*AFANDE MILLANπ* *Sehemu ya 51 na 52*
Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe kuoa, kila siku nakueleza sana ni lini unakuja nyumbani kufanya ibada ya ndoa ila hujawahi kuelewa millan, na nilishakueleza kuwa millan dawa yako nnayo , na ipo jikoni inachemka , sasa basi , dawa yako imeshaiva, na lazima uinywe na huwezi kuwa una zini kila siku hali yakuwa unaelewa dini vizuri sana, hivyo basi kama familia tumekuolea na mke yupo apa, khaaaaa nikasema mama mmeniolea mimi , mama mm mbona sio mtoto mdogo, inakuaje mpaka mnaniolea jamani, ni vile sikuona mwanamke sahihi wa kuwa wangu
Mma mi nnavyokwambia ,nna mwanamke nishamzalisha mtoto ana miez 3, na ana mimba , mama uyo mimi ndo nipo tayari kumuoa, na ndo mana ile siku nilikwambia nitakuja uku kuzungumza na wewe ,nilitaka kuja kusema kwamba sasa nataka.kuoa, broo akadakia akasema uyo mwanamke ni wa ngapi unamzalisha? , nikabaki kimya, kaka akanmbia sikia millan ,acha kutufanya sisi wajinga apa ,wewe kuzalisha wanawake ni kawaida yako, na tabia zako nazisikia sana, ni vile huwa nakukaushia tu, wewe usituzuge apa, tunavyokwambia apa tushakuolea na ukifika mda wako wa kuludi dar, basi unaondoka na mkeo full stop, daah mbona niliisi kufaa, mi ntamueleza nn zena, ataniamini kweli mm, nikasema kaka ,mimi uyo mwanamke siondoki nae na sijaoa, mama akasema thubutu ,labda kama sijakuzaa mimi, nakumwagia radhi apooo hadhalani kabisa , nakwambiaje mwanamke wako utambeba na utaondoka nae mshenzi wewe, unapenda sana kuzini na kuzalisha ovyoo wanawake, sasa imefika mwisho wake,
Baba akasema sasa nyamazeni na mimi ndo natoa kauli ya mwisho, millan uyo mwanamke wako sisi kama familia hatumuitaji, tumekutafutia bintu mzuri sana , anayejua dini na mwema mnoo, uyoo sasa ndo mwanamke utakaye anziasha nae familia ya halali, na ndio mkeo anaitwa jaila, nyieee mbona nilikoma, broo akasema baba, uyo hajataka au ametka anaondoka na mkewe, mzinifu mkubwa uyu, daah mnajua broo wangu mwanajeshi, alafu sisi tunaheshimiana sana, mi mbele ya kaka yangu siongei kitu, namuheshimu kinoma noma, nilitulia kwanza nikawaza sana nafanyaje apa, nikasema mma lakini nimeshamzalisha uyo mwanamke na ana mimba yangu tena, mama akanmbia sawa ,utahudumia pia, kwani wewe umezalisha wanawake wangapi, si wote unawahudumia ,basi na uyo utamuhudumia ,ila mke wako wa halali ambae sisi tunamtaka na tumememlizia ni jalia, dooooh nilichoka mpaka pumbu mbwa mm, ahaaaa walinikomesha ,mi nnavyompenda zena, aaaah ilhiii ilinivuruga sana , jamani mm nampenda zena sana, sio masihara, yani nampenda zena kweli kweli
Leo mama ananmbia hamtaki zena na wameshaniolea mwanamke mwengine mi nafanyaje, niacheni wanangu,niacheni, kiatu changu mimi ni kizito hakivaliki , nilichanganikiwa kisengeee nilivurugwaa mnoo, apo mama anazidi kugongelea msumali kuwa yeye anamtaka jalia basi, hataki kuelewa , nilipoa mana hakuna alieyekuwa upande wangu na yote sababu ya tabia zangu, acheni kabisaaa,basi bwana mi nikapoa tu, nikasema sawa wazazi wangu mi nimeelewa na nimekubali, basi mama akapiga vigele vigele kweli kweli, apo moyoni naumia kinoma wanangu, moyo unauma kisenge, mi nampenda zena ,mi namuhitaji zena kwa kila kitu, nampenda sana yule mwanamke , na ata zena annipenda sana mm, na ameniamini tena lakini niliona naenda kumuangusha tena, na mbaya zaidi ana mimba, ataangaikaje na watoto watatu mwenyewe, daaah kichwa kilikuwa kinawaka, na wala sikufurahia chochote kilicho kuwa kinaendelea pale, basi bwana ,mama akanmbia aya nyanyuka , twende chumbani ukamuone mkeeeo, aseee mnajua nilikuwa nimenyongea kama naenda kuchinjwaa, yani kama nasukumwa hivi, natamani kulia wanangu
Basi nikainuka mpaka chumbani, daah nikakuta mwanamke amekaa kitandani ila amefunikwa ,kwa jinsi nilivyomuona , nilishaona ni mwembambaa na mrefu, basi kaka akanmbia msogelee mkeo na umfunue , kweli nikafanya hivyo na nikamfunua sula tukaonana sasa, mashallan ni mzuri sana, si mnajua wadada wa kipemba , shepu ndo wananyimwa ila uziri ahaa mashallah, ni mzuri sana uyu dada, wala haikupingika hiyo, nilimuangalia na yeye aliniangalia na akatabasamu bwana ,basi mama ni vegere gere kweli kweli, yani sitaki kuwambia hii issue, basi bwana baada ya kumuona mke wangu sasa ,mama akanmbia nibaki vhumbani niongee na mke wangu, na wao wakatoka wakatuacha sisi tu
Nimamuuliza unaitwa nani? , akanmbia jalia, nikamuuliza anajishughurisha na nn, akanmbia ndo ametoka kumaliza chua miaka 2 iliyopita kwaiyo bado hajaajiliwa, nikamuuliza kwao, akanielekeza wala hakukuwa mbali na apa nyumbani, yani mama alimuona uyu binti apa apa mitaa ya nyumbani naona akampenda ndo akanifanyia balaa sasa, oyaaa hili balaa kweli wanangu acheni tu, basi bwana na yeye akaniuliza maswali kutaka kunijua, na mm nikamueleza tu kwa uchache sana kuhusu mimi, apo nilikuwa najifosi tu ata kuongea ,kichwa kishavurugika mamae, akiri inawaza mambo kibao, basi bwana baadaa ya maongezi mama aktufata kule chumbani, kisha tukaelekea mezani na tukapate chakura cha usiku kwa pamojaa, daah mezani kulinoga mnoo, nyieee si mnajua wapemba wakiamua kupika, basi apo mezani kulikuwa na kila kitu, ila wanangu sikusikia raha ya chakura ata kidogo, nilikuwa nawaza ntamwambia nn zena anielwe katika hili, na vile haniamini, ataona nimemfanyia uhuni tu, kumbe na mm hii safari nimebananishwa
Basi tukala pale ,uku mama anmsifia sana jalia, kuwa ni binti mzuri, mwenye misingi mizuri ya dini, na anamjua sana mwenyezi mungu, so kwangu ata kuwa mke mwema kweli kweli, mi nilibaki kuitikia ila kichwa hakikuwa sawa kabisa, basi bwana abaada ya chakura na maongezi yote ,saa 5 usiku ndo mm na mke wangu tuliingia chumbani, nyieee ile tumefika tu ndani, jalia kaanza makeke, doooh sindo anataka kunioenesha alivyofundwa sasa, ahaa mtoto kaanza kunishika shikaa, mala ananingalia kisha ananikoyeza ,mala ananibusu, aseee mi na umaraya wangu wote nilibaki nimetulia tuli yani sielewei ata nafanya nn, yani ile kumshika tu sikuweza, yani akiri haipo kwake kabisaa, daaah ata uboo mnazani ulisimaa ulitulia kimya unamuwazia zenaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππππππππππππ
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni