Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ananikumbuka,  basi ataomba kuongea na mimi,  lakini kuna maelekezo alikuwa anampa mkuu wa kikos changu,  na kisha alipo maliza hakuuliza chochote alikata simu hapo hapo,  nilikaa taratibu kwa unyonge huku machozi yakinitoka, mkuu wa kikosi changu akaniruhusu niende kupumzika, nahisi alikuwa kahisi kitu lakini hakutaka kingilia,  mkuu wangu wakikosi nimstaarabu sana na mtaratibu mwenye busara,  nilienda moja kwa moja chooni aikutaka kwenda bwenini,  kwani sikutaka wanione nilivyokuwa na huzuni,  nikiwa huko chooni alinifuata kwa nyuma bila kumuona Nancy,  aliniona hali niliyokuwa nayo akanifuata hadi chooni,  nililia sana kiukweli huku nikisema:

"Ethane hujui tuu ninavyo kupenda mwenzio,  nashindwa kula nashindwa kulala umejaa akilini mwangu,   kwanini unaniadhibu kwa namna hii jamani  mbona haya mapenzi sio kitu kizuri kwsngu,   kwanini upige simu usiombe kuongea na mimi,   mbaya zaidi mbele yangu hata kuuliza hali yangu tuu,   inamaana umeamua kunifuta kabisa kwenye kumbu kumbu zako eeh!,   General Ethane  nateseka  mwenzio  nione mimi tafadhari,   rudi hapa upesi tafadhari na ahidi ukirudi nitakuambia mbela za makamanda wote,   kuwa nakupenda sana na sijiwezi juu yako,   sindio ulikuwa  unataka nikili hivyo  basi sawa nitakili kweli tafadhari rudi,

Nancy alisikiliza yoote nilikuwa nikiongea huku nikilia,  alinionea huruma na alitamani aligongee mlango lakini aliona sio sawa kuingilia faragha za mtu, hivyo aliamua kukaa mlangoni na kuwazuia watu wengine wasije kusikia,  kisha nilinawa uso na kujifuta maji,   baada ya hapo nikatoka nje nilikutana nae hapo mlangoni,  alikuwa anajifanya nae ndio katoka chooni, akanifuata na kuniambia:

"Laura tafadhari naomba kuongea nawewe"

"Kuhusu nini Nancy nimechoka sana,  kama sio muhimu niacha sijisikii vizuri  nahitaji kupumzika tu"

"Najua haupo sawa ila nahitaji nikusaidie niruhusu tafadhari"

"Unisaidie?  Utanisaidia nini kwamfano eeh!  Hahahaaa  hembu niache nikapumzike nitakuwa sawa tuu,   wewe nenda uendelee na mambo yako"

Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili ni siku yakupumzika,   tunafanya usafi kisha  kwenda kufanya ibada,   ndio maana tulikuwa huru,   kisha nilipomaliza kumjibu hivyo Nancy nikaanza safari ya kuelekea bweni,  alikuja na kunishika kwa nguvu mkono Nancy,  kisha alinipeleka  pembeni na kuniambia:

"Unadhani sijui nini kinakutafuna eeh!"

Nilitoa macho kwa mshangao mkubwa,   na huku nikisubili kusikia kitu gani anajua kinacho nitafuna mimi,  Nancy aliendelea kusema tena kwa hasira na huku akijiamini:

"Najua kilakitu kuhusu wewe na General,   na ndio kitu kinacho kutafuana sasa"

Nilimtizama kisha nikambishia:

"Hujui kitu. Eti mimi na General?  Haya niambie mimi na huyo katili tunanini yani eeh!?

Nilijibu kwa kujiamini ili kupoteza maboya Nancy,  akanijibu:

"Laura......nimesikia kilakitu hupaswi kuendelea kunibishia tena"

Niliishiwa pozi nikachuchumaa na chini huku nikilia,  alikuja Nancy kwa nyuma yangu akanikumbatia huku akinibembeleza,  na kuniambia:

"Najua Laura unampenda sana General,  hata yeye najua anakupenda hadi alishindwa kijizui alipokuwa hapa pia,  lakini mbona unaruhusu mapenzi yakutawale namna hii kipenzi,  umekuwa kama mjinga sasa unashindwa kuzui hisia zako kabisa,  yupo wapi Laura wangu jasiri  eeh!   Ulikuwa  mpambanaji katika mazoezi na kilakitu,   ulikuwa hukubali kushindwa,    lakini leo hii kitu kidogo tuu kimekushinda  mapenzi.  
Yaani yamekudhoofisha namna hii eeh! Haya tafadhari jitulize na ujikaze tunakutegemea kipenzi,    ulisha wahi kusena huamini katika mapenzi,  leo hiii uko wapi  eeh!  uko wapi Laura"

Alivyokuwa ananiambia hivyo Nancy  hayo maneno yalinichoma sana,    na kunifanya nizidi kulia na huku nikimjibu:

"Nancy General,  General Nancy amenimaliza kilakitu,   ameuteka moyo wangu na kuondoka nao,   kaniacha nichanganyikiwe na  niwe kichaa kabisaa,  nahisi kufa kabisa asipo rudi,   hata mawasiliano yake tuu sina,   sijui nikitoka hapa naenda kumpatia wapi mimi,   na muda unaenda sana  tunakalibia kumaliza mafunzo yetu,   na mbaya zaidi hayupo Tanzania sijui lini anarudi naumia mwenzio  Nancy"

"Basi jikaze kwa muda huu  mchache,  ili  tumalize mafunzo yetu kwa amani,  kisha  tutatafuta namna ya kumpata,   tukiwa hapa hapa kambini  kabla hatujaondoka,    nitakuwa upande wako kipenzi sawa?

"Unasema kweli Nancy?

"Ninamaanisha,   usiogope nitakusaidia"

"Sawa,  asante Nancy  ila naomba  usimwambie mtu yeyote tafadhari?

"Naanzaje kipenzi, nimeamua kukusaidia hivyo siwezi kuwa mnafiki sawa"

Kisha alinifuta machozi na kunitia moyo  nikainuka na huku akinisaidia akanisindikiza hadi bwenini kisha aliniambia:

"Pumzika kwa muda kisha jioni twende tukapashe kidogo sawa?

"Sawa kipenzi"

Wale wambea walibaki wakinitizama tuu huku wakinongona:

"Hivii huyu amekuwaje sikuhizi hatumuelewi,   maana hata kula hali kazi ni  kulialia tuu  hovyo,   sijui kakubwa na ugonjwa gani"

Niliachana nao kisha nikalala usingizi ulinipitia vizuri sana kwani kidogo nimepata nafuu baada ya kumuambia Nancy kinacho nisibu na kunipa ushauli  nilipata moyo kiukweli nikajikuta nalala vizuri sana,  baadae jioni jioni niliamka na Nancy alinifuata akaniambia:

"Haya sasa twende zetu kipenzi"

Tukaenda uwanjani tulikimbia sana hadi nilikuwa nahema mno,    kisha tulianza kufanya mazoezi baadhi kiukweli alinifanya nianze kuimarisha akiri yangu,  hadi muda wa kwenda kula ulipofika  nilikuwa niko poa kabisa,  tukaenda kula sasa wakati tunakula hapo Catrine alianza kuongea na wenzie huku tunasikia kwakuwa tulikuwa kando  yao tuu alisema:

"Nikitoka hapa siwafichi  vipenzi vyangu,  kwani naenda kuolewa na General Ethane,  na  tayari babaangu kaniambia nijiandae,   sijawahi kuwaambia familia yetu na yao ni family friendly,    babaangu alikuwa rafiki mkubwa sana wa babaake,   hivyo wameamua iwe hivyo ilikuuendeleza urafiki wao,    na hao visokoro kwinyo waliokuwa wanajisogeza kwa mumewangu mtarajiwa,   nitawanyoosha sio muda mrefu"

Nilihisi kama kunamtu kaingia ndani ya moyo wangu,   na kuanza kuuchana chana na viwembe vipande vipande:

Je nini kitatokea kwa Laura,    Endelea kufuatilia..............
WhatsApp 0742133100
Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli

ananikumbuka,  basi ataomba kuongea na mimi,  lakini kuna maelekezo alikuwa anampa mkuu wa kikos changu,  na kisha alipo maliza hakuuliza chochote alikata simu hapo hapo,  nilikaa taratibu kwa unyonge huku machozi yakinitoka, mkuu wa kikosi changu akaniruhusu niende kupumzika, nahisi alikuwa kahisi kitu lakini hakutaka kingilia,  mkuu wangu wakikosi nimstaarabu sana na mtaratibu mwenye busara,  nilienda moja kwa moja chooni aikutaka kwenda bwenini,  kwani sikutaka wanione nilivyokuwa na huzuni,  nikiwa huko chooni alinifuata kwa nyuma bila kumuona Nancy,  aliniona hali niliyokuwa nayo akanifuata hadi chooni,  nililia sana kiukweli huku nikisema:

"Ethane hujui tuu ninavyo kupenda mwenzio,  nashindwa kula nashindwa kulala...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-08-nilimtizama-sana-nilikuwa-natamani-niipore-simu-lakini-nik

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

598
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

506
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

475
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

324
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

235
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

79

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest