Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
12 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani.
Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran, nchini Iran na uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili ni wa muda mrefu na wenye nguvu kubwa, ulioanza rasmi tangu Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979.
#usa #NorthKorea #Israel #iran
Twambie: Kama itatokea kweli unadhani Korea Kaskazini itaingia vitani kuishambulia Israel?
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti...
Bila ya msimamo ule leo watu wangeshasahau kama Afcon ilichezwa Morocco, bila ya huyu Mwanaume muda huu Morocco wangekuwa wanashangilia Kombe la dhulma.
Bila ya jamaa kutoa vijana wake leo Mutsepe angekiri kuwa Senegal walionewa lakini isingesaidia kitu tayari Morocco Bin...
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani.
Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran, nchini Iran na uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili ni wa muda mrefu na wenye nguvu kubwa, ulioanza rasmi tangu Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979.
#usa #NorthKorea #Israel #iran
Twambie: Kama itatokea kweli unadhani Korea Kaskazini itaingia vitani kuishambulia Israel?
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/taarifa-hii-haijathibitishwa-lakini-watu-wanaulizana-itakuaje-kama-kweli-ubalozi-wa-huyu-bwana-utaku
Maoni