SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
(HURU MEDIA wababe wa hili Game)
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 79
Mwandishi; lissa wa huru media
Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini wewe si unanjiona san maraya na unaweza sana kutembea na wanaume za watu sasa leo ndo ntakuonesha mshamba wewe. sasa ntakukomesha lioni na mishanga yake kiunoni kama lichawi .daaa yule mama hamuwezi amini alinisukuma mpka nje nikiwa na chupi na didiraia tu.kiukwrli mimi ni maraya na mshenzi ila huwa sivai nguo za ovyo kabisa. Sio mtu wa kujiacha uchi kabisa.mimi mala nyingi napenda kuvaa vijira vyangu tu. Ila uyu mama alipa ga kunikomesha jamni๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ.basj nilipata fedheha ya mwaka siku .nilipotole nje pale dukani kwangu.nilishangaa kumkuta aisha yupo pale tena kajaa tele anashangilia madhaliliko yangu daah uyu dad jamani ina maana hakumbuki jema langu aya moja nililomfanyia.basi nilichuchuma kwa aibu ili nijifiche badj ma mana mh kulikuwa na watu kama wotr. wananishangaa jamani .bianadamu sisi ndo kwanza wananipiga oicha na kunichukua video na sio kuja kunisaodia.daah niliumia sana.
Tena yule mama na mkwe wake wakanifata pale chini nilipochuchimaa wakanza kunichangia.walinitandika mabao ya maana kweli kweli jamnia mh. Kiukweli sikujalibu ata kupigana nao niliona nitajizalilisha tu wakafanikiwa kunivua mpka sidiria uku watu wananipiga picha .nilidhalilika hii siku jamni sitaki kuwasmbia . Wakawa wanafosi eti wanivue na chipi alafu wanitembeze uchi mana wamesikia taarifa zangu kuwa katik huu mtaa mimi ndo maraya san na ni kWaida yangu kuchukua waume za watu daaah. Yule mama ana nguvu jamani mh. Nilisikia pale wanaonvea ongea kuwa yile mama ni mwanajeshi sijuh. Oyaa mbona nilieza mimi jamani daah . mimi na ujeuri wangu wote kwa yule mama nilifloat nakwambieni nilikuwa nalia uku naomba wasinifanyie hivyo.yani walikuja kunigombelezea wababa ndo wakawazuia wasiendele kunipiga na waache kunivua nguo. ila wanawake wenzangu ndo kwanza wanashangilia .acheni tu
Na mda uo uo ndo husna anafika maskini nahisi alisikia habari zangu labda kuwa shoga yake nadhalilishwa .husna alivyofika tu akanifunika kitenge kisha akanichukua .akanikodia boda na yeye akapanda nyuma uku tumemuacha yule mama anatukana mno .yani ata duka sikugfunga nililiacha wazi kabida mh nilidhaaririka sana ile siku mimi yani niliachwa utupu kasoro chupi tu .na ndp wafu wasingemigombelezea wangenivua leo daaah niliumuia sana
Nilipofika kwa husna nililia mno .husna akanmbia sikiliza hakuna kushindwa apa nataka twende polisi tukawashtaki kwanini wakudhalilishe vile.nikabaki nalia tu nikasema leo nimedhalilika mimi .yani leo nimeumbuka na naona ata aibu kutoka nje mimi.nililia sana .dakika 2 tu habari zangu zilismbaa charambe nzima kuwa nilikuwa natembea na mume wa mtu mama yake na mkewr wamekuja kunikomesha mpkannguo wamenivua na mamenitoa nje nikiwa na chupo tu daaah๐ญ๐ญ๐ญ..watu wakawa wanatumiana picha zamgu jamani .mngeniona jinsi nilivyokuwa nalia na kuficha utupu wangu mngenionea huruma walijua kunidhalilisha sana .mimi
Uko mitandaoni nikawa gumzo daah. Milikiwa nalia mpka nikatamani kujiua kwa ile aibu ntatembeaje hii charambe mimi jamani.mbona naadhirika jamani.niliumia mno yani zaidi ya sna .nakumbuka nilojifungia ndani kwa shoga yangu husna week 2. Sitoki kabisa. Uku nikisikia nachambwa sana na kina aisha na duka langu lilikufa mana naskia yule mama alitupa vitu vyote nje yani aligawa kila kitu.kawapa watu et ..ina maana pale hakuna biashara zaidi ya fremu . Yule mama sitamsamahau jamani yani kama sio mwanamke mh.ana roho ngumu sana.na kwa mda wote uo hamadi hakuwa kunipigia ata siku moja yani kama vile hakuna kilichotokea
Eeeeh bwana hii mdo season ya mwisho ndo na buku lako uje kumaliza mambo ni moto๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ mno
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 80
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Apo na mimi simu sikuwa nayo mana katika lile varangati nilipoteza mpka simu. Sikuwa na raha ata kidogo niliwaza sana. nikaona kwanza hamadi sio mwnaume tena na kwa hii aibu dar naikimbia wallah yani hakunifai tena niliangalia akiba yangu niliona nna kama laki 8. Nikaona apa natafuta pa kwenda jamni.dar siwezi ntaweka wapi sura yangu bola mikoa mengine naweza pata amani kabisa.mana ntakuwa mgeni na hakuna ambahe atakuwa ananijua
Baada ya kukaa week 2 kwa husna week 2 nikijigungu kukwepa ainmbu ndo siku iyo sasa ndo hamadi alipiga na alimpigia simu husna akaomba kuongea na mimi
Nikachukua simu akasema sikia we maraya nazani ulichokitaka umekipata.na aya mambo wewe mwenyewe ndio uliyoyapaki.nazani ulikuwa hujui madhara yake ila sasa umejua na umeelewa bila shaka. kama ungetulia na usingemtafuta mke wangu ata mama asingeyajua ayo ila kuangaika kwako ndo kumekuponza mana wewe ulitaka mke wangu akujue kimekuramba sasa .na kuanzia leo tumeachana rasmi.kila mtu afanye maisha yake na mimi nifanye maisha yangu basi .mana kama kukusaidia nshakusaidia sana ila usaidiki .nikasema sawa kisha nikakata simu .sikutaka tena maelezo mana niliona ananiumiaza tu. na moyo wangu teali unavuja damu mno.kwaiyo sikutaks tena maneno.
Nilimtuma tu husna akanichukulie vitu vyangu vyangu vyote vya ndani pale nilipokuwa naishi .kisha nikamwambia aniuzie anaipe pesana na baadhi abmvichukue yeye mie nampa tu shoga yangu . Akanambia powa .na kqeli husna alienda kufanya uo utaratibu ila hakuchelewa sana akarudi kchoka mno akanmbia shosti hakuna kitu ata komoja kumbe mwanaume na ndugu zake walienda kutoa vitu vyake.mana mama mwenye nyumba alimwambia hamadi ndo alienda na watu wengine wakatoa vutu vyote.na shoga akanipa mchapo huo.nikasema sawa. Basi nikajivuta tena kwa siku kama tatu pale kwa husna. Apo nje sitoki mwenzenu naona aibu mno nyie kubakishwa na chupi sio mtaaani alafubwatu wamenipiga nyie hapana
Badi siku iyo nilimwambia shoga nashukuru nimekaa na wwe kwa wema sna ila nasepa zangu nakimbia dar ntaweka wapi sula yangu kila mtu ananijua naona niko uchi sana. Nilikua naongea uku nalia shoga yangu ndo alinibembelza akaniupiza unaondoka wapi sasa na unaenda kufikia wapi.nimasema mimi nimepafikilia dodma nikatafute maisha uko kwa dar nishaona sielewi
Basi husna akasema acha nikuelewe shoga yangu mana yaliyokukuta ni makubwa na mazito sana mungu akufanyie wepesi sana na akutangulie uko uendeko ila usiache kuwasiliana na mimi kipenzi changu .nikasema saw hamna tabu.na kweli mie ila akiba yangu ndo niliitoa na kesho yake saa 11 alafajir tu mimi ndo nilianza safari ya kuelekea stand kupanda basi ma kuelekea dodoma. Nakumbuka mpak mchana moda ya saaa 8 kasoro. niliingia dodoma mjini .nikiwa sielewi ata kitu kimoja apo mkono nna kama laki 7 na nusu .nishaingia mji wa watu sina sehemu ya kusihi na ndo ilikuwa mala yangu ya kwanza nafika dodoma na sijawahi kuelewa chochote kuhusu doduma ila akiri ilinambia uku tu huwenda nikatengeneza maisha yangu na mimi sasa mana daaah
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRAo
Sehemu ya 81
Wassap; 0742443214
Mwandishilissa wa huru media
Basi bibi mie niatafuaka kilodge cha bei ya elfu 10 nikalal kwanza mana nilichoka sana hii siku .nikaja kustuka usiku sababu ya njaaa nikaenda kutafuta chakura nikapiga msosi nikaludi tena kulala .mawazo yakiwa mengi sana nikaiwa nawaza uku ntafanikiwa kweli mungu wangu mbona sielewi au na uku yatanikuta yake yale.nikasema no muhimu ni kutuliza kuchwa na akiri yangu na nijitambue kuwa sasa mimi ni mtu mzima
Basi nililala lodge kama siku 3. Na nilipapenda dodoma kiukweli mana hali ya hewe ilitulia sana nikaona wala sio shida ngoja nitulie uku kwanza maisha yaendleee . Basi bwna nikaanza kutafuta dalali anitafutie chumba na kweli nikapata chumba kimoja tu tena cha kiza mana mambo yangu magumu sikutaka mambo mengi na niko katika miji ya watu na sina ndugu wala rafiki uku.
basi nikanunua kigodoro kidogo dogo na vyombo vyangu vichache nikaanza maisha hwana. Nilikaa kama weeek 2 ndo nilimkumbuk sasa shoga yangu husna iila sina simu.nikapunguza kiakiba changu nikanunua simu ya elfu 25 .na hii siku nikampig simu shosti na kweli haikupita mda akapokeaa .akanambia daahh nlivyoona kimya nilivurugwa sana .nikawa nawaza shoga yangu ndo kanichunia mpaka mimi hajanitafuta
Nikasema nipo bwana shoga yangu ila nilikuwa naweka mazingira sawa si unajua tena uku mwenzio mgeni . Akasema kweli vp chumba umepata. Nikasema ndio nimepata shoga .Akasema sawa we uko kuwa busy na maisha na usiwe mnyonge tafuta kazi yoyote fanya shoga yangu mladi maisha yaende tu. Na bola umeondoka uku shoga yangu. huwezi amini mke wa hamadi na mama yake hamadi walikuja tena mpka apa et wanakuta.mh Nikasema sikia achana nao .we fanya mambo yako kila kitu kitakaa sawa.basi tukaongea tu mambo mengi sana na shoga. Ila niliona familia ya hamdi wamepanga kuniua daaah. Na mbaya zaidi hamadi asimami upande wanngu ata siku moja .sasa apo kuna .apenzi aua usenge
Badi shoga yenu maisha ya dodoma ndo yakaanza sasa .mawazo yakiwa mengi sana nikawa nawaza uku ntafanikiwa kweli mungu wangu mbona sielewi au na uku yatanikuta yake yale.nikasema no muhimu nitulize kuchwa na akiri yangu na nijitambue kuwa sasa mimi ni mtu mzima
Kiukweli nilipapenda sana dodoma mana hali ya hewe ilitulia sana .nikaona wala sio shida ngoja nitulie uku kwanza maisha yaendleee .
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni