Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
14 Mar 2026
279 views
VYOTE NDANI GONGA94
AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 53
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu ya boss ,ni lazima nipokeee, jalia akanmbia ni sawa hakuna shida, mi chapu nikatoka ndani kabisaa, nikaenda kukaa uwani kwetu mbali kidogo na nyumba yetu, kisha nikampigia mimi zena mana ilishakata, daah nikapokelewa na kilio cha arishaina, nikasema vp mbona analia sana leo, zena akanambia mh mwanao bwana ,leo kachaluka tu ,si unamjua nikasema yaa ,mnaendeleaje lakini zena wangu ,akasema tuko powa offu kwako, mana umefika umekaa kimya ata kutupigia wenzio, mpka nimekupigia mm sa hizi, nikasema.sory nilikuwa naongea na wazee zrna ,si unajua sijaona nao mdaa mrefu kwaiyo story zimekuwa nyingi,
Akanambia naelewa mpenzi sawa hakuna shida ,ushaongea na familia juu ya suala.letu lakini, nikasema.yaa na mama amefurahi sana ,so kuwa na amani nikiludi tu kila kitu kinakaa sawa, zena akanmbia asante mpenzi ila kesho na mimi.natamani sana kuongea na mama, nikasema sawa kesho basi nitakupigia kisha utaingea nae, akanmbia sawa nakupenda sna millan, daah mwanaume chozi lilinitoka, nikamwambia nakupenda sana zena akanambia sawa bwana , alafu leo nna hamu sana ya kuonga na wewe millan, nikatabasamu nikamuliza tuongee nn, akanmbia vya kawaidia tu nimemiss tu kuongea na wewe kwa mda mrefu asa nyakati za usiku , nikasema.sawa tutaongea ila ,naomba kwanza niongee na ibraa nimpe maagizo ya kazi kisha sasa nakupigia tutaongeea mpka keshoo, akacheka.sana zena kisha akanmbia sawa baadae basi
Basi nikakata simu, kisha sasa nikampigia simu ibraa, iyo saaa 6 kasoro usiku, ila akapokea japo ilionesha kama katoka kuamka, na tayari alishapumzika , ibraa akanmbia kaka vp mbona usiku sana ,nikasema.ibraa nna majanga mwanangu, akanmbia imekuwaje kwani na ulinambia umefika home salama, nikasema.ibraa familia imeniolea mke, na apa nnavyokwambia yupo kwetu uyo mwanamke kwenye chumba changu apa, aseee kichwa kinawaka kak, nimewalelezea kuhusu zena ,wamenambia hawataki ata kusikia kuhusu zena, wamenambia nikitoka apa.naludi dar na uyu mwanamke walooniolea wao, mwanangu nimevurugwa nafanyaje, sielewi kabisaaa, na sitaki kumkosa zena kabisa, nampenda sana , ibraa hnaelewa , ana mtoto wangu ,na mimba pia, mi siwezi kumuacha ata kidogo, ibraa akanmbia tulia kwamza millan alafu shusha presha , unaofia nn zaidi, nikasema naofia kumpoteza zena ,naofia sana, itakuwaje akijua hilo, kaka nimechanganikiwa ,ibraa akanmbia daah iko kishakuwa kipengele ila tulia kaka, mimi nipo hakuna kitu kitaharibika, wewe nishilikishe kwenye kila kitu ,mimi.ntajua nakusaidiaje, but kila kitu kitakuwa sawa, na zena utamuoa ,we tulia ,nikasema.sawa kaka, basi ibraaa ndo akanitoa sana preshaaa, nikatulia pale, kisha tukaagana ,mi.nikampigia simu zena tukaanza kuongea sasa ,wala hakukuwa na cha maana ni story za mapenizi, tu, sk unajua watu wawili wanaopendana wakiwa wanaongea ,maongezi yankuwa mengi tena ya kijinga t, daah nikajisahau kabisaaa kama nina mke yupo ndani ananisubili, nikajikuta nongea na zena mpaka saa 10 alfajiri mimi nipo apo njee, ila mapenziโค๏ธ acheni kabisa
39 MPAKA 40 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana ...
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa...
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa...
kipande cha 38 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo...
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
36 MPAKA 37 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasem...
Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu ya boss ,ni lazima nipokeee, jalia akanmbia ni sawa hakuna shida, mi chapu nikatoka ndani kabisaa, nikaenda kukaa uwani kwetu mbali kidogo na nyumba yetu, kisha nikampigia mimi zena mana ilishakata, daah nikapokelewa na kilio cha arishaina, nikasema vp mbona analia sana leo, zena akanambia mh mwanao bwana ,leo kachaluka tu ,si unamjua nikasema yaa ,mnaendeleaje lakini zena wangu ,akasema tuko powa offu kwako, mana umefika umekaa kimya ata kutupigia...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-53
Maoni