*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
*SEHEMU YA SABA*
Mimi na Enzo tulishtuka sana Walahi, lakini Mimi
Ndio nilishtuka zaidi, Yaani hii ni zaidi ya sibu imagine mpaka baba mkwe sa hapa Ndio inakuja ile hali ya kutaka ardhi ipasuke ili upate kuingia Maana daaaah. Pully sasa, akawaka kwa hasira kunipiga lakini Enzo akawai kutaka kukaa mbele
yangu
Muda huo Mimi na Enzo tulikuwa tumekumbatia shuka vizuri Sana Maana likanguka tu ni mtihani mikubwa sana
"Mama Nafkill tungetoka nje tuwape nafasi ya
kujistili kidogo Alizungumza Suzy kwa huzuni sana lakini pia alionekana kuchukizwa na ujinga wangu Mimi
ha Enzo
"Hapa hakuna sehemu naenda, na huyu maichane impuuzi Leo atakua kituko hospital subili tuone utavaa nini hil
Alijibu madam groly na kwa haraka akaanza kukusanya nguo zangu ambazo zilikuwa zikigalagala chini "Mama please please usifanye hivyo
Alizungumza Enzo Maana mama yake anamjua vizuri sio mwanamke wa utani utani ata kidogo, kuna muda najiulizaga huyu madam groly ni mwanamke wa kawaida kwel
"Madam please"
Nilizungumza uku nikihisi kuchanganyikawa. "Hivi wee Binti umefunzwa kweli NYUMBANI kwenu 7 Ulitaka kumuua Mwanangu au ? Jana
nilikuambia nini?"
Muda huo huo Nick akafika wodni na kubaki Mdomo wazi kutoka na mambo yanayoendelea. "Mama please mpatie ISHANI nguo zake
hivi
Enzo aliendelea kumlazimisha mama yake
safari hii alionekana Kuwa na hasira kuliko
mwanzo
"Usinipandishie SAUTI kwajili ya huyu mjinga.
wako saw? Hivi Enzo unaona ni Sawa tiki
kinachoendelea eeeeh, unaona ni Sawa ? Tazama Mke wako anakukuta katika hall hi ikiwa amerudi baada ya kujua kuwa wewe ni mgonjwa sana, mgonjwa gani mzinzi wech
mgonjwa gani anakuwa na akil Kama zako we
mbwa wewe"
Aaaah Walahi Jambo liwaka lelelele patashika
nguo kuchanikka
Muda huo huo Enzo akaanza kukohoa mfululizo, alikoboa mfululizo na akikuwa kikohozi cha kawaida kwani killambatana damu ambayo
Ilikuwa inatoka puani na Mdomoni
"Enzo
Nilimuita nikiwa
wasiwasi sana
kwa
wakati huo sikujali kuhusu utupu wangu Maana
ata Shuka lenyewe nililiachsa Muda huo huo wahudumu emergency Wakaja na kumchukua Enzo na kutoka nae, kila mtu akawa anafatilia nyuma nyuma isipokuwa
Mimi na Suzy
"Vas mavazi yako na uondoke"
Alizungumza Suzy kwa hasira sana.
"Niondoke ? Suzy siendi kokote yani siendi
kokote pale, Yaani namuachaje Enzo peke yake
eech"
"Hivi we ISHANI ni Chizi
mwenda wa zimu?
Umeona shida ulynisababisha umeona
matatizo uliyoyaleta Nimekuambia ondoka,
Mbona unakuwa Kama Chizi wa mapenzi wewe
Eeeh
"Ndio, Ndio Mimi Chizi mapenzi, Kama ni
kwaajili ya Enzo Bası Sawa Mimi ni Chizi na Enzo
Ndio Jalala langu, kwani kosa langu Mimi Mimi.
eeeb kumuonesha Enzo kiasi gani nampenda au
Kwakuwa Mimi ni masikini Eeeeh me kosa
langu liko wap
Nililalamika na mwisho nikajikuta nikiita tu Suzy
akanikumbatia
nguvu sana na kunituliza,
baada ya muda nikachukua mavazi yangu.
nikavaa na kutaka kuondoka tu Kama ambavyo
Suzy Ametaka
tle natoka tu mlangoni, pully akaja na.
kunisukumia Ndani na Kwakuwa ilikuwa gafla
sana nikajikuta nikianguka chini na pully
hakupoteza moda kabisa akanifata hapo hapo
chini na kuanza kunipiga
Aash nisiwe muongo Bwana pully alinipiga Tena
sio kidogo na vile aliriwal weeeeeh shoga
yenu nimebamizwa kisawasawa, Walahi
nimshukuru Nick tu Maana yeye Ndio alikuja na
kunisaidia
"Pully hii haijaisha mpaka hiishe, di umeanzisha
Mimi nitamaliza, unajua nini subili Enzo
Sawa utalambia familia ya kina Enzo Jma
pully umetoa wapi na mama yako mzazi ni Nani
Nikajnos kwenye mikono ya Nick kwa nguvu
kisha nikaondoka zangu nje.
"Pully, ishani anaongea kuhusu mas?"
Suzy alimuuliza pully
Pully akamuangalia Suzy kwa kumpamdisha
kumshusha kisha akatoka nje pasi
kuzungumza kitu chochote kile
Kwa upande wangu nilitoka mpaka nje ya
hospital kabisa nikiwa na Lengo
NYUMBANI
kwenda.
"Kwanini niondoke? Yasani naondoka kwajili ya
kumuogopa madam groly pully Hapana
Kama bwai na iwe bwal na ukwell
mambo
utajulikana tu, lazima kila Mtu ajue Kuwa pully ni
amina na kuna ukweli wa mambo anauficha
Baadaa ya kujifaña sana
Pepo wa Shari
akiwa ameshanipanda kichwani, nikageuka na
kutaka kurudi Ndani lakini gafla tu nikavutwa
kwa nguvu sana na kuzibiva na Mdomo
"Eeeeeh Yaani natekwa hadharani
Nilijiongelesha kimoyamoyo uku nikiwa
wasiwasi mkubwa sana
Basi mtu huyo ambaye alinivuta, akanasogeza
mpaka kwenye koldo na kuniacha na hapo Ndio.
nikaweza kumuona baba mzazi wa Enzo
"Pole Kama nimekuumiza"
Alizungumza baba Enzo kwa utulivu sana.
"Sijaumia lakini umenlogopesha sana kwakwel,
Yaani umeniogopesha mno"
Nilizungumza
"Pole sana, ishani linti yangu, najua ni kiasi gani
unampenda Enzo, najus unojali sana kuhusu
yeye lakini kwa sasa
Hivi naitaji unisikilize Mimi tu
"Ndio baba
Nilitika
kukaa kimya kuweza kujua ni
Jambo gani ananiambia huyu MZEE ambaye ata
kwenye Nyumba yake Mwenyewe hana kaull
kabisa, Yaani madam groly anamuendesha
mpaka mume wake
"Kwa muda huu na mambo haya yanayoendelea
ningekuomba uwende NYUMBANI halafu Mimi
baba yako nitakutafuta jioni kwaajili ya
maongezi zaidi"
Alizungumza baba mzazi
wa hali ya ja
"Lakini baba"
Enzo kwa utulivu
"ISHANI hakuna cha lakini, kwa sasa familia
yangu inapitia mambo magumu na mazito sana,
nakuomba sane Tena sana ondoka
"Sawa"
Nilijibu ingawa kishingo upande tu, mwisho
nikatoka zangu na kuondoka.
Hatimaye nifika NYUMBANI kwangu nikiwa
nimechoka
Tena sana, Yaani ukiniangalia
Jinsi nilivyochoka unaweza kuzeena nimetoka
kupasua mawe kumbe ujinga wangu wa
mapenzi
"We nawe ulienda wapi? Nakupigia simu upokel
yani Sijui unashida gani Na Mbona una
manundu klasi hiko
Unafikill hayo maswali nameulizwa na Nani
Kama sio pili ? Yaani pili ajuagi kumtuliza.
Yaani kitendo cha kuona sura yangu tu kaanza
kuniuliza maswali mfululizo.
Kwakuwa pili
Bff wangu, nikatulia
kumsimula kila kitu pasi na kumficha Jambo
lolote lile
Pill akaniangalla kwa muda kisha akaniuliza.
"Ishani, kwani Enzo anazo MBILI
Kwanza sikumuelewa Nikabaki nikimtumbulla
macho tu Kama fundi Sae aliyepoteza nati
"Unaniangalia kitu gani? Huyo Enzo anazo
MBILI au Yaani naona unamng'ang'ania sar
mwenzetu
Hapo sasa ndio nikamuelewa na nikajikuta
nikicheka sana Walahi
"We pili wewe or
Niliishia kumuita tu Maana
Maneno yalikuwa
hayatoki kutokana na kicheko kilivyokuwa.
kimenihana
"Unacheka haya, Mimi nakuhuruma
ndugu yangu, wenzio wale wanapesa wakipata
matatizo wanatatua haraka haya
mwenzangu
Mimi tunaotokea kwenye
Nyumba za kajamba Nami unafikili ukipata tatizo
unakimbilia wapi zaidi ya kudhalilika Ebu acha
ujinga Uko
Katika siku pili alinisema na kunifokea Kama
Mzazi Basi ni siku hii, pili abongea mengi
na yenye Maana, pili aliongea na Mimi Kama
mzazi vile na sio Rafiki na kwa Namna moja.
nyingine niliweza kumuelewa ni kitu gani
ananiambia
Baada ya pili kunipatia makavu live na kulizika.
ndio akaniuliza.
"Kwahiyo Enzo anaendeleaje
"Mpaka sasa Sijui kwakwal, Naomba Mungu
amponye tu
Nilijibu kwa SAUTI ya chini sana.
Majila Saa MBILI usiku nikiwa chumbani kwangu
napika, muda huo huo niliweza kusikia SALITI
Ikigonga mlango, kwa haraka haraka nikajua ni
pill hivyo nikajibu.
"Pill ingla sijafunga
Hatimaye mlango ukasukumwa
akaingia
"Wewe umefata nini hapa
pully
Nilimuuliza kwa mshangao wa hali ya juu na
kisha nikazima jiko kwanza Maana lolote
linaweza kutokea.
"Nimekuja kukupa onyo ISHANI Maana naona
Unataka kunipanda kichwani, kwanz nataka ujue
Kuwa Mimi ni Mtu mmoja mbaya sana, ishani
Mimi Nina roho mbaya kinyama Sawa kwa mtu
anayeingilia maisha yangu
"Unanitisha
Nilimuuliza.
"Sikutishi nakuambia ukwell, ishani salama yako
wewe ni kukaa mbali Enzo, na sio mbali
Enzo Yaani nje kabisa ya
ustwe na
mawasiliano na Enzo Tena, otherwise you will
regret knowing me
"Utanifanya nini sasa?"
Nilimuuliza nikiwa jazba ya hall ya juu na
sikupoteza muda nikarımukia na tukaanza
kupigana, na haikuchukua muda mrefu shoga
yangu pili akaja ne tukawa tunamchangia.
Je pully statoka salama Tukutane sehemu
*SEHEMU YA NANE*
Nyie Mimi na pili hatukuwa na huruma ata kidogo, tulimpiga snaa pully na ashukuru Mungu. Kelele zake ziliweza kumsaidia majilani Wakaja kumsaidia na kumtoa nje ya chumba changu.
"Mbwa wewe Yaani unakuja kunitambia NYUMBANI kwangu, unakuja kuleta ujinga wako NYUMBANI kwangu ulifikoli nitakuacha kama nilivyokuacha hospital 7 Rudia Tena nyang'au mkubwa wewe"
Aaaaah Walahi niliwaka sana na nilikuwa Nina
hasira ambayo haipimiki kwa wakati huo.
Basi majilani wakamsaidia pully na kufanikisha kumpamdisha kwenye gari yake, fla nyie hasira hasira kwakweli, Kwakuwa nilikuwa Nina hasira sana, nikaokota jiwe na kutupia kwenye gari yo pully na nikaweza kuvunja kioo cha nyuma.
"Mtumeeeeeeeh, we ishani wewe"
Alizungumza pili kwa mshtuko wa hali ya juu
akiwa ameweka mikono kichwani
"Ndio akome kujaga kwenye majumba ya watu"
Nişbu kisha nikaingia chumbani kwangu na kujifungia
Siku iliyofuata, niliamka asubuhi sana na kwenda kufanya usafi kwani ilikuwa ni zamu. yangu ya usafi
Nikiwa bize nafagia uwanja, muda huo huo ikaja
gari ya police na walikuwa ameongozana na pully ambaye alikuwa amevimba kila kona.
"Afande Isha Mwenyewe Ndio huyu"
Alizungumza pully.
Kiukweli sikupata ata nafasi ya kujitetea kwa
wakati huo nikachukuliwa na police na
tukaondoka
Baada ya kufika kituo cha police, nilikaa Kama
nusu Saa hivi bff wangu pili nae akafika,
nikasomewa mashtaka yangu pale na kila kitu.
"Kesi Yako Wala sio kubwa Binti, hapa n kutengeneza kioo cha gari ambacho umeharibu
Alizungumza police ambaye alikuwa akisimamia
kesi yangu.
Ila maisha haya, Yaani Leo sasa Ndio nayaelewa Yale Maneno ya pili Kuwa Pesa Ndio kila kitu, kwa wakati huo Ndani nilikuwa na akiba ya elfu
37 tu imagine
"Naomba kupatiwa muda nitatengeneza
Nillomba.
"Afande unajua nini, gari yangu naipeleka garage Leo na itafanyiwa kila kitu, halafu huyu mpuuzi apate ata miezi yake 6 tu nyuma ya nondo"
Alizungumza pully akionesha wazi Kuwa
amepanga kunikomesha.
Mimi na pili tulijitaldi sana kumuomba radhi pully
lakini mambo yalikuwa magumu sana na
mwisho Nikachukuliwa na
mahabusu.
kupelekwa
Nyieeeh Mwenye Pesa sio mwenzio kabisa.
Ndani ya week moja tu shoga yenu nikakabiziwa jezi zangu za orange nikiwa Kama mfungwa Rasmi, Walahi niliumia sana na kuna Namna niliona Kuwa nantesa pill wangu kwani pili Ndio
alikuwa akiangaika uku na uku kwaajili yangu.
Hatimaye mwezi mmoja na week mbili zikapita nikiwa gerezani ni mwendo wa kunyea kwenye
ndoo tu Kiukweli nilichalala, ngozi yangu
haribika sana, nilikonda kuliko kawaida, homa
za Mara kwa Mara azikuniisha kabisa
Ikiwa ni Majila ya MCHANA baada ya kutoka kula, ishani Mimi nijilaza tu kutokana na uchovu ambao nilikua nao, muda huo huo akaja mmoja
kati ya wafanyakazi wa hapo gerezani na
kuzungumza
"ISHAN, nyanyuka kuna mgeni wako"
Nilimuangalia kwa muda na kuzungumza
kimoyamoyo.
"Pili nae amekuja kufanya nini uku
Kisha nikanyanyuka na kuongozana nae na moja kwa moja tukaenda kwenye chumba cha mazungumzo na hapo Ndio nikakutana na Enzo.
kutabasamu lakini Mimi Enzo aliniangalia
nilikuwa nikimuangalia kwa kumkazia macho. "Afande nirudishe tu Ndani
Nilizungumza nikiwa na hasira.
"Uishiwi na drama zungumza na mgeni wako,
una dakika 10 tu
Alizungumza Afande kisha akatoka na kuniacha Mimi na Enzo
"Umekuja kufanya nini?"
Nilimuuliza Enzo kwa SAUTI ya kisilani sana.
Enzo akanyanyuka alipokuwa amekaa na kutaka kunisogelea lakini akakumbuka Kuwa hatutakiwi
Kuwa Karibu Karibu hivyo akarudi kukaa na
kuzungumza
"ISHANI, Unafikill Mimi ningeweza kukuacha
ukae umu Ndani ? Nimekuja kukutos"
"Sitaki kwenda kokote pale na Kama ni kutoka
wapo watu watakaonitoa lakini sitaki msaada
wowote ule kutoka kwako Wala familia yako, am done Enzo nimechoka mno
"Najua una hasira Unafikilia labda nilikususa
kukuacha hapa huo ukweli ishant, hapa
unavyoniona Nina siku 3 tu tangu nitoke
hospital, hali yangu kiafya Ndio inaendelea
kuimalika
Nikamuangalia vizuri na kwa SAUTI ya upole nikazungumza.
"Pole na kuumwa lakini unaweza kwenda Sasa
Nilinyanyuka zangu na kuondoka na kumuacha
Enzo akinishangaa tu. Ni kweli nampenda Enzo
Tena sana lakini kuendelea Kuwa Karibu nae ni kuendelea kujitafutia matatizo tu hivyo sikutaka
ukaribu na yeye Tena.
Siku ziliendelea kwenda uku nikiendelea
kutumikia adhabu yangu
Kwa upande
Enzo Kiukweli hakuweza kabis
kutulia aliangaika uku na uku na kwa uwezo wa
Mungu akafanikisha kunitoa na nikawa huru
Tena
"Asante sana Enzo, lakini Naomba Leo iwe Mara
ya mwisho kuonana Mimi na wewe"
Nilimwambia Enzo, muda huo Ndio kwanza Enzo
alikuwa amenifikisha NYUMBANI
"Kama ilo Ndio litakupatia wewe amani Basi
Sawa nitafuata, kitu kimoja jua Kuwa ukiniitaji muda na Saa yoyote ile usisite kuniambia
byeeeh
Alizungumza Enzo kisha akageuka na kupanda
gari na kuondoka zake pasi na kuniangalia Tena.
Kwa utulivu
hall ya juu nikaingia Ndani na
kulia sana, Kiukweli Mimi si mtu wa kusali Wala
nini lakini siku hii niliamua kupiga goti na kungea
na Mungu wangu, niliamua kuanza maisha
mapya kabisa, maisha ambayo hayatakuwa
Kama msiba Kwa upande wangu.
Siku iliyofuata, nikaamka asubuhi na maperna,
nikachukua Pesa ambayo nilikuwa nayo Ndani na kwenda sokoni, nikanunua matunda ya
kutosha na kuingia barabarani kwajili ya kuuza
Kwa namna moja nyingine nilianza maisha
yangu nikiwa na amani tele na nilifurahi asana
mwanzo wangu
Siku moja
nikiwa
nimesimama
sheri
nawamenyea wateja matunda Yao, gafla koja
gari kwa kasi sana na kuvamia beseni langu la
matunda na kuharibu kila kitu.
"Mungu wangu"
Nilishtuka na kushika kichwa.
Muda huo huo kioo cha gari kikafunguliwa na Pully akatoka kichwa nje na kunizomea kisha akawasha gari na kuondoka kwa kasi ya 50.
"Jamani pole sana"
"Pole mwaya"
"Ila kuna watu sio wastaarabu kabisa"
Yalikuwa
Maneno ya raia ambao walikuwa
hapo wakati huo na walishuhudia kila kitu.
Walahi nilishiwa nguvu kabisa na sikuwa na cha kufanya kwa wakati huo zaidi ya kuondoka
Week moja ikapita nikiwa Nipo NYUMBANI sina.
hill Wala lile na sikuwa najua nitapata wapo
mtaji mwingine.
"Siwezi kumuacha pully kwenye hili
Nilizungumza kwa hasira mno.
Muda huo huo nikachukua simu yangu na
kumpigia Suzy.
"Hatimaye Leo umenikumbuka Wizo wangu"
Alizungumza Suzy kwa Furaha sana baada ya
kupokea simu yangu.
"Nimekumisi mways"
Nilimwambia.
"Mimi pla, kesho nitakuja kukutembelea mwaya"
Alizungumza Suzy
"Suzy kuna nini Mbona Kama nasikia Kelele za
uku na uku kila kitu kiko Sawa"
Nilimuuliza Suzy baada ya kusikia makelele.
mengi Kwa upande wake
"Yaani we acha tu wifi yangu, Leo ni siku ya
kuzaliwa ya Pully Ndio tupo NYUMBANI kwake
tunafanya mandalizi ya party itafanyika usiku
Saa 3
Basi Mimi na Suzy tukaongea mengi sana
mwisho tukaagana
Kitendo tu cha Kukata simu nikajikuta
nikitabasamu kwa dharau na furaha ya hali ya
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni