponiona tu alinisalimia vizuri akisema โ€œninachokupendea Chiddy usafi tu upo vizuri.โ€

Nilitabasamu nikisema โ€œnashukuru sana Sister. Najitajidi hili wateja wangu mfurahie safari na mimi sitaki kuwapa taabu ya harufu mbaya.โ€

Alitabasamu na kusema โ€œhongera sana Chiddy.โ€
Alipanda pikipiki na kisha nikamuuliza โ€œtajiri, leo gari ipo wapi?โ€
Alitabasamu na kusema โ€œshemeji yako alitoka nayo, ndiyo naifuata mahali.โ€

Nilitabasamu tu. Basi mwanaume nikamchukua huyu dada. Dada mzuri mno, sisi hao mpaka sehemu gari yake ipo. Wakati anashuka aliniita kwa sauti ya madeko โ€œChiddy!!โ€
Nami kwa heshima niliitika โ€œNaam dada yangu!!โ€

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

THE SECRET MESSAGE 3 to 4

๐Ÿ’ฌ03
Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya unataka, kila kiatu toleo jipya unataka, mwanangu utaona wapi pesa kama unashindana na watu wa mitindo?.

Kwenye utafutaji, ndiyo kuna wakati unatakiwa kufurahia unachapata lakini sio kuishi juu ya kipato chako. Rashid wewe una matumizi mabaya sana ya pesa, pombe na wanawake, nikuambie tu kitu hata ukeshe bar mwanangu, hata usilale unywe siku nzima huwezi kumaliza hizo pombe, hata usimamie kucha huwezi kumaliza wanawake wotee kwasababu kila siku anazaliwa mpya mwanangu.

Muda...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/the-secret-message-3-to-4

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi the-secret-message
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

636
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

622
REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34*

REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*

346
MY CRAZY BOSS 12,13,14

MY CRAZY BOSS 12,13,14

316
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12

154
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 11

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 11

152
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

133
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

132
MY CRAZY BOSS 15

MY CRAZY BOSS 15

130
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13

110

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.34K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.09K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.73K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.16K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.38K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.36K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
THE SECRET MESSAGE  3 to 4 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 3 to 4
@majario LIVE

๐Ÿ’ฌ03 Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
@majario LIVE

Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa. "ISHANI umemuona amina wangu?" Mama amina aliniuliza kwa...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*
@majario LIVE

alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi mpambaji hii ni harusi ya shemeji sasa mbona unanipamba kama biharusฤฑ?": aliuliza fahima usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 13 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 13
@majario LIVE

Nikasikia kuna nini hapoo???" Halafu muda huo Veda alikuwa ananitazama machoni na mie nimtazama yaani tunatazamana nina uhakima mioyo yetu ilikuwa inaongea maana kwa yale macho ya veda daah achaaaa Nikageuka...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 11 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 11
@majario LIVE

Ikabidi tu nikubali kinyongee ila roho iliniuma sanaaa yaani mpaka chozi lilinitoka aiseee... Tinner akabaki kunibembeleza na hapo hata sijui atakuja linii mjinga kweli huyu kakaa gari yangu tena aah roho...

Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! ๐ŸŽ‰๐Ÿ‘ Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

MY CRAZY BOSS 15 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 15
@majario LIVE

"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ." "Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako,...

MY CRAZY BOSS 12,13,14 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 12,13,14
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu. "Sawa kama ni baadae,boss aliitikia" Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea...

REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34* Post Mpya
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
@majario LIVE

upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku analia cathe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest