Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
12 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu"
"Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka Tel Aviv bila ving'ora vya tahadhari kulia jambo ambalo halijawahi kutokea hapo awali".
Hii imeripotiwa live na BBC.
Juzi msemaji wa jeshi la Iran IRGC alieleza kuwa wameshashambulia radar zote za marekani hivyo ving'ora vya tahadhari havitalia tena huko Israel mashambulizi yatakua ni ya kushtukiza ving'ora vitalia baada ya kuwa makombora yatakua tayari yameshapiga target, na kweli leo BBC wameripoti makombora yameanza kushuka Tel Aviv bila ving'ora vya tahadhari kusikika.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lak...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu"
"Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka Tel Aviv bila ving'ora vya tahadhari kulia jambo ambalo halijawahi kutokea hapo awali".
Hii imeripotiwa live na BBC.
Juzi msemaji wa jeshi la Iran IRGC alieleza kuwa wameshashambulia radar zote za marekani hivyo ving'ora vya tahadhari havitalia tena huko Israel mashambulizi yatakua ni ya kushtukiza ving'ora vitalia baada ya kuwa makombora yatakua tayari yameshapiga target, na kweli leo BBC wameripoti makombora yameanza kushuka Tel Aviv bila ving'ora vya tahadhari kusikika.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mwandishi-wa-bbc-kasra-naji-amekiri-hali-ni-mbaya-ndani-ya-israel-ameripoti-akisema-israel-ipo-katik
Maoni