Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*
Gonga94 · Stories

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi

mpambaji

hii ni harusi ya shemeji sasa mbona

unanipamba kama biharusı?": aliuliza fahima

usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama bi harusi japo kidogo tu ili

mfanane kidogo au nimekosea kwani wewe. sindio fahima? aliuliza mpambaji huyo

ndiyo mimi alijibu fahima

"basi usijari nikimaliza kukupamba nitakupeleka chumba cha pili hapo kisha ndo tutaenda ukumbini na mimi nikiwemo alisema.

mpambaji

"aha sawa dada alijibu fahima kisha akaanza

kupamba kwakwelialipendeza sana, alimaliza kupambwa kisha akapelekwa chumba chapili ambacho kilipambwa kila aina ya mauwa kilipendeza sana

alikaa humo dakika tano kisha akaja mdada

mwingine nae akiwa amependeza sana alikuja

na kujitambulisha kama msaidizi wa biharusi

pla, mara wakaingia wadada wengine wanne

wakiwa wamevaa sare kama wa huyu dada wa

mwanzo nao wakajitambulisha ni wasaidizi

basi ikasikika sauti kuwa watoke nje taratibu

basi wale wasaidizi wakamsaidia kulishika shela la fahima kwa nyuma wakatoka hadi nje ile kitoka tu aiseeeeeeee alikutana na watu

wamejaaa ukumbi mzima wakaanza kupiga

vigeregere vya kutoshaaaaaaa fahima alibaki

kushangaa tu hawa wanapiga vigelegele vyanini sasa wakati biharusi hajatoka

mara akamuona seven akiwa amevaa kanzu safi

kabisaaa yaaani amependeza mnoooooo kama

babu harusi fahima alishangaaa kidogo

amsahau seven alimuangalia mara nne nne, seven akafika mpaka alipo fahima na

kumuomba mpe mkono waende basi fahima akampa mkono huku akiona albu sana,

wasimaminzi wa fahima wakawa nyuma na wasimaminzi wa seven nyuma walifika mpaka

kwenye viti maalum wakakaa watu wakazidi

kupiga vigere gere, fahima akapata wasiwasi

mbona kama yeye ndk biharusi vile, ikabidi atake

kumuuliza seven lakini dj mc akamuomba

kwanza babu harusi asimame afungue harusi

kabla yeye hajaanza kuongea, seven akasimam

na kushika maiki

habari zenu nduguu mabibi na mabwana asanteni sana kwa kuja kwenye sherehe hil nawashuru sana nawaomba muwe pamoja

namimi mwanzo hadi mwisho wa harusi hii

asnteni alisema seven kisha akanyamanza

watu walianza kupigapiga kelele za kufurahia

kisha seven akaendelea

leo

siku ya furaha sana tumshukuru

mwenyez Mungu kwa kutufikisha salama siku hil

ya leo, mchumba wangu fahima leo tunaenda

kuwa mke na mume taraj baada ya kukaa mda

mrefu sana bila kutimiza hilo, leo nakuoa kama

mke wangu rasmi tunafunga pingu za maisha

mbele ya hawa mashahizdi zetu nakuomba tuvumiliane kwa kila hali nakupenda sana mke wangu fahima fahad seven alimaliza kusema na kumpa maiki me huku watu wakipiga

shangwe kwa fujo na vigeregele kwa wingi

fahima alianza kutokwa na machozi mfululizo

sana hakuamini kama anaolewa hakuamini

kama anapendwa kiasi hicho hakuamini kama

anaenda kuitwa mke ki halali alifurahi sana na furaha yake yote iliishia kulia tu, seven akasogea

na kumfuta machozi kisha akamkumbatia. jamani picha zilipigwa sana watu walifurahi

sana

baada ya dakika chache akaja mzee fahad akiwa

amependeza sana, seven alibadili dini na kuwa muislam kwakuwa mkewe ni fahima basi nayeye akachagua jina linaloendana na mkewe.

akaamua aitwe fahim, ndoa ikafungwa ukumbini hapo hakika ilikuwa furaha sana sana sana 麻麻 watu walifurahi mno

zawadi zikaanza kuletwa kwa bibi harusi па bwana harusi aiseee walipewa vitu vingi sana vingi mnoooo00

upande wa cathe hakuwa anajuwa lolote kuhusu

seven, wao walifika kwa mzee cryton, lengo cathe akae hapo japo kwa muda tu, mzee crytona akakubali japo kishingo upande, na hakuwa na maelewano mazuri na mkewe

kwasababu aliulia sana kusalitiwa na eva,

upande wa maharusi huku mambo yalinoga

kwelikweli iliwashwa mziki wa marioo upendwao

na watu wengi sana unaoitwa mvua, maharusi

wakaombwa wasimame ili kudance wimbo huo

nawao wakasimama na kusogea uwanjani

wakacheza vizuri sana kwakweli walipendezana

mno

ukafika muda wa babu harusi kutoa zawadi zake ambazo aliziandaa kwa watu wake spesho

akasimama

asante sana kwanza napenda kuanza na

mama yangu kipenzi Mungu akubariki sana leo nimekuawadia gari mbili pekeyako aina za range

yote nikwasababu ulikesha kuniombea dual nifanikiwe mama naleo nimefanikiwa mama yangu pita hapa mama alisema seven aiseeee

mama seven hakujua kabisa kama ameandaliwa

zawadi hizo alianza kudondosha machozi ya

furaha huku akisogea mbele na kumkumbatia mwanae hakika lilikuwa furaha kubwa sana

mtu wa pili ni baba mkwe wangu leo naku zawadia gan safi kabisa tax pamoja na duka

lako la vifaa vya kuuzia magari na pikipiki yanı

hilo duka nilako kabisa baba yangu kwasababu

wewe ndiye amenizalia furaha ya moyo wangu

yani amani ya moyo wangu yani umenizalia kiumbe adimu sana hapa duniani unathamani

kubwa sana mzee wangu asante sana naomba

uzipokee zawadi zangu baba na unipe baraka zako baba na nyumba tayari nishakukodia ukitaka nikutafutie na mke kabisa sawa tu

baba watu waliangua

kichekoooooo

mzeee fahad hakuamini kama yeye anaenda

kuwa boss wa duka na gari na nyumba jamani

alimfata seven na kutaka kumpigia magoti lakini seven alimuwahi na kupiga yeye magoti akitaka apewe baraka na razi za mkwewake huyo, naye

baba fahima alimuwekea mkono kichwana na

kusema maneno kadhaa kisha akatoa

akamwambia asante sana mwnangu Mungu

akubariki nakuhakikishia Mungu atakulipa hivi

ulivotupa zaidi yake ndani ya miezi miwili tu

alseeeee ilikuwa ni furaha sana jamani watu walijua kufurahi siku hiyo

seven akasimama na kumsogeza vizuri fahima

ubavuni kwake kisha akambusu kwanza piga kiss zito la mdomo Jamani kupendwa raha

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*



alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi

mpambaji

hii ni harusi ya shemeji sasa mbona

unanipamba kama biharusı?": aliuliza fahima

usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama bi harusi japo kidogo tu ili

mfanane kidogo au nimekosea kwani wewe. sindio fahima? aliuliza mpambaji huyo

ndiyo mimi alijibu fahima

"basi usijari nikimaliza kukupamba nitakupeleka chumba cha pili hapo kisha ndo tutaenda ukumbini na mimi nikiwemo alisema.

mpambaji

"aha sawa dada alijibu fahima kisha akaanza

kupamba kwakwelialipendeza sana, alimaliza kupambwa kisha akapelekwa chumba chapili ambacho kilipambwa kila aina ya mauwa kilipendeza sana

alikaa humo dakika tano kisha akaja mdada

mwingine nae akiwa amependeza sana alikuja

na kujitambulisha kama...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-sehemu-ya-thelathini-na-tano

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi really-love-sehemu-ya-thelathini-na-tano
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*

626
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*

604
REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34*

REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*

346
MY CRAZY BOSS 12,13,14

MY CRAZY BOSS 12,13,14

314
SHAMIRA sehemu ya 27&28

SHAMIRA sehemu ya 27&28

170
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12

150
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 11

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 11

148
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18

132
MY CRAZY BOSS 15

MY CRAZY BOSS 15

127
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 13

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 13

97

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.34K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.08K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.73K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.16K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.38K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.36K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
@majario LIVE

Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa. "ISHANI umemuona amina wangu?" Mama amina aliniuliza kwa...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA TANO*
@majario LIVE

alishangaa mno ikabidi amuulize maswali mengi mpambaji hii ni harusi ya shemeji sasa mbona unanipamba kama biharusı?": aliuliza fahima usijari maana nimepeewa maelekezo kuwa wewe utakuwa kama mlinzi wa bibi harusi hiva utapambwa kama...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 13 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 13
@majario LIVE

Nikasikia kuna nini hapoo???" Halafu muda huo Veda alikuwa ananitazama machoni na mie nimtazama yaani tunatazamana nina uhakima mioyo yetu ilikuwa inaongea maana kwa yale macho ya veda daah achaaaa Nikageuka...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
@majario LIVE

Nilijikuta nikishtuka sana baada ya kukutana na madam groly Tena NYUMBANI kwangu. "Amepajuaje hapa ? Au amekuja na pully?" Nilijiuliza kimoyamoyo uku nikimuangalla madam Groly kwa wasiwasi uku nikiwaza amekuja kufanya nini...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kwanza nilishtuka sana, nilimuangalia Enzo kwa makini sana lakini enzo hakuwa na uwezo ata wa kuniangalia, muda wote alipepesa macho akiangalia pembeni tu wakati akizungumza. Maneno makali sana juu...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 12
@majario LIVE

Nilijitetea kwelii japo nilikwangua ka_akiba kangu ila niliona aibu sana kurudishiwa ile pesa aah nikasema acha nilipwe na Mungu tu .. Akanibembeleza sanaa nikakataa wakati naondoka akaniomba namba ya simu nikawaachia...

SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Sehemu ya 16 na 17. Mwandishi; lissa wa huru media kijana . Nakuuliza si unajifanya mjanja .basi tutasomana . Ata mimi ni mjanja wa zamani. Baba yangu alimuangalia sana adrian....

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 11 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 11
@majario LIVE

Ikabidi tu nikubali kinyongee ila roho iliniuma sanaaa yaani mpaka chozi lilinitoka aiseee... Tinner akabaki kunibembeleza na hapo hata sijui atakuja linii mjinga kweli huyu kakaa gari yangu tena aah roho...

Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! 🎉👏 Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE 💬 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 💬 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

MY CRAZY BOSS 15 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 15
@majario LIVE

"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ." "Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako,...

MY CRAZY BOSS 12,13,14 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 12,13,14
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu. "Sawa kama ni baadae,boss aliitikia" Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea...

REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34* Post Mpya
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
@majario LIVE

upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku analia cathe...

SHAMIRA sehemu ya 27&28 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana shoga akanishukuru mno. Bado nikamtoa lunch mimi sindo tajiri tena alikula alichokitaka nakwambia. Basi baada ya yote tukaenda charambe sasa .nikapita kwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest