Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
19 Mar 2026
89 views
VYOTE NDANI GONGA94
BILLIONS OF LOVE๐๐ SEHEMU YA "9_10"๐๐ฝ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"BY BABIE LOVE"
Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka
akaingia ndani bahati nzuri akaacha geti wazi , baada ya kuona geti liko wazi mimi sasa ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ kwenda kuchunguliaaa anaenda iulisha mbwa zile mboga au ๐๐hivi mpenzi msomaji mbwa wanakulaga mboga ? au mimi mwandishi wako sina akili timamu kichwani ๐คฃ๐คฃ๐คฃkuna nnati haiko swa huku kichwani kwangu hahahahhahahha
Nmile kichungulia tu nikaona kuna wadada watatu wakaja wakampokea ule mfuko wake then wakaongea vitu ambavyo nilikuwa sivisikii kbisa
Nikaona yule mkaka huyoo anakuja sasa nje alikoacha gari yake
Chap nikapanda maana tulikuwa sehemu ya uwazi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ na barabara ilikuwa ndefu sana kwahyo hamna pakujificha ..
Weeee yule mkaka ashawasha gari huko na anakuja uelekeo wetu pale pale tulipo ndo kuna njia โฆ..
Oyaa nilimvamia yule boda nilimvua sweta lake faster ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
โWe dada vipi wewe unataka kunibaka au ๐๐๐ boda akauliz Huku akitetemeka hahaahha
โLete nijifiche nilisema nikimalizia kulitoa lile sweta kwenye kichwa cha bodaboda ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Boda akawa hataki sweta lake litolewe kichwani nikaingia humohumo tumboni kwake ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kichwa changu kikawa tumboni kwa dereva huku sweta lake likiwa limenifunika kichwa tu alaf boda yeye anahangaika kushusha lile lililoko kichwani
Yaan nimekaa kama nanyonya kwa bodaboda ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ Uwiii jmn mbavu zangu mm
Na ndo wakati huohuo yule jamaa anatupita chwaaaaa bila kujali hawa vichaa wanafanya nn hapa hahahaha
Nikachomoa kichwa changu tumboni kwake ๐๐๐
โMfatilie nijue anakoenda โฆ nikamwambia boda
โ We sista sikubebi tena wewe utakuwa mchawi we sista boda alilalamika yule vibaya mnoo hahahaha
๐๐๐
Ngojeni kwanza nijambe Nakuja ๐
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 73
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ Mwandiishi; LISSA Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari t...
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye n...
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandan...
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazi...
Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka
akaingia ndani bahati nzuri akaacha geti wazi , baada ya kuona geti liko wazi mimi sasa ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ kwenda kuchunguliaaa anaenda iulisha mbwa zile mboga au ๐๐hivi mpenzi msomaji mbwa wanakulaga mboga ? au mimi mwandishi wako sina akili timamu kichwani ๐คฃ๐คฃ๐คฃkuna nnati haiko swa huku kichwani kwangu hahahahhahahha
Nmile kichungulia tu nikaona kuna wadada watatu wakaja wakampokea ule mfuko wake then wakaongea vitu ambavyo nilikuwa sivisikii kbisa
Nikaona yule mkaka huyoo...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/billions-of-love-sehemu-ya-9_10
Maoni