SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 87
Mwandishi; lissa wa huru media
Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha Nikasema ndio madame .akasema sikia nataka kukuomba kitu shamira. Nikasema sawa nakusikiliza kitu ni kipi. Akasema shamira unajua mwenzio wewe naona damu zetu kama zinaendena endena yani najikuta nakupenda tu mdogo wangu. Nikacheka nikasema najia madame. Akasema sasa sikua nataka kukupa mchongo wa kupiga pesa zaidi ya apa japo sio wa mda mrefu ila mchongo wa maaana
Nikasema ndio nakusiiliza dada. Akanmbia sasa ni hivi pale home kwetu. Tulikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamuangalia gift na kutusaidia kazi za ndani. Sasa amepata dharula kidogo mama yake anaumwa .ameomba kama miezi 3 akamuuguze.
Sasa inabidi apatikane mtu wa kukaa na cha utundu wetu.ila kabla kaka hajatafuta mtu nikasema nije kuongea na wewe. Uje kutusaidia basi kwa mda mchache .nikasema hakuna shida ata madame mimi nipo teyali. Akanambia sasa kuhusu pesa ndo utafurahi .broo hanaga shida na mtu kabisa cha muhimu mpende mwanae tu .utakuwa umeuwini moyo wake. Utashaanga miamala ya pesa mpka utachanganikiwa. Ukifanya masihatra utajikuta unalipwa kuliko mwenye kazi serikalini.yani cha muhimu ni ufanye mwanae acheka mda wote .nikasma wala usijali .akasema basi powa leo tutaondoka wote ntakupitisha ukachukue nguo zako basi .na apa nafasi yako nakuwekea ikipita iyo miezi 3 unakuja kuendelea na wateja wako .nikasema sawa madame wal hamna shida akanmbia sawa.
Basi kweli nikafanya kazi sana na mida ya usiku love pascal na mimi tukaenda mpka home. Mimi nikabeba nguo zangu nikamuaga mshikaji wangu pascal kisha tukaelekea kwa kina love sada.ilikuwa ni mitaa ya msalato jamani jamani nilipelekwa katika nyumba moja matata sana yani nzuri sitaki ata kuwasilmulia yani mka nje tu nilosalimu amri.mh ni pazuri mno .uyu dada wa kusure hivi na anatafuta pesa jamani khaaaa .watu wana maisha bwana.basi love akanikalibisha ndano vizuri. Aseee bonge la sebire. Kuna sofa kali na nzuei .ndo nikakalibishwa apo. Tv sasa namuona mtu mzima mzima. Basi love akaenda kuniletea juice nikawa nakunywa sasa. Nikasema jamni love na hamu sana ya kumuona gift
Akasema ngoja nimfate chumbani kwake ukute nacheza cheza uko.nikawa natabasmu. Akaenda kumfata sasa akaludi na mtoto kamshika mkono uku wanongea tena ako katoto kanaongea mno. Anamuuliza aunt umeniletea biscuit.yani kanaonesha kana vurugu . Kisha wakafika mpka nilipo. Jamani dunia ndogo nilipomuangalia uyu mtoto moyo wangu ulifanya paaaaaah mpka glass ya juice ikanitoka mkononi
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 88
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Asee ni kweli inakalibia miaka mitano tangu nimtelekeze mtoto wangu cairah lakini hii siku nilipomuona uyu mtoto tu nilijua ni binti yangu.๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
Sikuamini mimi amekua mrembo jamani na vile mtoto wangu ni mzuri. Bas akawa kazidi.Kamevaa vizuri na kupendeza amekuwa mtoto wa kisurre kabisa jamani. Yani kawaka na kupendeza mno jamani . Mnajua mtoto kang'aa mno. Nilipata mshangao wa gafra .love akaniuliza wewe shida nini mbona umeangusha juice. Aseee ndo nikastuka .nikasema love nimepata mtetemeko wa gafra ata sielewi imekuwaje kuwaje .nisamehe madame love. Akasema jamani pole kisha akanyanyuka akaenda kuchukua mop akawa anasafisha nilipomwaga ile juice. Aseee jicho langu lilikuwa kwa uyu motot.nikakumbuka kumbe ndo mana walikuwa wananambia nafanana na mtoto wao. Sabababu ni mwanangu ohh my god nashukuru sana nimewahi kuonann na mwananangu mimi .mh japo itakuwa ngumu kueleweka il ntajua nafanyaje kuwa na binti yangu mimi
Basi nadame alivyonalimaliza pale akamkumbatia gift. Akawa anaongea na e vingeleza ata sielewi jamani nilibaki nimekodoa tu.mtoto anatema un'gen'ge kama nilimzaa marekani aseeee.nikawa nawaza sijuh kapona moyo. Yani nilikuwa nipo very excited ata sielewi .kama nilichanganikiwa hivi.basi nikasema love naomba kwenda wash room . Na madame akanielekeza haraka nikaenda .nyie nilifika chooni nahaha nilichanganikiwa kwa furahaa uku machozi yakinitoka.nilisema yule ni mtoto wangu ila ntajihakikishia kama ni mwanangu. Mana mimi mwanngu ana alama kwenye kiuno na ata mimi iyo alama ninayo piah .kwaiyo nilimzaa nayo
Nililia piah kuwa je nitaeleweka mimi wakijua kuwa mimi ndo mama wa uyu mtoto ntaonekana muuwaji mno. Eeeh mungu wangu nisaidie. Na ndo nikaaanza kumvutia picha yule mwanaume ambae nilimtelekezea mtoto kwenye gari yake. Sasa ndo kumbu kumbu inakuja kweli ni dan .mh kazi ipo nilikaa wash room kama dakika 30 sielewi. Nipo nazunguka tu .na kunawa maji usoni. Mpka nikaja kustushwa na sauti ya madame love akiniita we shamira. Shamira upo powaa nikasema ndio madame natoka akasema wahi basi. Nikasema sawa kisha nikatoka sasa. Nikasema samahani da love nimepata tumbo la gafra ndo mana akasema jamani pole kipenzi changu .twende basi broo karudi antaka kukuona au bado haupo sawa. Nikasema kwa sasa nipo sawa twende. Mh nyie nikajikaza tena .nikalidi mpka sebleni kweli nikamkuta kaka yake ambaye anaitwa daniel.
Nikakuta dani kampakat gift jku wanaongea na gift namchezea ndevu baba yake .mh kazi ipo basi nikamsalimia dani. Akaniitikia kisha akanikalibisha .mimi nikasema asante. Akasema shamira sio? Nikasema ndio ni shamira . Akasema sawa umeona ulivyofanana na binti yangu. Nikatabasamau tu nikasema sio sana mbona. Love akasema mh we ujajiona tu ndo mana ila mungu kajua kuwaumba na udongo mmoja bwana mh mie nikauchuna kimya . Mana ni mwanangu kw nini nisifanane nae.et jmani
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 89
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi dan akasema sasa shamira nazani love ameshakueleza kilichokuleta apa nami naomba nikazie tu. Nikasema sawa .akasema utafanya kazi kwa mda tu mpka dada atakapoludi.na kubwa zaidi nimekuleta apa umuangalie binti yangu kipenzi gift. Heee si gift akadakia. Et dady mimi uyu ata simtaki mbona mbaya.namtaka dada pendo yule yule khaaaa kiliniuzi dakika 2 .mie mbaya na yeye ule msula wake ukoje sasa wakati tunafanana mno.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Basi baba yake akatabasamu kusha akamwambia. Sikia malkia wangu da pendo si nilikwambi ameenda kwao mala moja. Utakuwa na uyu kisha da pendo akiludi uyu anondoka. Et kinabinua midomo .alafu baba yake ndo anambembeleza yani anakiomba .khaaaaa kwanza niliona uyu mtoto ana malezi ya kipumbavu ila nikakausha kimy. Love akawa anacheka akasema shamira usijisikie vibaya .ni mtoto kwaiyo usimzingatie sana .nikasema sawa madame hamna shida
Basi ktoto kikagom et akanitaki mie mbaya khaaa uyo pendo naona alikuwa pisi kali๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐๐๐. Basi baba yake akambembeleza sana tena uku kampakata nakwambi ndo akakubali. Akasema aya dady ila da pendo si ataludii.baba yake akasema yes ata ludi malkia wangu. akasema uyu atanipikia chakura kizuri kama da pendo kweli. Baba yake akasema yes atakupikia uwe na amani mtoto wangu mzuri sawa .basi akiitikia sawa .mh mwenzenu nilibaki kimya jamani. Ata kama nilimtupa mtoto aya malezi yake anayolelewa wala sikuayaelewa mimi. Yani kitoto kinadeka mno ata hadabu kwa mgeni akana. Mimi tangu nimefika ajanisogelea na wala hajanisalimia dooh
Basi madame love akanichukua akanitembeza vizuri nyumba yao . Na akanambia niwe free tu wao hawana shida . Nikasema sawa kisha tukaingia jikoni kuandaa chakura. Na baada ya apo tukala kwa pamoha. Nyie niliyaona malezi ya watu bwana mtoto anakalibia miaka mitano ila analishwa uku mwenyewe anakula. Basi madame love ananambia yani uyu ukimpa chakira unamsimamia ale uku unamlisha na wewe mana sio mlaji kabisa kama navyomfanyia baba yake apo. Nikasema sawa .
Basi mtoto anaongea jamani mh. Na yupo busy na baba yake. Na baba nae anamjibu. Yani niliona kweli dan anampenda sana uyu mtoto. Nilimuacha sehemu sahihi mno .ila aya malezi ni ya kipimbavu. Ila nashukuri mwanagu yupo vizuei na kanaendelea vizuri mno. Na kina afya full kimenenepa jamani. Kazri mpka rahaa .mdomoni sasa kama mie mama yake maneno yanavyomtoka mh
Basi baada ya chakura mimi nikaingia chumbani kwangu nikaenda kupumzika . Aseee hii siku ilikuwa ni siku ambayo nilipata amani sana kwenye moyo wangu. Mana nilitambua mtoto wangu hakufa kumbe ohh mungu asante ila nilipata huzuni piah ntajieleza nini siku wakinijua kuwa mimi ndo nilimtupa mtoto mh. Ila nikasema kwakua mtoto anaishi pazuri anapata amani na upendo mimi ngoja nikaushe kwanz kisha uko mbele nitajua nini cha kufanya ili mambo yakae sawa daaah๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 90
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi niliwaza mambo mengi sana uo usiku sijuh ata nilikuaja kialala saa ngapi ila asubub niliwahi sana kuamka nikafanya usafi nyumba nzima .kisha nikaenda kuandaa chai ya maziwa kama nilivyoelekezwa nikaandaa mayai .yani nilianda kila kitu nikatenga mezani. Kisha nikaingia chumbani kwa mtoto wangu sasa. Mana niliambiwa namuamsha asubuh na muandaaa ndo anenda shule.basi nikaingia woow jamani. Kilikuwa ni chumba kiziri mno kilichopambwa ma vitu vya pink .na kulibandikwa picha zake nyingi . Nilisogelea na kuanza kuangalia picha moja moja jamani. Mpka machozi yalinitoka hakika ni binti yangu. Na picha nyingi alikuwa na daniel aseee. Na mwanngu alikuwa anaonekana ana furaha sana yano mno. Basi nikamsogelea pale kitandi alipolala nikamuangalia sana binti yangu yani sana jamnai daah
Kisha nikaanza kumuamsha mungu wangu nilikoma. Mtoto mbishi jamani daah. Niliamsha mimi mpka nilikoma . Haamki ndo kwanaza ananambia dont touch me.kinavuta shuka kinageuka upande wa pili nyie niliamsha mpka nilikoma. Nikaona uyu wanamlea vibaya wanamchekea chekea. Nikamtoa shuka kisha nikakinyanyua kwa nguvu.kikaanz kulia et . Wala sikukijali mimi nikakipeleka bafuni. Nikakiogesha uku kinalia .nilimuangalia ile alama ya kiunoni kwanza nankweli nilimkuta nayo . Nikashusha pumzi tu. Nikaendelea kumuogesha uku analia .alivyomaliza tukatoka basi nikawa nambemebleaza anyamaze. Akawa hataki ananambia naenda kukusema kwa dady wangu unanitesa khaaaa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sasa mimi nimemtesa nini uyu mtoto ebu nyie nisaidieni kwanza . Mana nayaona mapya leo . Mi nikaona apa kazi nnayo .nikamfuta maji nikampaka mafuta yake kisha nimamvesha fomu zake za shule nikambebea na begi lake tukatoka chumbani kufika sebleni na baba yake ameshavaa anatoka chumbani.nyie mtoto mnafiki uyu kama niliyemzaa kikaanza kulia kwa sauti sasa baba yake amsikie wakati alishanyamaza. Hee baba yake akamkumbatia anamuuliza vp mama yangu imekuwaje .anasema uyu baba simtaki . Kaniongesha maji ya baridi. Looh mtoto na uongo anao nyie . Wakati nimemuogesha maji ya moto. Nikaona daniel kaniangalia kisha akasema we hii dodoma asubuh ina baridi unamuogeshaji mtoto maji ya baridi tena au unataka kumpa homa eeeh. Nakuuliza . Nikasema mimi nimemuogesha maji ya moto lakini .kikawa kinakazia baba uyo muonga kaniogesha ya baridi .loooh ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Basi baba kae kavimba nakwmbia kama anataka kunivamia vile
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 91
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Nyie mimi niliishiwa pawa .nikabaki kimya mana naongea nini. Daniel akaanza kunifokea . Akawa anasema kama huwez kufata taratibu za hapa kazi itakushinda sijuh unaelewa. Mtoto wangu ap ni malkia unamfanyia kila anachokitaka sijuh tunaelewena wewe. Nikasema ndio samahani. Basi mda uo uo na madame love alikuwa anatoka kashajiandaa . Akakuta nasemwa na broo wake kweli kweli. Akauliza kuna nini tena jamani. Akasema si uyu mtu wako. Asubub hii anamuogesha maji ya baridi mtoto anataka kumpa homa binti yangu sio. Love akasema jamni kaka labda hakuelewa mbona yanaongeleka .sikia shamira asubuh muogeshe mtoto maji ya moto. Sikutaka kujielezea tena wala nikasema sawa
Basi nikawakalibisha dining ila teali nilishamkwaza daniel niliona upendo wake wa dhati juu ya mtoto wangu maskini. Kuna vingi natamani kuvijua ila naanzaje kuviulizia mimi. Nabaki kimy tu napambana na hali yangu. Basi daniel hakula sana ata naona sababu nilishamkwaza asubuh.uyo nilomuogesha na maji ya baridi sasa anafukia uyo nilikuwa nakiangalia nikaona hizi tabia za kishenzi nyengine ni za hamadi walalh๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Basi baba yake akawahi kunawa akawa anamsubili bint yake. Uku anamsaidi kumnywesha chai. Basi kinaongea jamni mh. Baba utanipeleka lini dar kisha tuende beach. Mh basi na baba yake anamjibu . Basi anamuuliza swli lengine. Au namuuliza auny yake love.mie ata haniongeleshi nishamuogesha maji ya baridi kama anvyosema ntamwambia nini mie. Nikabaki zangu kimya tu.
Walivyomaliza kula wakaaga na kuondoka zao.nikajua wanampeleka kwanza shule mtoto wao .mie nikatoa vyomba na kuviosha na kuendelea na ratiba zangu zengime
Mda wa kama saa 7 mtoto akaludo sasa. Mana alikuwa yupo nursery tu. Na aliludishwa na school bus ..alinikuta sebleni naangalia tv hajanislimia ata ananambia . Wewe njoo unibadilishe nguo. Nyie ivi uyu mtoto anajua nilichanika mimi ndo yeye akatoka . Ila muacheeni nitamkomesha. Nikanyanyuka nikamvua nguo kisha nikampeleka bafuni.nikamuogesha maji ya moto. Nikamwambia aya unaona aya ni maji ya moto eeh sio anakuja baba yako unaongopa umeongeshwa maji ya baridi. Kikabaki kimya kijuso kidogo.nikamuogesha pale. Kisha nikamvalisha nikaenda kumtengea chkura.
Nillikuwa na hamu ya mwanangu nikamsogelea nikaanza na kumlisha uku na yeye anakula .basi akala vizuri apo wala hatukugombana .alivyoshiba akanambia nataka kulala nikamchukua nikampelka chumbani kwake nikamlaza miguuni mwanagu nikaaanza kunbeleza mpak kikalala miguumi kwangu nilikuwa nina amani sna kuwa na mwanangu .
Nilipooona usingiz umemkolea nikamlaza kitandani kwake.nikaendelea nanratiba zangu nyengine.
Basi mida ya jioni ndo kikaamka sasa. Akanmbia kwani wewe unaitwa dada shamira eeh. Nikasema ndio mtoto mzuri. Akasem aaha mimi sitako uniamshe asubuh asubuh. Khaa sasa anaendaje shule uyu. Nikabaki nakiangalia tu. Basi kikanipa mashartu yake na yeye. Nikaona iki kitoto kichizi kweli kilivyomaliza kikaenda chumbani kwake.nikakingalia kinavyolinga kumbe apa kimefadhiliwa tu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
โ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni