SHAMIRA sehemu ya 30&31
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu kesho nipo live apo. Akasema kakubali mpenzi kwani?.nikasema aah wapi kavimba kama chui kanambia marufuku kwenda kokote ila labda sio mimi. Mimi siwezi bwana .mimi saa 10 jioni nipo apo.mana shughuri ilikuwa usiku ukumbini saa 2 hivi. Ashaa akanmbia powa. Kama kawaida mwanaume akarudi jioni ila sikumchangamkia sana mimi nilikuwa normal tu.nikamuomba pesa akanmbia unataka sh ngapi.nikasema nataka laki 2.apo nna laki 9 nimeziweke nataka nikamtunze shoga yangu.wanione tajirrrr.iyo lako 2 nilitaka kwa ajiri ya matumizi yangu madogo madogo nikienda saku. Mwanaume hakuniuliza akanmbia lete suluali niliyovaa leo nikaenda kumchukulia akafungua wallet akanipa akasema ila sitako uende saku kama unaenda kuemea vitu vyakao ni sawa. Ila masuala yako ya kwenda shughurini siyataki shamira. Nikasema sawa mie siendi kipenzi niamini tu .akasema sawa hamna shida ata
Basi bibi mie nikawa mpna nikalala na baby vizur .asubuh mchumba akaenda kazini. Mimi simu kama zote za mashost zangu.nikawa napokea nawaambia nakuja najiandaaa basi mwanamke nikaoga nikavaaa vizuri nikanoga nikabeba pochi yangu brand na nzuri alininunulia hamadi nikakodi boda mpka charambe nyie na simu nikazima mana nilijua uyu mwanaume ata piga atanivuruga kichwa tu mie.
Basi nimefika kwenye sherehe mashoga zangu kama wote na aisha pale full kelele chezea sie tenaa. Basi tukaaanza kushughurika na shughuri mpka saa 1 . Tukaingia ukumbini bwana apo nishavaaa kijora changu na nishakipasua tena. Nilitikisa shughuri nakwambia siku iyo nilikuwa mimi ndo mrs mapesa. Nilichamba maasadi wangu wote. Kuwa nna bwana mwenye pesa zake na sina show mbovu mjini. Nyie nilimtunza shoga laki 9 tena uwanjani natamba shamira mie na nilivyokuwa mzuri. Nna nywele org kichwani utnambia ninu na hamadi anajua kuuhudumia jamani.basi nilitikisa si wamenizoe natunzaga elfu 30 siku iyo sio shida zangu
Mashost niliwanunulia pomba za kutosha chezea mie wewe.
Mi mwenye apo nshakunywa bia zangu nimechangamka vibaya sana . Basi nilivyomaliza kumtunza shoga. Nikaludi kukaa na wenzangu tunakunywa bia apo iyo saa 4. Aisha akanmbia shoga hamadi anaipigia sana nikamwambia zima simu asitusimbue msenge uyo.weee pomba zishanijaa kichwani mie. Basi ashaa akazima simu tukaendelea kunywa uku shuguli inaendelea .likapigwa tarumbuta kama kawaida yangu nikaingia kati nilicheza jamani kama namcheza mwanangu. Nililuk kweli kweli. Yani nilicheza mpka nilihisi apa nimecheza leo .na nimelifaidi ili tarumbeta .basi shughuli iliiisha saaa 7 ndo mimi na asha tukatafuta boda . Mpkaaa saku kwetu ile tunafika tu nakuta gari ya hamadi ipo nje kapaki .
nikona kumekucha ila nikajikaza na pombe zangu nipo mbwiiii. Hamadi alivyoona piki piki akashuka.kisha akanifata na Hakutaka kuongea akanishika mkono . Akawa ananiingiza katika gari yani nimelewa mno.nikasema wewe vp bwana nijie kesho mi leo nimechoka .ila wala hakujibizana na mimi akaniingiza katika gari kisha akafunga mlango wa gari .
Hakuta ata kuongea na aisha akingia katika gari akaanza kuendesha gari uku kakasilika kinoma. Nilikuwa nimelewa na vile anaemdesha nikajisikia vibaya.sijuh ni arufu ya mafuta ama nini vikanitibua . nikaanza kutapika nakwambia gari zima nilijaza matapishi yangu mpka yeye mwenye nilimtapikia maeneo ya chini uku .ila hakuniuliza ata akaijikaza mwanaume akaendesha gari tukafika mpka mbezi nimeloa matapishi kudadekiπ«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£π«£
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni