Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13
Gonga94 · Stories

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh na huyo shga ako ni mpumbavu, yaani muda wote. alikuwa anakulamba kisogoo na kukuinulia kisigino kwakweli mhhh ila nyiee, wewe ushawahi kuniona dada yako nina ushoga ? na mtu sinaga mazoea ya kijingaa mimi hao watu sio wazurii, kabisa

sasa dada itakuaje cheki maisha yangu yote yameharibika ona sasa dada nilikuwa naishi gizani muda mrefu siwaamini tena wana...." kabla sijamalizia sentensi akadakia dada angu hapana usiseme hivyo mdogo angu, wanaume wapo tena wanaojali na utampata huyoo mwanaume unaehitaji Mungu atajibu maombi yako kipenzi changu, nakuaminia sana tena natamani uolewe hata kabla sijaolewaa mdogo angu natamani hili litokeee sana mdogo wangu si unajua dada ako anavyokupenda eeh?" Nilijikuta natabasamu maneno ya dada yalinipa matumaini kidogo japo nilikuwa bado sipo saw

haya pumzika mdogo angu, usilie kichwa kitakuuuma sana yaani siku ya kwanza dada ako kuanza kazi wewe umepata matatizo ila ntakwambia kazi ilivyoenda ukitoka kazini kesho mdogo wangu, haya pumzika mdgo wangu sawa?" Nilijitahid kulala nisiwaze ila mawazo talinisonga sana kichwani kwangu nilijitahid kupata usingizi haukuja mpaka ikanibidi niinuke niende kuoga, ndio usingizi ukaja hapo huu usiku ulikuwa mzito sana kwangu Wallah

Hatimae asubuhi ilifika na niliwahi kuamka maana usingizi uliwahi kuishaa na niliwahi hata kufika kazini hii ilikuwa ni kam mgeni tena maana nimefika officine kila mtu ananitizama mimi uatadhani hawanijui vile wanavyonishgaaaa hadi nikawa naona aibu maan macho ya warning wote yapo mbele yangu nikaingia officine ghafla alikuaja Suzy akanambia

"Madam wewe hii sio office yako, office yako ni ile kule, kwa sasa wewe ni assistance chairman wa hii kampuni" nilishangaa kwa utendaji upi wa kazi mpaka niwe assistant chairman yaaani kuumanisha mimi ni CEO msaaidizi wewe nani kasem mimi ni huyo assistant chairman wa hapa?, utakuwa unaumwa Suzy mimi mbona sina taarifa za kupandishw cheo jamani?, mbona kila leo kuna suprise kwenye maisha yangu ?" Nilisema kwa namna ilivyoonekana kam nilikuwa nalalamika Fulani hadi Suzzy akawa ananishangaa yaani watu hii nafasi wanaitaka mimi naipata naanza kulalamika, kumbe mimi nina mambo yangu kichwani naona kila kitu kwenye maisha yangu kinakuja haraka haraka sana hata bila mimi kutarajiaaa nilikuwa nashangaa kila kitu kwenye maisha yangu nakiona kinaenda tofauti na mimi ninavyopanga yaani wiki moja tu imebadilisha kitu maishani mwangu hayo yalikuwa ni mawazo yangu.

Nilienda officine kwangu nilipoelekezwa nikawa. nimetulia tu mara mlango ukafunguliwa akaingia CEO na mfuko mkononi mwake akafika akakaa kwenye kitu kilichokuwa mbele yangu akanitizama kwa muda bila kunisemesha chochote mimi pia sikumjibuu maan hat mawazo yangu hayakuwa hapo maana hadi machozi yalikuwa yananitiririka tu usoni mwangu, nahisi hicho ndio kilimfanya anitizame kwa muda mrefu akainua mkono akanifuta machozi akaniinua uso kwa kutumia kidole chake hapo ndipo niliposhtuka

"Sitaki kumuona mwanamke wangu akiwa anatoaa machozi kwa ajili ya mwanaume mwingine, tena mpuuzi mmoja asiejua thamani ya mwanamke mzuri, na mwenye akili za maisha, ila naahidi nitatimiza hiloo" nilikuwa namshangaa tu anavyoongeaa maan kusema ukweli nilikuwa sielewi chochotee, akanikabidhi ule mfuko alokuja nao pale wewe utakuwa huvai hzii sare tena, kwa cheo chako sare ni hizi, kabadilishe kuna sehemu tunaenda" nilitamani kukataa, ila nilikuwa nina maswali nae mengi sana kwanini kaenda kwa wazazi wangu bila mimi kujua yaani hajanambia afu kafika kadanganya nilimtizama tu nikaenda kubadilisha nguoo maana mule mule officine kwangu kulikuwa hadi na choo yani ilikuwa kama chumba cha kuishi mtu, tena sio mtu kama mimi kabisa ni mtu wa hadhi zake, nilibadilisha na kutoka nilikuwa nimependezaa maan ilikuwa ni suti ya rangi ya kijivu nilipendezaa sana jamani, alinisifia ila sikusikiaa

Nilipita nae mbele ya wafanyakazi, na. Wote walikuw wananishangaa maan ilikuwa kuwa. karibu na huyo CEO ilikuwa ngumu sna tukaenda mpaka parking tukaondoka na gari lake...

Inaendelea.....

Chapter 14

Tuliendaa sehemu moja hivi magomeni, wanajiita mgalula ni kampuni kubwa wanayouza magari, nilishangaa tukashuka mwanzoni nikajua labda Ellias alitaka kubadilisha gari maan kwake ni kitu rahisi sana nilishangaa nilipoambiwa "madam chagua gari unalotaka?" alisema yule muuzaji wa pale nilishtuka nikamtizama Ellias aliniangalia akasema tu angalia inayokufaa hapa yoyote chukua

Nilibaki namshangaa tu maan niliona ajabu kwa kipi hasa mpaka nipewe gari na muda huo mimi sina lolote, hizo pesa Za kulipia gari nazitoa wapi? nilikuwa nawaz sana kupindukia ila Ellias alielewa hofu yanguu akanishika mkono akanambia kwa hadhi yako ya sasa hutakiwi kupanda daladala wewe hapo" nilizidi kumshangaa nikauliza " kwahyo hii ni kwamba kwasababu nimepandishwa cheo au kuna mengine? au ndio ntakuwa nakatwa kwenye mshahara wangu mimi au, mbona sielewi kwanza mimi maisha ya daladala nayapenda" nilileta sababu alinitizama akatabasamu "usijali sifanyi kwasababu, etty wewe umepandishwa cheo hapana, lla sitaki mwanamke wangu awe anatembeaa kwa miguu, na kuhusu kukatwa haiwezekani, mshahara wako upo pale, pale, ila bado unasababu utanambia hujui kuendesha gari ila nitakusaidia nishakutafutia dereva sawa, ila ntakuwa nakufundisha jinsi ya kutumia gari kama hutopenda kutumia dereva aliongea maneno yake kwa mpangilioo ulio makini kwenye maneno yake

"Haya chagua unalotaka sasa mrembo wangu" nilikuwa namshangaaa sana maan kaanza kujimilikisha hata kabla sijamkubali huyu vipi? aliamua kunichagulia yeye mwenyewe alichagulia gari aina la crown nyekundu lilikuwa nzuri sana na nilipenda nilitamani kumrukia ila nikasema nitaonekana mrahisi sana kwake. nikavunga tu akapiga simu hata dk 10 hazikupita akaja mkaka akaweka plate number, na akanipa lesseni, nilitambulishwa kwamba yule ndie atakae kuwa dereva wangu wa kila siku atakuwa ananipeleka popote ninapotaka alipewa address ya kupeleka lile gari, aliondoka nalo yule mwanaume

Tuliondoka kuelekea sehemu ya kula maana ilikuwa mchana, na tulienda sehemu yenye hadhi bhana mgahawa flani hivi upo jirani na palm village, kwanza mimi nilijiona ndio mshamba, ukiangalia ni waaarabu na wahindi ndio waliojaa jamani mpaka unaona haya mimi tena cheusi jaman mhhh aibu naonaa mimi , alikuja muhudumu akaleta menu ya chakula saaa mimi sielewi naona zangu vichina tu sielewi ila nikawa naona hay kusema pale mbele za watu kama sielewi Ellias alielewa hofu yangu ikabidi yeye ndio anichagulie chakula hakuna namna kwenye hili, nilikubali kililetwa chakula tukala, nikajua ndio tunaondoka sasa kumbe ndio kwanza tunaanza tukapanda gari tukaenda sehemu nyingine muda huoo sijamuuliza swali lolote. kwanini anafanya vile kwanini alienda nyumbani bila kuniambia yaani nilikuwa namshangaa tu maan kanifanyia mengi makubwa kwa muda mfupi sana

Tulifika kwenye nyumba moja kubwa nzuri sana, ilikuwa maeneo ya kinyerezi nilibaki napashangaaa maaana ni pazuri alifungua geti mwenyew na kuja kupanda gari ili kuingiza getini, mimi mwanzo nilijua ni nyumbani kwake, ila baadae nilijua sio penyewe kwasababu mazingira yalionekana mageni sana machoni mwangu tuliingia ndani tukaakaa sebleni nilitamani kumuuliza hapa ni wapi, ila nikaona nitulize komwe langu, niache ukiherehere miee,

Unapaonaje?" Aliuliza Ellias pazuri nilijibu kifupi " basi sawa hii ni nyumba yako, naomba upokee" akatoa funguoo na makaratasi akanipa, nilizidi kumshangaa" umeshanifanyia vingi inatosha na kwanini unifanyie hivi sasa huoni kam itakuwa ngumu kwangu kukulipa?" Niliongeaa kwa sauti ya utaratibu hamna mimi sitaki, chochote kutoka kwako ila nataka uuruhusu moyo wako tu unipende, mimi nataka utoe kule familia yako Ilipo na ije lishi hapa ndio maana nimenunua hii nyumba kwa ajili yako, fanya vyovyote unavyojua ila uje uishi hapa na wazazi wako" aliongea Ellias "sasa wewe familia yangu umeijuaje na kwanini uende kwetu bila mimi kujua jamni mbona unakuwa unakurupukka wew kwani mimi nilikuomba msaada nilisema mimi hapa nikimwambia Ellias ila nilikuwa simtizami usoni nilliinama chini naelewa ila ni upendo wangu kwako ndio umenisukuma nakupenda, na ninakuhitaji kwenye maisha yangu siku zote niwe na wewe nakupenda sana, pia nataka umuoneshe yule Baladhuli kwamba una nyota na huna mikosi" nilishangaa kuumbe Ellias anajua yote yaliyotea jana " lakini......" kabla sijamalizia hata sentensi nikaona mtu kanikatisha na juice

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13



"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh na huyo shga ako ni mpumbavu, yaani muda wote. alikuwa anakulamba kisogoo na kukuinulia kisigino kwakweli mhhh ila nyiee, wewe ushawahi kuniona dada yako nina ushoga ? na mtu sinaga mazoea ya kijingaa mimi hao watu sio wazurii, kabisa

sasa dada itakuaje cheki maisha yangu yote yameharibika ona sasa dada nilikuwa naishi gizani muda mrefu siwaamini tena wana...." kabla sijamalizia sentensi akadakia dada angu hapana usiseme hivyo mdogo angu, wanaume wapo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-chapter
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*

724
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*

458
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*

345
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 37*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 37*

248
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 15

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 15

223
AFANDE MILLAN😎 1 na 5

AFANDE MILLAN😎 1 na 5

133
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.

102
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 14

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 14

57
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13

47
THE SECRET MESSAGE 💬05

THE SECRET MESSAGE 💬05

44

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.36K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.12K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.73K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.36K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar Post Mpya
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
@majario LIVE

. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact. The story revolves around Radha, a poor village woman...

THE SECRET MESSAGE 💬05 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 💬05
@majario LIVE

Alinitazama akiuma midomo yake akisema “Chiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?” Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema “bila shaka dada yangu mzuri.” Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
@majario LIVE

"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
@majario LIVE

19 MPAKA 20 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Mama akasema mungu wangu hajafanikiwa eewh hajafanikiwa. Nikasema ndio mama. Baraka akasema sio kweli shangazi . Mimi siwez kumfanyia hivyo shakira. Apo mimi...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
@majario LIVE

"Habari za hapa?" Aliuliza Suzy baada ya kutufikia Mimi na pili. "Salama" Alijibu pili na Mimi Nikabaki nikimuangalia Suzy kwa dharau sana Maana huyu msichana amejua kuninyanyasa sana NYUMBANI kwao. "Nikusaidie nini Nilimuuliza Hapo pili akaniangalia...

So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen! Post Mpya
So excited to see Akshay Kumar and Saif Ali Khan coming back together on screen!
@majario LIVE

If you grew up in the 90s, you know this duo was pure entertainment. From Main Khiladi Tu Anari to Yeh Dillagi, Tu Chor Main Sipahi, and Keemat, they gave...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 15 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 15
@majario LIVE

D alitoka hukoo kasi akataka kumpiga Veda Tinner akazuiaaa nae alitoka .. "Veda wewe kumbe ni mshenziii eeeh!!" Veda yupo kimyaa ananikata jichoo kaliii yaani hamtazami D anaembwatukia jicho lote lipo...

AFANDE MILLAN😎 1 na 5 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 1 na 5
@majario LIVE

Sehemu ya 1 Aseeee bwana.. mie nilipozi kwanza . Nikaamuangalia uyu demu mkari kisenge. Yani mtoto mzuri mzuri kwli. Sio masihara. Kisha sasa ana vitu. Vyaangu. Bwana mi sjawaahi kumuangalia mwanamke...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 14 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 14
@majario LIVE

Nikasogea hadi karibu na Geti yeye alikuwa kwa nje akanifanya na mie nivuke geti kidogo yaani mguu mmoja ukawa nje ya Geti mwingine ndani "Enhee" yaani nilikuwa makini nae mno "Aunt, Unaitwa...

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 37* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 37*
@majario LIVE

basi ikabidi mzee fahad awaeleze wote juu ya taarifa za msiba huo, kwakuwa harusi ilikuwa Imeisha haraka watu walijiandaa kwenda hospitari, familia ya cathe ilikuwa na majonzi sana haikuamini kama...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
@majario LIVE

Nilipanda kwenye gari ya Enzo, nikiwa na hasira ya usoni tu lakini nilikuwa Nina Furaha sana moyoni kwangu, my zangu huyu kaka nampenda na sio utani, Yaani nampenda kutoka moyoni,...

IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS Post Mpya
IF THIS WAS THE PART TWO YOU ARE A PARTHOLOGICAL LIAR BRING PROOFS
@majario LIVE

First and foremost, this collaboration hurt many Kenyans. They didn’t see me coming. No one from Kenya or Tanzania pulled this project together. The entire thing was organized by...

🚨 OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League Post Mpya
🚨 OFFICIAL Timu zilizofuzu 16 Bora UEFA Champions League
@majario LIVE

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Arsenal 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Liverpool FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester City 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Newcastle United 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Tottenham Hotspur 🇪🇸 Barcelona 🇪🇸 Real Madrid 🇪🇸 Atletico Madrid 🇩🇪 Bayern Munich 🇩🇪 Bayer...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA THELATHINI NA SITA*
@majario LIVE

biharusi wetu alitulizwa kwa staili tamu sana basi akajitoa kisha akashika shavu la fahima huku ameikamata vizuri maiki yani apo wambea wanapiga vigelegele vibaya mno tena john ndo kajiweka mbele...

THE SECRET MESSAGE  3 to 4 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE 3 to 4
@majario LIVE

💬03 Sina sababu ya kukuficha lolote. Lazima nikuambie ukweli. Rashid wewe Mungu anakupenda sana, mwenyezi Mungu anakupenda mno. Unafanya kazi zako vizuri kabisa mwanangu, lakini cha ajabu mwanangu kila nguo mpya...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest