TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Kwaiyo Mr Marvel akahairisha kwenda eneo la pool, badala yake akamfuata Noela nyuma na kumuona akiingia chooni.
Huko ndani Chooni, Noela alikua anatoa tu machozi kama hana akili nzuri. Moyo ulimuuma sana sio mchezo, tena mbaya zaidi ni namna ambavyo Salmon alikua akishikana shikana na wanawake wengine akiwemo Iris๐.
โSipaswi kulia, labda kalewa tu ndo maana anafanya vileโฆ..โ alijifuta machozi taratibu akijipa moyo.
Dakika zile zile mlango ukafunguliwa na Mr Marvel akaingia. Kitu cha kwanza alicho kifanya ni kumkumbatia Noela kwa nyuma.
Kwa akili za Noela alidhani ni Salmon kaja kumuomba msamaha kumbe hata sio. Alichogundua ni kwamba siku hiyo alihisi msisimko sana aliposhikwa tofauti kabisa na siku nyingine ambazo Salmon humshikaga.
Akageuka taratibu ndipo hapa alipohisi kuzimia baada ya kukutana na Mr Marvel. Hata yeye hakuwai kumsahau kabisa hasa kwa kile alichomfanyia.
โWeweโฆ. Weweโฆ.. uliniโฆโฆ.โ Hakupata hata mda wa kumaliza sentensi yake.
Kwanza Mr Marvel alimtuliza kwa busu moja zito kuonyesha ni kiasi gani alimmiss. Na kuna namna lile busu likamchanganya Noela, lilikua tamu alafu pili Mr Marvel hakua na papara. Yani slowly slowly sio kama Salmon.
Noela alitamani sana kama wangeendelea ila kwakua yeye ni mpenzi wa mtu, hakupaswa kufanya vile! Alikusanya nguvu za kutosha na kumsukuma Mr Marvel pembeni.
โKaa mbali na mimi pleaseโ๐ฃ๏ธ๐ก
โWhy??โ
โMimi ni mpenzi wa mtu, na ninampenda mpenzi wangu sana tu kwaiyo tuheshimiane. Kwanza hujui ni kiasi gani nakuchukia kwa kile ulicho nifanyiaโ
โFirst, sijali kama una mpenzi, also I know sikufanya kitu kizuri and i am sorry! Uliposema hautaki nilipaswa kuacha ila haikua ivyoโ
โKama umetambua kosa lako vizuriโ Noela alitaka kutoka kule chooni ila Mr Marvel akamzuia maana hakua kamaliza kuongea nae.
โUnaenda wapi sasa wakati bado hatujamaliza kuongea?โ
โKuna kipi kingine cha kuongea?โ๐ก
โKuhusu sisi!โ
โSisi na nani?? Hakuna chochote baina yetu!โ
โHahaha! Do you think kwamba ni rahisi namna iyo?? No! Sijawai kuwa interested sana na mwanamke mwingine zaidi yako kwaiyo please nieleweโ
โMbona unakua mgumu kuelewa? Nimesema ivi sitaki mazoea na wewe!โ
โSijuagi hapana katika maisha yangu, kaa ukijua iloโ alimpisha Noela atoke huku akiwa anatabasamu๐
Apo Noela alikua kachukia balaa, alirudi chumbani kwa Salmon, akavua ile swimming suit akavaa nguo zake za kawaida.
Baada ya hapo akarudi kule kwenye party akiwa anaona aibu vibaya mno. Bado watu hawakuacha kumtazama na kumsema. Yani alikua kama topic kwenye midomo ya watu.
Salmon alipomuona alimfuata akiwa kachukia
โNdo nini sasa kuaibishana Noela??โ๐ก
โNimekuaibisha vipi wakati ile nguo ni wewe ndie umeni nunulia??โ
โKwaiyo? Kama haikua inakutosha si usinge vaa!โ
โNisinge vaa ili uje unikasirikie tena?? Nilivaa kwaajili yako na sikutaka ujisikie vibaya kwenye birthday yako!โ
โNi bora mara mia usingevaa kuliko kuja kuniaibisha na limwili lako ilo kama fenesiโ๐ฃ๏ธ
โUmesemaje Salmon??!โ Noela alishangaa maana hapo mwanzo Salmon hakuwai kumkosoa mwili wake hata kidogo iweje leo afanye ivo?๐ค
โKwani umesikia nini?โ
Kabla Noela hajajibu walisikia sauti nyuma yao. Ile sauti ilimfanya Salmon ageuke haraka akiwa ana wasiwasi
โDad! Umerudiโฆโฆโ
โYes and hiki ni nini???โ Alisema Mr Marvel kwa kufoka na hapa ndipo tunajua kuwa Mr Marvel ndie baba mzazi wa Salmon๐ฅ
Kuona vile Noela akaishiwa nguvu kila mahali, unajua lazima upate presha maana sio kwa kile kilichotokea baina yake na baba mkwe! Aiseee๐ฐ
โNi Party!โฆโฆ.Ni birthday party yanguโ
โNdo ufanye nyumbani??? And unajua kabisa sipendi kelele pindi ninapo rudi nyumbani kupumzika! So please Party its over! Watoe watu wakoโ Mr Marvel alifoka akiwa bado hajamuona Noela
โSorry Dad nimeelewa! Also nataka kukutambulisha mpenzi wangu yuleee nilie kuambia! Anaitwa Noelaโ Salmon alimshika Noela mkono akamgeuza upande aliokua kasimama Mr Marvel, so wakakutana uso kwa uso.
Hakuna kitu kilicho mchoma Mr Marvel kama kugundua kuwa mwanamke anae uchanganya moyo na ubongo wake ndie mpenzi wa Mtoto wake.
Alimuangalia Noela pasipo kummaliza huku akichemka ndani kwa ndani kwa wivu๐.
Je nini kitaendelea?
Nakujaโฆโฆโฆ.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni