Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
11 Mar 2026
205 views
VYOTE NDANI GONGA94
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
“Dad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani”
Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake wakatoka kule ofisini. Mr. Marvel akabaki peke yake akiwa njia panda, Hakujua afanye nini. Huku mtoto anataka, huku mapenzi anataka ila jamani🙌
Basi Jioni aliporudi nyumbani, Noela aligundua hana furaha Akamuuliza, “Kuna nini?”
Mr. Marvel akamsimulia kila kitu kilichotokea ofisini mchana.
Noela akamuuliza “Utamchagua nani?”
“Sijui”
“Mchague Salmon maana Ni mwanao. Pia sisi hatuko kwenye uhusiano kusema kwamba ni ngumu kwako kuchagua”🥺
“Ni ngumu kwa sababu nakupenda Noela! Ni mara ngapi nimekua nikikuonyesha???…. Je Mama Do you love me???
Kwa mara ya kwanza, Noela akatingisha kichwa kukubali kwamba anampenda “ndio nakupenda”🙈
Mr. Marvel hakuamini alichokisikia! Weeeh akafurahi sana na kumkumbatia kwa nguvu, kuwa hatimaye amekiri hisia zake.
Noela akamuuliza “Tutafanyaje sasa?”
“Nitatafuta njia ya kuongea na Salmon vizuri ili akubali uhusiano wetu”
“Na akikataa je??”
“Hawezi kukataa, ila nipe mda wa kuongea nae vizuri sawa msichana wangu??”🥰
“Sawa”
Noela akakubali lakini moyoni tayari alikuwa ameshaamua kuondoka. Hakutaka kuwa sababu ya baba na mwana kugombana au kuivunja familia ya watu💔.
Asubuhi na mapema kwa siri sana, akakusanya vitu vyake vyote na kuondoka bila hata mlinzi kumuona. Hakuenda hostel, wala hakwenda mahali pengine zaidi ya kurudi nyumbani kwao Arusha.
Nini kitaendelea?
Nakuja…
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
Basi mimi nikaludi nyumbani nipo stressed kinoma , yani mawazo yamenijaa mnoo, nawaza inakuwaje sasa demu ndo kashanika...
Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 18
“Dad, Ninakupa masaa 24 Uchague. Ukimchagua Noela, huta niona tena. Lakini Ukinichagua mimi, utaachana na Noela then tutaendelea na maisha yetu kama zamani”
Baada ya kusema hivyo, Salmon na mama yake wakatoka kule ofisini. Mr. Marvel akabaki peke yake akiwa njia panda, Hakujua afanye nini. Huku mtoto anataka, huku mapenzi anataka ila jamani🙌
Basi Jioni aliporudi nyumbani, Noela aligundua hana furaha Akamuuliza, “Kuna nini?”
Mr. Marvel akamsimulia kila kitu kilichotokea ofisini mchana.
Noela akamuuliza “Utamchagua nani?”
“Sijui”
“Mchague Salmon maana Ni mwanao. Pia sisi hatuko kwenye uhusiano kusema kwamba ni ngumu kwako kuchagua”🥺
“Ni ngumu kwa sababu nakupenda Noela! Ni mara ngapi nimekua nikikuonyesha???…. Je Mama Do...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tipwa-tipwa-na-mr-marvel-sehemu-ya-18
Maoni