SHAMIRA 52 to 53
Sehemu ya 52
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza kula na mashost wakaomdoka nikabaki mimi hospitali kujiangaliazia mshono. Nikiwa pale akaja uyo nurse anajifanya na mdomo atari .akaanzaa kinichamba tena nakwambia.akasema yani wewe dada umeniuzi sana unanajijua mja mzito alafu ulikuawa hauji clinic yani hata ujali kabisa kuhusu mtoto wako.yani unaletwa hospitali upo mbwi kwa mapaombe au ulikuwa umetoka lodge kulipa pesa za watu.mana unavyoonekana upo moto.nilichukia nikamuuliza kwani wewe dada unataka kujifanya una jali sana kuhusu mwanangu kuliko mimi si ndio. Alafu ni kitu gani kisichopita kila mkiingia mana kila mkiingia na migauni yenu meupye kama wanga mnanisema mimi tu vp kwema.labda nikwambia usenge na ukuma wenu siupendi na simind mshaongea nimewaelewa.nini sasa kila mkiingia nyoko nyoko wasenge nini. Au mnavyoona na wakaushia kimya manataka kunipanda. Sasa kawambia na wasenge wenzako mambo ya kuja kunisema sema mkome tena mnikome mafala nini. Sasa ole wake mtu ajifanye anachonga chonga .nitamkamata kisha nitamkunyuga hamtaaamini nawambiaaa kumamae zenu nyie. Tena naanzaa na wewe mama una mdomo nijibu nikuoneshe. Nitauwasha moto apa hosiptali nzima mtanishangaa wasenge nyie .nimewachoka kunisema sema pumbavu nyie. Heeee niliwatolea uvivu .yule dada akabaki kimya wala hakuongea tena na nilimpangia anijibu nimuoneshe nilitaka kumlukia mpaka angeeleza iki nini.ananiletea mie uwandawazimu thubutuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Basi nikatulia wagongwa wengine wote wananiangalia mie na nilivyo mkavu .nikajikausha kimya kama siangaliwi mie vile. Nimevuta mdomo mbele tuli. Nipo busy na mwanangu akawa analia anataka kunyonya nikampa nyonyo akwa ananyonya.basi nahisi yule nurse alifikisha ujumbe wangu kwa nurse wenzie mana mpka natoka sikusemwa tena wla kuchambwa tena .nikaona nimewakomesha na wao .khaaa hawanisemi vikaniisha kila wakiingia wana shamira tu. Nikaona wasinitie nuksi mie.
Badi nikaruhusiwa na ata mjjono wangu ulikuwa uanendelea vizuri tu. Na iyo siku ambayo naruhusiwa dr amabae alikuwa ananitia mimi nikiwa pale alinambia nikawe makini kwa mtoto na nikajitahidi katika malezo ya mtoto. Nisiyumie vilevi kabisa mana maziwa ananyokunywa mtoto yatamuathiri palubwa.nikamuelewa na nikamuitika .naona alishaniona mambo mengi akaamuaku kunipa lisara mapemaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ na akanikumbusha umuhimu wa kumleta mtoto clinic nisiwe nakosa na wala nisidharau .nikasema sawa haman shida dr . Na shoga zangu wakanifata mie Nikaludi nyumbani sasa . Na shost zangu ndo walinifata uku hongera zikiwe nyingi. Uyo aisha ndo mda wote kamshika mwanangu aunt aunt kama zote .mh si alisema nitoe uyu khaa.acha nileee bwwna mie .sijuh kitakachononifaa mbele uko na kwa akiri hizi ndo kabisa
Basi bwana nikaanza kulea shoga yenu apo kidogo akiri ilitulia mana mh maneno ya yule dr yaliniingia nikaona ngoja kwanza nitulize akiri mwanangu ata atembeee. Basi kweli madanga yote nikayakaushia niliogopa kumbemenda mana dr pia aliligusia hili suala . Alinambia niwe makini nikiendeleza sana mapenzi nutambemenda mtoto
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
SHAMIRA
Sehemu ya 53
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Sada ikawa aisha ndo anatota sasa mimi nabaki home tu nakuwa busy na mtoto.na kazi zote za nyumbani . Nilikuwa na kiakiba mpka kikakata mana hospita ile peresheni na kukaa kule ndo nilimaliza pesa.nilikuwa namtegemea sana aisha na yale madanga niliyoyazoea. Yani unajua unakuwa na yule mtu wako ata kama hamjaemda kutombana ila anaweza akakusaidia pesa na miasha yanaenda. Kwaiyo shoga akiludi dukani ndo ananipa pesa maisha yanaendelea. Mwanzo alikuwa hana shida ula uku mbele nikawa naona kama annipa pesa ila hapendi na wakati mimi ndo nilimpa msingi wote. Yeye tena akawa anaona mie ndo namfilisi . Maisha aya
Badi bwana mtoto wangu alikuwa mzuri sana ila nilikua nashanga hakapati afya .yani kanakuwa chepesi alafu kikawa kinaumwa umwa sna. Apo alikuwa na miezi 5 hivi . Nikawa naona ata simuelewi.na nikampeleka hospitali uku uku charambe nikaambiawa ni malaria tu. Nikasema sawa.nikawa naendelea na majukumu yangu. Yani nilikuwa sina nyendo sana zaidi ya kwa kina husna kidogo na kuludi nyumbani
Nilipambana sana na mtoto mpka akafika mwaka acheni masihara . Apo shoga pesa akawa ananipa kanunua na uku ananisukumiza maneno kuwa bola ningefatisha maneno yake .mana alishaniambia nitoe mimba kulea mwenyewe sitaweza ila binadamu sisi.tunajisahau sana
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni