SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ
Sehemu ya 16 na 17.
Mwandishi; lissa wa huru media
kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian. Akasema we kijana siku nikikukuta na binti yangu ndo siku unayoenda jelaaa kweupe hautaamini nakwambia . Adrian akanyamaza kimya . Bba na mama wakanichukua tukaludi mpaka nyumbani. Aseeeee uko mama alinisema sana. Yani alinambia hayuko tena proud na mimi. Mana nimewahi kukimbilia mambo ambayo ni chini ya umli wangu sana. Aseee hii siku mama yangu aliongea mno mpaka analia.nikaona kabisa nimemkosea sana mama yangu. Aseeeee nilijisikia vibaya na kuumia sana. Nikajua aya mambo yote aliyoyapika ni baraka lipumbavu hili ntalikomesha na ntahakikisha anaondoka kwetu mbwa uyu.
Nilibaki ndani nna hasira sana. Yani nilikuwa na hasira mno. Kwanza nimepigwa kudadeki apo. Alafu sasa mwili umevimba . Yani umetutumuka kweli kweli. Ila nikawa najua yote aya kayasababisha baraka. Nikatulia ndani tu.ata kula chakura cha usiku hii siku hatukula yani ata wazazi nao hawakuwa sawa. Walikuwa chumbani kwao .na sikujua ata walikuwa wanajadili nini uko. Basi mie kufika saa 6 usiku. Nikanyanyuka nikaingia chumbani kwa baraka . Yani niliingia kama chooni ata hodi sikugonga mimi. Na nilikuwa na hasira kweli. Nilimkuta kajilaza kitandani anachati.na simu yake. Aseee nilimimd mno. Nikasema kwaiyo we mpumbavu una furaha sasa kunigombanisha na familia yangu si ndio. Hivi umekuja apa kuwa mgombanishi nakuuliza. Baraka akainuka akakaa kisha akasema sasa wewe unahisi mimi ndo nna kosa. Au wewe ndo unashida na tabia zako za kipumbavu. Unazani kama ungekuwa ni binti mtulivu tungefikia uko. Nikabaki natwetwa ka hasira. Nikasema kama vp undoka kwetu . Unajaza choo tu apa hatukutaki nakwambia. Baraka akaniangalia akasema hivi unahisi mimi napenda sana kukaaa kwenu. Hapna sipendi kabisa. Ila napambana nipate elimu nisaidie ndugu zangu. So wala sina plan za kuishi kwenu milele usijisumbue. Aseeee nikachukia nikajikuta nimemvaa baraka .kisha nikaanza kumpiga mangumi. Alafu uku juuu hakuvaaa shart. Yani alikuwa kifua wazi.
Akaniacha tu . Nilitandika kweli kweli . Mpaka mimi ndo nikachoka sasa. Nikabaki namuangalia. Akaniangalia tu kisha akaniuliza . Umeridhika ? Nikabaki natwetwa kweli kweli. Akasema aya nyamyuka uende chumbani kwako sasa nataka kupumzika .kesho nawahi shule. Yani nikasema ntahakikisha unaondoka kwetu mbwa ww. Akabaki kimya ananiangalia tu.kisha nikanyanyuka kwa hasira nikaingia ndani kwangu. Aseeee hii siku sikulala mimi mawazo yalikuwa mengi. Nikikumbuka mwanaume wangu kanikana live kwamba hanijuh mbele ya wazazi ndo naishiwa power kabisaa . Moyo unauma mno. Yani moyo unauma kweli kweli kudadeki. Na nnavyompenda adriani ndo anikane vile . Ata kama nilienda na wazazi ndo vile jamni . Moyo uliniuma sana yani sana tu.
Kesho yake sasa . Nilijiandaa asubh kwa ajili ya kwenda shule. Basi nikvaaa vizuri nikatoka sasa chumbani nikamkuta mama anafagia sebleni.nikamsamilia .shikamoo mama. Mama akasema endelea kutombwa na ww utapata yako sasa hivi. Nyoooo mshenzi wewe. Mtoto mdogo ushaanza kuingizwa na mavitu makubwa. Muone mboo zilivyomkomaza sula kwanza . Daaah mama jamani. Nikabaki kimya limenishuka shuu. Mama akasema sasa kuanzia leo ole wako uludi apa saa 11 jioni.nishampigia mwalimu wako kanmbia shule mnaruhussiwa saa 8 kamiri. Saa 8 na dakika 10 nakutaka nyumbani utajua ww unatembeaje mpka kwangu ufike uo mda. Unanaisikia we maraya mtoto.nikasema ndio mama. Akanmbia aya kwenda uko muone kwanza. Ata pesa ya kutumia sikupewa na mimi sikuomba ..weee nikaona mama atanisokomeza mineno mengine bule .ikawa shidaa apa
Basi nikasepa zangu mpaka shule. Nikiwa na mawazo sana . Nikasema apa ata sijuh nafanyaje . Basi ratiba zikaendelea za masomo. Ila sikuwa na fatilia chochote kinachofundishwa pale. Na mimi akiri ya darasani nilikuw nayo tu.ila teali kichwa kilishakuwa na mambo mengi kweli kweli. Na tulivyoruhusiwa iyo saa 8. Oyaa nilipita nakimbia kuludi nyumbni .mana nilishajua nikizingua tu nimechelewa mama yangu ananivunja hapa . Basi nikawahi kuludi. Mama akanmbia mbona umechelewa dakika moja ulienda kwa uyo msenge mwenzio.nikasema hapana mama sijaenda .mama akaningalia akanmbia nenda kaoge uje apa. Nikasema sawa mama. Basi nikaingia chumbani kwangu. Nikaoga .kisha nikavaa vizuri ndo nikatoka sasa . Mama akanmbia nenda kale .chakura kipo mezani. Basi nikaenda nikala.nilipomaliza sasa mama akaomba kuongea na mimi.
Nikasogea nikakaaa na mama sasa. Mama akanmbia yule adrian ndo mwanaume wako na ndo alokutoa bikra. Nikaona kumekucha.nikamuitikia mama kumuoneshea ndio. Mama akanmbia wewe unaona yule mwanaume anakupenda? Nikabaki kimya .mama akasema yule mwanaume hakupemdi wala hakuhitaji. Yule mwanaume anakutumia tu .kwanza mwanaume anayekupenda hawezi kukukana vile . Mwanaume anakukana kama hakujuhi kumbe ndo ulikuwa unalala nae. Sasa sikia mtoto mimi kma mama yako ndo nakwambia pale mwanaume hakuna. Alafu wewe ni mtoto mdogo sana shakira. Unaelewa kuhusu mimba na UKIMWI wewe. Ebu nikuulize vizuri. Unaelewa kuhiuu ayo mambo eeeh. Kwa umli wako wewe sio wa kuwa ushaanza kushiriki mapenzi shakira. Umeniangusha sana. Umeniumiza sana. Nna ona aibu mbele ya kila mtu mimi naonekana nimekulea vibaya. Baba yako anaona nilikuwa sikuangalii na sikuwa nakuchunguza . Leo naumbuka mimi uwiiii. Mama akawa analia kabisa. Nikamsogelea kisha nikapiga magoti nikasema nisamehe mama. Nisamehe mama mimi siludii tena nimeshaacha mama. Na yule mwanaume naachana nae mama. Sasa ntakuwa busy na kusoma. Mama akawa analia tu pale na mimi nalia uku naomba msamaha . Daaaah.
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ
SASA NAKUPENDA
Sehemu ya 18
Mwandishi; lissa wa huru media
Mama akanambia sawa nimekusamehe mwanangu ila nataka ubadilike .nataka ubadilike kabisa. Naomba uachane na yule kijana.na usome mwanangu. Naomba usome. Wewe ni mwanamke wa kesho. Unahitaji kuwa na familia na kujiheshimu. Unaelewa binti yangu nikasema ndio mama. Ntajitahidi sana. Akanmbia sawa binti yangu. Ukitaka pesa yoyote nambie mimi ni mama yako .ntakupa. kama sina ntamwambia baba atakupa sawa . Na ukipenda chochote nambie mimi mama yako sawa. Nomasema sawa mama. Basi mama akanielewa vizuri tu. Na tukamaliza hivyo.
Na ata usiku baba alivyoludi baba akanisema sana. Yani alinisema mno. Akanambia hataki upumbavu kabisa. Kma sitaki kusoma basi niolewe full stop. Upumbavu hataki . Aseeee nikamuomba sana baba msamaha. Yani sana tu. Nokamtaka msamaha kweli kweli baba yangu na nikamuhaidi nitapambana na kusoma kwa sasa . Sitaludia tena. Basi mzee akanisamehe. Et na akamshukuru baraka kwa kusema ukweli ambayo anayajua kuhusu mimi. Mana ningealibika daah . Basi baraka akasema naelewa mjomba shakir ni ndugu yangu .siwezi kumuacha akialibika. Na kama atabadilika itakuwa bola zaidi na nitajivunia yeye. Akwende uko . Ajivunie mimi kanizaa loooh.
Bsi kuanzia hii siku mahusiano ya mimi na adrian ni kama yalivunjika. Mana sikuwa naenda kwake na mama aliongeza sana umakini na mimi. Mana alikuwa na namba mpaka ya mwalimu wangu wa darasa. Nikichelewa atamuuliza . Na nikitoka anamuuliza kama nimeruhusiwa . Kwaiyo apao sasa nikawa nabanwa weeek end ni kushinda ndani. SImu sina mana ile mama aliivunja. So nikatulia. Yani mama alikuwa ananichunga jamani uwiiiii. Ata dukani hataki mimi niende kabisa . Yani mama aliongeza umakini jamani. Nikawa mtu wa ndani tu. Apo mama sio kwamba ndo anampenda baraka wala . Hatumpendi wala nini na tukipata nafasi ya kumsema tunamsema vizuri na kumsimanga tunamsomanga.kuna siku tunamsingamia chakura mpaka ananawa anasema kashiba yani. Apo sie ndo furaha yetu.
Basi na mama akanisimamaia jamani mpaka nilimaliza form foir. Yani nilikuwa na miezi 6 sijamuona adrian. Mana kuna mda mama ananipeleka shule. Nikitoka namkuta et kaja kunifata kudadeki. Aseeee mama jau jamani uwiii. Basi sasa sikuwa najua lolote kumuhusu . Na mimi bado nilikuwa na hasira nae. Yani ile kunikana as if hajawahi kuniona jamani niliumia .yani niliumia sana. Nikaona bola tu niachane nae nipambane na kusoma. Basi na barka nae nikawa siongei nae tena nalichukia jamani yani nipo tayali kumsingizia lolot baraka si simpendi tu. Ila na yeye akajitahidi aakamaliza sasa kidato cha sita akawa anangoja matokeo yake ya kumaliza shule . Yani akafanya mtihani wake wa mwisho. Nikawa namaind kwa nn haondoki na ameshamaliza shule. Baba akasema baraka ataondoka akimaliza chuo na akipata kazi. Nikaona uyu ntamueka .nikawa nawaza sana cha kumfanyia barka ambacho kitafanya baba amfukuze umu ndani. Sindo nikapata wazo bwanaa nikasema apa naenda chumbani kwake . Navua nguo zangu napiga kelele ananibaka kudadeki. Yani nilikuwa simpendi tu baraka mimi.
Basi siku iyo usiku sana kama saa 8 hivi. Nikatoka chumbani kwangu. Nikaenda chumbani kwa barka .nikakuta kalla chali alafu kalala na boksa tuuu. Nikasema yes . Leo namkomesha na baraka huwa hanaga kawaida ya kufunga mlango wake wa chumbani. Basi shoga yenu .nikaanz kuvua nguo yani nilishapanga kufanya tukio. Nikatoa gauni langu juu .nikabaki na chupi tuuu na sidiria.kisha nikaanza kupiga kelele et nabakwaaaaaaaa. Mama nisaidieeeennnnnn. Nabakwaaaaa. Yani hizo
Kelele ndo zilimuamsha barka. Akastuka ananikuta na chupi tu alafu napiga kelele za kubakwa . Barka akanyanyuka harka akanmbia wewe una shida gani mbona upo hivi akavuta shuka aje kunifunika . Aseeeee ile kunifunika akafanya kama kanikumbatia . Alafu wazazi wakaingiaaa. Oyaaaaaa . baraka akastuka mno. Akaniachia kwa nguvu. Mie ndo najiliza nakwambia nikasema alitaka kunibakaa jamani .... oyaaaaaaaaaa itaendeleeaaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni