Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
Gonga94 · Stories

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

:141
Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.”
Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.”

Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.”
Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho bado inauma na unafiki siwezi. Nitaongea naye tu nikiwa sawa.”
Dorice alivuta pumzi na kusema “Muanko kanasa jamani.”
Nikatabasamu tu.

Sasa tukalala, sina hili wala lile. Ilikuwa ni asubuhi sana nasikia mama anaita sauti ya chini “Nazwiiii!!, Nazwiii!!, Nazwiiii!!! “
Mimi sasa na sauti ya usingizi “mama kuna nini tena mbona mapema.”
Mama aliniambia kwa upole “Una mgeni.”

Nilishtuka, nikauliza “mgeni?”
Mama alisema “amka mwanangu.”
Niliamka haraka haraka, mgeni gani mafungulia ng’ombe (asubuhi) yote hii. Nilivaa vizuri nikawa nafikicha fikicha macho yangu. Basi taratibu nikatoka.

Nimefika nje, niulize Nani, MR Gallen, inavyoonekana hajaondoka hapa kwani ana nguo zilezile za jana. Nikamsalimia “shikamoo.”

Akashusha pumzi na kusema “Marahaba Nazwi, tunaweza kuzungumza.”

Nilimtazama mama, na kisha nikamtambulisha. Mama alifurahi kumfahamu, na Boss pia alifurahia. Kisha tuliingia kwa gari. Nikamuuliza “Boss umelala hapa?”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:142
Alinitazama, alinitazama kwa huruma na kusema “kwanini unanifanyia hivi?, kwenye akili yako kuna nini haswa eneh. Au kwakuwa ni mimi sio wewe unapitia haya. Nazwi hujawahi kukosea kwenye maisha yako yote na ukasamehewa.

Mama yangu Jana ameruhusiwa kurudi nyumbani lakini amegoma bila wewe, nakupigia walau uonekane tu tumtoe pale hujapokea simu. Nimekufuata mpaka hapa umegoma kutoka. Unasikia raha, unaona raha si ndiyo?. “

Nilimtazama na kusema “lakini Boss, Sio hivyo, nilikwambia nataka kuacha kazi.”
Aliongea kwa sauti “kelele, huwezi kuacha kazi nimeshakwambia.

Nikwambie Mara ngapi. Sahau kuacha kazi kwa mama. Na sio tu kwa mama huwezi kukaa mbali na mimi haiwezekani. Sasa sikia Leo hii sio Ombi ni lazima, tunaenda hospitali, tunamtoa mama na tunaenda naye nyumbani. Unanielewa?”

Niliogopa, Nikamtazama kwa hofu. Naona hataki hata kuniangalia macho yake yamebadilika. Nikasema “sasa nikabadilishe nguo, nioge hata.”

Alinitazama, akanifunga tu mkanda sasa vile ananifunga mkanda si ananiegemea jamani raha ni vipi, lakini yeye kachukia, akawasha gari sijaaga hata nyumbani nabaki tu sijui ndiyo utoto au ni nini “sasa ndiyo unaniteka?, Ona Ona na nilivyo hospitali kweli.”

Aliendelea kuendesha gari hasemi kitu, haongei chochote kile. Tulifika mpaka hospitali. Tulifika, tukashuka akanishika mkono ukimuona tu unajua kachukia na mimi nimetoka kulala. Tulifika mpaka chumba cha mama. Akaniambia “ingia hapo.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:143
Namtazama tu, nikashusha pumzi na kuingia. Mama aliponiona machozi yalimtoka, alisema kwa unyonge “mwanangu, mwanangu wewe ndiyo wakunifanyia hivyo ukaniacha kweli binti yangu. Ina maana hukunikumbuka mimi.”

Nilimtazama nikisema Kama nalia na vile anatia huruma “nisamehe mama, nisamehe sana. Siwezi kufanya kusudi na mimi nilikuwa naumwa.”

Mama alinitazama na kusema “mwanangu, najua mwanangu alikukosea, alikuja hapa analia kwasababu unaacha kazi. Nilimfokea sana. Lakini Nazwi nilikwambia mwanangu hayupo sawa kihisia. Msamehe mwanangu, msamehe sana. Eenh unaniacha mpaka mama yako unaacha kazi kweli. Nitapata wapi binti Kama wewe, nesi wakunipangusa, wakunisafisha wakunifulia kwa upendo eneh mwanangu.”

Nikajikuta nalia, na kusema “ni kweli mama, ni kweli nimekosea nisamehe sana, nisamehe sana mama nimekosa. Nipo hapa na wewe sitakuacha Tena .”

Mama huyu alisema “Sitaki kukaa hapa, tutaongea tukifika nyumbani. Tuondoke.”
Ndiyo sasa Mr Gallen aliingia, mama alisema “mwanangu, niitie Dokta tunaondoka hapa sasa hivi.”
Niliona tabasamu usoni kwa mtekaji, nilimtazama mama na kusema “mama si kaniteka.”

Mama akacheka kidogo kwa upole akisema “Kwa nilivyokuwa nimemkasikiria anakufokea vipi binti yangu na wakati ulikuwa unanipa mama yake furaha. Lazima akuteke.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:144
Tukacheka mama akisema “futa machozi sasa, nataka tukifika uniogeshe vizuri maana hawajui hata chochote si unaona hata sipendezi.”
Nikatabasamu nikisema “Upo sahihi mama, kweli.”

Basi mimi huyo, nikawa napanga pale vitu, Dokta na Gallen wakaingia. Sio kabale lakini. Alimuangalia mama, na alituruhusu.

Tukamkalisha vizuri mama, hataki hata kusukumwa na mtu mwingine Ila mimi. Nikasaidiana na wauguzi wengine pale tukaondoka mpaka kwa gari na safari ya mjengoni ilianza. Mimi nimekaa na mama tu huko tumetulia. Tulifika nyumbani.

Niliandaa vizuri chumba cha mama na kusaidiana na Gallen. Tukamaliza, tukasaidiana kumlaza mama. Alitutazama na kusema “Asanteni sana wanangu.”

Tulitazamana na kutabasamu, mama akasema “Nazwi mwanangu, niandalie supu ya kuku nzuri sana. Mimi sijala hata vizuri na sasa nataka nilale kidogo.”
Nikatabasamu, nikasema “sawa mama.”

Mr Gallen alitabasamu akasema “na mimi hiyo supu tafadhali nesi, najisikia kuumwa usingizi.”

Nikacheka huku moyoni nasema “lazima uumwe chezea kulala nje wewe.”
Alikuwa anatoka, wakati anatoka aliniambia “naomba upitie ofisini tafadhali.”

Nilitabasamu na kusema “sawa boss.”
Basi Baada ya kuhakikisha mama yupo sawa na mimi nilitoka na kumfuata ofisini. Nilikuta amesimama anatazama dirishani.

Nilipoingia tu aligeuka na kunitazama kwa uso wake serious “Nashukuru upo hapa, thanks for everything, thanks for my mom, for Me. Nazwi sijui nikushukuru vipi. Una maana kubwa sana kwenye maisha yetu.”

Nilitabasamu na kusema “nashukuru sana. Usijali tuachane na hayo. Lakini sasa sijaoga, sipo vizuri. Najisikia vibaya. Naomba nirudi nyumbani halafu nirudi tena.”

Alicheka kidogo, akapiga hatua kunifuata, halafu akanisogelea mimi tena naona eneh vipi tena huyu.

NAKUPENDA BILA MIPAKA:145
Akanifikia na kushika mikono yangu akaniambia hivi “Ukiwa hapa ondoa shaka kuhusu jambo lolote, utapata kila kitu as long as upo na mimi hapa. Hakuna kitu kinashindikana mimi nikiwa hapa.”
Nilitetemeka.

Mr Gallen alinitazama na kuniuliza “naweza kukukumbatia kama kusema asante.”

Natamani kusema “nikumbatie sasa hivi ila nimeumbwa na haya. Nilimtazama tu. Si akanisogelea na alinikumbatia kwa nguvu, kama katoto.

Halafu nikawa sasa mwili nasisimka jamani, mikono yake si ikashuka kwenye makalio, mimi ndiyo nasidizi sogea mwilini mwake, akadondokea kukaa kwa kiti, akanivutia karibu. Tukatazamana. Hapo natetemeka, sina hamu.

Alivyo na nguvu, alininyanyua, akaniweka mapajani mwake miguu huku na kule, halafu akaingia mikono yake kwenye shati langu kwa ndani huku nyuma. Akanipa midomo yake, nikajikuta naifuata nampa yangu. Alivyoishika midomo yangu jamani hapa ninachoweza kusema ni “we kissed am in love, i can’t get enought of him.”

Anajua kukiss, anavyonishika, tena ni kama alinipania. Tukiwa kwenye hali hiyo, mlango ulisukumwa, vile tunatazama, niligongana uso kwa macho na uso wa Dokta tena akiwa amechukia anatoa machozi. Nilikuwa nataka kushuka pale juu. Unajua Muanko alisema “Hey relax, am here for you.”
NAAAAAAAAAAAM
HAPA NDIYO MWISHO WA SEASON THREE
SEASON FOUR inakuja nikili tu ndugu zangu mchango wenu unahitajika sana 0768304821 jina omary luambano 🙏

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE


:141
Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.”
Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.”

Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.”
Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho bado inauma na unafiki siwezi. Nitaongea naye tu nikiwa sawa.”
Dorice alivuta pumzi na kusema “Muanko kanasa jamani.”
Nikatabasamu tu.

Sasa tukalala, sina hili wala lile. Ilikuwa ni asubuhi sana nasikia mama anaita sauti ya chini “Nazwiiii!!, Nazwiii!!, Nazwiiii!!! “
Mimi sasa na sauti ya usingizi “mama kuna nini tena mbona mapema.”
Mama aliniambia kwa upole “Una mgeni.”

Nilishtuka, nikauliza “mgeni?”
Mama alisema “amka mwanangu.”
Niliamka haraka haraka, mgeni gani mafungulia ng’ombe (asubuhi) yote hii. Nilivaa vizuri nikawa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nakupenda-bila-mipaka-141-144-mwisho-wa-season-three

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nakupenda-bila-mipaka
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 76 - 86 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 66 - 75 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

224
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

215
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10

176
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

145
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

96
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.91K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.11K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest