Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.
Gonga94 Β· Stories

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
41 MPAKA 42
🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼

Mwandishi; lissa wa huru media

Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini kwetu ni kuvutana tu. Yani uwiiii sikuwa napenda kabisa .nilikuwa naona kama.a ananitumia shida sasa..nikishafika chumbani .uyu kaka akinishika tu.mimi mdomo kwisha ntatombwaaa tuuu siku nzima mpaka baraka atakaposema nimerizika sasa. Yani ujadili wa kumkatalia baraka mimi sikuwa nao. Yani ubishi wangu akiwa ananichukua tu. Ila nilikuwa naumia sana .mana najua mtu kashaoa na ananitumia tu mimi kingono. Ila ndo hivyo. Na hali halisi ndo ilokuwa hivyo.

Siku iyo sasa . Nipo zangu saloon busy kwrli kwrli na wateja. Baraka akanipigia simu. Sikutaka ata kupokea . Ila namjua nikaona apa nisipoipokea hii simu ata kuja apa. Kunihalibia biashara. Nikampokelea. Akaniuliza upo wapi now. Nikasema nipo kazini baraka. Hivi mchana niwe wapi. Barakaakasema sawa .basi usiku natka tutoke leo shakira . Tukakae sehemu imetulia tuongeee mama yangu. Nikasema baraka unajua nachukia tabia zako na unapoendelea mimi ntawaambia wazazi .yani ntamwambia baba kabisa. Baraka akasema shakira mi nishamaliza nakufata usiku saa 3. Maliza kazi zako kisha akakta simu. Nyie uyu baraka sijuh ndo jeshi kwanza abembelezi na ananipelekesha sana. Na kunipelekesha uku . Shida na mimi bado nilikuwa na upendo juu ba barska.na vile tunafanya mapenzi imeshakuwa jengeka juu yake. Basi nikaendelea na kazi zangu. Adrian nae kanipigi. Akanmbia baby. Leo nimekumiss sana .saa 1 usiku nipo apa nakufata mama .uje kulala mbezi nimekumiss kinoma noma.nikasem sawa mpenzi wangu. Nikaona apa nna kimbembe ila ngoja.

Basi nikafanya sana kazi zangu mpaka saa 12 nikamaliza baazi.zilizobaki nikamuachia gile.nikampa na funguo akimaliza afunge ofisi kisha mie sikungoja kufatwa nikaenda kwa adrian. Mana uyu ndo mwanaume anayenipenda na anayenihudumia mno. Na kama isingekuwa dini basi angenioa. Basi nilipofika nikakuta adriana ndo anataka.kunifata. akanmbia mh umekuja mwenyewe.nikasema yes baby sijataka kukuchosha . Adrian akacheka akasema okey mpenzi nimekumiss sana. Weeee sikujifunga nikamsogeleea tukaaanza kupeana rahaa. Tukainuana mpaka chumbani. Kweli adriana anajua kunikaza .ila baraka ni noma uwiiiiiiiiiii. Ila ata yeye kwake nainjoy tu. Basi tukaburudika sana mpaka saa 4. Ndo mie nikaingia jikoni kupika kwanza mana njaaa zilikua zinauma sana. Basi na mimi nikiwa napika ndo nashika simu. Nakita baraka kanipigia mala 16. Hivi ana akiri kweli uyuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

Na gile kanipigia mala 2. Nikampigia gile. Gile akanambia shoga barka kaja apa .apo gile anamjua na baraka na anaelewa fujo zake sanaa tu. Nikasema eeh kasemaje. Nimemwambia aupo umeludi kwenu .aseeee kafura uyo kama chatu. Nikacheka nikasema achana nae bwana. Si ana mke aende uko. Gile akanmbia na kweli tulia na adrian wako mume wa mtu wa nini sasa. Nikabaki nacheka tu. Basi ile nakata na yeye anapiga tena.nikaona ebu akwende uko .nikamkatia simu.akapiga tenaaa.nikaipokea ile simu. Aseeee namsikia mtu kapanik anatwetwa kweli kweli. Akasema shakira upo wapi. Nambie upo wapi shakira upo kwa mwanaume si ndio.upo kwa uyo adrian si ndio.nikasema hapana nipo nyumbani nimelala. Akasema.ni uongo. Nipo kwenu apa. Mbona haupo na shangazi kasema umetoka tangu asubuh upo kazini. Nikasem baraka kwani wee si uwa unalalaga kwa mkeo.mimi huwa nakufatilia. We si umeamua tufanye mapenzi ya kuibana. Sasa kama wewe una mkeo .na mimi.nna mwanaume wangu permanent naomba tuelewane vizur. Baraka akasema shakira ludi nyumbani huuu mda si ushatombwa uko .aya ludi nyumbani. Nikasema ww usinizuie mimi mshamba nn. Nikakata na simu yanguu.

Akawa anapiga nakwambia nikaona kwani shida nini. Mimi nikazima na simu. Nikamaliza kupika .kisha nikala na baby wangu kwa rahaa na starehe zetu.tukaludi tena kitandani. Mwanaume akataka tenaaaa.weeee mie nani nimnyime nikampa tena. Tukaburudika usiku mzima ndo tukalala. Asubuh sana adrian ndo alikuwa wa mwanza kuamka akajiandaa .kisha akaniaga kuwa anaenda kazini na ana kikao hivyo hawez kunipeleka kazini. Nikasema hakuna shida . Nikamuacha aende tu kazini. Mie nikafanya usafi ndani kwa adrian mpaka nikamaliza kisha sasa ndo nikawasha simu . Naona simu ya mma inaingia. Nikapokea mama akasrma we mtoto mbona hujaludi nyumbani na ujasema lolote .nikasema jamni mama bwana . Mama akasema upo wap.nikasema kwa mkweo. Mama akacheka adrian uyo . Nikasema bwana mama achana na ayo .ila leo naludi ndo nipo najiandaaa apa naenda kazini.ila naludia home. Mama akasema kwani wewe na baraka mnatembea? .mh mbona swali gumu.nikasema hapana mama sisi wala hatutembei. Mama akasema jana apa baraka kaja .kama kachanganikiwa ata sikielewi anachokiongea .yani simuelewi kabisa.anakuulizia ulizia alafu kama.kavurugwa imekuwaje kwani.mbona kama ni mtu ambae aligubikwa na wivu. Nikasema mama bwana wala sio kweli .mimi sina mahusiano na barka kabisa.na wala sio mtu wangu. Mama akasema oooh sawa. Ukiludi tutaongea nikasema sawa.


Basi mie nikajiandaa kisha nikampigia simu gile kuwa amefika mana yeye ndo mwenye ufunguo. Gile akanmbia anakalibia. Nikasema powa .na mimi nikajiandaa fresh .uyo nikatoka . Nikawa naelekea saloon sasa. Aseeee ile nipo kwa gari.gile akanipigia .nikapokea .akanmbia shoga usije uku.barak yupo apa.na nivyoona uyu kalala apa. Hajaenda kwake.nikasema nn akanmbia ndio tena ana hasira mana ata iyo salamu tulivyosalimiana .mh hapana apa usije ludi kwanza nyumbani.nikasema sawa.nikaona uyu baraka uyu atanizoea.ntaenda kumsemelea kwa baba wallah. Mtu kashaoa ananifatilia nini sasa. Basi mie nikaludi zangu home. Mama akanmbia we si ulisema unaenda saloon kwanza .nikasema ahaa kuna kitu nimesahau mama. Kumbe namuogopa baraka . Nikajua nikienda uko kitawaka.nikaona bola nije kucheal tu home. Basi nikawa nipo chumbani kwangu sasa nachati tu na gile namuuliza uyo mpumbavu kaondoka.ananambia bado shoga kajaa tele. Anakaa kwa gari anashuka anakuja . Nikasema uwiiii. Akiondoka nambie mana nna miadi na mteja leo.akanmbia powa.

Aseee mapak saa 5 .ndo ananmbia oyaaa kaondoka aa sasa hivi. Nikasema afadhali nakuja apo shoga. Akanmbia powa. Basi nikajiandaa tena nikavuta na mkoba wangu. Nikatoka mpaka sebleni .nikamwambia mama ndo naenda saloon.akanmbia powa .aseee nikatoka zangu fresh nafungua mlango wa geti nakuta baraka anashuka kwa gari yake tukagongana macho. Weeee nilistuka .alivyoniona akabamiza gari kwa hasira akawa ansnifata kwa hasiraa kweli kweli. Weeee mbona niliacha viatu getini. Nikaanza sasa kukimbia kuludi ndani.na baraka ananikimbiza .nimefika sebleni nimemkuta mama kasimaa anashangaa.nikampita nakwambia nikaingia chumbani kwangu nataka kufunga kwa ndani.si nimechelewΓ  baraka akaingia sasa. Aseeee akafunga yeye. Tukawa mtu 2 sasa. Nyie sitasahau hii siku .niliuvaa mkono wa mwanaume. Naona alimaliza hasira zake za miaka yote ya nyuma juu yangu.

Aseeee hii siku nilipigwa. Yani nilikubali apa napigwa.kwanza ngumi yake kama nimegongwa na spana. Aseeeee hakunichagulia pahala. Alinipiga kweli kweli. Yani mpaka alinipasua kwenye paji la uso apa kwa ngumi tu. Nililia niliomba misamaha yote.nilikuwa nasema nisamehe baraka sirudii. Yani kosa silijuh . Ila unaomba msamaha kudadeki mpaka unaomba tena na mwanaume haongei.ni ananipiga tu. Aseeee nilijitahidi kuficha sura.mana niliona atanipadua zaidi. Apo mama analia mlangoni aniache sijuh atampeleka pΓ²lisi. Sijuh nini. Yani maneno kibao. Nikasikia mpaka anampigia simu baba . Aseeeee hii siku sisahau. Mpka nikawa namwabia wewe ni muuwaji unataka.kuniua wala hunipendi wewe huna mapenzi na mimi. Apo ndo kama nikampungiza nguvu .nikaona kaniacha anapiga mangumi yake ukutani. Uku nanyeye analia. Aapo mimi ata kujivuta siwezi yani alinidunda nyie acheni. Nilibaki nimelal tu damu zinanitoka uku juu ya paji la uso. Aseeee nikaona baraka kafingua mlango katoka zake .akabamiza na mlango .ndo mama akaingia sasa. Aseee mama akawa analia anasema ntamfunga uyu baraka .nasema sikubali .kwa nn akupige hivi sikubali nasema .yani sikubali. Apo mimi nipo hoi. Na mda huo huo mzee akafika sasa. Akuhoji wala maswali akanibeba haraka wakanipeleka hospitali ya privTe ipo ubungo pale

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

41 MPAKA 42
🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼

Mwandishi; lissa wa huru media

Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini kwetu ni kuvutana tu. Yani uwiiii sikuwa napenda kabisa .nilikuwa naona kama.a ananitumia shida sasa..nikishafika chumbani .uyu kaka akinishika tu.mimi mdomo kwisha ntatombwaaa tuuu siku nzima mpaka baraka atakaposema nimerizika sasa. Yani ujadili wa kumkatalia baraka mimi sikuwa nao. Yani ubishi wangu akiwa ananichukua tu. Ila nilikuwa naumia sana .mana najua mtu kashaoa na ananitumia tu mimi kingono. Ila ndo hivyo. Na hali halisi ndo ilokuwa hivyo.

Siku iyo sasa ....

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sasa-nakupenda-sehemu-ya-41-na-42

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sasa-nakupenda-sehemu-ya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

1.07K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53

829
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55

418
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

164
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

62
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

52
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

7

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.7K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest