Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
14 Mar 2026
37 views
VYOTE NDANI GONGA94
SHAMIRA Sehemu ya 51
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse wakanmbia tulia wewe huna ata dalili njia yako haijafunguka na umekunywa mpombe utalijua jiji sasa mpumbavu wewe. Wakaanza kukagua kadi langu la mimba.wakanambia yani wew dada ni kama mwanadawazimu mambo yako .umeacha kuja cliniki miezi 5 iliyopita hivi unamtaka kweli uyo mtoto we mpumbavu. Mh asa mimi nawasikiliza kwa uo mda kwa maumivu nnayopata mimi.mana uchingu uliuma mpaka ukauma tena weeee.
basi wakanichukua nikapeleka wodini kuwekwa et bado uchungu wakati mimi naumwa. Nikasema nyie mimi naumia kabisa .wakanambia sawa unaumia ila njia haijafunguka sasa unataka tumtoe mtoto mdomoni ama. ebu tulia apo. Aseeee nilikiona mimi
Yani niliumwa kuanzia uo usiku wa saaa 4 mpka asubuh sijajifungua na kila nikipimwa naambiwa sina dalili. Mh apo pombe zishanikata kabisa mbona umama niliuona mimi. Yani nilikuwa mpka nasema mimi uhuu uzazi ndo utaniua wallah .na ndo kwanza manurse wanananmbia inuka apo ufanye mazoezi njia ifunguke iyo mh acheni. Mpka dr akaja saa 4 asubuh kunipima .akanambia unanajua shamira nakushngaa sana kwa nini ulikuwa unakunywa mapombe wakati ulikuwa mjamzito. Ona leo uchungu unaumwa na njia haifunguki aya mambo yanachangia pia. Sasa kukusaidia shamira inabidi tukuperesheni tu mana naona apa tutakesha kukusubili njia ifunguke lakini na wewe utaumia sana.nikasema dr vyovyote fanyeni niwe sawa naumia sana. Apo nalia ujanja wote mfukoni
Badi bwana mie saa 8 tu nikaingizwa katika chumba cha opersheni na kufika saaa 10 jioni niljjifungua kabinti kangu kwa njia ya operesheni. Nilikuja kustuaka jioni kabisa ndo nikapewa mtoto wangu sasa. Wooow .ni kazuri mno ila sasa wala hajafanana na baba yake amenifanana mimi mno na kilivyo cha kike kisije kuwa maraya kama mama yake tu aka katoto๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Basi mwanangu kikawa kinalia pale .dr akanambia mnyonyeshe kwanza basi nikampa ziwa na mimi wala sikupata shida nilivyozaa tu maziwa yakaanza kutoka.basi nilipata furaha mno kupata kabinti . Japo nilikuwa na maumivu ya kuchanwa ila nikipona yatatulia tu. Na baada ya mda kina shoga waliruhusiwa kuja kuniona aseee wakamsifia sana mwanangu kuwa mzuri. Kama mie na pia kamfata baba yake ila kwa mbaili nikacheka tu nikasema ata kuwa mrembo sana mwanangu jamani kuliko mie.
Husna akasema mh kakupita uzuri ila asikupite tabia zako tutakoma mtaani nikacheka tu mana mambo yangu mazito.basi wakaambiwa nitatoka baada ya siku 5 wanisikilizie kwanza mshono. Basi na kweli nilakaa siku 3 hospitali nikingoja mshono ukae sawa uku nachambwa na manurse mno.kila wakiingia wadini wana mie et nilikuwa sijiheshimu nilikuwa nalewa na nimeacha kuja clinic kwaoyo mie ni mama muuaji. Ooh uyu atakuwa muuwaji uyu ata mtoto itakuwa alikuwa hamtaki maneno kibao nikabaki kimya kama siwasikii au sisemwi mimi
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
SHAMIRA 52 to 53
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha ...
48 MWISHOOO ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake ...
46 MPAKA 47 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani niliba...
๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa n...
41 MPAKA 42 ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ๐ผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa k...
Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse wakanmbia tulia wewe huna ata dalili njia yako haijafunguka na umekunywa mpombe utalijua jiji sasa mpumbavu wewe. Wakaanza kukagua kadi langu la mimba.wakanambia yani wew dada ni kama mwanadawazimu mambo yako .umeacha kuja cliniki miezi 5 iliyopita hivi unamtaka kweli uyo mtoto we mpumbavu. Mh asa mimi nawasikiliza kwa uo mda kwa maumivu nnayopata mimi.mana uchingu uliuma mpaka ukauma tena weeee.
basi wakanichukua nikapeleka wodini kuwekwa et bado uchungu wakati...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-51
Maoni