Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

โค๏ธโค๏ธ SHEMEJI INAUMA LAKINI TAMU๐Ÿ˜‹  Sehemu ya pili  ๐Ÿ‘‰ Mke wangu niambie maiko ni nani mbona unalia unamtaje yeye?.  " Ni bwana....๐Ÿ‘‡
Gonga94 ยท Stories

โค๏ธโค๏ธ SHEMEJI INAUMA LAKINI TAMU๐Ÿ˜‹ Sehemu ya pili ๐Ÿ‘‰ Mke wangu niambie maiko ni nani mbona unalia unamtaje yeye?. " Ni bwana....๐Ÿ‘‡

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Bwana๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

( Ikabidi nidakie kwa kumzuga shemeji)

" Bwana ametwaa tulia dada.

" Siwezi niacheni tu.

" Mke wangu kazi ya Mungu aina makosa sasa kunywa POMBE ndio nini acha mke wangu.

" Sawa naombeni mniache nilale kwanza.

" Sawa lala mke wangu.

( Dada alilala sebuleni shemeji alikaa na yeye pembeni kumlinda dada mimi nikaenda kulala chumbani uku najiuliza dada mbona anataka kufanya mambo ya ajabu kwenye ndoa yake ivi pale alitaka kusema maiko ni bwana ake inamaana ndio mapenzi yamemzidi mpaka anashindwa kuelewa hili baya hili zuri...nikawaza nikalala asubuhi shemeji ananiambia)

" Shem wangu naomba uende na dada yako uko kwenye msiba shika laki hii.

" Sawa.

( Moyoni nasema sijui na dada wameongeaje ila acha shemeji aende kazini nitamuuliza dada...kweli akaondoka dada akaniambia)

" Mdogo wangu acha niende kwa recho Nikamwambie kwanini anakubali kuolewa na shemeji yake.

" Dada mbona utakuwa unafanya jambo la aibu wewe muache tu aolewe ndio bahati yake.

" Hapana sio bahati wanaume akuwaona mpaka amchukue maiko na anajua fika mimi moyo wangu upo pale hapa nipo kwenye ndoa kumlizisha mama.

" Ila dada badilika mpende shemeji mbona yeye anakupenda.

" Upendo aulazimishwi mimi naenda mdogo wangu sikia shemeji yako si amekupa laki moja chukua elfu 40 na wewe kazunguke zunguke mjini uko saa 12 jioni uludi mimi naenda kwa recho nikimkosa naenda kwa maiko hapo chamazi mbali.

" Ila dada samahani naomba naomba tena twende tu kwa mama kumsalimia tukae mpaka iyo jioni turudi wote ila usiende kwa maiko wala kwa recho italeta picha mbaya kwenye ndoa yako yule recho anaweza akaja uku mbezi kukuharibia na wewe.

" Aje tu kuharibu mdogo wangu ilo lisikupe tabu unajua maiko kabadilisha namba nampigia simpati hewani acha nijiandae niende.

" Dada tuliza hasira.

( Akuweza kunisikia aliingia bafuni kujiweka sawa kwa safari ya kwenda chamazi...na mimi nikaingia choo cha nje kuoga fasta nia niongozane nae dada yangu siwezi kumuacha niende mjini nikikutana na shemeji si nitaonekana na mimi ni wale wale tu...kweli wote tukawa sawa Nikamwambia)

" Dada twende wote.

" Wapi?

" Unapoenda.

" Twende Ukaone timbwiri langu wewe ujui mapenzi yanaumaje nakuombea upate bwana unayemuelewa alafu mama akuzingue ukikurupuka utamchukia mama.

" Mungu aniepushe nimchukie mama yangu kisa mapenzi sizani labla nimchukie mama mkwe sio mama yangu mzazi.

" Twende.

( Kweli tulitoka tukapanda gali za mbagara kwanza tukaenda kushuka rangi tatu tukapanda gali za m-bande...tukashuka chamazi magengeni dada akaniambia)

" Hapa nachukua pikipiki moja kwa moja kwa maiko au nianze kwa recho nishauri.

" Twende kwa maiko.

( Kweli tulipanda pikipiki mshikaki tukawa tunaenda kwa maiko anakaa sehemu moja panaitwa jengo la yatima...tunafika kwa maiko nje ya mlango wake tunaona viatu vya kike na vya kiume dada akaniambia)

" Afadhari wote wapo ivi ni viatu vya recho mwizi wa wanaume za watu.

" Subiri Basi tufike ugonge hodi.

" Mdogo wangu ujakuwa wewe nigonge hodi mlango naona umesindikwa ule ujafungwa naingia mazima yani recho atanitambua.

" Dada sio vizuri.

( Akunisikia akaongeza spead ya utembeaji mpaka mlangoni akausukuma mlango akaingia mazima ndani sijui alikuta wanafanya nini nasikia sauti ya maiko)

" Amina ujinga gani unaleta kwangu unaingia pasipo hodi kwangu.

" Wewe recho nakuita mala mbili recho recho...

ITAENDELEA
Unajua Nini dada alifanya?
Au Nini kimetokea NUNUA simulizi USOME yote mazima.

Tangazo - Hostinger 2026 on fire
Hostinger 2026 on fire
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

โค๏ธโค๏ธ SHEMEJI INAUMA LAKINI TAMU๐Ÿ˜‹ Sehemu ya pili ๐Ÿ‘‰ Mke wangu niambie maiko ni nani mbona unalia unamtaje yeye?. " Ni bwana....๐Ÿ‘‡

Bwana๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

( Ikabidi nidakie kwa kumzuga shemeji)

" Bwana ametwaa tulia dada.

" Siwezi niacheni tu.

" Mke wangu kazi ya Mungu aina makosa sasa kunywa POMBE ndio nini acha mke wangu.

" Sawa naombeni mniache nilale kwanza.

" Sawa lala mke wangu.

( Dada alilala sebuleni shemeji alikaa na yeye pembeni kumlinda dada mimi nikaenda kulala chumbani uku najiuliza dada mbona anataka kufanya mambo ya ajabu kwenye ndoa yake ivi pale alitaka kusema maiko ni bwana ake inamaana ndio mapenzi yamemzidi mpaka anashindwa kuelewa hili baya hili zuri...nikawaza nikalala asubuhi shemeji ananiambia)

" Shem wangu naomba uende na dada yako uko kwenye msiba shika...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shemeji-inauma-lakini-tamu-sehemu-ya-pili-mke-wangu-niambie-maiko-ni-nani-mbona-unalia-unamtaje-yeye

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shemeji-inauma-lakini-tamu-sehemu-ya-pili-mke-wangu-niambie-maiko-ni-nani-mbona-unalia-unamtaje-yeye
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest