Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
17 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐ธ๐ณ
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake.
Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa mkononi akaamua kusita kwenda.Na.kuamua kuomba msaada kwa golikipa wao Mostafa Shobeir naye akaokena kusitasita.
Mwamuzi unatakiwa kusimamia mamlaka uliyopewa kwa usahihi,sio kuwa muoga muoga wa kuogopa kwenda korokoroni.Wakati sheria 17 zimelala kichwani.
Al Ahly amegomgwa Tunisia,ngoja tusubiri mechi ijayo Misiri.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
๐ฉRais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. ๐ด Maamuzi yaliyotangazwa: ๐ต Kup...
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐ธ๐ณ
Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake.
Kuna afisa mmoja wa benchi la Al Ahly alitaka kwenda,baada ya kuona kadi nyekundu imeshikwa mkononi akaamua kusita kwenda.Na.kuamua kuomba msaada kwa golikipa wao Mostafa Shobeir naye akaokena kusitasita.
Mwamuzi unatakiwa kusimamia mamlaka uliyopewa kwa usahihi,sio kuwa muoga muoga wa kuogopa kwenda korokoroni.Wakati sheria 17 zimelala kichwani.
Al Ahly amegomgwa Tunisia,ngoja tusubiri mechi ijayo Misiri.
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mwamuzi-wa-mchezo-wa-esparance-dhidi-ya-al-ahly-issa-sy
Maoni