BILLIONS OF LOVEππ SEHEMU YA "12_13"ππ½
βLeo hakuandaa boss , but i promise u kesho unazipata, alijibu jamaa
βOkay , dont worry just do it β¦..alisema yule boss wake kitandani
βWe dada wewe ni mwizi au ? unataka kuibia wagonjwa ? Nikafumwa na mkaka wa pale hospital alikuwa na nguo za maafande atakuwa ni mlizni wa pale π€£π€£π€£
βHapana kaka samahani π’
βUnachungulia nn hapo ? Unachora ramani ya kuiba vitu vya mgonjwa eeeee , tena unachungulia V.IP wewe utakuwa kiizi wewe ngoja nipigie simu usalama π€£π€£π€£
β hapana kaka angu nilipotea chumba cha mgonjwa wangu
βMgonjwa wako yupo chumba namba ngapi ??
βNi namba 12 kaka ππnikadanganya
βNjoo nikupeleke chumba hicho tuone kama kweli una mgonjwa hapa
β Kaka yaan ni hivi mgonjwa hayupo nimechelewa kuja kumbe amesharuhusiwa ameondoka
βHebu njoo huku kwnge wewe useme mgonjwa wako alikuwa anaitwa nani tuhakiki kama ni kweli kwa jicho la tatu nakuona kama mwizi kenge wewe
π«€
Wakat yule mkaka afande akitanguliqnmbele huku akisubiri nimfuate kwa nyuma
Oyaaaaa Mimi πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈMbioooooooooo mpaka nje ,
Yule mkaka kugeuka akaona kichpgo chanvu ndo kinaishia getini π€£π€£π€£π€£
Embu we dada njoo hapa rudi hapa useme ulitaka kuiba nini mwizi mkubwa wewe π€£π€£π€£
Nishadandia boda tayari mpaka sketi imechanika β¦.. Boda yuleeeeeeeeeeeeeee speed aftatu hahahaahahaπ€£π€£π€£π€£tukatokomea kusikojulikana ππ
Chap boda akaniendesha mpaka kazini kwangu nikafika nikakusanya mazaga yangu huyoooo nikapanda boda ileile mpaka nyumbani
Nikafika nikatua mizigo yangu chini
Kwenye malipo sasa π€£π€£π€£π€£
βShingapi kaka ?
βAlfu 35000β
Khe ππkaka hela yote hiyo kwa sagari gani ?
Yule boda hakutaka kubisha a na mimi.. nikamuona anashuka kwenye pikipiki akaipack huku amenitilea macho anakuja kwa speed aje kuniwasha makofi πππ
Sawa kaka nalipa , nalipa kaka angu π€£π€£π€£ nilisema kw woga wa hali ya juu
βfaster π³alisema ameivaa wa Mbuzi πππ
Nikafungua kapochi nikatoa 35 nikampa
βMalaya wewe , akaniachia mtusi wa nguoni
Huyoo akawasha chuma yake akaondoka ππ
Malaya mjomba ako ,nikajibu huku boda ashapotea kabisa machoni mwangu π mlitaka nijibu akiwa palepale ili anipasue nyie mfurahi kenge nyie π€£π€£π€£
Jamani akili sina kabisa
Yaan safari isiyokuwa ya lazima ndo nimetumia hela zote hizo ππnilikia sana mpaka nikagaragara chini kama kambare
sijaoata faida yoyote ile ππhela iliniuma vibaya mnooooo
Bas nikafata unga dukani nikakanda kuandaa bites zangu kama kawa kama dawa
nikapika weeee mpaka saa sita usiku ndo namaliza
Oya wanangu maisha ni magumu vibaya mno π₯Ήukibweteka bila kufanya kazi aisee nakuhakikishia utakula kiapo nawaambia
Ngojeni nilale kwanza nikiamka nakuja na muendelezo
Full 1000
0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni