VYOTE NDANI GONGA94
Brazil.. Alitamani awe mcheza mpira lakini chaajabu kugusa mpira jamaa hawezi kabisa. Carlos
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Carlos alikuwa kijana aliyejua vizuri sana mazingira ya Brazil.. Alitamani awe mcheza mpira lakini chaajabu kugusa mpira jamaa hawezi kabisa.
Alichokifanya ni kuanza kutengeneza urafiki na wachezaji wa Brazil wa miaka ya 80 na 90.
Alikuwa anawapeleka kwenye klabu za starehe, anawasaidia
mambo yao binafsi, na akawa rafiki yao wa karibu. Wale mastaa, walipokuwa wanasajiliwa na klabu mpya, walikuwa wanawaambia makocha Kuna kijana mmoja fundi sana anaitwa Carlos Kaiser, mpeni mkataba wa majaribio wa miezi mitatu, atawasaidia.
Kwa heshima ya wale mastaa, makocha walikuwa wanamsajili bila hata kumfanyia majaribio magumu.
Siri ya Kaiser ilikuwa ni kuhakikisha hachezi mechi hata moja, kwa maana mpira alikuwa hajui kabisa.
Siku ya kwanza ya mazoezi, mara tu mwalimu anaposema waanze kukimbia au kugusa mpira, Kaiser alikuwa anapiga hatua mbili, kisha anaanguka chini huku ameshika paja na kupiga kelele kwa maumivu.
Wakati huo, vifaa vya matibabu kama MRI vilikuwa havipo. Madaktari walikuwa wanategemea maelezo ya mchezaji.
Angekaa benchi akitibiwa kwa miezi sita huku akipokea mshahara, akila chakula cha klabu, na kupata sifa za kuwa "mchezaji wa klabu kubwa.
Siku moja, akiwa anachezea klabu ya Bangu nchini Brazil, mmiliki wa timu ambaye alikuwa mtu hatari na mbabe alichoka kumwona Kaiser akiwa majeruhi. Timu ilikuwa inafungwa 2-0, mmiliki akaamuru kocha amuingize Kaiser uwanjani ili aokoie jahazi.
Kaiser alipata hofu akijua akiingia tu, watu watagundua kuwa hajui hata kupiga pasi. Alipokuwa anapasha misuli pembeni ya uwanja, akasikia mashabiki wa timu pinzani wakimtukana mmiliki wa timu yake. Hapo akapata wazo la ugenius.
Aliruka ukuta na kuanza kupigana na wale mashabiki! Muamuzi akampa kadi nyekundu kabla hata hajaingia uwanjani.
Baada ya mechi, mmiliki wa timu alikuja juu kwa hasira, lakini Kaiser akamwambia Mzee wangu, nimefanya vile kwa ajili yako. Walikuwa wanakuita mwizi, na mimi nakuona kama baba yangu, singeweza kuvumilia wasikuvunjie heshima.
Yule mmiliki aliguswa sana, akamsamehe na akamuongezea mkataba wa mwaka mwingine!.
Kaiser aliendelea hivi kwa karibu miaka 20, akihama klabu hadi klabu, hadi Ulaya, , akidanganya kuwa yeye ni mfungaji bora. Alistaafu mpira akiwa na marafiki wengi.
Follow channel zetu watssap kwa visa na mikasa
https://whatsapp.com/channel/0029VbAynWb7IUYY5Bfgwj2j

Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi brazil-alitamani-awe-mcheza-mpira-lakini-chaajabu-kugusa-mpira-jamaa-hawezi-kabisa-carlos