SHARON 1 mpka 5
๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ
*SHARON*
Sehemu ya 1
Kwa majina naitwa sharon hillary, mm ni mtoto wa 3 kuzaliwa katika familia ya watoto watatu, so mm ni wa mwisho kuzaliwa wa kwanza ni kaka yetu anaitwa roby anafata dada angu anaitwa vero alafu ndo nafata mm ,mm ni msukuma wa mwanza ila wazazi wapo dar kwetu sis ni familia ya hali ya kati yani kwetu sio maskin sana na sio kwamba tuna pesa sana.baba na mama yangu wote ni walimu tulikua tunakaaa mabibo dar pale ndipo ilipokua nyumba yetu.
Jamani mm nilikua mzur yani nilikua mzur sana. niliumbika kwanza nilikua mweupe nna midomo mipana nna nyusi zile zimejaa. nilikua na mwili wa kawaida kiuno kimechongeka ila nilikua na mtako mno yani nilikua nikitembea mpka naona aibu watu wananiangalia hasa boys. basi sikuwa mtu wa kutembea tembea na mama alikua mkali sana kutuchungu baba ndo usiseme kesi yako ikifika kwa baba umeisha baba angu anapiga mno hana masihala ata kidogo .Nilikua na akili mno yani tangu naanza chekechea mm naongoza wa kwanza tu nikishuka wa 3 baba ananichapa ananambia apa sitaki ushuke nataka uwe wa kwanza sitaki wajinga nyumbani kwangu mana ata ndugu zangu walikua wana akili mno tu basi najitahid kweli kweli nakuwa wa kwanza yani kuanzia shule ya msingi mpka namaliza form six mm naongoza tu, mama alikua ataki masihala kila baada ya mda ananikagua kama sijatumika alinambia ujitunze sana uje utolewe bikra na mume wako ndo heshima nasema sawa mama mimi najitunza, shule zote nimesoma boarding nikilud likizo ndani tu na mama alikua aniluhusu kabisa kuzulula njeee basi nakaaa tu ndani mpka likizo yangu inaisha naenda shule so sikuwa najua kabisa watu wa mtaaani na kwetu kulikua na kafensi ndo kabisaa
Nilipomaliza kufanya mtiani wa form six nkalud nyumbani sasa nasubili matokea ya kwenda chuo apo kaka teal ana kazi dada yeye alikua chuo mwaka wa mwisho mm ndo nilikua nasubir majibu yangu ya mtihan asa iyo siku mama kaludi kazin akanikuta naangalia tv akanituma akanambia sharon nkasema abee mama akanmbia nenda pale dukan ukachukue chumvi naona imeisha kweli mama akanipa pesa kwetu na dukani kuna kaumbali kaidogo ila sio mbali nkaenda nkanunua asa wakati naludi nkakutana na mkaka akanambia mambo mrembo nkamuangalia kwa dharau nkajua awa ndo wale wale wasumbufu tu wala sikumjibu nikawa naondoka kama simsikiii akanambia mrembo kibur hakisaidiii umeangusha pesa hiii sio kwamba nataka kukutongoza au sio yako niiokote mimi heee naangalia mkononi nakuta kweli nimeangusha elfu moja nkageuka chapu nkaenda iokota akanambia unadhani mda wote ukiitwa unatongozwaa ehee nkamwambia samahni sikujua akaniangalia akasema na ulivyo mbaya akutongoze nani nkasema hee uyu kaka chizi nn mm mbaya wakati kila mtu ananisifia mm mzur jaman nkabaki kimya namuangalia akasema mkiona watu wanawasalimia muwe mnaitikia mtakuja kufa hv hv kwa dharau zenu alafu uyooo akaondoka zake niliona aibu nkajisikia vibaya nkasema jamani zalau nyengine hz tuziache khaaa mtu unaweza poteza kitu cha maana hiv hvi ila ndo anichambe hv khaaaa basi nkaludi nyumbani nkampa mama chumvi nkaendelea na mambo yangu
Iyo siku nkawa nimetoka zangu kanisani ilikua j pili naludi nyumbani nimevaa vzur nimependeza guu hilo nna kiatu kirefu nkakutana na yule mkaka sasa alonichamba akanmbia mambo nkasema poa akacheka akasema ulivyoitika halaka halaka sasa au unazan na leo umeangusha pesa nkacheka nkasema nimeamua tu kukujibu akanambia hv unaitwaga nani ww nkasema naitwa sharon akanambia ahaaaa umependeza sharon unatoka kanisan nkasema ndio natoka kanisan akasema ahaaa mm naitwa jamal bana nkasema ahaa ww muislamu akasema ndio mm muislamu nkasema ahaa kwaiyo nyny si mnaswali akasema ndio uoni sula ya swala hii nkacheka nkamwambia ata siioni akanambia unaishi wap kwani nkamuelekeza akanambia naomba nkusindikize basi nkakubali akawa ananisindikiza ananipigisha stry kama sio yeye alonichamba na mm sikutaka kumuuliza tena ya kuchambana, nilimzoea gafra tu akanambia sharon nipe namba zako za simu basi nkamwambia mm sina simu akasema kweli nkasema ndio mama ananikataza akacheka akasema hee kumbe ww mtot wa mama eeh nkasema ndio akanambia khaa mbona sasa mm nilikua nakuona mkubwa una miaka mingapi kwangi? nkamwambia miaka yangu ya nini ata sikwambiii akacheke tu nkamwambia ww unakaa wap akanambia mm nimepanga apo mtaa wa pili sharon bana akanielekeza uo mtaa naujua ila anapokaa sikupajua nkasema sawa basi kwaher mm nakalibia kuingia ndani akasema basi sawa kwaher nimefurah leo ujaninyali nkacheka tu nkamwambia kwani umesikia mm ndo huwa nawanyali watu mda wote akanambia powa sharon tutaonana siku nyengine nkamwambia powa nkaagana nae nkaingia ndani ile naingia tu namkuta mama sebleni kakasilika akaniuliza eeeh yule ulikua umesimama nae apo nje nani nkastuka nkasema toba kumbe mama kaniona
๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ
SHARON
Sehemu ya 2
Mwandishi; maramoja the great.
Nkasema mama yule mm simjuh akanmbia nn ww nkasema yule nimetoka nae kanisani alinambia anakaa mitaa ya huku ndo akawa ananiubilia neno uku tunatembea akanambia wee mbona ajavaa kikanisani yule nkasema mama yule ni mlinz pale kanisani hakuja kufanya ibada akanambia sharon sitaki uwe na mazoea na wanaume umli wako bado unaelewa ww nkasema ndio mama akanambia shauli lako mm uyo nkaingia chumbani nkaenda kuoga na kubadilisha nguo nkaanza andaa chakula cha mchana
Basi ikakata kama week nikawa nikitoka nje sikuwa namuona jamal kabisa naitwa itwa na wanaume wengine tu nkasema mh uyu mtu mbona simuoni ata au alinidanganya akai uku nkajikuta nimemmรฌs gafra uyo nkaachana nae ikakata kama miez 2 iyo siku nipo chumbani nasikia kaka ananiita uko sebreni, sharon we sharon nkatoka nkasema abee kaka akanambia matokeo ya form six yametoka nkasema kweli kaka sikuwa naogopa ata mana nilikua najiamin mno na najua kichwa changu kaka akuchukua PC akanambia ebu taja namba yako ya mtihani apa nkamtajia namba kaka akachek kweli nimepiga 1 ya 3 na nilisoma ECA aseeee kaka alifuraha uyo kama kafauru yeye akaja mama sasa akasema kuna nn mbona furaha nyingi kaka akasema sharon kafauru kapiga one ya 3 wee mama alifurah mpka ananinyanyua kaka akasema sasa nakununilia simu naanza kukufanyia maandaliz ya chuo mapema nkseama sawa kaka familia yangu ilifurah sana kwa mm kufauru basi kaka kweli akaniletea simu kubwa nzur akaanza nielekeza jins ya kuitumia sasa nkawa na simu akanambia ngoja nifanye utafit ukasome chuo gani ila nataka ubaki apa apa dar uende udsm ndo chuo kikubwa nkasema swa kaka akuna shida, akanambia umenifurahisha mno yani dah nna raha sana mdogo wangu ata vero akufauru hv
Iyo siku naenda sokoni sasa nkamuona jamali yupo na rafik ake wanaongea wamekaa hv sehemu nkasema yule si jamal au namfananisha. jamali ni mkaka flani hv mzur ana weusi flani wa kuteleza mwembamba mlefu anajipenda sana kila nikimuona huwa msafi sana japo anavaa simple tu ila ni mkubwa kwa mm simpati labda analingana na kaka roby asa nikiwa namuangalia na yeye akaniona akaninyishea mkono alafu akawa anakuja kunifata nkasimama kumsubir akaja akanambia vp nkasema powa upo akasema nipo unaenda wap nkamwambia naenda sokoni, akanmbia ngoja nkusindikize basi mana na mm nilikua nataka kwenda kwa mshikaji wangu mmoja anakaa mitaa ya sokon nkamwambia sawa tukaanza kwenda sasa nkamuuliza mbona nilikua sikuoni mda sana,akanambia kazi mama nkamuuliza ulikua unalid uskku sana mpka uonikani akanmbia mm ni dereva wa aya magar makubwa kuna mda navuka nje ya tanzania ndo mana nakaa sanaaaa asa nikienda congo ndo mana nkasemaaa ahaa kumbe sikujua mala simu yangu inaita nkatoa kwenye mfuko wa suluali nkapokea alikua ni mama , nkasema hallow ,mama akasema ww ongeza nyama kilo moja nkasema sawa mama nkakata jamal akasemaa ahaa kumbe now una simu nkamwambia ndio nna simu kannunulia kaka najiandaa mwenda chuo akasema nipe namba zako basi kweli nikampa akanambia asante sana nkasema usiwaze basi kweli akanipeleka mpka sokoni na kuludi akanisindikiza nkamwambia usifike mitaaa ya nyumbani mama atakuona mana ile siku alikuona akasema aaha basi powa akaniaga akaondoka na mm uyo mpka nyumbani nikampa vitu mama nkaingia chumbani sasa nkashika smu yangu nakuta sms namba ngeni imeuliza umefika mm jaml nkasema ahaaa ndio nimefika akanambia basi nafurah na hii ndo namba yangu save basi dear nkasema sawa nshaisave akanambia powa mrembo baadae basi nkasema powa
Nkatoka kumsaidia mama kuandaa chakula cha jioni tukapika tukamaliza kaka akaja sasa akanambia nshakuombea udsm dogo unaenda kupiga finance pale nkasema sawa kaka akanambia ukajitahid usiende kuzingua sawa ww nkasema ndio kaka ntajitahid akanambia nakuamin sana sio unaenda chuo unaenda babaika na wanaume nkasema apana kaka mi ntajitahid akasema sawa, baba akalud tukapata chakula cha usiku nkaingia chumbani kwangu sasaa nkashika simu nakuta jamal katuma sms nying nkamtumia sms sasa nkamwambia nilikua naongea na wazee akanmbia nilijua umelelala et nkasema mh mbona mapema hvo akanambia unajua nn sharon nkasema nambie akanambia yani sharon unajua ww mzur sana nkacheka nkasema uyu si alinichamba akanambia mimi mbayaa ๐ nkasema mh mm sijuh ila najijua kama mm mzur ila sikuwa nalinga ata mana watu wengi wananambia sana akanambia ila sharon mm nimetokea kukupenda sana yani nahis nakupenda mnoo mama angu nkasema mh kazi ipo apa nkasema mm kwa sasa sitaki kuwa na mahusiano ya kimapenzi akanambia ahaaa usifanye hvo bana nkamwambia kweli mala akapiga nkapokea akasema sharon nkasema abeee akanambia usinifanyie hvo mama nakupenda mno sharon yani nikiwa na ww nahis rahaa mno na amani plsss naomba tuwe wote mpenzi nkasema mm umli wangu wa kuingia katika mahusiano ya kimapenzi bado akanambia kwan una miaka mingap mama angu mbona unanitesa mwenzio nkamwambia 18 akanambia asa mbona ww mkubwa mama shida ipo wap nkamwambia ndo hivyo mm bado labda tuwe marafik hiv hvi akanambia sawa bana
๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ
SHARON
Sehemu ya 3
Mwandishi; maramoja the great.
Basi nikawa nawasiliana nae tu tunapiga sana stry asa usiku ila hakuacha nitongoza mm nampotezea huwa tunaongea kila siku kuanzia saa 4 mpka saa 6 ndo tunalala iyo siku nimeagana na mama kuwa naenda kulala nkaingia chumbani sasa nkachukua simu naanza mpigia jamal hapokei ata nilimpigia sana nkawa naumia nkasema uyu msenge leo ana mwanamke uko ndo mana apokei nilipiga mno akupokea nkalala usingiz hauji naona nna hasira wivu umenishika naamka nachukua simu nampigia tenaa nilipiga simu kama chizi mpka nkalala asubuh sasa saa 12 ndo anapiga nkapokea na hasira nkamwambia ulikua na mwanamke uko ndo sa hz unanikumbuka mm sio akasema heee yametokea wap sasa ayo mama haipoo hvyo mbona sharon jana nilichoka kuna kazi nilifanya mchana nilipooga kushika kitanda
Nkalala mama wala haipo hivyo apa ndo nastuka nasika simu na ww ndo wa kwanza nakupigia nkamwambia ww unaona mm mtoto eeh nimepiga sana simu usingiz gani usiostuka akanambia mm nimeeka silence ndo mana sijasikia nisamehe basi mama angu siludiii kwa ile sauti nzur ya kupoa ya kiume we apo ndo nkapoa nkasema nn iki mbona kama nampenda jamal nkasema sawa uwe unaeka simu sauti basi akanambia powa mama ngoja nieke basi alafu nkutumie na pesa ya vocha nkamwambia powa ile nakata simu ikaingia 30k nkafurah nkamwambia asante akanmbia usiwaze ata
Nkaaamka kuendelea na kazi zangu mama akanambia sharon ukimaliza kazi zako uende sokoni kuna mahitaj yameisha sawa nkasema sawa mama, nkamaliza kazi zangu mama akanipa pesa nkaenda zangu sokoni nkanunua mahitaji yote ya ndani mama aloniagiza asa wakati naludi nkamuona jamali kapendeza mwenyewe kasimama na mwanamke wanaongea alafu yule mwanamke anacheka sana nkasema weee uyu ananichezea eeh uyu nani kumbe uyu kaka malaya eeh yani wivu ukanishika mm nkaenda pale pale ,jamali hakustuka ata nimenuna atali jamali akanaiangalia akanambia mambo nkasema poa jamali akawa anamwambia yule dada ,da amina uyu wifi ako anaitwa sharon akanambia ahaaa mambo sharon apo ndo moyo ukashuka sasa baada ya kujua ni dada ake nkasema powa vp yule dada akajibu powa wifi alafu jamali akanambia sharon uyu dada angu mtoto wa ma mkubwa sawa nkasema sawa, akawambi amina ntakuja nyumbani basi baadae ngoja nimsindikize wif ako yule dada akajibu powa ila ndo umlete sasa nyumbani na ww jamal akacheka akasema sawa sis nipo katika process akanipokea sasa kapu yule dada akasema powa broo akaanza nisindikiza njiani ata siongei nipo kimya akanambia asa umenuna nn nkasema mm sijanuna ata akacheka akanambia alafu sasa ukinuna unazidi kuwa mzur nkacheka sasa akanambia acha mawivu yule dada angu nkasema wee wivu mm niutoe wap kwan mm ww mtu wangu mm pale nilikuja kukusalimia tu akasema kusalimia gani vile gafra umekuja na mahasira kama umekuja fumania bwana nkabaki zangu kimya akanambia acha mambo ayo bwana nkasema amna ata bana si yaishe na ww akacheka akasema powa yameisha mama ake, basi akawa ananisindikiza uku tunapiga sana stry akafika mitaa flan akanambia mi naishia mtaa wa apo chini basi nakuacha apa naenda kwangu nkamwambia sawa bas utaki wageni kwako eeh mbona ata unikalibishi akacheka akasema nataka ila najua ww hautakuja na mashauzi yako ayoo. nkasema ujanialika ila ukinialika ntakuja akacheka akanambia njoo basi kesho mana kesho kutwa nasafir nkamwambia mh unenda wap, akanambia napeleka mzigo malawi nkasema we na kimwli iko unaweza kweli kuendesha ile migali mikubwa akasema mbona kawaida tu mama nkasema basi powa kesho ntakuja akanambia nakungoja mgeni nkaacheka tukaaagana nkaludi home nkasema mh jaman asa kesho apa mm naagaje na mama anavyonichunga ataki ata nitoke iki kipengele nkawaza sana nkampigia dada ye yupo dodoma udom chuo mwaka wa mwisho
Nkampigia nkamwambia dada mm nataka toka na rafiki zangu tumemaliza form six , asa mama awez niluhusu niasaidie basi na mm niende kila siku nipo ndani tu akanambia pole ngoja nampigia mama nampanga kuwa kuna kitu nimeagiza kutoka zanzibar ukanifatie bandarin kesho nkasema yes dada nisaidie bana, akanambia uwe makina sasa nkasema sawa dada akanmbia au unaenda kwa shemej ww unanipanga nkasema amna ata dada akanambia powa
Usiku mda wa kula tupo mezan mama akanambia ww dada ako kapiga simu kesho saa 4 ukamfatie mzigo wake bandarin sawa nkasema sawa akanambia ukawe makin usije mtupia mwenzio vitu vyake nkasema sawa ,mama akasema maelezo mengine kasema atakupigia atakupa mwenyewe nkasema sawa mama, nkamaliza kula nkatoa vyombo nkaaga naenda kupumzika nkaingia chumbani kwangu chapu nkachukua simu nkamtumia sms jamal akasema vp nkamwambia mda wangu kesho saa 4 hv ndo nakuja akanambia sawa kalibu nkasema asante tukapiga sana stry nkamwambia mm nalla akanamnia powa ntakuona kesho mrembo wangu basi akiita hvo nasikia rahaaa nkasema powa .
๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ
SHARON
Sehemu ya 4
Mwandishi; maramoja the great.
Kesho nkaamka nkafanya kazi zote nkaoga nkavaa kigauni chngu cha kumwaga mshepu kama wote nkavaa viatu vya kuingiza tu nkachukua na pochi yangu nkaenda muomba mama nauli akanipa elf 5 apo mama angu alichukua likizo so alikua home tu nkatoka uyo nkachukua boda mpka sehemu ambayo jamali amenambia nimngoje nkampigia akanambia umefika nkamwambia ndio akanambia aya nakuja kweli akaja amevaa pens na t shirt lake kapendeza tu akanmbia woow nilizan hautakuja nkasema kwa nn aya ndo nimekuja sasa akacheka kanishika mkono tukaanza tembea sasa hatukutembea sana tukafika nyumba flani hv ina geti kubwa tukaingia ina vyumba kama vinne hivi tukaingia kimoja ndo palikua pake amepanga chumba kimoja akanambia kalibu ndani sharon nkaingia woow chumba kimoja ila msafi mno ana kitanda na godoro kubwa limejaaa kitanda kilefu alafu katandikka vzur na flat tv kama nch 43 hv ipo ukutani na ana sabufa na kabati la nguo la milango 2 yani simple tu na kifriji chake kidogo hv hakua na kochi ata na chini kaeka kapeti kulipendeza mnoo nkasema asante akanmbia asa mgeni mm sina ata sofa apa itabid ukae kitandani kweli nkakaa kitandani akanambia ehee umu kuna soda tu mgeni wangu nkasema nipe fanta kweli akanipa akanmbia kalibu sana ndo naanza maisha mwenzio nkasema ata hvyo mbona umejitahid hongera mwaya akasema ahaa ww unanicheka kisogoni ww nkasema amna ata akanambia powa apa ndo nimepanga sharon ukinitaka utanikuta apa sawa nkasema sawa tukaongea sanaa akanambia kwaiyo chuo lini sasa nkasema mwez ujao akanmbia dah mm nnapoenda kupeleka mzigo safar hii nahis ntakaa mwez hv mana kushusha inakuaga foleni mno nkasema ahaaa akasema yes nkamwambia kwan ww wazazi wako wapo wap akanambia mi wazazi wangu wapo morogoro mi mruguru ila nimekuja kutafuta maisha nilifikia kwa mama mkubwa yule dada angu nilikua naongea nae siku ile kwao ndo nilikua nakaa sio mbali sana na apa nkasema kumbe basi sawa
Akanmbia sharon vp sasa si unajua nakupenda sana alikua mkavu na yupo serious sikuweza ata muangalia ata nkainama akanambia nakupenda sana sharon naomba kuwa na ww plsss ata mimi nampenda sana uyu kaka ndo mana napata wivu nae sana ila nakumbuka maneno ya mama alishaniambia bikra akanitoe mume wangu ndo italeta heshima asa nikimpa akaniacha je alafu mama akijua itakuajee
Akanambia nakupenda sana sharon naomba kuwa na ww plss unanitesa mwenzio nkabaki kimya ata cha kumwabia sina ww akanikiss chapu akanisogeza kwake akaanza ninyonya midomo nilisikia raha mnooo alininyonya sana akaaanza nishika maziwa mala kiuno yani alikua kapaga wa na mwili wangu na mm nilikua nasikia raha ila nkakumbuka maneno ya mama nkasema acha kwanza akaniacha naona suluali yake imetuna mnoo akanambia vp sasa mama nkamwmabia mm bado bikra akasema kweli nkamwambia ndio sijawah fanya nimekukubalia tuwa wapenzi ila univumilie mpka nikimaliza chuo ndo tunafanya akaniangalia kwa huruma akasema mh nipe basi leo kidogo tu alafu ndo tunaanza sasa nkasema no kama huwez masharti yangu basi tuishie apa akanambia basi powah mama akaacha akasogea mbali na mm ila hakuwa sawa ata kidogo akanmbia naenda kuoga sharon nkasema sawa akatoka akaenda akaoga akaja sasa yupo normal tukapiga sana stry mpka mida mida hv mama anapiga nkasema ata sipokei nkamwambia nisindikize home mama anapiga akanambia sawa mpenzi usijali akafungua droo ya kabati akanipa laki akanambia kwa kipind ambacho ntakua sipo naomba utumie hii basi mpenzi ujibane mana sina kikubwa ndo natafuta sharon nkasema usijali mpenzi
Akanisindikiza mpka mitaa ya nyumbani akaniaga uyo nkaludi nyumbani mama akaniuliza umeupata nkasemayani mama dada ni msumbufu anasema kumbe alikancel order alafu mm kule kaniweka tu nimengoja mpka nimechanganikiwa ndo ananambia mama akaseee heee hv vero ana kichaaa anakusubilisha kwa nn ngoja ntampigia ntamchamba apo nshapangana na dada, basi nkajifanya nimenuna atali mama akasema basi na ww si unamjua dada ako mashauzi msamehe tu nkasema kimoyoni ungejua ww๐
๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ๐บ
SHARON
Sehemu ya 5
Mwandishi; maramoja the great.
Basi nkaingia chumbani jamali akapiga akanambia vp wife ushafikaa home nkasema ndio akanambia mama ajajua chchote nkasema amna ata akanambia basi powa uwe unakua makini mpenzi sawa nkasema sawa basi akanmbia powa kesho mm ndo naingia kazin ila kuna sehemu nakuwa sipatikani so usinihis vibaya uko njiani kunakuwa hakuna network sawa sharon mke wangu nkasema ndio jamal mume wangu akacheka tu
Basi kweli kesho asubuh akanipigia akaniaaga akaondoka zake ila njiani nampigia tunaongea sana mda mwengine nikimpigia nikiwa simpati najua alipo hakuna network akikaa powa nampigia nampata penzi lilinoga nilijikuta nampenda sana jamali yani nilijikuta nimezama haswaaa kwa jamal mda mwengine nikimpigia hapatikan namfokea ananyamaza kimya alafu ananambia mama mbona tushaongea ayo ni mtandao nisamehe basi mrembo wangu yanaisha yani nilikua nampenda sana
Basi ikakata mwez ajaludi nkawa uko simpati kabisa kila nikipiga hapatikan nachukia kweli basi mda wangu wa kwenda chuo ukafika nkaenda chuo sasa nkapangiwa na hostel apo baby bado simpati ata nkaanza kusoma sasa pale nkapata rafiki anaitwa conso anasoma coz kama yangu alafu nakaa nae room moja hostel na chumba tulikua tunakaa watu wawili basi nikamzoea sana ikakata week toka nianze kila nikimpigia jamal simpat nikawa nasema jamani mbona ishakata na mwezi hapatikani nilikua naumia sana, yani chuo sasa week tu ila nilitongozwa mpka nkasema hki nn namba ngeni kama zote mpka nkawa nachoka nikiona namba ngeni sipokei mana nilijiunga katika magroup ya wasp ya chuo ndo walikua wanachukua uko namba yangu nilikua mzur mno pisi kali ya kwenda
Asa iyo siku nimetoka zangu kuoga mwenyewe najifuta maji mala simu inaita nkasema wameanza nacheki namba ya baby inapiga wee nililuka nkapokea chapu akanmbia vp nkasema ww kaka mbona unanitesa hvo lakin akanambia naelewa mama angu niasamehe mpenzi ndo naingia mipaka ya tanzania niasmehe sana nkasema sikusamei hv hv akacheka akasema duh asa unanisameaje nkasema mpka ulete zawad akasema nakuletea mama angu unataka nn nkasema chochote tu mpenz akasema sawa nakupenda sana sharon nkasema nakupenda sana jamal akanambia vp ushaenda chuo nkasema ndio nna week akanambia uwe makin uko sharon ukiwa na shida yoyote nambia sawa nkasema sawa mume wangu ntajitahid akanmabia sawa mpenzi na upambane kusoma si unaona mumeo navyopata shida nilikimbia shule nkacheka tu akanambia baadae basi nataka kuendesha gar baada ya siku 4 nipo dar nkasema jamani mm bado nna hamu ya kuongea na ww bana akanambia naludi tutaongea sana mpenzi sawa nkakata simu ikaingia laki 3 imetoka kwa jamal akatuma sms tumia pesa vzur bado najitafuta mumeo nilifurah nkamwambia asante inanitosha niliona nyingi mana baba alikua ananipa elfu 50 ananambia nijibane ntumie week na ada alinilipia kaka nkamwambia asante mume wangu hakujibu nkajua kashaanza drive uyu
Conso akanambia hee unaongea na baby nn nkasema ndio akanambia ndo mana unawakataa watu kumbe baby yupo nkacheka nkasema anakosaje akanambia anafaidi jaman hv unajua sharon ww ni mzur mno yani ww mzur sana nkasema jaman mbona mm wa kawaida msinipe kichwa ata tukacheka tu tukalala
Asubuh uyo nipo na conso tunaingia class nilipiga jeans na t shirt na nimesuka zangu rasta nimependeza utanambia nn mala kuna mkaka akatusimamisha akasema mambo zenu tukasema powa vp akasema fresh akasema sharoni unaweza nipa namba zako dear nkamuuliza ww za nn akasema kuna jambo nataka tuongeee nkasema mm sina simu na wakati nimeishika mkononi akanambia sharoni acha utoto bwana huna simu wakati umeishika usinifanyie hivyo bwana plsss nkasema we kaka sigawi namba zangu alafu uyo nkaanza ondoka uku conso ananifata, conso akanmbia hv unajua sharon yule jamaa nasikia ndo rais wa iki chuo nkasema kwaiyo ndo anitetemeshe ama akasema nimekwambia tu mana unapiga teke mifuko ya pesa mana nasikia yupo njema ana pesa sio powa nkacheka tu nkasema wee mm nnavyo mpenda jamal wangu hakuna atanipata apa chuo ng'ooo
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni