Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 92 kwa 93
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA 92 kwa 93

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHAMIRA
Mwandishi; lissa wa huru media
Sehemu ya 92

Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh na alichokuwa ananiuzi ni uongo.yani kaongo . Kibishi .kivivu na kijeuri yani yeye anajua kabisa mimi mfanyakazi .kuna mda unamuongelesha anabaki kimya hakujibu ata kidogo. Yeye ni baba yake tu. Na anaongea na aunt yake. Mie ananiona paka wao sijuh ata simuelewagi .alafu hashindwi kukuzushia meneno ya uongo kwa baba yake.basi uyu baba atanifokea mno mpka alikuwa anasema kazi itanishinda mana kwanza mwanae hanipendi.mh nilisema uyu mtoto nimemzaa mwenyewe hawezi kunishinda ngoja

Basi siku iyo kapo nyumbani .ilikuwa j mosi hajaenda shule. Baba yake wakati anaondoka akanmbia nimuache mtoto alale mpka saa 4 .apumzike daah et jamani katoto kakike cha mika 5 . Nikasema sawa . Basi bwana uyo akaondoka na mimi wala sikuwa na shida nikamuacha alale .kakamka saa 5 kabisa kimetoka kimenikuta mie nipo sebleni hajanisalimia ata .akasema we dada shamira njoo uniogeshe. Nikamuuliza hiyo ndo salamu wee hujuh kusalimia wew ukiamka. Eeh muangalie kwanza msula wake ilivyo mbaya umejaa mitongo tingo kama paka nyooo mshenzi kabisa wewe. Kakabaki kamesimama kananiangalia tu
Nikamwambia niamkie ndo ninaynyuke apa. Kikanisalimia uku kimenuna shikamoo. Nikaitia ndo nikanyanyuka nikaenda kumuogesha nikampaka mafuta vizur .nikamvalisha kisha nikaenda kumtengea chai.nikamuacha ankunywa chai mie nikaludi kumfanyia usafi chumbani kwake. Nikamuwekea safi kabisa. Mtoto anachumba kiziro uyu mh acheni tu. Mpka rahaa. Analala pazuri mwanangu jamani. Aya maisha ata baba yake hamdi sizani kama angeweza kumpa wallah
Basi nikalidi nikamkuta yupo sebleni . Anaangalia katoon .nikamuuliza ushamaliza kula akasema ndio. Nikasem sahani uliyokulea mezani umetoa ? Akasema mimi sijatoa katoe wewe. Nikamwambi aya katoe sahani. Kikanijibu mie siendi huoni nangalia katooni siendi . Jamni nimbonyeza konzi ilo hawezi kunisahau🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Akalia kwa sauti mi mwenyewe lile konzi lilinitoka wallah. Nikamwambia aya haraka nyanyuka katoe sahani yako. We kikanyanyuka uku kinakimbia .kikaenda kutoa akapeleka jikoni akaeka vizur kumbe adabu anayo uyu ila anachekewa .kikatoka kinalia uku kimeshika kichwa chake. Nikasema au nimemuumiza mwanangu .nikaenda kumuangali kwanza .nikamtoa mkono kichwani wala hajavimba ata mbichwa mgumu huu kama wa hamadi🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣. Nikaanza kumbembeleza mwanangu niampakata .mpka akalala.kisha nikaenda kumlaza basi nikalala nae uko uko na nikamkumbatia kabisa mtoto wangu. Tukaja kustuka jioni kabisa tena yeye mdo kaniamsha akanambia dada shamira mim nna njaa.nikasema saw. Nikaemda kumpikia wali haraka haraka. Nikatenga mezani na tukala kwa pamoja uku nampigisha stiry kumsahaulisha lile konzi🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 . Basi tulovyomaliza kula kikatoa sahani yake akapeleka jikoni.nikasema yes kumbe ana elewa uyu pumbavu

Basi uo mda tukaelewena vizuri nikimuuliza kitu ananijibu mpka usiku nasikia honi sasa nikajua baba yake analudi .basi ile anaingia tu sebleni kheeee gift kaanzaa kulia. Et baba uyu simtaki leo kanipiga kozi apa khaa konzi tangia asubuh anali sasa hivi et nyie uyu mtoto🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€
SHAMIRA
Sehemu ya 93
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Asee nikaona mwanaume kakasirika akasema ni kweli umempiga mtoto wangu. Nikasema hapana sijampiga. Gift akasema muongo bba kanifanyisha na kazi simtaki. Aseee nikaona dani kwanza kambeba mwanae akawa anamuangalia et kakupiga wapi.akasema hapa baba na hapa. Looh mtoto muongo uyu et nimempiga sehemu mbili. Mbona nilichoka mimi.nikasema wewe mjinga wewe nimekupiga wapi na wap.we mtoto mbona muongo hivyo .dani akafoka akasema kelel mpumbavu wewe. Unaongea kama nani kwenye nyumba yangu

We ni nani mpka unampiga mwanagu nakululiza wewe. Una akiri sawa sawa wewe. Unamfanyisha kazi gani mtoto wangu eeh. Nikabaki kimya namuangalia tu uyu baba.nikasema uyu baba mwanae wa kumzaa atakuwa anampenda vp . Mana uyu sio wake ila anampenda vibaya sana.na iki kitoto kinajua kama baba ananipenda basi weeee kina visa mno. Nikasema samahano boss alinijeulia. Akasema kwaiyo akikujeulia si unalipwa apa. Ama unafanya kazo bule nakuuliza wewe mshenzi.

Mimi mwenyewe sijawahi ata kumsukuma singi mtoto wangu wewe unampiga kabisa tena makonzi ya kichwa unataka kumuua. Nakuuliza unataka kumuua .mh mwnzenu lilinishuka shuu.nikabaki kimya ata la kusema sina jamani.basi daniel alifoka mno.mwanaume aliongea kweli kweli .alifoka sana tena kwa hasira. Mie wala sikujibu nikabaki tuli. Mala akaingia love. Akakuta kaka yake ananichamba atari uku kambeba mwanae. Basi love akauliza imekuwaje kwani kaka mbona hivi tena
Dani akasema sikia simtaki uyu mfanyakazi wako. Ataniulia mtoto. Kisha akapanda chumbani kwake na mtoto wake. Basi yule mtoto akawa anacheka kisha ananizomea khaaa nilichukia .mana yake iki kitoto ni kigombanishi daah.

Basi love akanichukua mpka chumbani kwake akaniuliza shida nini kwani baby .nikasema sikia madame uyu mtoto mnamuharibu mnamlea vibaya sana mtoto wa miaka 5 .akiend chooni akachambishwe. Kutoa sahani yake aloyokulia hawezi.mtoto ana majibu mabaya mno. Nimemuonya kidogo tu. Love akasema daah ni kweli gift ana hizo tabia ila bado ni mdogo usimchukulie serious bwana.nikasema hapana lakini anakuwa hizi tabia ataendelea nazo na uyu ni binti lakini. Love akasema nakuelewa sana shamira inachokiongea ila ngoja kwanza mimi nitaongea na kaka na tutaliweka sawa gift kwa sasa asikuumize kichwa ni binti mdogo sana.nikasema sawa. Kwani uyu mtoto mama yake yuko wapi?
Akasema mh ni story ndefu ila achana nayo bwana shoga. Nikasema sijuh kwa nini nimetamani kujua. Akasema ni siri kubwa. Na tunaijua wachache sana ila nikwambie kitu shamira sisi wanawake tuna roho mbaya sana. Hivi shamira umeshawahi kuzaa mh.mnona swali gumu

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA
Mwandishi; lissa wa huru media
Sehemu ya 92

Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh na alichokuwa ananiuzi ni uongo.yani kaongo . Kibishi .kivivu na kijeuri yani yeye anajua kabisa mimi mfanyakazi .kuna mda unamuongelesha anabaki kimya hakujibu ata kidogo. Yeye ni baba yake tu. Na anaongea na aunt yake. Mie ananiona paka wao sijuh ata simuelewagi .alafu hashindwi kukuzushia meneno ya uongo kwa baba yake.basi uyu baba atanifokea mno mpka alikuwa anasema kazi itanishinda mana kwanza mwanae hanipendi.mh nilisema uyu mtoto nimemzaa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-92-kwa-93

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA 82 MPK  86
SHAMIRA 82 MPK 86
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3)
SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA 67 to 70
SHAMIRA 67 to 70
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.

345
SHAMIRA 82 MPK  86

SHAMIRA 82 MPK 86

320
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

239
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)

SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)

210
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

156
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5

150
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

129
NAKUPENDA BILA  13 - 25

NAKUPENDA BILA 13 - 25

128
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½

83
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

67

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.78K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.85K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.95K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.75K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.73K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema β€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema β€œeenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema β€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
@majario LIVE

πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku...

NAKUPENDA BILA  13 - 25 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 13 - 25
@majario LIVE

MIPAKA:13 β€œKeti tafadhali.” Nilimtazama, yeye hapo hata hajainua uso wake. Nilimeza mate nikaketi hapo moyoni najisemesha β€œwenye hela wana ringa jamani kwani si anitazame hata.” Nilipoketi aliniinua uso wake na kunikabidhi karatasi akisema...

SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR) Post Mpya
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 87 Mwandishi; lissa wa huru media Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha ...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sasa hapo ndio nimekwisha sasa,uwiii,niliogopa nikamsukuma ivan,akasema nani huyo?nikasema ni ticha,akasema ticha wako ndio anakufata mpaka huku?mm nikatoa tu macho,ivan akasema subir hapa,nikasema sawa,akanyanyuka akavaa nguo akatoka mm name...

SHAMIRA 82 MPK  86   Post Mpya
SHAMIRA 82 MPK 86
@majario LIVE

(SEASON FOUR) (HURU MEDIA) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 82 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shoga yenu maisha yakaanza dodoma sasa. Nikawa nipo na kiakiba changu ndo kinanisapoti naendesha maisha mdogo mdogo. Apo...

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5 Post Mpya
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA Ni majira ya jioni ikiwa ni muda mfupi tokea ametoka bafuni kuoga kwa ajiri ya kujiandaa aweze kurudi nyumbani mara baada muda wa kazi kuisha, Isabela akiwa...

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4) Post Mpya
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
@majario LIVE

(HURU MEDIA wababe wa hili Game) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 79 Mwandishi; lissa wa huru media Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini...

*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15. Post Mpya
*MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) EP 15.
@majario LIVE

Nilikaa na kimimba changu kilimpenda, king Yani akikawia tu kuludi nyumbani najikuta naanza kulia, mpaka majilani nawapa Malala Miko napita Kwa majilani Yani mpaka king aje ndo naakubali kulejea nyumbani,...

*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“*  "1__5" Post Mpya
*BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“* "1__5"
@majario LIVE

SEHEMU YA "1"πŸ’“πŸ˜½ BY BABIE LOVE "Alikuja kama muuza chai kumbe ni BillioneaπŸ’΅" Nyie njooni niwaambie kitu ……… mnazijua chapati? Sambusa je ? πŸ˜‚πŸ˜‚ nani hazijui halfkeki ? Wote mnazijua ? Ona sikilizeni...

Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood Post Mpya
Nargis and Sunil Dutt were not just legendary stars of Hindi cinema, but also one of the most respected and inspiring couples in Bollywood
@majario LIVE

. Nargis was known for her natural acting and powerful screen presence. Films like Mother India made her a timeless icon, and even today she is remembered as one of...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest