Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sik...
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Kiungo mmoja wa mpira anajua sana halafu anaucheza kibishoo kichizi, anautwanga pala Spurs ya London
, kwenye fainali dhidi ya Morocco hakugusa kabisa nyasi za Uwanja, alikaa Benchi akiangalia Mabloo wakina Mané wakiutwanga.
Mashine kama hii haipati nafasi kikosi cha kwanza, oya Senegal wana timu nzuri wazee.
Umemtambua huyu Galacha? Mtaje.
Steve Champion
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/kiungo-mmoja-wa-mpira-anajua-sana-halafu-anaucheza-kibishoo-kichizi-anautwanga-pala-spurs-ya-london
Maoni