Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
Gonga94 · Stories

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu.

"Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?"

Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini NYUMBANI kwangu.

"Shikamoo madam groly

Nilimsalimia baada ya kuona Kuwa Amefika na ananitumbulia macho tu

Madam groly akaniangalia kwa dharau sana uku akinipandisha akazungumza. na kunishusha kisha

"Kwahiyo wewe mnuka mikojo na jasho la utoko Ndio ulikuwa Unataka Kuwa mkwe yangu ?"

Wolllliiiih huyu mama naona ananitafutia kesi tu, na katika siku amejichanganya Basi ni hii bora tu angebaki NYUMBANI kwake kuliko kuja kuniletea dharau zake kitaani kwangu.

"Eeeeh ni juju la aina gani ulitumia kupumbaza akili ya Mtoto wangu?"

Aliniuliza madam groly na Mimi kwa jazba nikamtuliza.

"Ey! Madam excuse me, usisahau Uko NYUMBANI kwangu Kwahiyo hakikisha. unaongea na Mimi vizuri Tena kwa heshima na

adabu

"Ahahahaha eti Nyumba, hil Nyumba au takataka? Wakisema wenye Nyumba watoke na wewe Unatoka ? Hiki kibanda si kinawaangukia

muda wowote ule

Wewe tell me why pili ameamua kuingilla ugomvi, nyleeeh ata Sijui pili alitokea kona gani lakini gafia tu akafika kwenye eneo la tukio na

kudakia.

"Madam mawigi, njoo taratibu shogile Sawa, yaaani njoo Kama Mtoto Mdogo aliyetoka

kujinyea na anaogopa kuyaangusha, unaongea nini kuhusu Nyumba ya baba yangu ? Mama

Angu mwenzio laana nilipata utotoni Uko Kwahiyo kwenye ukubwa wangu huu, siogopi

Dudu Wala Mende, mbwa wa blue wewe"

Aaah huyu Ndio pili wangu Mimi, ooooh nilisahau kuwaambia Bwana, pili hapa sio

mpangaji Bali ni Mtoto wa baba Mwenye Nyumba.

Madam akamuangalia pili Kwa dharau na kumuuliza.

"And, who are you?"

"Hizo who, you so, Sijui you what, Sijui you nini Uko Uko NYUMBANI Kwako Sawa, mama ujanipeleka shule ukanilipia Ada"

Kisha pili akanigeukia Mimi na kuniuliza.

"Huyu nae Nani kwani?"

Nikamuangalia mama Enzo na kujibu.

"Mama ake Enzo"

Pili akaniangalia na kucheka kisha akajibu.

"Eeeh kumbe mkwe, shoga Angu, ongea na mama mkwe yako vizuri lla asiingilie mambo ya

NYUMBANI kwangu nitamfundisha adabu Mimi"

Pili alimaliza zake kuzungumza na kutaka

lakini

gafla marna Enzo

kuondoka

akazungumza.

"Mnanuka Shida tu hapo mlipo, ishani, Leo

Nimekuja kukupa onyo

Tu Kaa mbali na Kijana wangu, kaa mbali na

Enzo wangu

Muda huo huo pili akarudi nyuma na kumuuliza

"Kwani mama unamtaka Mtoto wako au 7 Maana oooh Mtoto wangu Mtoto wangu kwani

ni wewe tu ndio umeingia reba au?"

"Msichana Kaa Kimya naongea na peni kizibo

Kaa pembeni

Pili akachukia San na kutaka kumjibu mama.

Enzo, lakini nikamuwal na kumziba Mdoma wake kisha kwa SAUTI ya hasira nikazungumza.

"Pili huyu niachie Mimi, namuweza kikeni mpaka

kiumeni

Hapo kwanza mama Enzo akabaki akiwa ametoa macho Maana hakuamini kama ni Mimi

Ndio nazungumza hivyo.

"ISHANI ni Mimi Ndio unaongelesha hivyo? Usisahau Kuwa Mimi ni mkubwa kwako"

Nikamuangalia

kwa

kumpandisha na

kumshusha kisha nikamuuliza.

"Ulivyokuja hapa ulikuja Kama mtu mzima au mcheza chura ?"

Kabla ajajibu swali langu nikaongeza.

"Halafu kuhusu Enzo, Kwanini mnaangaika sana.

na Mimi nawanyima usingizi Eeeh, wewe na

mkwe yako pully naona amlali

Kwa amani kabisa, naona MCHANA Ishani, usiku

ISHANI si Ndio? Groly Sijui madam

Sijui takataka gani vipi, unikome Tena Koma,

achana na Mimi, achana na maisha yangu,

achana na kila kitu kuhusu Mimi Sawa? Sijawal

Kuwaza kukuvunjia heshima lakini Leo wachal

nikuvunjie, Leo wacha nikupe ullyokuwa unayataka, kingine, Mtoto wako Ndio kanipenda

hapa atoki abanduki

"Mwanangu akupende wewe kwa kipi sasa

"Unataka nikuoneshe alichonipendes au 7 Hapa Mtoto wako anapata vya bara na pwani, halafu moyo auingiliwi Sawa, Hapa Enzo atakuja na

atoondoka kalili

Maneno yangu

Siku hiyo nilikuwa nilikuwa makali sana Kama nimepaliwa na pili pili vile.

Madam groly akabaki akishangaa tu Kama bi msumi aliyenasa uchawini.

Basi Mimi na pili sasa tukaanza kumzomea

mama watu, kwa aibu ya hali ya juu aka

panda kwenye gari yake na kuondoka.

"Muangaliege na familia za kuingia jamani, Ona Saa huyu mama mkwe gani jamani"

Alizungumza pili kisha akaondoka zake.

Kwa upande wangu nikaingia Ndani nikiwa

hasira sana, Yaani madam groly amekuja kuniharibia tu mood yangu.

Hatimaye mwezi mzima ukapita na nikaamua

kukubaliana na ukweli Kuwa siwezi Kuwa na mahusiano na Enzo na Enzo sio wangu Tena.

Akili yangu ilipokaa Sawa nikaingia zangu MTAANI na kutafuta kazi ambayo Itanisaidia

kuendesha maisha yangu, Kiukweli upatikanaji

wa kazi ulikuwa ni mgumu sana Tena sana Yaani mtu unazunguka mtaa kwa mtaa, chocho kwa chocho lakini upati kitu

Nilitumia siku Tatu mfululizo kutafuta kazi lakini mambo yalikuwa magumu sana kwa upande wangu.

Nikiwa nimeshachoka na zoezi la kutafuta kazi, gafla tu nikapata wazo la kwenda kwa mama

Amina, Sijui Kama mnamkumbuka jamani, mama amina Yule mama Ntille anayeuza

chakula manzese alikuwa akitusaidia kipindi

kile nilichokuwa Mdada wa mtaani.

Kiukweli sikutaka kupoteza muda kabisa, asubuhi na mapema siku ya jumatano, nikaamka na safari ya kwenda kwa mama amina ikaanza.

Nilifika na kukuta mama amina akiendelea na

shughuli zake, kwanza alifurahi sana kuniona na akuamini baada ya kuniona nikiwa па

muonekano Mpya.

"Sijui umekuja kufanya nini lakini nisaidie kupeleka chakula pale ulikokuwa Unapelekaga

Alizungumza mama amina na Kwa upande Angu

sikuwa na pingamizi haraka tu nikaanza kushughulika.

Siku hiyo nilishinda kwenye mgahawa wa mama amina nikimsaidia kazi zake za hapa na pale.

Majila ya jioni, nilipata wasaha wa kuzungumza

na mama amina na nashukuru Mungu alinielewa kabisa na akanipatia kazi kwenye mgahawa. wake ambao ulikuwa ni maarufu sana hapo

manzese

ISHANI wenu nikaanza maisha mapya ya

kujitafutia na sitaki kujisifia lakini najituma

mwenzenu, Yaani nafanya kazi Kama mashine

mpaka mama amina Mwenyewe alikuwa

ananionea huruma

ISHAN Leo amina wangu anakuja kunitembelea mwaya"

Alizungumza mama amina.

Nikamuangalia na kutabasamu kisha nikajibu.

"Eeeeh kwa Mara ya kwanza nakutana na amina Leo, Maana namsikiaga tu

"Yuko njiani mwaya Sijui amepata likizo Uko

chuoni Ndio ameamua kuja kunitembelea

"Kwahiyo ma Amina, Unataka kuniambia Kuwa Amina Uko Dodoma anasoma na kufanya kazi

"Ndio Mwanangu amebahatika

Story kati yangu na mama amina ziliendelea na

kazi pia ziliendelea.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*




Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu.

"Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?"

Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini NYUMBANI kwangu.

"Shikamoo madam groly

Nilimsalimia baada ya kuona Kuwa Amefika na ananitumbulia macho tu

Madam groly akaniangalia kwa dharau sana uku akinipandisha akazungumza. na kunishusha kisha

"Kwahiyo wewe mnuka mikojo na jasho la utoko Ndio ulikuwa Unataka Kuwa mkwe yangu ?"

Wolllliiiih huyu mama naona ananitafutia kesi tu, na katika siku amejichanganya Basi ni hii bora tu angebaki NYUMBANI kwake kuliko kuja kuniletea dharau zake kitaani kwangu.

"Eeeeh ni juju la aina gani ulitumia kupumbaza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-pili

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-pili
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

506
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

401
REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34*

REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*

315
MY CRAZY BOSS 12,13,14

MY CRAZY BOSS 12,13,14

298
SHAMIRA sehemu ya 27&28

SHAMIRA sehemu ya 27&28

159
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 11

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 11

137
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12

125
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

123
MY CRAZY BOSS 15

MY CRAZY BOSS 15

119
SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15

SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15

114

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.33K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.08K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.73K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.16K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.38K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.36K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 11 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 11
@majario LIVE

Ikabidi tu nikubali kinyongee ila roho iliniuma sanaaa yaani mpaka chozi lilinitoka aiseee... Tinner akabaki kunibembeleza na hapo hata sijui atakuja linii mjinga kweli huyu kakaa gari yangu tena aah roho...

Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! 🎉👏 Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE 💬 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 💬 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

MY CRAZY BOSS 15 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 15
@majario LIVE

"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ." "Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako,...

MY CRAZY BOSS 12,13,14 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 12,13,14
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu. "Sawa kama ni baadae,boss aliitikia" Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea...

REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34* Post Mpya
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
@majario LIVE

upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku analia cathe...

SHAMIRA sehemu ya 27&28 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana shoga akanishukuru mno. Bado nikamtoa lunch mimi sindo tajiri tena alikula alichokitaka nakwambia. Basi baada ya yote tukaenda charambe sasa .nikapita kwa...

SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Sehemu ya 11 na 12. Mwandishi; lissa wa huru media Basi nilivyotoka pale nikaeenda kutulia sebleni rohooo yangu kwatu. Sijuh ata alimalizanaje na mwanamke wake uko. Mida ya mchana mama akaniuliza...

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

SHAMIRA Sehemu ya 25&26 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi apo ndo maisha ya mimi na hamadi yakaanza. mwanzo nilikua simpendi sana ila siku zilivyooenda nikaanza kumpenda hamadi .mana nilikua naona anvyonipenda zile...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest