AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 54 na 55
Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe ndo kila kitu kwangu, zena akanmbia okey basi baadae, basi apo ndo mchumba akakata simu, na mm sasa, ndo nikaludi ndani, daah namkuta jalia kashalala mda sana, aseee ni asubuh kabisaa so lazima apumzike, basi na mm taratibu nikalala pale kitandani ila upande wa mbali sanaa na jalia, yani sikutaka ata kulala kalibu na uyu mwanamke, na sikuchelewa kabisaa kupatwa na usigizi, nokajikuta nimelala kabisaaa,
Nikaja kustushawa na mama , anagonga mlango uku anapiga vigele vigele, ila mama, naaamka naangalia kwa pembeni nikamkuta uyu jalia amekaa kitandani ananiangalia tu daah, mi nikainujka apo harakaa, nikakaa kitandani, kisha nikachek saa yngu ya mkononi ilikuwa ni saa 12 alfajiri,daaah namsikia mama ananiita we millan, millan ,nikasema nam mama kisha nikainuka harka kisha nikatoka sasa ,daah namkuta shangazi yangu, yani dada yake na baba , na mama yangu mlangoni, mama akaniuliza eeeeh yaliyomo yamo kwa uyo binti, sisi apa tumekuja kukagua mashuka mana tuliammbiwa uyu mshichana ni bikraa hajawahi kabisaa ,eeh ni kweli ?,doooh asa mm namjibu nn mama lakini,mama akaniuliza mi si naongea na weww, ni kweli kama tulivyoambiwa, au wametupiga washenzi awa kabisaa, nikasema mama bwana mi jana sikufanya nae chochote uyu binti ,nilichoka na pilika pilika za safari na vile vikao, shangazi akasema tobaaaa, we mtoto una matatizo ama, yani ulale na mwanamke usiku mzima mpaka asubuh hujafanya nae kitu kisa umechoka, we millan una kiri wewe
Mama akasema yani mtoto mpumbavu anataka kutuaibisha sisi, hivi unahisis familia yake ikija na wao watatuonaje sisi, usitutanie millan, ingia ndani kaifanye kazi, khaaaaa asa wananailazimisha hawajui aya mambo yanataka mood alafu mm sina, daah mama akanishika mkono akaniingiza mpaka chumbani, akamkuta jalia amekaa kitandani tu ametulia yani, mama.akamsogelea akamwambia jalia mama umeamkaje, jalia akasema sijambo mama, mama akasema jalia ,ina maana umeshindwa kumshawish mumeo mushiriki lile jambo jamani, si umefundishwa kwenu wewe, jalia akasema mama millan alinambia amechoka sana nikaona nimuache apumzike tu, mama akasema ahaaa jamani wanangu, mnakosea ,unajua na wazazi wako watakuwa wanajiandaa kuja kuhakikisha na kupata zawadi zao, kama wewe bado ni mwali, ebu sasa tunawapa mdaa mfurahie ndoa yenu sawa , jalia akasema sawa mam, mama akaningalia mjicho mkali, ule wa ole wako sasa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Basi mama akatoka ndani tukabaki sisi tu, ahaaaa mi.kwanza nikaingia bafuni kuoga mana ndo nimetoka kuamkaa, nimeamkiwa na maneno maneno ya mama, basi nikaingia bafuni nikawa naogaa eheee nikiwa naoga si nikaona jalia anaingia na yeye tena akiwa na kachupi cha bikini ,na juu akiwa wazi kabisaaa, daah aka katoto kembembe kweli kweli kama miss na viziwa vyake vimechomoka kama msumari , ila kazuri aka kadada nacho , basi jalia akanisogelea akanmbia nataka tuoge wote mume wangu, ahaaaa mi sikuongea kitu ata, akanisogeleea akanikumbatia kwa pamoja tukaanza kupigwa maji, nyieee akaanza kunishka shika, mwili wangu, lafu nishapiga maji ya baridi, na mm ni mwanaume kwaiyo nikajikuta mwili unansisimka sana na mashine inasimama kweli kweli, nikajikuta na mm naanza kumpapasa sehemu mbali mbali za mwili wake, na tukaanza kukisss, hatukuishia apo tu, mtot akanivuta mpaka chumbani kitandani, tukaanza sebene, uyu demu alikuwa kafunzwa kweli kweli , kama kufundwa ahaaa basi kafundwaa, kiukweli sikuwa nimeplan kufanya nae chochote ,ila wanaume sisi wadhaifu sana , kwa mambo alokuwa ananifanyia jalia ,nikajikuta nimeshiriki nae tendo
Na sio kushiriki tu ,na niliinjoy mnoooo, jalia acheni na ni kweli nilimkuta bikraa, ila utyuu ahaaa ilikuwa moto sitaki kuwaambiaa, sijuh ndo niseme mambo anayajua, yani anajua kuililia, ikawa inanaipa vibes kinoma, japo na yey alikuwa ananlalamika maumivu sana wakati wa lile tendo ila mwanaume niliingia na bikra nikamtoa ,na damu zikamwagika kitandani, na kulikuwa na mashuka meup tu, nyiee tumemaliza apo kila mtu yuko hoi, mi ata sielewi sasa inakuwaje aya mambo daah naona kichwa kinawaka tu, sielewi kabisaa mwanaume mm, basi tukiwa vile, jalia akanisogelea akanikumbatia akanmbia millan nakupenda sana , nipe mdaa, naamini utanipenda pia na ntakua mke mzuri sana kwako, nakupenda sana kipenzi, mh nikamwambia nakupenda pia jalia hakuna shoda, na mimi nilimjibu kumlizisha kisha tukaingia tena bafuni kupata maji ,nyieee ile tunatoka kuoga tu, tunasikia tena mlango unagongwaa, daaah
Tukaavaaa haraka haraka na mm ndo nikaenda kufungua, namkuata mama na shangazi, wananiuliza vp tayali? Nikasema ndioa ,mama akaniuliza eeh ni bikra kweli, nikasema ndio, ohhhh walifurahi nakwambia kama wanapata pesa, wakaanz akupiga na vugere gere, mama akanambia unatakiwa sasa uwape zawadi wakwe zako kwa kukulea mke vizuri, mpaka wewe umekuwa wa kwanza kwake, nikasema sawa mama hakuna shida, zawadi ni sh ngapi, mama akanmbia toa ata laki 5 mi najua wewe ukosi peza, nikacheka tu, kisha nikasema sawa, nikaludi chumbani nokachukua pesa ,kisha nikatoka kumpa mama, kisha nikamwambia mama mimi.natoka, kuna kazi naifatilia uku pemba nimeshapigiwa simu apa , ntaludi mchana, mama akanmbia ahaaa millan asa wakwe zako wanakuja inakuwaje, ebu bwana ngoja uonane nao, nikasema mama ni kazi muhimu ntawahi kuludi tu ,alafu sijipangii mi nafata orders za wakubwa wangu wa kazi, mama akanmbia sawa bwna ,aya nenda ila usichelewe kurudi mwanangu, nikasema sawa mama, kisha mm nikaludi ndani nikabeba simu yangu, nikawmabia jalia mi natoka kuna kazi naifatilia mala moja, jalia akanambia sawa hakuna shida, mi nakatoka zangu ata akina kaka sikuwaaga ,mana broo nilijua lazima atanizuia
Basi mi nikatoka nikaenda sehemu ya mbali kidogo na nyumbani, nikampigia kwanza zena , haikuchukua mda, zena akapokea simu, na tukasalimiana kwa bashasha tu, zena akanmbia eeh mpenzi umenipigia niongee na mama ,nikasema now mama ametoka analudi mchana ,mtaongea ila now nimekupigia nikusalimie mke wangu mzuri, zena kanambia ahaa sawa bas, unajua ndo nimetoka kuamka mda sio mrefu, nikacheka mana nilishajua jana tumekesha kwa kuongea, basi nikajikuta nimepata mda wakuongea na zena tu, ananisumulia habari za mwanangu, najikuta natabasamu tu, basi zena akanmbia mama hajaludi tu jamani na hamu ya kuongea nae mm, nikasema akiludi nakupigia basi, akanmbia sawa , apo apo nikawa naona simu ya ibraa inaikngia sasa, nikassema zena ibraa ananipigia ebu ngoja nipokeee simu yake basi ,alafu ntakuchek, akanmbia sawa kisha yye akakata na mm nikapokea simu ya ibraaa,
Ibraa akanmbia kaka vp uko powa, nikasema yaa niko powa kaka nambie akanmbia powaa eeeh vp imekuwaje isssue yako, hujakula mzigo kweli, nikasema kaka mzigo nimekula sikufichi, nikawa nasikia ibraa akancheka akanmbia daah mshikaji kunilalamikia kote na mzigo umekula, nikasema.nimefosiwa mwanangu na bi mkubwa, asa nisingekula si ningeonekana shoga, mwanangu mi nimetemebe na uyo demu na nimkuta bikraa, apa mi nimetoka nimewaacha wanashangilia nyumbani, ibraa akanmbia daaah ishakuwa noma iyo, so tunafanyaje, nikasema ibraa mi sielewi, apa kila nikiongea na zena ananmbia anataka kuongea na mama ,alafu mama hataki kumsikia zena kabisaa , ibraa akanmbia ahaaa we una matatizo kweli, asa we unashindwa kutafuta mama yoyote wa kipemba ukampanga ukampa ata elfu 10 alafu ndo akawa anaongea na zena mpaka unaludia ,nikasema.daaah sikuwa na iyo akiri mwanangu, ibraa akanmbia fanya hivyo, mambo mengine ukiludi uku ndo tunakuja kuyatengeneza sasa, mana daaah mambo yashakuwa mengi kweli kweli, nikasema sawa kaka ,mimi sitaki zena hajisikia vibaya kabisa na sitako zena haisi lolote juu ya hilo suala ,nampemda sana yule mwanamke sitaki kumuuumiza ata kidogooo,
Itaendeleaaaaa............
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni