SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
πΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌπΌ
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa adrian.na nashukuru saloon yangu ilikuwa kubwa tu. Wateja wawili watatu napata allahmdullilah. Maisha yanaenda nipo na baby wangu tena.ila sasa mimi na adrian tulikuwa tunakwama kwenye suala la dini. Bwana ni mkristo na mie ni muislamu alafu sasa kila mtu alikuwa hayupo teali kubadili dini. Nikaona eeeh ebu niachane na habari za dini na nifocus na nwanaume wangu tu na maisha yangu .
Maisha yakawa yanaenda na siku zinakimbia. Siku iyo sasa nimeludi nyumbani mida ya jioni nimechoka sana. Aseee ile naingia ndani si namuona baraka aseeee moyo wangu ulifanyaaaa paaaaah. Tena yupo busy anaongea na baba yangu. Nyie baraka kwanza kakua mno. Kawa mkaka hasa. Apo sijamuona mda sana . Almost miaka 3 na nusu.alikuwa Kapendeza mnoooo. Amenyoa kipara ila kimempendeza kinomaaaa. Ushawahi kuona wale wanaume wananyoa vupara ila wanapendeza sana ndo barka sasa. Kavaa vizri yani kawka kweli kweli. Aseee nilipomuona kama alinitonesha moyo wangu tu. Ila nilijikaza sana. Nikasogea niamsalimia baba pale.kisha nikamsalimia na yeye. Tena nikampa heshima kama kaka yangu. Na yeye akaniitikia vizuri kisha uyo nikaingia chumbani kwangu. Nikawaacha wakiwa busy na maongezi yao.
Baada ya mda mama akainiita . Nikatenge chakura mezani. Nikatoka ndani. Na nikatenga chakura mezanai . Na tulikuwa kwa pamoja kabisa. Aseee nilikua busy na chakura changu na simu yangu tu. Tena nachati na mwanaume wangu. Nilikuwa nasikia sana baraka anaongea na baba. Baraka anamwambia sijuh ataenda tena coz ya miaka 2. Ameludi kwa mda tu. Kuja kuona familia yake. Sikuwasapoti kabisa. Baada ya chakura mie nikatoa vyombo. Kish nikaingia chumbani kwangu. Yani sikujua ata baraka kaondoka saa ngapi. Nilikuwa busy na mambo yangu. Sikutaka kujihusisha nae kabisa.
Basi nikiwa ndani busy na mambo yangu kabla sijalala. Simu yangu inaita alafu namba ngeni mh. Nikapokea .nasikiliza sauti nasikia ni baraka. Aseeee nikamuuliza unanipigia unataka nini. Akasema sikia shakira nimekuja kwa ajili ya kukuona wewe . Na sio mjomba.mimi mjomba nilishaonana nae tangu week ile kazini kwake. Naomba utoke nipo nje nakusubili kuna gari nyeusi apa nje njoo. Nikasema hivi we mwanume ni msenge kumbe. Eeeh we ni msengee eeeh. Unaniitia nje kwanini. Au una nia gani na mimi mpumbavu ww. Si umeshaoa ama. Akasema sikia sasa hasira za nini sindo mana nimekuuta unajua nataka kusema nini nimesema njoo nje. Lione lilivyo na amri zake. Nikasema we msenge tu na siji. Akasema au sio .nikasema ndo hivyo nenda kwa mkeo bwna sina shida na wewe.mjinga nini.. kisha nikakata simu. Akawa anapiga tena nikablock na namba yake. Asa yeye si kashanicha leo anaaangaika nini.mshamba nini
Nikampigia simu mpenzi wangu tukawa tunao gea zetu.nikaachana kabisa na issue za baraka. Na usiku sana ndo nikapumzika. Asubuh ya hii siku niliamka mapema.kwanza nikaanza kimsaidia mama baadhi ya kazi .nilipomaliza sasa ndo nikaingia zangu kazini. Asee ile nafika kazini tu. Nashangaaa namkuta barka yupo nje ya ofisi yangu yani kama ananingoja.hivi wanaum mbona huwaga wanaangaika lakini. Uyu si alishanambia hanitaki na ameshaoa leo anakuja ofisini kwangu kufanya nini sasa. Nikamsogelea kisha nikamuuliza vp umekuja nikupambe . Nikufanyie make up unaenda kuolewa ama? Akabaki.kimya ananiangalia tuuu.
Nikasèma ebu toa pumbu zako weka pembeni uko .nataka kuwa busy na mambo yangu sa hzi
Akasema umemaliza kuongea.nimasema wewe ebu sogea bwana. Akanambia naomba gwende kwemye gari nataka kuongea na ww. Nikasema we mshamba nini. Kwani unanilingishia kigari chako cha mkopo kile. Mimi nn a bwana angu ana gari pia .tena kali kuliko ule mkokote i wako nikupashe sasa. Baraka akasema oooh ni adrian sio.nimasema yaa we ulitaka awe nani ni uyo uyo ndo mwanaume wa maisha ya gu sasa. Baraka akasema sawa. Akanishika mkono kwa nguvu akaanza kunivuta sasa et kuniingiza katika gari yake.nikawa sitaki. Heeeee nashangaaa akanibeba mpaka kwenye gari yake ya mkopo.akanisukumiza ndani kisha na yeye akapnda .akaanza kudrivee. Aseee nilimind. Gari zima nikawa namtukana.nilitukana kweli kweli.yani hakuna tusi ambalo sikumtukana.kuanzia la mama yake mpaka familia yake. Mana nilishakuwa na hasira kwa nn anichukue kinguvu sasa.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni