JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
Mwandishi:lissa mwalla
Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku akivaa nguo zake.nilihisi nakufa leo maana walichokua wananifanya hawa watu n mauaji,mara mlango ulifunguliwa tena aliingia ivan sikuamini.rey akasema oyaa n vip tena?ivan akasema mwacheni huyu dogo.rey akasema tumwache vip akat anataka mwenyew?ivan alimpiga ngumi ya uso kisha akasema nimesema mwacheni,wale wakaka waliokua wananifanya wakaniachia na kwenda kugombana na ivan,ivan aliwapiga akaniambia nyanyuka vaa nguo,mm hata nguv sina,wale wakaka wakaamka kutaka mpiga ivan,akasema kwa hiki mlichofanya hakikishen mnaniua mana nikitoka hapa naenda kuwashtak aniguse mtu.waliogopa ivan akanivalisha na kuanza kunikokokotea nje.nilikua naona aibu sana tulivofika nje nikamkuta da frida pale,sikujua kafikaje.ivan akasema mchukue.da frida akanichukua ivan akatuacha bila hata kusema kitu.tulirud nyumbn nilibandikiwa maji ya kuoga nikaoga kisha nikalala nikilia tu,nilitendewa kitendo cha kinyama sana na mwaname niliempenda sana,ivan niliamin kwel ananipenda lkn nilijua kabisa hawez rudiana na mm sababu aliona kila kitu.niijiona sina thaman tena duniani,nilichukia sana wanaume.zilipita siku tatu sikuwah muona wala skia kuhusu ivan,tuition niliacha kwa mshenz rey na sikuwah muona sababu nilikua nakaa ndani tu.hakuna aliejua siri yangu.matokeo ya darasa la saba yaliyoka nilifauru kwenda shule moja ya wasichana watupu,nilifurahi sana mana sikua nanraha kabisa ya kusoma jirani na nyumbn wala kuishi karibu na nyumbn.nilibadikika na kuwa mzubavu sana muda wote nina mawazo nikiwa naogopa hata kutoka nyumbn mana nahisi kila mtu anajua kilichonipata.miriam alikua anakuja kama kawaida nyumbn lkn alionesha kutokujua nn kimenipata.baba yangu alirudi safari yake kabla ya mama haharudi toka tabora kwa mgonjwa nilifurahi sana kumuona baba.nilimjuza kuhusu kufauru kwangu akasema amefurahi sana.alitafuta mawasiliano shule ninayoenda akauliza vitu han vinahitajika akaambiwa akaninunulia vyote.mama alirudi na kaka tommy wakakuta nishanunuliwa kila kiu na kaka nae majibu yao yalitoka alifaulu pia wazazi wetu walifurahia sana.miriam alifel hivo alitaftiwa shule ya private.baba aliniplrka shulen nikapokelewa vizur na kuanza masomo pale.nilikua mtiifu sana na nilikua nasoma sana mana kama uchungu wa dunia nilishaujua.nikimaliza kidato cha nne salama nikiwa sijawahi kuwa na mahusiano tena.nilifaulu vizuri nikachaguliwa shule ya kidato cha tano mbeya loleza.da frida bdo alikua anaishi kwetu kipindi chote hiko,siku mbili kabla sijaenda shuleni mbeya sasa da frida alimuaga mama akisema anataka kwenda kuondoka,mama akasema kwa nn unataka kuondoka?akasema mama mm ni mjamzito.mama akasema mjamzito?mimba ya nani?akasema na kijana mmoja hiv mama huwezi mfaham,mama akasema frida kweli una mimba'?na unataka kuondoka?akasema ndio mama sababu sitaki kukutua aibu.mama akasema hapana nimeishi na ww kwa muda sana nataka kma unaondoka uondoke kwa heshima frida mwambie huyo mwanaume aje hapa akuchukue kwa heshima.da frida akasema mama nisamehe mm nimeshaamua na nimekutaftia msichana mwingine anakuja kesho,mama akasema kumbe ulijipanga eeh?da frida akasema hapana mama nilijua hali yangu ndio mana.mama aliendelea kumsihi da frida amlete bwanake ndipo aondoke lkn da frida alikua anabisha mara baba akatoka maana alikua chumbn,akasema nn kinaendelea hapa?mama akasema frida anataka kuondoka,baba akasema kwa nn?mama akasema ana mimba et.baba akasema sasa shida nn mbona kama mabishano?mama akasema nilitamani kumuaga vizur,baba akasema umuage vizur nn mtu ashakuambia anataka kuondoka?mwache aende.mama akasema sawa.basi da frida aliingia chumbn akafunga vitu vyake huku mm nikiwa nahuzuni sana.nikasema da frida unaenda kuish wapi?akasema sijajua baba kijacho kanitaftia wapi lkn namba yangu ya simu si unayo?nikasema ndio.akasema basi tutawasiliana.nikasema naskitikasana,akasema tutakua tunawasiliana wala usijali nikasema sawa.kesho yake alikuja dada wa kazi mdogomdogo.mama alimpa pesa na vyombo da frida vya kuanzia maisha kisha da frida akaondoka zake.nilienda shule na mm na kuendelea na masomo yangu.sikuwah mpata da frida kwenye simu sijui alibadilisha au ilikuaje sijui.nilimaliza form six nikafaulu vizur nilikua nasoma science hivo nikaanza kutafuta chuo cha kwenda kusomea udokta nikapata muhimbili nilifurahia mana ndio chuo nilikipenda sana.nikiwa nasubir tarehe zifike za kuripot nilianza kufanya taratibu za chumba cha kuish maana nilikua sitaki kukaa hostel nikapata chumba,baba akaninunulia kila kitu cha ndani kama kitanda na jiko la ges,feni mama akanunua vyombo na tv nikawa nina kachumba changu kamekamilika.nilifungua chuo masomo yakaanza.nilipata rafiki chuoni aliekua anaitwa bella alikua akiishi ilala tulipatana na wote tulikua wasongo wa chuo.bella alipata boyfriend chuo lkn mm sikua na boyfriend kabisa na sikutaka mambo hayo.siku moja ilikua jumamos hatukuwa na vipindi bella akasema nimpitie kwao twende beach angalau tukapoteze muda,nikasema sawa hivo mapema nilijiandaa na kupanda zangu gari na kwenda ilala sasa.nilishuka na kuanza kutembea kuelekea kina bella nikiwa natembea nilitupa macho dukani mara nikamuona da frida akiwa na katoto mmh da friidaaaa niliita,lkn hakuskia anadhani alishanunua kitu chake maana alianza kundoka akiwa na kale katoto amekashika mkono wanatembea,akioi yangu ikaniambia nimfate kimya kimya nijue anaishi wapi.nilimfatilia nikaona anaingia kwenye nyumba moja nzur tu ina geti.alivoingia nikasubir kidogo labda atatoka lkn hautoka niichunguia nikaona anafua kibarazani nikajua ndio kwake nikasukuma geti nikaingia da frida alistuka akaniangalia nikasema da friddaa waoo.da frida alionesha tabasam la woga sikuelewa nilienda na kumkumbatia mara kale katoto kakawa kanatoka ndani kukaangaia kamefanana sana na kaka tommy mmh kabla sijasema lolote alitoka baba yangu akiwa na kitenge tu na singlend ๐ณ๐ณ.....
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni