SHAMIRA Sehemu ya58&59
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
nikanunua chakura kwanza ndani.kisha kesho yake niliamkia hopitali sasa. Nilishauliwa kwanza nimkatie bima kubwa mtoto ya laki 7. Nilikakata iyo bima .kisha sasa akaanza huduma na kumpambani mtoto .acheni ele ilikuwa inatembea kama kawa na bima ipo.kila jikienda ela ata elfu 60 inakata. Ila nilikuwa napambana na mtoto sikuwa na jinsi japo kuna mda nilikuwa nahisi labda mimi ndo sababu kwakuwa nilikuw busy na mambo yangu sana nikasahau kabisa kuajali mimba. Ila sikuwa na jinsi .nilipamba na mtoto mpka akafika mwaka na miez 5 .ila bado hakuwa vizur kabisa ata kutembea hawezi na ni mdogo mdogo yani ukimuona unaweza kusema ana miezi 7 hivi .acheni na pesa yenyewe ilikata mana kila kukicha mimi hospitali mala huku mala kule.mguu kwa mashoga ulikata na kwa mda wote uo bado aisha alininunia na mimi wala sikuwa na mda nae ata.
Pesa iliisha sasa nikawa sielewi mana nilibakiwa na akiba ndogo sana nikaona hii itakata nafamyaje sasa nikauza vitu vyote vya ndani nikabakiwa na godoro tu na vyombo vyengime vyote niliuza bado nilikuw nampigania mwanangu mimiππππππππππππππ
Nikapambana mpka mtoo akafika mwaka na miez 8 .bado hakuwa sawa na alikuwa mwepesi mno nikaona hapana apa lazima niende kwa hamadi tukaongee jamani hii ni damu yake .mh yani hana atampango kweli .hapana jamani. Niliwaza sana juu ya hilo suala usiku .mana sasa naenda kuumbuka pesa zinananikata na sina biashara. Na nitafanya kazi gani na mtoto anaumwa kama hivi. Na iyo kazi iwe na uwezo wa kunipa pesa nyingi mana mtoto anatumia pesa uyu atari na kinaumwa sana. Bado vigonjwa vidogo vido ni vingi vinamsumbua.nikaona kama mbwai acha iwe mimi kesho nikiamk tu break kwa hamadi ajue tunafayaje kuhusu mtoto wake.
Na kweli kesho yake mapema sana mimi nikambeba mwanangi mpka mbezi kwa hamadi. Nikagonga geti sana akaja kunifungulia mdada mzuri tu akanikalibisha nmi nikaingia mpak ndani ya fensi yani sio ndani.yule dada akaniuliza una shida gani mrembo.nikasema mimi nina shida na hamadi sijuh nimemkuta .yule dada akaguna kwanza akaniuliza hamadi wewe wa nini. Nikasema mimi na shida nae private ukiniitia itakuwa vizuri .akasema oohh kumbe mimi ndo mkewe lakini wewe sema shida zako tu.nikaseema ooh kumbe sawa ila naomba nisaidie kumpata hamdi kwanza kisha tutaongea akanmbia sawa basi karibu pale. Alikuwa nanioneshea kibarazani kuna viti pale nikaenda kukaaaa kisha yule dada akingia ndani.uyu dada wala hakuwa yule wa siku zile .naona alibadilisha sampuli kidogoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Basi haikuchukua mda akatoka na hamadi sasa. Hamadi alivyoniona akavuta mdomo akasema we demu vp mbona nyumbani kwa watu sa hizi hnataka nini .nilipiga magoti uku nimebeba mtoto na tena mbela ya uyo mkewe nikasema hamadi mtoto anaumwa sana .nishatumia pesa sana kwa ajili ya mtoto lakini hayuko sawa kabisa naomba unisaidie sasa hamadi.mtoto ana tundu kwemy moyo wake .naomba unisaidie kama baba yake uyu mtoto ni mwanao hamadi plssss nitamkosa mtoto nilimaliza uku nalia mimi. Hamadi akacheka akasema sikia we maraya nilishakukataa kitambo sana kuwa sina deni na wewe. Na nilikataa mimba na nilikupa pesa ukatoa kama ulizaa mimi sihusiki na tena sihusiki kabisa. Nimeshasema uyo mtoto sio mwanangu unafosi nini na naomba ondoka kwangu usije ukanivulugia familia.nikasema sawa basi ata nikopeshe pesa kidogo nitakulipa natamani kumpambania mtoto. Akanambia mimi sio shirika la misaada mama ebu sepa na mwanano usinivuruge mimi. Hii story mimi pekee ndo nnayo full.uko utaibiwa tu na itakatiwa season nyingi.kuipata full nichek mimi mtunzi kwa namba sefurisaba nanesita sabatisa sitatatu sitatatu.nikawa nalia tu. Mkewe akasema halidi ebu ngoja kwanza mume wangu mbona mtoto umefanan nae lakini. Mbona kama ni damu yako kweli ebu msikilize kwanza uyu mwanamke. Hamadi akasema kelele msenge wew. Unainglia mambo yanakuhusu? unajua mimi na uyu tulikuwa tunatombana saa ngapi.unamjua vizuri uyu mwanamke kuliko mimi mpka unaningilia.nikaona mkewe kabaki kimya .nikaona uyu nae anakikoma na kupigwa mana hamadi kwa kupiga ajambo uyu baba. Basi mkewe akabaki kimya hamadi akasema inuka usepe au unataka nikuwashe mangumi wewe na uyo mwanao.nikasema hapana tusifikie uko naondoka .akasema sawa wasalimie. Daaah niliumia sana nikaona kweli hamadi kajitoa juu ya uyu mtoto so inabidi kila kitu nipambane mwenyewe sasa.hivi ntaanzia wapi kwenye akiba yanhi nilibaki na laki 1 tu .nikaludi kwangu nikiwa na mawazo sana tena mno.nilivyofika nyumbani.nikampikia mtoto uji kwanza .nikamlisha. na wala haupendi uji ila yeye kunyonya ndo sana mndl anazidi kukonda tu. Basi alivymaliza kula mikamuogesha mtoto wangu nikamlaza kitamdani ili atafute usingizi.nikabaki nawaza sasa napata wapi pesa.
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni