AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 36 na 37
Basi zena akanmbia ni sawa pia, nikasema powa ibraa twenzetu, ibra akanmbia mh millan usipanic bwana ,uyu mwanamke alafu sa hizi ana hasira, ebu tulia tuongee vizuri kaka, mbona yanzungumzika, nikasema ibraaa, unaongea na mwanamke ambae ameshasema yeye anajiweza na atalea mwanae, asa apo unaongea nae nini ,kama yeye mwenyewr anajiweza ,ebu twenzetu bwana ,mi nikanyanyuka na nikatoka njeee kabisaa, na mda uo uo ibraa akatoka nae ile kunifata, akanambia millan mbona unafanya kama huwajuh wananwake uyu ana hasira tu, alafu we ndo umemkosea ujue, nikasema bwana tuondoke mi mwenyewe nilikuwa natafuta sababu tu ya kuachana nae nilishamchoka twende bwna, mwanamke ananing'ang'ania kama nini, ibraaa akaningalia sana kisha akanisikitikia, nikamwambia we msenge unanisikitikia nn, kwamba yule zena ni mama yangu mzazi atanipa laana ama nini, ibra akanambia we unazingua some times ila ngoja nikuache mwanangu, na mm ninakusha kweli
Basi bwana mi na ibraa tukaachana pale, ye akakodi boda kuludi kwake na mm nikakodi boda ya kurudi kwangu, mi nilijua uyu zena wala hatoboi kwanza hii mimba ilikuwa inamsumbua so ata biashara alisimama, mi ndo nilikuwa namuhudumia kwa uo mda,ila kwakua alinambia yeye anaweza kujisimamie mwenyewe basi fresh, mi na ujeuli wa kipemba utanambia nn, nikaona fresh , basi bwana tukachuniana na zena kuanzia apo, mimi sikumtafuta tena zena na wala zena hakunutafuta kwa mda wa miezi 2 kama masihara yani kila mtu kala buyu serious, oyaaaa zena alikaza, yani hakuna kutafutana kabisaa ata status zake sizioni sijuh alifuta namba zangu ata sielewi. Nikakaza mnoooo, apo iyo miezi miwili na mama ahamed nimemkaushia kimyaa, si nilishamwambia mi sikuhudumii akazani masihara, asa mi nikamuonesha shooo mamae,na nikampiga mpaka block yani hanipati kokote,
Siku iyo niliwahi sana kurudi nyumbani kwangu, mana apo nilikuwa nimelala kazini kama siku 2 ,so siku iyo niliwahi kurudi nije kupumzisha mwli tu, basi kweli nikafika home nikaingiza gari ndani ile nashuka tu kwa gari naomuona na mama ahmad nae kaingia, mana nilikuwa sijafunga geti, nikamuuliza we mshamba shida nn? , akanmbia jamani millan samahani, nisamahe utaua mwanao, naomba unisamehee, kumamake alipoa hiii siku, ye si anajifanya ana mdomo sana, apa kwangu alifunga breki mamae, nikasema we si una mdomo sana na unajuaga kunitukana, si unanambiaga mi msenge, msenge anatomba, sasa kazi unayo we bado dozi haijakuingia, kama huwez kumlea mwanangu, nileteee kesho tu nampeleka pemba anaenda kulelewa na bibi yake hakuna shida, we si jeuri, mi ntakuenesha sasa kama mm kiburi, toka nyumbani kwangu, mama ahamed akasema.jamani millan sitarudia tena , mwenzio nafukuzwa nilipopanga kisa kodi ntangaika na mtoto millan, usifanye hivyoo, nikakingalia kisha nikakionea huruna na kilivyo chembamba ,sijuh nilifata nini kwa uyu demu na mimi na kuangaika kwangu
Nikavuta pesa ,kama laki 2 ,nikamtupia ,nikamwambia kaanze nayo hiyo ,kisha acha nijifikilie , nikiona moyo wangu umerizika ntakuongezea pesa, akanmbia swa asante baba ahmadi nyooo adabu alikuwa nayo, na adante akasema manina, nilikuwa nikimpa pesa uyu ata asante anambii, ila alishaniona akinichanganya na mm ntamchanganya kweli, basi akasepa zake, na mimi nikaingia ndani, apo zena kakaza hajanitafuta kabisa na mimi.nikasema simtafuti kudadeki zake vile vile, basi bwana ikaongezekeza miezi miwili mbele, apo mimi kwa kukisia ni kwanbia mimba ya zena itakuwa tayari imefikisha miezi 7, na mm na zena hatujaonana kwa miez 4, mnajua ni mingi, sio kuonana ata kuongea, ila nikajifikilia nikaona uyu mwanamke jeuri ila ngoja ata nimlipie kodi . Mana hatakiwa n uwezo wa kulipi kodi ile sehemu niliyompangia, apo saaa ndo nikampigia mama mwenye nyumba wa ile nyumba amabayo nilimpangia zena,
Badi bwana, yule mama akapokea kisha nikamsalimia vizur ,nikamwmabia mama samahani, ahaa nilikuwa nataka kumlipia kodi zena apo, mana huu mwezi ndokodi yake ya zamani inaisha, yule maa akanmbia khaa baba bwana mbona zena kahama apa miezi 3 iliyopita nyuma ,tena mpaka kodi alisamehe, mana hakumaliza miezi, khaaaaa nyie nilisema unanambia nn mama, yani kahama apo miezi 3 iliyopita, yule mama akasema ndio tena mpkaa kodi alinisamwee mwanangu apa, nikaona kumekucha daaah mbona jau hiii , nikasema ameamia wapi mama, mama aksema kwani hamuna maongezi mazuri na zena, nikasema ndio mama apa kati kati tuligombanna kidogo, yule mama akasema jamani mwanangu, mnagimbana nini na mwenzio na hali yake ile, kisha akanmbia ahaa kiukweli mimi alipoamia sipajuh ila kuna kijana alimsadia kuhama uyo anaweza akawa anapajua alipoamia zena, mh nikasema sawa mama,
Yule mama akasema laikin mmepisha nn mbona zen ni binti mstaarabu sana asiye na shida, tena siku alokuwa ana hama apa niliumia kweli ,ila akinambia ana changamoto hivyo lazima ahaame, nikasema ni kweli mama changamoto ndo hio tulikwazana kidogo, ila mimi kesho nitakuja basi nikutane na uyo kijana anipeleke alipoamia zena kwa sasa ,yule mama akanmbia sawa , nikakata simu daaah kwaiyo demu kahamaa yani, nikaona zena kweli jeuri, basi siku hiii ndo mimi nikampigia zena, mamae nikakuta mtoto kaniramba block la maana , nikaona kweli ndio, hii siku nililala na mawazo nikamuwazia sana uyu mwanamke, yani ile siku alosema tunaachana naona alimaanisha mana hajawahi kunitafuta kuniomba ata 100 yangu ata siku moja, daaah kazi ipoo,.basi asubuh na mepema niliingia kazini, na sikutka kumuelezea ili jambo ibra kwanza mana nilijua atanikanyagia sana mana mimi mwenyewe ndo nilitaka kuachna na zena, ila kiukweli kabisaa, hii siku nilikuwa nimeplan kwenda kumuona zena uko alipoaamia, sijamuonaa mdaa, mtu mpka kafikisha mimba yamiez 7. Nikaonasiwezi kukana damu yangu kiivyo bwna
Na kweli mm nilivyotoka job, nikaenda moja kwa moja mpaka kwa yule mama mwenye nyumba , mana yule mama alikuwa anakaa nyumba ya nyuma na zena alikuwa nakaaa nyumba ya mbele, ila nyumba zote ni za uyu mama, basi nikamslimia vizuri yule mama , na akaintikia na akanichangamkia tu mama wa watu, kisha sasa nikamwambia mama nia yangu ya kuja ni kwamba anielekeze jinsi ya kumpata uyo kijana ili anelekeze alipoaamia zena apo na waza au kaenda kuishi na mwanaume mwengine uyu demu, yani mawazo kibao, uo mdaa ulikuwa saa 11 jioni hivii, basi kweli yule mama akampigia uyo kijana ,na uzuri uyo kijana alikuwa boda boda, so wala hakuchukua mda mwingi akafika pale na yule mama akamwambia mpeleke alipoomia yule dada ulomuamisha siku zile apa ,yule boda akasema ahaa kwa da zena, mh anamjua nikamuuliza unamjua kwani, akasema namjua si anapika chapati na maharage sa hizi jioni mtaaa wa mbele apo, doooh
Nikasema sawa nipeleke kwake, yule broo akanmbia powa, na kweli akadrive bodaa mpaka kwa zena , wala hakukuwa. Mbali sana na pale ambapo amtoka, ila tu huu mtaa ambao alikuwa kaamia sasa hivi ulikiwa uswalihilini zaidi ata gari haingii. Na ndo mana jamaa akanileta na boda yake na mimi gari nikaacha kule juu, basi bwana tulivyofika ,jamaa akanionesha nyumba akanmbia da zena kaamia mule ,mh ni nyumba ya kawaida sna kama ile ya mwanzo alotoka nikajua kaludi kwenye nyumba ambayo atakuwa na uwezo wa kujilipia kodi, daaah basi nikashuka nikampa yule elfu 20 nika.wambia chukuua hii kaka, akanmbia powa broo asante sana ,nikasema barida kisha sasa nikaanza kuelekea kuifata ile nyumba ata sijafika ummy kanilukiaaaa et woooooo baba ata sijuhi kalitokea wapi๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni