Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
Gonga94 · Stories

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

ENDELEA..........

Madame Yustar alibaki mdomo wazi.

"Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili.

"Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako kwasababu mimi ni mpenzi wako, haijalishi hata kama malika yenu yapo sawa.

" maana yangu ni kwamba nataka nikukabidhi biashara yangu uisimamie wewe. Leo nimekupenda kweli kweli natamani hata uwe mume wangu tuache kujibana bana kama hivi. Muda huu kichupa kimejaa na mazingira ndo hivyo hayaruhusu kabisa kukulana"

Mwana mama huyu alidata vibaya mno kwaajili yangu. Hakika heshima ya mwanaume sio pesa. Pesa ni kinogesho tu.

Katika mazungumzo ya hapa na pale nilimuomba pia kesho kwenda kumtembelea rafiki yangu kabda sijaanza kazi.

Kesho iliwadia nilienda maeneo niliyokuwa naishi nikiwa sio Leo yule muokota makopo. Nilienda kama vile muheshimiwa flani hivi nikiwa na ndinga la kitajiri(gari)

Nilifika nje ya nyumba nilipokelewa na mtoto aliyenifanania kila kitu.

Niwaibie siri sasa wasomaji. Mie Leo nilikuwa na familia yaani mke na mtoto wa kike. Maisha magumu ndiyo yaliyonifanya niwe muokota makopp ili familia yangu ipate chochote kitu.

Niliamua kumdanganya madame kwa kuhofia anaweza kuninyima kazi kama akijua nina familia kutokana na kazi aliyotaka kunipa. Nilimuambia mke wangu hali halisi alielewa na aliniluhusu niende. Sikuisahau familia yangu. Pesa zangu zote za malipo nilillkuwa namtumia mke wangu yeye ndiye aliyeluwa anashililia kila kitu cha familia na wala sikuwai kuwa na mashaka nae.

Basi nilifika nyumbani kwa mke wangu. Kila mipango tuliyokuwa tunaipanga ilienda vizuri. Mke wangu aliniambia tayari ameshanunua kiwanja. Kila jambo tukilolipanga lilienda vizuri na yote ni kwasababu mke wangu alikuwa na uchungu wa maisha kutokana na hali duni tuliyopitia.

Nilishinda na familia yangu mpaka jioni huku nikimburudisha mke wangu vya kutosha,Mama Hinaya wangu.

Jioni niliondoka nikiwa nimeacha kila kitu kipo sawa. Nilifika kwa madame Yustar nilimkuta Mellisa kibarazana.

"Hivi unaweza kuniambia ulienda wapi, umesahau nini kilichokuleta humu ndani?" Aliongea kwa paniki sana.

Kabda ya kumjibu niliachia tabasabu nilijia ni wivu tu ndio unaomsumbua.

"Kwaiyo mimi naongea wewe unacheka si ndiyo?"

"Ounguza wivu mama. Nilienda kusalimia washaji zangu maana ni kitambo sana sijaonana nao"

"Sasa kwanini hukuniaga au kuniambia twende wote. Sijapenda kwakweli".

"Usijali mtoto mzuri mimi ni wako tu" Mellisa akapoa kama maji mtungini.

Mellisa alianza kuwa na wivu wa mapenzi juu yangu. Hali hiyo ilinipa ofa mimi maana wahenga wanasema mapenzi hayana siri. Nitaweza kweli........

ITAENDELEA........

Maoni

You're not logged in

Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

ENDELEA..........

Madame Yustar alibaki mdomo wazi.

"Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili.

"Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako kwasababu mimi ni mpenzi wako, haijalishi hata kama malika yenu yapo sawa.

" maana yangu ni kwamba nataka nikukabidhi biashara yangu uisimamie wewe. Leo nimekupenda kweli kweli natamani hata uwe mume wangu tuache kujibana bana kama hivi. Muda huu kichupa kimejaa na mazingira ndo hivyo hayaruhusu kabisa kukulana"

Mwana mama huyu alidata vibaya mno kwaajili yangu. Hakika heshima ya mwanaume sio pesa. Pesa ni kinogesho tu.

Katika mazungumzo ya hapa na pale nilimuomba...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake-sehemu-ya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

247
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

182
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

162
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

86
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

52
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

50
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

44
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

43

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.61K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.35K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.55K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
@majario LIVE

ENDELEA.......... Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea. "Hapana mazingira ni hatarishi sana" "Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
@majario LIVE

ENDELEA........... Watu pombe ziliwakolea mie sio mnywaji wa pombe nilikuwa naangalia tu maujinga wanayoyafanya. Mkojo ulinibana nilienda chooni ile natoa tu dudu mlango ulifumguliwa aliingia mshangazi mmoja kati ya wale waliokuwa wananisifia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
@majario LIVE

ENDELEA......... Madame aliwapa taarifa Mellisa na Misha kuwa mimi sio mlinzi tena bali ni mfanya kazi wake kwenye biashara zake. Rasmi niliajiliwa kusimamia duka kubwa la spea. Huko ndo kulikuwa na pesa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
@majario LIVE

ENDELEA.......... Madame Yustar alibaki mdomo wazi. "Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili. "Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest