SHAMIRA Sehemu ya 47
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba .usiniwaze vobaya ni vile rafiki yako nilichanganikiwa kuhusu wewe. Nikasema wala usiwaze kipenzi na uwe na amani kabisa. Naelewa sana so kuwa kawaida. Akasema.powa shoga ngoja tuache aje tu kama dume au jike ngoja lije tu nikacheka tu. Mala mda uwo uwo husna akawa ananipigia .nikapokea nikasema vp mama.akanambia sikia ahoga apa razaki kanipigia anang'ang'ania sana nimpe namba yako naogopa bwana usije ukanichamba kama mwajuma.nikamwambia mwenyewe hataki.nikacheka nikasema we nae ebu mpe iyo namba nimsikie anasemaje kwani .akasema powa
Basi kweli haikupita mda dimu yangi somunyangu ikaita bwana na namba ngeni nikajua ninl uyo razaki ndo kapewa namba zangu na hisana. nikapokea nikasema allow. Akanambia yes hallow shamira ni mimi razaki nimeomba namba yako ya simu kwa husna. Nikasema saw unasemaje baba.akasema daa husna bwana mimi sikufuchi yani nimekuona apa leo.nimekuwaza sana nimekutamani kinoma.kama inawezakana naomba tulale wote leo .mh na tumbo.nikatombwe nje uko tena jamani.nikawaza nikaona na pesa yenyewe inakata alafu maisha lazima yaendeleee.nikamuuliza una sh ngapi kwanza
Akanmbia sikia sema wewe dau lako. Mimi nachotaka nikupate tu .usiku wa leo tuenjoy shamira.nikasema sawa mimi ili nije apo inabidi unipe.laki 1 ipo ? Akasema sikia sina laki 1 nna 50 plsss naomba tuwe wote leo nikaona ata hamsini sio sawa na kulala apa. Nikasema sawa nakukuta wapi.basi razaki akasema we njoo mpka mitaa ya kina husna apa kwa nyuma nimi ndo nakaa au panda boda nakuja kulipa dear .nikasema.sawa kisha nikakata simu. Aisha akauliza vp mbona kama unataka kutoka.nikasema nimepata kidanga apo ngoja nikakipuluse elfu 50 yake. Akasema weee ayo ndo mambo sasa naona usharudi mjini.na hivyo ndo inatakiwa kuwa changamka shoga yangu .usijiwke weke utazeeka na usikae kifala fala kumlilia mwanaume bwna.nikasema wala sina uo mda simpigii simu wala simtumii sms uyo hamadi kama kaamua kuniacha sawa mimi ntafata maisha yangu tu.
Aisha akasema safi kabisa fata maisha yako mambo yaende. Basi nikavaa kigauni changu kizuri cha kumwaga tu. Na kitumbo wala hakikuwa kimejigokeza kwanza mimi ni mnene kwahiyo tumbo lilikuwa linafichwa na mwili.basi mie nikaenda mpka anapokaa husna. Kisha nilipofika wala sikuingia ndani kwa husna .
Nikaenda nyuma ya nyumba anahoiishi hisna .nikampigia razani akanambi ananaifta nitulie.
Nikasimama kama dakika 5 nikaona razaki kaja akanisalimia nami nikamuitikia vizuri. Akanishika mkono kisha tukaanza kutembea kuelekea kwake.tulivyofika akanikalibisha mpka ndani kwake hakuwa na vitu vingi ata.alikuwa ndo kwanza anajipanga.mana alikuwa na kitanda na godoro tu wala hakuwa na kitu cha zaidi akanikalibisha kitandani nikaka pale.kisha akanmbia vp ushakula shamira au nikakuchukuliee chips. Mh nile michipsi ya ovyo nitapike niumwe apa aka.nikasema mimi nimeshiba kipenzi.na nipo vuzur. La da nikungoje jukale wewe.
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni