VYOTE NDANI GONGA94
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya
Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangazi, sisi ni ma aunt rich, ikabidi wolper aulize kwani kuna tofauti kati ya aunt rich na mshangazi, Irene Uwoya akajibu ndio tofauti ipo kubwa siunaona sisi tulivyo vimbau mbau
Aunty ezekiel akajibu kuwa unajua ili watu wakuite mshangazi muda mwingine huwa wanaangalia mtu unae mdate, Wolper akauliza kwani wewe Auntyezekiel una miaka mingapi na Kusah nae ana miaka mingapi, Auntyezekiel akajibu mimi kwa sasa hivi sitamani hata kujua kusah ana miaka mingapi na wala mimi nina miaka mingapi mimi ninacho jua yeye ni baba Zara mimi ni mama Zara

Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mwandishi-aliuliza-je-neno-mshangazi-maana-yake-nini-kajala-akajibu-mshangazi-ni-mwanamke-mwenye-umb