JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
sehemu ya 9
Mwandishi:lissa mwalla
Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi mdogi, nikiona aibu nikapokea tu pochi yangu na kuanza kuondoka, ivan hakusema kitu wala alinitizama tu. Elvis na Bella wakaongozana na mm hadi kwenye gari ya elvis mm nikiwa na mawazo sana. Tukipanda gari na kuanza kuondoka zetu mdogo mdogo huku mm nimeishiwa maneno. Elvis akasema Vip uko poa? Nikasema yah niko poa. Akasema Mbona kama umechange gafra hiv? Nikasema hapana kuchoka tu, akasema pole naomba mnielekeze basi kwenu au si tunaenda kwangu? Nikasema hapana, nikaanza muelekeza kwangu tulifika tukashuka nae akashuka. Bella akitangulia ndani mm nikabaki na elvis nje. Elvis akasema tee nimevutiwa sana na ww, nimekupenda sana mm ujue,naomba nitafakari nifikirie unikubalir basi uwe wangu.nikasema elvis wanaume mm siwaamin kabisa mnakuaga na maneno mazur lkn mwishowe ni maumiv.akasema sio wote dia,sio wote ambao tuko hivo na huwezi chukia wote sababu ya kuumizwa na mmoja labda mana ww ni mwanamke hujaenda usista kiasi kwamba unatakiwa uwe na familia yako siku moja nikasema nataman sana ningekua sista mm.akacheka akasema unaonekana umeumizwa sana lkn nakuahidi kutibu vidonga vyako.sikukazimish kunipa jibu haraka noo nakupa muda ila wakat tunaendelea kuonana na kuwa marafiki au unasemaje?niliwaza nikaona muda unaenda nikasema sawa,ili tu aniache aende nikalale.akifurahi akanibusu shavuni kisha akaaga na mie nikaingia ndani.nikikuta bella katoka kuoga anajifuta apande kitandani,alivoniona akasema ehee imekuaje shoga?umemkubali elvis?nikasema mmh hapana.bella akasema kwa nn sasa?iv unashida gani na wanaume ww?nikasema sina shida yoyote,akasema au msagaji shoga angu?nikastuka nikasema wewe hapana kabisa.akasema sasa nn,mans elvis mkaka mzur maji ya kunde,kaenda kwa hewa,kaka anaonesha anapesa na gari ww unataka nn?na mm namuona anakupenda we utakaa singo hadi lini?unakificha hiko kitaliwa na nyenyele shaur ako.nikasema dia nishawahi kutana na kiama kwenye mapenzi tangia siku ile sina ham kabisa, akasema uiikutananna nn? Nikasema acha tu rafiki wangu mwanaume wangu wa kwnza akinitenda sana mpaka sikujiona kama binadam mm kiukweli napenzi shikamoo. Bella akasema pole dia lkn sio wote wapo hivo, na hayo yaliyokea zamani sa iv umekua unajua zur na baya ebu jitizame ulivo mzuri dokta mtarajiwa umeumbika unarangi nzuri haiboi dia jipr nafasi ufurahie tena mapenzi. Nikadema nitajitahidi dia wangu. Basi alinishauri pale hadi tukalala lkn sikuwa na mpango wa kumkubaki elvis. Niiimuwaza Ivan pia japo hajaniona muda mrefu lkn hakushoboka, ni waz alikumbuka kabisa nn kilichotokeaga au amenisahau labda? Nikitafakari huku nikijisemea sitaman kumuona hata mara moja tena, mmh lkn kawa mzuri mkaka msafiiii anavaa viuri ananukia vizuri macho yakr mmh kifua na alivojaaliwa mshedede na anavojua mapenzi mmh Ivan wee, nilijikuta nawaza hivo sasa. Lkn maanaume yimamu hawez kuwa na mm baada ya yale niliyomtenda siku zile. Nililala zangu kulivokucha niliwahi kuamka na kujiandaa kwenda kanisani, nilikua napenda sana kwenda kanisani na sikosi kabisa kanisani.nilisali zangu nikarudi nyumbn nikakuta bellla ameshaamka amepika tukala akaniaga anaenda kwa biyfriend wake hatorudi hivo tutaonana chuo kesho, nikasema sawa. Nilijilaza zangu kitandani nikijibunmsg za elvis alikua ametuma nyingi wakati niko kanisani, nikiwa najibu msg mlango wa get on kwangu uligongwa nikahisi bella mana sinaga ugeni, nikasema tokea lini unagoangaga wee naee ebu ingia mlango uko wazi. Aniliongea huku nimelalia tumbo nasoma msg, mlango ulifunguliwa nikasema umesahu nn mke wa mtu?sikuangalia muda huo, nikaskia aisee nishakua mke wa mtu? Alikua saut ya kiume nikistuka nikakurupuka nikakaa alikua ni Ivan, nilistuka zaidi ya mwanzo. Nikasema ww umepajuaje hapa? Akasema ndio unavokaribishaga wageni hivo, nikasema hapana nimeshangaa kukuona. Akasema haya nikaribishe sasa. Nikasema karib.Akasema asante nimekuja kukusalimia,nikasema asante m Nipo, umepajuaje akasema mm mwanaume najua ninachotaka kujua hivo usiulize kabisa nimepajuaje.nilimtizama sikuamin,akakaa kitandani,akasema ehee nambie habari ya siku?nikasema salama.akasema shemeji hajambo?mana jana nilikuona uko nae busy nikaona acha mambo yasiwe mengi nikakukaushia tu.nikatabasam nikawaza kusema sio shemeji yako lkn nikakaa kimya mana nilijua atajua namuongopea,nikatabasam tu.akasema mbona hujib?nikasema sikutegemea kukuona mana ni muda mrefu sana nikajua hukunikumbuka.akasema mm siwezi kukusahau tee kabisa siwezi kukusahau hata uzeeke.nikaona aibu mana kweli kwa alichokiona ni lazima asinisahau.akasema umekua sana siku hizi tee unasoma wapi?nikasema nasoma muhimbili,akasema unasoma nn?nikasema nasoma medicine ,akasema wow unataa uwe dokta?nikasema ndio,akasema safi sana na ulivokua utapendeza sana.nilimtizama kisha nikasema asante.nilikua najistukia sana yani kitendo cha kumuona ni kama nilikua nimerudia lile tukio,nilijiskia aibu sana hata maongezi yalikua hakuna.ivan akasema una muda naweza toka na wewe?nikasema nimetoka kanisani hivo nilitaka nipitie kidogo masomo mana nina test kesho,nilidanganya,akasema okay unamaliza test lin?nikasema wiki nzima hii nina test,niliongopa sikutaka kabisa kuonana nae.akasema okay basi nitasubir umalize nimemis kampan yako sana kama zamani tee,jana nilivokuaona nilifurahi sana ikabidi nifatilie wapi mnaenda.nikasema ahaa sawa.basi aliongea ongea mambo mbali mbali,akanikaribisha kwao kigamboni nikasema nitakuja siku.akasema nitafurahi sana.katika stor alipigiwa simu akapokea sikujua kapigiwa na nani ila nikaskia anasema sawa nakuja.akakata akasema naomba niende tutaonana siku ingine,nikasema sawa karibu lkn sikumaanisha.akasema asante.akachukua simu yangu akajibip kisha akasema haya kwa heri,niaksema sawa.ilimtoa tu hadi nje kisha nikarudi ndani kupumua sasa mana nilikua kama nimebanwa pumzi,nilikumbuka kilichotokea na akaja kunisaidia na tokea pale sikumuona ten,niliona aibu sana kiukweli nilitamani hadi kuhama pale.maumivu na fedhea ya kilichonikuta kilijirudia kichwani nikajikuta nachukia upya wanaume,nikachukua simu na kumtumia elvis msg,nikamwambia sina hisia na wewe kabisa naomba usinitafute tena sitaki chochote kabisa na wewe.elvis alinipigia sikupokea,alipiga sana nikaishia kuzima simu tu,nilijiskia huzuni na uchungu nilikumbuka nilivompenda sana reyhan lkn akaishia kunifanyia unyama.nilishika simu na kumuomba baba anihamishe mana siwezi kaa tena pale.baba akasema mbina gafra sana,niaksema baba nakupa kesho tu unihamishe sitaki kukaa hapa tena binginevo nitamuambia mama kila kitu kuhusu wewe na frida,baba akasema sawa nitafanya hivo basi kama unaharaka sana njoo ukae kwa frida ili nikutaftie nyumba taratibu,kwa kuwaza kuhusu ivan niliona ni bora nihamie kw afrida tu.nilibeba nguo zangu kwenye vbeg nikaita bajaji,nilivunja laini kisha nikaondoka nikaenda kwa frida.sikumkuta baba nilimkuta tu frida,nilijawa huzuni sana frida aligundua akasema kuna nn?sikuwa tyr kumsimulia nikamwmabia nioneshe chumba nikapumzike.frida alinipeleka chumbn kisha nikajifungia na kuanza kulia,lile tukio nililofanyiwa lilinitesa sana hasa naialivomuona ivan.da frida alikuja mlangoni akaomba sana nimfungulie mlango mm sikumfungulia,sababu ananijua alijua kabisa nina shida,alitafutra funguo ingine akaingia.akasema kuna nn?nambie hata kama nimekosea naomba niambienaweza kukusaidia,nikasema nashindw kabisa kuishi kwa raha mm dada frida,da frida akasogea na kunikumbatia,akasema n nn?nikasema yalonitokea miaka ile yanajirudia tena,akasema nani kakufanyia hivo tena,nambie tukamfunge,nikasema hapana hayajatokea ila nimemuona iven,na amenifatilia tena hadi ninakoishi sio kataka kunichora huko?da frida akasema ooh pole mpenzi pole,lkn mambo yale yalitokea zamani ukiw amdogo sana na sasa umekua unatakiwa usahau ufanye maisha yaende mbele.nikase a da frida ni rahisi kusema lkn mm siwezi kusahau kabisa ivan alinikuta nikifanyiwa unyama na ingekua ulimwengu wa sasa ulivoharibika mm hata marinda ningekua sina,yani Yule reyhan popote alipo namlaani sana sana.da frida alizidi nikumbatia tu na kunibembeleza.nililia snaa hdi nikatulia mwenyewe.da frida akasema mdogo wangu huwezi ishi hivo,unahitaji msaada sana kw ahali yako.mambo yalitokea zamani unatakiwa uyasahau bana.nikasema mm siwezi kabisa kusahau na hakuna wa kunisaidia mm.da frida alinihurumia akanipa sana moyo nikatulia.baba alinitaftia chumba baada ya wiki akapata nikahamia lkn elvis aliendele kinufata shuleni sikuwahi mkubalia.ivan sikuwahi muona tena.nilikua naishi kwa mashaka chuoni,nilikua ni mtu wa kujificha sana ili nisionekane.nilimaliza mwaka wa kwanz asalama baba alihamishiwa dar hivo tukawa tunaishi makongo.nilisoma kwa kujificha hadi nilimaliza miaka minne ikatakiwa tuente intern sasa ile masomo ya udokta kwa vitendo hapo sijawhai kuwa na mwanaume tokea tukio lililonikuta,na kila mwnaume anaenifata namuona ni wale wale nachukia hata kama tulizoena unakua kama adui.niliamua kwenda intern mbeya hospital ya rufaa.siku moja tulialikwa na dokta mmoja kwake ilikua birthday yake,tulienda na wenzangu akiwemo bella mana alikua bdo ni rafiki angu.tulienda mitaa ya Soweto kwa huyo dokta aliandaa nyama choma kwake tukachoma nyama na kunywa.pale kuliku an wakaka na wadada pia,wengine walikua na wanaume zao lkn mm nilikua busy na nyama na vinywjai tu.kaka mmoja alinifata akajitambulisha kwa jina la stewart,kisha akasema anaomba kampani yangu.mm nilimtizama tu sikumjibu.,stewart alikaa karibu na mm na kuanza stor alijisemesha wee mm hata sikumtilia maani.kuna muda nikabanwa na mkojo nikanyanyuka na kwenda chooni,nilimaliza haja nikatoka nikamkuta stewart pale mata akanikumbatia na kuanza kuninyonya shingo,uwiii nilihisi anataka nifedhehesha nilipandwa hasira nilimsukuma akajigonga ukutani akawa haamkiโฆโฆ..
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
JOGOO WA KIENYEJI
sehemu ya 10
Mwandishi:lissa mwalla
Nilichanganyikiwa,nilimshika nikamuamsha lkn alikua kimya tu,uzuri nilikua dokta niko mafunzoni nilianza mfanyia huduma ya kwanza huku nikisema stewart samahani,sikumaanisha kukuumizanilistuka mm uwii nafanyaje naomba uamke tafadhari,nililia huku nikiendelea kumfanyia msg ya mikono nikamtoa viatu namfanyaia massage tu,nikawa za nifanyaje?wazo likanijia nimuite bella,nikampigia simu akapokea nikamuita,alikuja mbio,akasema dia kuna nn mbon aunalia,nikamsimulia kilichotokea,akampima mapigo kitu ambacho mm nilisahau,akasema mmh mapigo kwa mbali sana,ebu tuite ambulance,kwani imekuaje?nikamsimulia kw amra ingine,akasema kwani dia una nn na wanaume mbona hivo?sasa stewat anashida gani?kila mdada kwenye sherehe anamtolea macho yeye,na unajua ni mwanajeshi halafu ni dokta nae yupo mafunzoni kama sisi?nikasema sijali yote hayo mm siwezi kuwa na wanaume mana haw asio watu ni wanyama,asingenigusa mm yote haya yasingetokea,bella akasem ahaya tuite sasa ambulance mana tusije mpoteza.nikasem achukua simu yangu natetemeka mkaka wa watu maskini Mungu anisaidie sikumanisha kabisa kumfanyia hivi nilijikuta tu.bella alitaka kupiga simu tukaona stewart anajigeuza huku anakohoa,nilisema stewart,umeamka?akanitizama akasema yah,nikasema tunataka kuita ambulance,akasema haina shida niko powa.niaksema lkn ulizimia. Akasema nitakua powa tu usijali,nikasema naomba unisamehe,sikumaanisha kabisa kufanya hivo,akasema najua na naomba unisamehe mana na mm n ilikustukiza tu.nikasema nisamehe snaa,akasema usijali.nilimsaidia kunyanyuka akasema narudi kule ,nikasema lkn naomba sana nisamehe,akasema usijali,akanitizama mm uso umeloa machozi akanipa kitamba achake akasema usilie mm niko powa.nilipokea kitambaa lkn sikuwa na raha,vipi angekufa/ningekua wapi mm na familia yake ningeiambia nn?bella akasema dia hali yako sio nzuri kabisa,unahitaji msaada kabisa wa saikolojia mana ww ni dokta huwezi fanya kazi ya kuokoa watu ukiwa na ww unahitaji kuokolewa,ni sawa na mgonjw akutibu wagonjwa.niaksema niko powa wala sina shid ayoyote na wewe umeanza.akasem anakwambia na nina wasiwasi sana na wewe kwa hiki kilichotokea nina wasiwasi.nikasema wlaa usiwe na wasiwasi kabisa.akasema aya bana haya wtende kwenye sherehe,nikasema kiukweli nataman kuondoka kabisa,.akasema jikaze bana tumalizie,niaksema sawa.tulirudi kwenye sherehe lkn sikumuona stewart kabisa,nilijiuliza atakua akzidiwa nini?nilitazama huku na huko hakuwepo ila rafiki ake ndio alikuepo nilimfata na kumuuliza,nikasema stewart yuko wapi?akasema kaondoka amesema amechoka sana.nikasema samahani unaweza nisaidia namba yake?akasema ndio bila shida.akanipa nikaandika nikaenda pembeni nikampigia,simu iliita ikakata nilipata wenge,nikapiga tena ikaita ikapokelewa akasema hellow,niaksema steward samahni umeondoka unajiskia vibaya?kichw akinauma au ni nini?akasema tayla eeh?nikasea ndio akasema noo niko powa nimechoka tu nimetaka niwahi kupumzika,nikasema ahaa basi ukijiskia vibaya naomba uniambie,akasema sawa usijali,alivosema vile akakata simu.nilijiskia vibaya sana,nilika kwa muda pale kisha nikamwambia bella mm natangulia nyumbn,bell akasema sawa basi nitakukuta.nilitoka nikachukua bod abode nikaenda hospital mana tulikua tunaishi kota moja pale kuna ndugu yake bella ni dokta wa rufaa litupokea.nilikua na mawazo mno siku hio,nilikua natamani kujua kila muda stewart anaendeleaje.niliingia whtsap nikaona yupo online nikamtumia msg vipi unajiskiaje?akasema niko powa.nikasema asante.niliwaza waza hadi nikapitiwa na usingizi,asubuhi nilimpigia akasem ameamka poa kabisa.nikafurahi snaa.sisis tulikua rufaa yeye alikua meta mana amesomea magonjwa ya kike.zilipita siku mbili niliitwa na dokta mmoja mkubwa tu wakike yeye sio mwanafunzi ila anacheo pale rufaa,akasema nimekupenda sana tayla napenda niwe nafanya kazi na wewe pia.nikasema sawa lkn ww uko sana kwenye saikolojia mm siko huku,akasem sio mbaya na wewe unaweza hifunza vitu viwili au kimoja,ukimaliza kazi zako huko unakuja ofisini kwangu sawa?nikasema sawa.nilianz akwenda kwamaa Yule kazini ananifundisha vitu ahdi nikamzoea na vile fieldyetu ni mwaka mzima nilikua na uda mwingi tu.nilifanya nae kazi kama mwezi na katika kufanya sana nae kazi alikua ananipeleleza mambo mbali mbali kama nina mchumba au boyfriend naonaje wanaume wanaonifata na kuuliza natamani watoto wangapi?majibu yangu hayakua ya kuridhisha mana nilikua naonesha wazi nawachukia wanaume.siku moja dokta perus (dokta wa saikolojia anaenipa kazi)akasema anataka kusafir akaomba nimsindikize,niaksema sawa.nilikubali tukapanga ipo safari mana alisema ni weekend hivo tukaondoka.alinipeleka matema beach kwenye hotel Fulani,akachukua vyumba viwili ilikua hotel nzur haswa.akasema weka begi lako chumba hiko mana ndio chumba chako hadi hii weekend iishe niaksema sawa.nilifurahia sana mitoko,akasema badili nguo tukaogelee nimetamani sana maji na kijua kimewaka huku kyela joto kali,nikasema sawa,nilienda kuweka begi kisha nikavaa nguo za kuogelea mana aliniambia nibebe nikatoka tukaenda kuogelea ,tuliogelea tulivochoka alikua kumbe ashaagiza msosi tukaenda kula,tulikula kisha tukanza kunwa wine tulikunywa sana dokta akawa amelewa lewa kiasi,dokta peru akasema tayla,nikikuona najikumbuka sana mm,nikasema kwa nn,akasema mm nina siri moja ambayo sipendagi watu wajue kabisa,ni siri ya unyama niliofanyiwa nikiwa na umri mdogo sana,nilimskiliza kwa umakini,nn alichofanyiwa huyu?akasema niliwachukia sana wanaume kw aukatili niliofanyiwa nilijiona kama sipo duniani kabisa,niliona hii dunia ni ya wenyewe na mm sipo miongoni mwao kabisa.nilishangaa nn kilimpa?nikajikuta nimesema pole sana dokta nn kilikupata lkn?akasema nilibakwa na babangu wa kufukia ambae alikua anaishi na mama yangu kipindi hiko,alikua ananibaka sana,niliogopa kumwambia mama nikaenda mwambie jirani yetu ambae alikua rafiki wa mama nae akamwambia mme wake hatimae mme wake nae akawa ananibaka hadi siku moja nilizimia akanitupa barabarani nikiwa ucho tena nikiwa darasa la sita.iinitesa sana hio hali sikuweza kabisa ishi na mm.niaksema uliwezaje sahau?na mbona uemolewa na unawatoto?akasema nilipata msaada wa saikolojia,mama yangu alivojua ndie alienihamisha kule nilikokua naishi na kunipeleka Kenya huko nikataftiwa dokta akanipa ushauri sana,ndio mana nikasomea hii kozi niweze saidia wenzangu.nilimtizama machozi yalinitoka.akasema nn mbona unalia?nikasema hakuna kitu.akasema tayla nimekuamin na siri yangu hii sikuwahi mwambia mtu kabisa,naomba na wewe uniamin mm na uniambie nn kinachokuliza.nililia sana nikajikuta na mm nafunguka,nilimsimulia kila kitu kilivokua akanipa pole ,niaksema lkn yalikua makosa yanu kuw ana wanaume wawili,akasema hapana ulikua mdogo sana dia ,kilichotokea kwako hakikupaswa kitokee hata siku moja.alianza kunipa maneno ya faraja dokta na kuomba nimuami nianze kuhudhuria kwenye kipindi ili nipone,nikasema unahisi nitapona dokta?akasema ndio utapona kabisa kama unataka kupona lkn,nikasema natamani kupona natamani kuw akama wasichana wengine lkn siwaamin kabisa wanaume.akasema sio wote wabaya dia kuna wema kama mm nimepata mwanaume ananipenda sana na maisha yanaendelea mana sisi hatuhusiki na mabaya yanayotendeka kwetu,hatuhusiki na ushetani tuliofanyiwa,tayla ww ni bint mzuri sana kuanwanaume wanakupenda na kutaka kukuoa uwe na familia yako tena pamoja na uzuri umeongezea kusoma dia niruhusu nikusaidia kama mm nilivosaidiwa,unatakiw akuona dunia katika maana ingine,dunia ni nzuri ukiruhusu furaha,na kazi unayofanya afya yake ni uwe salama kichwani dia,niaksema sawa huku nikilia.tulienjoy weekend japo alikua ananishauri na kunipa kipindi nikiwa kule kule,ananipa mifano ananifundisha kuongelea hali ilionikuta kama kawaida na hutokea tu kwa watu na maisha yanaendelea.tulirudi jumapil kisha tukaendelea na maisha huku mm nikifanya kazi na kila siku nina kipindi nae cha lisaa limoja.ilichukua mwezi nikawa kama niko poa kabisa,dokta akasema unaendelea vema sasa mpenzi,nikasema asante akasema jumamos uje kwangu tusherehekee nitakupikia chakula ch ausiku sawa.nikasema asante sana.jumamozi ilifika nikaenda kwake mida ya saa 12 kama nilivokubaliana nae,nilifikanikakuta dokta yuko busy jikon mm nikaka seblen na wanawe walikua wanafanya homework nikawa nawasaidia,nikiwa busy na homework mlango uligongwa mtoto mmoja akenda kufungua nikaskia anasema anko Keanuu,mamaaa mamaa anko Keanu amekuja,dokta akasema ooh Keanu karibu mm niko jiko,niligeuka kumtizama alikua ni stewart,kasema asante sista nimeleta alta wine kama upendvo,dokta akasema safi snaaaa ,nilishangaa,akaja hadi kwangu akanisalimia,nikatabasam nikasema salama,akasema karibu kwetu,nikasema mm ndio nikukaribishe.akatabasam huku akiniangalia mana hatukuwahi onana tokea siku ya tukio.msosi uliandaliwa wote tulikaa mezani akiwemo mme wa dokta ambae nae ni dokta tukala huku tukipiga stor,familia ya dotta ilikua na furaha sana mme wake alikua anamjali sana,mana hadi chakula alikua anampakulia kikimwagika kidogo anamfuta,nilipenda mana mahaba yalijaa mezani.tulimaliz akula tukanwa kidogo nikashukuru kwa chakula dokta peru akasema sijakutambulisha huyu anaitwa Keanu stewart ni mtoto wa mamangu mkubwa kabisa tena ni last born wake,nikasema nafurahi kumfahamu,akasema Keanu huyu anaitwa tayla,ni dokta mwanafunzi mzuri sana anafanya sana kazi,anaheshima sanaaa.keanu akasema nafurahi kumfahamu.basi tuliendela kunywa kisha mm nikaaga Keanu akasema ngoja nikusindikize.nikasita lkn nikasema sawa.tulitoka tukapand gari niliyohisi Keanu alikua anaendesha akanipelea mpka rufaa mana dokta alikua naishi uzunguni.tulifika tukashuka Keanu akanipeleka mpaka mlangoni kisha akasema mm siingii,nikasema sawa usikumwema,akasema sawa nawe pia,nikageuka kutaka kufungua mlango,Keanu akanishika mkono n akunivutia kwake uwiiiiiii hajakoma huyuโฆโฆ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni