AFANDE MILLANπ *season 3* *64&65*
Basi nikapata na kipaji cha kubembeleza huu usiku mana zena hakuwa sawa kabisaa, na alikuwa na stress mnoo maskini na ni baada ya kumkubusha ya nyuma uko maskini, tulibembelezena mpka saa 7 usiku ndo analala, aseeeee nikaona apa kazi ipo uyu hawezi kunielewa ata nikimuelezea setuation yangu ya kwa sasa ,na ntakpomueleza kuwa mm nimeona apa na mke zipewi , basi na mm nikajipumzisha tu pale pale sebelni nikimuacha zena ,yeye kalali miguu yangu na asubuh sana akaamka.na homa, ata kuandaa watoto hakuweza ,mie ndo nilifanya iyo kazi na kila.kitu, na ummy akaenda shule , kisha sasa nikamuamdalia chai zena akanywaa , ndo nikamuaga sasa kuwa naingia job , nitaludi usiku sana na ni lazima niingie kazini , zena akanmbia sawa, daah apo sasa ndo nikatoka kwa zena na nilipoingia kwenye gari yangu ndo nikawasha simu, kisha nikapigia simu ibraaaa, na mwanangu ibraaa wala hakuchukua mda akapokea simu
Uo mdaa naongea na simu uku na drive kwangu zaza naelekea kwangu, ibraa kanmbia vp kaka, nikasema oyaaa nimetoka kwa zena apa, jana nililala kwake, ibraa akanmbia soo umeona kukaakaa siku 3 na mkeo ni nyingi kaka, nikasema.nyingi sana mi siwezi kukaaa mbali na zena ila sasa nii jau kaka ,akaniuliza imekuwaje, ikabidi nimuelekeze sasa yaliyojili kwa zena, nilipomuelekeza kuhusu ndo za matala, mh ibraa akanmbia apo kaka usimueleze zena lolote kuhusu wewe kuoa ,sikia tunaongea na akina afande minige ndo wanakua wajomba zako wanakupelekea barua eassy kaka, na unaoa chapu mambo yasiwe mengi mana naona vupngele vishakuwa vingi nikasema sana kak, naofia akijua kama nimeoa zena namkosa, bola nimuoe alafu mengine ntaenda kuyalekebisha kwenye ndoa ,ibraa akanmbi sawa so now unaelekea wapi, nikasema now naenda kwa mke wangu jalia kaka, ibraa akanmbia sawa ,hakuna shida ,we nenda ila ongea na zena muulize kabisaa balua inaenda wapi , ujue vitu kama hivyo nikasema sawa kaka hakuna noma,
Basi bwana baada ya kuongea na ibraa, nikakata simu na moja kwa moja nikaludi kwa jalia sas, basi nimefika nyumbani na jalia ndo.alikuja kunifungulia geti ili niingize gar, nikaingiza gari na niliposhuka jalia akaja kuniwow, akanmbia jamani mume wangu mbona nakupigia tangu jana hipatikani nikasema kazini huwa tunazima simu mke wangu, na ndo mana nilipopata nafasi tu haraka nimeona nije kukuona , jalia akanmbia sawa ,baai nikaingia ndani, nikakuta alishaandaa chakura nikala kidogo tu, kisha nikaenda kulalala, mana nilikuwa na stress kinoma , yeye akawa sebleni, na mida flani nikaaamka.ila bado jalia hakuwa chumbani, nikampigia simu zena , nikamuuliza anaendeleaje ,akanmbia yuko powa na anaendelea vizuri sana kwa sasa ameshakaa sawa , nikasema sawa, barua tunapeleka wapi, akanmbia nna mjonba apa dar kiwalani, nikasema.ongea nae leo ,kesho mm napeleka barua kwenu ,na uwaambia baada ya week nakuoa sitaki kungoja ,mana iyo mimba isije ikawa kubwa, zena akanmbia sawa mume wangu naongea na mjomba sasa ,nikasema sawa
Nilivyokata skmu, nikampigia dalali mmoja yupo pugu, ndo nikaongea nae nikamwambia niyafutie nyumba nzuri ya kulipia kwa mwezi laki 5, akanmbia sawa, nilitaka sasa nikishamuoa zena akaishi uko pugu, na kumetulia sana pugu so niliona kutamfaa zaodi , baada ya apo niakata simu nikaludi tena kitandani ila nilijilaza tu wala.sikuwa na usingizi nikiomba sana nifanikiwe kumuoa zena, aseeee mi mwenzenu nampenda sana zena, yani nampendaa mnoo, najikuta nna furaha nae sana nikiwa nae, nikaona nikimkosa zena na mm ntateseka sanaaaaa, na zena sasa ni mwanamke mwenye misimamo.sana, anayejua thamani yake , nikaona apa akigundua kuwa mm nimeshaoa badi mie ndoa skna
Aseeeee uhuuu ndo mwisho wa s3 ,tukutane katika s4, we unahisi millan atafanikiwa kumuoa zena, na unahisi nini kitatokea uko mbelee usikose s4 mamabo ni motrooβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈπ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni