Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
Gonga94 ยท Stories

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

(Kitabu Chote)
MY HOT PILOT ZYRO
( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ)
MTUNZI; SMILE SHINE

EP 1.
Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa shinyanga ngokoro, yes Mimi ni msukuma pure niliebahatika kusoma peke yangu katika familia yetu, yenye watoto 15, tena wa mama mmoja nimesomea marketing...

Nilikuja dar kutafuta kazi na ninaishi Kwa shangazi yangu, mwanzo aliniambia Kuna kazi lakini Toka nimefika sioni kazi yoyote,chakula chenyewe sishibi wanapika Kwa mahesabu๐Ÿ˜ญ, naishia kufanya kazi za ndani Kwa shangazi, na kusimamiwa bar yake iliyopo hapa tabata bima tena bila malipo...

Siku Moja nikiwa nasimamia bas ya shangazi, na stress zangu, nikapita eneo Moja nikaamua kutulia kilikuwa na Giza kiasi chake like eneo ilikuwa ni bar na gest, nikatamanu kwenda kulala Kuna chumba Cha wafanyakazi nikaona ni vyema nikajiegeshe humo,kufika mlangoni nasikia sauti ya mtu akimpa maelekezo mfanyakazi wa bar, mtilie kwenye kinywaji chake halaka, hii hapa ml Moja advance ukifanikiwa kumleta kwenye kile chumba no 6, nitakukabidhi million mbili cash, naenda kutegesha camera saivi hakikisha hufanyi makosa, nikishaweka camera nitakuja kukaa nae...

Nilisikia yote nikashtuka, ikabidi nijifiche,yule mtu alitoka Kwa tahadhali sana,nilimuona na kumtambua ni mhudumu wa vinywaji anaitwa asha,nikiwa bado nimejificha nikamuona mbaba wa makamo kapingilia suti nyeusi akielekea vyumba vya gest, sikumtambua ila nilimkalili...

Niliamua kufatilia mteja anaewindwa Ili nimsaidie,nilienda kukaa na dada wa counter, huku nikifatilia asha anahudumia wapi na wapi, nikiwa natizama zaidi nikaona yule mbaba wa makamo, anakaa mezani Moja ilikuwa na kaka mmoja mtanashati, amepanda hewani vizuli , kifupi anafaa Kwa matumizi kabisa...

Nikatambua ndie anaewindwa, lakini ghafra tu nikiwa nawaza namna yakumuokoa, nikabanwa mkojo sikuweza kuvumilia ikabidi nikimbilie chooni, nikiwa chooni nimemaliza tu kukojoa nataka kutoka Nina shika kitasa nifungue, nikasikia tena minong'ono,watu wanaongea, boss tayari nimewaongea na mhudumu amepogea dawa, wewe mwandae huyo shoga na camera man kabisa asubuhi sana, kabla ya kuamka nimeshawaandaa pia waandishi wa habari, wake wajionee, mwingine akajibu, safi sana kijana wangu...

Lazima tumchafue huyu kijana, hawezi kuchukua nafasi yangu, London kisa ni mtoto wa mkurungenzi, mtoto wa juzi tu anatoka masomini anamkabizi ndege kubwa ya kihistoria, niliyopambana Ili Mimi ndie niwe rubani wa kwanza kuiaisha Leo anapewa huyu mtoto, haiwezekani, lazima nimchafue,Leo atamla shoga na video yake itasambaa Dunia nzima, atapoteza sifa kwenye kampuni, na mkurungenzi Hana mtoto mwingine wakumrithisha, hivyo itabidi anipe Mimi...

Nilihamaki kweli kweli,nikasikia tena, usijali Bosi, Hilo limeisha, nimemleta bar za mtaani Ili, iwe lahisi habari yake kutrend, kuwa Huwa anakuja kufanyia ufuska wake, huku vichocholoni, ndio maana haikujulikana mapema....

Walimaliza Kisha wakaondoka, niliona Sasa kunaumuhimu mkubwa wakumuokia huyu mtu, kwani sio yeye tu, atakaehalibu sifa yake, Bali hata bar ya shangazi, itakuwa matatani, na Mimi kama msimamizi, itaniletea shida kubwa sana, shangazi hatoniekewa, pia jamii ni lazima nitaonekana kwenye vyombo vya habari, itanihalibia hata sifa ya kupata ajila Moja Kwa Moja, na wasukuma wakisikia hii habari ndio nimekwisha kabisa, watanichukulia kama barozi wa huu ufuska...

Itaendelea...๐Ÿ”ฅ
*MY HOT PILOT ZYRON*
( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ).

MTUNZI; SMILE SHINE
EP 2.

Nilisubili wakatoka, Kisha namimi nikatoka Kwa tahadhali kubwa, Mungu alikuwa upande wangu, hawakuweza kuniona, nilitoka nakwenda kukaa jilani kidogo na anaewindwa,kweli aliletewa kinywaji nikiwa Kule chooni, nikagundua tayari nimekwisha Chelewa inabidi nimuondoa hapa haraka, kabla hajaanza kuathilika na hicho kinywaji, nilivyaa kiania Ili mtu yeyote asinitambue...

Nikatafuta mlevi mmoja, nikamvuta pembeni, nikiwa nimefunika sura, nikamshikisha pesa kidogo ya pombe apo nimechukua za mauzo, nikampa ten, kaka naomba unisaidie kaniitie yule baba pale aliekaa na yule kijana, mwambie namuhitaji huku chooni Mimi mhudumu...

Hakukataa alifanya nilichomwambia, alivyotoka tu yule mbaba Mimi nikawahi kumtoa huyu kijana, nilishilikiana na kaka mmoja mlinzi,ni msukuma mwenzangu, Kwa gia Ile Ile ya unaitwa huku, akanifata tulivyofika nje kulikuwa na usafili wa boda, nilimuomba tupande hapa sio sarama, alianza kuleta ubishi, mlinzi alikuja akamshika eneo flani la shingo akazimia, ikabidi tumfiche kwenye chumba Cha mlinzi nibaki nae, ilionekana ameshaanza kutafutwa...

Yani watu wengine sijui wakoje jitu unalisaidia vizuli tu, linaleta ubishi, ona Sasa tumeishia kujificha kama majambazi,nililalamika huku nimeshasahau kabisa kama nilienae, amewekewa dawa za kuchochea hisia za kitandani, sikuwa nimeliwaza kabisaa hili, baada ya muda nilisikia mlinzi anaulizwa kama kamuona huyo jamaa kapita mlinzi akajibu ndio..

Akatoka na mtu kama dk 10 zilizopita, walitoka kuanza kumsaka huku jamaa akaamka, kibaya zaidi nje mlinzi alikuwa mbali na katufungia na kufuli kwa nje, jamaa aliamka akiwa na kiu ya asali, hakutaka kunielewa nilijuta, alinichania nguo bila huruma,alikuwa na hali mbaya sana, nikaona hapa nikijitia mgumu nitaumia, Ili nisiumie nimpe tu ushilikiano, kwani sh ngapi bwana...

Nilimpa ushilikiano, lakini tayali nguo nimechaniwa, baada ya Kuona nimeamua kumpa Kwa hiyali alisema, siwezi kukuandaa Kwa Leo utanisamee, nilichoka akili dah uyu kiumbe anajielewa kweli, alinitoa juu yake nakuniludisha chini, Kisha akaanza...

Itaendelea...๐Ÿ”ฅ

MY HOT PILOT*
( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ).

MTUNZI; SMILE SHINE
EP 3.
Akaanza kunishughulikia nyie kunaa vidume vinapumzi sio kitoto, jamaa sijui ni dawa zile alikuwa hachoki, nilichoka Kila niliomba kuachiwa siachiwi, alihakikisha masaa yanakatikia kifuani kwangu, nguvu zimeniisha kabisa ndo akanichiaa na kuzima..

Sikujisumbua hata kujua nini kinaendelea kwake nilikuwa hoi nilijifuta na shati lake makusudi, nikalala, nakuja kushtuka saa 6 mchana, jamaa hayupo ata kuacha ujumbe hakuna na mudaa huo nasikia shangazi yangu anagomba, sijakaa sawa kaingia chumba ch mlinzi, apo Niko kama nilivyozaliwa...

Alinipa mtusi yaanguoni, niliitwa malaya, nikiwa nimejifunika n shuka tena chafu chafu tu lamlinzi alinitoa nje mbele ya wafanyakazi nakunizalilisha kuwa nimelala na mlinzi, hakutaka ata nijitetee..

Niliumia hapo sina pesa nina laki 5 za mauzo tu, niliingia Kwa aibu kwenye banda la mlinzi nikachukua pesa na simu Ile natoka shangazi akaninyakulia pesa zote na simu, hii simu naenda kuuza nipate pesa yaa hasala uliyonisababishia, lakini shangazi mbona hakuna hasara, lakini hakunisikiliza alipanda pikipiki nakuondoka allitokea mama mmoja akanisogelea, pole binti hata kama umekosea hukustahili haya naomba nikupeleke apo kwanza uoge na kujistri kisha tuongee...

Nilikubali nikaingia kwenye gari yake,sikuongea kitu alikuwa kanipa kitenge, nilibeba na zile nguo zangu zilizochanwa usiku,tulienda kwenye maduka ya nguo akaninunulia Dela na nguo za ndani,nililetewa akanipeleka kwake hapa kuwa mbali na hapo...

Alinikalibishaa kwake,nakuniomba nioge, nilioga nikavaakijola alichoninunulia , nikatoka, mama samahani naomba unisaidie kiberti nichome hizi nguo, yule mama alinipatia kiberti nikazichoma Kisha nikaludi sebuleni...

Karibu binti yangu,naomba nijitambulishe naitwa Fatuma, ni mama wa mtoto mmoja wa kiume, Mimi ni single mother, makazi yangu ni china, huku Huwa nakuja kutuliza akili mala moja Moja, mwanangu anaishi London ,Ndiko alikofungulia biashara zake, nipo huku pia kumsaidia baadhi ya mambo yake ya kazi, anahitaji kufungua kampuni huku ya usafili wa anga,kama Huna makazi naweza kukuamini, tukaishi wote ukawa binti yangu wa hiyali...

Nilishusha pumzi kisha nikajibu, Asante sana mama ni binadamu wachache sana wenye moyo kama wako,nashukuru mno, Mimi yule ni shangazi yangu kabisa, nilikuja huku Kwa lengo lakupata kazi,aliniahidi Kuna kazi nikaja, Mimi ni mtu wa shinyanga, na hili la Leo, ilibidi nimsimulie,pole sana binti yangu kwanza naomba tuwahi zahanati upate dawa za kuzuia maambukizi na mimba, ndo akawa kama kanikumbusha nyie niliwahi kuinuka tukaenda hosptali akaomba nifanyiwe na vipimo kabisa, wakataka pf3, ikabidi mama Fatuma afanye ujanja ujanja, nikapewa dawa na vipimo vyote vilifanyika...

Tulivyotoka hosptal, nikapata wazo la kufata vyeti vyangu kwani mama Fatuma, aliniahidi kunipa kazi,mama naomba nikachukue vyeti vyangu na vitu muhimu lakini pia niwajulishe nyumbani kuwa nimetoka Kwa shangazi na nimepata kazi...

Sawa binti yangu ila naomba nikusimdikize,tulipitiliza Kwa ant yangu nikamkuta ametoka vitu vyangu anachoma moto, niliwahi nakuta kachoma mpaka vyeti vyangu kipo Cha form 4 tu,nililia sana akasema ameshanishitaki na nyumbani, milembe sitaki kukuona nyumbani kwangu, nakufuga Kila siku unakula bule, bado unanifanyia ujinga Sasa tuone utaenda wapi, SI ulikuwa unalingia hio elimu Yako eee! Sasa nataka nione itakusaidiaje...

Mama Fatuma alikuwa kwenye Gali alishuka nakuingia ndani geti kilikuwa na kisogeza tu alimkuta nimeshikilia vyeti vilivyoungua na nguo huku nalia, shangazi mbuke, alikuwa ameshaingia ndani, milembe binti yangu, tuondoke Kila kitu kitakuwa sawa, hapa sio Salama tena mwanangu...

Nilishindwa hata kumjibu, alinikokota tukaondoka bila kitu ni cheti tu Cha 4m 4 ndicho niliambulia,tulifika Kwa mama Fatuma,akanilingiza ndani, mikono ilikuwa imeungua Kwa kishika vyeti vilivyokuwa vinaumgua na begi langu la nguo...

Alichukua dawa, akanipa mikononi Kisha akanilisha, nilijisikia Raha mno, sijawai kulishwa hata na mama angu mzazi, hata nikiwa naumwa Huwa nakula mwenyewe,nilijiukiza mmmh milembe hapa ni mjini huu wema kuwa nao makini isije ikawa anauza wanawake huyo, nikawa makini, na hofu ya chakula nilichokula ilikuwa kubwa mno...

Niliingia kulala Kwa hofu na mawazo, hata usingizi haukuja, nilikuja kupitiwa usingizi badae ata sikujua ni saa ngapi, nakuja kuamka saa tatu usiku, naitwa tukale, niliamka, mama Haina haja ya kutumia ghalama tunaweza kupika tu tukala, milembe mwanangu kwakweli katika vitu sijui , nikupika Huwa nakula hotelini ama nakula chakula Cha dada wa kazi, huku nimekuja bila msaidizi Yuko likizo, nakula hotelini ama naagiza wanaleta mpaka atakapomaliza likizo, nilichoka Yani mwanamke hajui kupika! Hii mpya, sawa mama lakini naomba Mimi niwe napika najua kupika vizuli tu...

Nikiwa chuo nilikuwa na mpenzi chef, alikuwa ananisimanga mno kuhusu chakula, ilibidi nijifunze Kwa ufundi kupitia yeye nilijua kupika mpaka vyakula vya kichina, kiethiopia vyakula vya nchi nyingi tu Niko vizuli, " hongela binti yangu Mimi sikupata hio bahati, na Kwa jinsi nilivyobize hata muda wakupika sina kabisa...
Kesho tutaenda kuhemea vyakula, na Kila kitu unachohitaji, Kwa Leo pumzika, sawa mama, nilitoka na kijola changu tukaenda hoteli tena ni 5 star kabisa nilianza Kuona aibu, " milembe kuwa Hulu hapa Kila mtu na yake usiogope jiamini na ujikubali, tulifika akaagiza pizza, Mimi niliagiza chips,milembe kuwa Hulu angalau kula chips kuku binti yangu na kakinywaji, niliagiza chips kuku na mocktary...
Itaendelea...๐Ÿ”ฅ
*MY HOT PILOT*
( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ).

MTUNZI; SMILE SHINE
EP 4.
Mama Fatuma aliagiza pizza, dompo na nyama ya foil kg 1, tulikula bili ikaja akalipa Kwa kadi, nikawa list ikaja mama alienda toilet, nikawa nimepokea kucheki hio bilii! Nyie nilijikuta nimeweka mikono kichwani, Yani ni ml Moja na laki nne hivi tu๐Ÿค”, jamani jamani mbona tumepigwa, mama fatuma alilejea, mama hii cheki ni kama wameichakachua, akachukua na kugagua, " milembe binti yangu Iko sawa ndo bili iliyoletwa,nimeshalipia tuondoke binti yangu...

Mama ebu subili kwanza, inamaana hapa tu hiki chakula chote tumekula ml na ushee!, nilimtizama sana uyu mama, nakuona kabisa anatumia pesa vibaya,nilitamani hata kumshauli ila nikaona sio vyema, ndo kwanza tumejuana afu nianze kumpangia maisha haitapendeza, nikavunga mama Fatima alilipa bili tukaondoka kuludi nyumbani....

Tulifika Kila mtu akaingia kulala,maisha yaliendelea, nyumbani walinitenga kabisa hata simu nikipiga hawapokei, nilikuwa naumia mno, mama Fatima alinipa kazi kwenye kampuni zake nikawa afsa masoko, nilikuwa napiga kazi, ikapelekea akanipenda zaidi, nilihakikisha tunaweka soko la anga linajulikana Kila Kona, baada ya miezi mitatu, tuliondoke na mama Fatuma kwenda china,nilifurahi mno, tulifika china, niliingia kusoma short coz kadhaa, na lugha ya kichina baada ya miezi 6, nilikuwa tofauti kabisa, na ivi Mungu alinibariki uzuri, na kama mnavyojua wasukuma Kwa ukarimu, nilipendwa sana na watu japo maadui Huwa hawakosi...

Mama Fatuma alinielewa kama binti yake wakuzaa, watu wengi walinitambua kama binti wa mama Fatuma, kipindi chote hicho sikuwahi kukutana na mtoto wake wa kiume, tulikuwa tukiwasiliana tu kwenye simu,alikuwa mtu wa bize sana, nilipitia mafunzo ya usimamizi wa kampuni na maswala ya ndege, baada ya kuwa nimeiva kimasomo, kaka Kingslay alikuja china..

Nilijiandaa na mama Fatuma tukaenda kumpokea, nyie ni bonge la mwanaume Yani ni mzuri jamani body flan hivi yakutuvuruga wadada na mishangazi Yani usipojizui unazama mzima mzima bila kujitambua,kaka anasura nzuri kunizidi ata Mimi Yani nilichomzidi ni jicho na rangi ya mtume na kishep mi nae ni pisi atari ila Kwa uyu kaka mmmh๐Ÿค”, kifua Chake Sasa dah ๐Ÿ˜‹ msinihukumu ni vile hamjamuona ninauhakika mkimuona ata nyie mtadata...

Nilianza kukuta kuwa mtoto wa mama Fatuma, nilianza kumpigia mahesabu makubwa kaka angu wa hiyali, uyu akinikunja dah pepo Toka ni kaka angu uyu, kwanza wakaka wazuli hawafai wanaliza Kila kukicha acha nitafute pesa yasijekunitokea puani, nilijituluza lakini ndani moyo unadunda Kama mpila wa danadana...

Itaendelea๐Ÿ”ฅ
*MY HOT PILOT*
(rubani wangu๐Ÿ”ฅ)

MTUNZI: SMILE SHINE
EP 5.
Mama alionekana kuwa mwenye furaha sana, Kingslay hakuwa muongeaji, ni smart ila cool muda wote, ilinipa wakati mgumu sana kumzoea zile hisia nae zote zikapaa shwaaaaa! Make mtu mwenyewe alikuwa bize muda wote, hakaj na watu ni chumbani tu akitoka anaweza kukusalimia huku ata hakutizami, yule pepo wakumtamani akanitoka nikaanza kumchukulia kama ndugu, tulilejea Tanzania wote rasmi kuzindua kampuni yetu ya usafili wa ndege kutoka Tanzania kwenda china,Dubai, marekani, dermack na ufaransa, ndege zetu zilikuwa zinatoka Tanzania Moja Kwa Moja nchi husika, Kwa Tanzania huduma hii haikuwepo wasafiri wa nje wote iliwalazimu wapitie Kenya ndio wapate ndege ya Moja Kwa Moja kwenda nchi zingine..

Kampuni ilipata mwitikio mkubwa sana sana, hatukutegemea kupata mapokeo makubwa kiasi hiki kwetu ilikuwa ni mwanzo mzuri mno,baada ya mwezi mmoja tuliandaa part na kualika watu mbari mbari Kwa ajili ya kufurahia mwanzo mzuri wa kampuni,Kingslay alikuwa haonekani na wafanyakazi kilahisi vidada vilikuwa vikibahatisha kumuona, vinachanganyikiwa mno sikuwashanga jamani king ni bonge la hb..

Siku Moja kabla ya part, nilikuwa Niko happy mno kwasababu, nimenunua kiwanja changu Kwa pesa zangu bila msaada, kwangu ilikuwa ni jambo kubwa mno, Kwa furaha hio nikaamua kuwapikia masotojo, kumbe bwana Kingslay anavyakula vyake Ivyo ukipika siku utaona kicheko chake, nilipika ugari na mrenda, nikanunua na maziwa mama sio mpenzo wa ugari nikampikia pancake coz hapendi vitu vigumu kbsa,kumbe king ugari na mrenda ndo chakula chake pendwa Toka azaliwe ameshawai kukila mala mbili tu akakipenda, kimbembe mpishi wa mrenda Kila anaempikia hafikii vile viwango...

Mtoto wa kisukuma Mimi na mrenda, hata nikiwa usingizini siwezi kukosea kukupikia mrenda, basi nikaupika nikatenga, dada akabonyeza kengere ya kuwaarifu msosi tayari, Kingslay alivyofika Yuko cool jamani mpaka anaboa,alikagua akaona ugari akacheki na mboga wee nikaona kaachia tabasamu Kwa pupa akapakua mboga kwanza nyie mrenda wote akajipakulia yeye, ilihali Mimi nilipika Kwa ajili yangu, nikijua wengine hawatakiweza chakula changu Cha kisukuma, nilichoka nikaona hapa nisivunge, kaka king mboga yangu hio hutaiweza nimewaandalia ninyi hivyo vingine...

"Samahani ivi Huwa unaitwa nani?"
Nyie nilichoka Yani siku zote tunaishi jina langu hajalishika tu๐Ÿ™„,kaka kama jina linakushida usijali niite tu dada, ila naitwa milembe, " ok milembe hiki ulichopika ni chakula changu pendwa kuliko vyakula vyote, naomba Kwa Leo unisamee, nilikumiss sana sikutegemea kama utakuwa unajua kukipika ningeshakuomba unipikie, Yani hata Kuona hiki ndo kigezo changu no 1, mke lazima ajue kunipikia hiki chakula, aliongea king huku anakula bila huruma...

Dah nilichoka kwakweli, wakati nawaza mama alifika, akaona mwanae anavyokula Kwa furaha,hee king Leo umenunua wapi msosi wako pendwa," mama huwezi amini, huyo mrembo wako ndo kanipikia, Yani hapa mama naomba uniache nishibe kwanza,naomba kesho niwatoe out Yani mama hii mboga imepokwa vizuri kuliko zote nilizowahi kula...

Heee kumekucha, kumbe milembe unajua kupika vyakula vingi ee Yani, apo king umemfikisha, nilitabasamu uku moyoni naumia kimya kimya,tulikula uku king ashamalizs anatupigisha story na sio kawaida yake kabisa,ivi mile alilikata jina langu Ivo, "unaweza kunifundisha kupika hiki chakula?..

Ndio kaka naweza ata sio kazi, alichangamka jamani kama katiwa ndimu, tulimaliza Kila mtu akaingia kulala,kulikucha king akatupelekw shoping Kwa gharama zake,tuliludi tuko hoi, nikiwa nataka nikalale Ili nikiamka nijiandae na part, mlango wangu ukagongwa, nilikuwa na kijitaulo tu, na nishazoea wanaokuja chumbani kwangu ni wa kike tu hivyo ata sikujipa stress kuvaa nilimwambia tu pita muda huo napakaa mafuta, kitaulo nikakishusha nipake mafuta...

Sikuwa na wasiwasi nikaluhusi anaegoma aingie, alivyoingia, sikuwa nimejua ni nani kaingia,kilichonishtua ni Ile naongea mtu yupo kimya, nikaamua kuinua uso nimcheki weeee, nilijikuta kitaulo kimedondoka tena Niko wazi, na kifua changu saa 6 zangu, aliingia alikuwa kaganda ata kujifunika hamna anatoa macho tu, nilivyopiga kelele Kwa sauti ndo akashtuka nakutoka nje fast...

Itaendelea๐Ÿ”ฅ.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5


(Kitabu Chote)
MY HOT PILOT ZYRO
( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ)
MTUNZI; SMILE SHINE

EP 1.
Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa shinyanga ngokoro, yes Mimi ni msukuma pure niliebahatika kusoma peke yangu katika familia yetu, yenye watoto 15, tena wa mama mmoja nimesomea marketing...

Nilikuja dar kutafuta kazi na ninaishi Kwa shangazi yangu, mwanzo aliniambia Kuna kazi lakini Toka nimefika sioni kazi yoyote,chakula chenyewe sishibi wanapika Kwa mahesabu๐Ÿ˜ญ, naishia kufanya kazi za ndani Kwa shangazi, na kusimamiwa bar yake iliyopo hapa tabata bima tena bila malipo...

Siku Moja nikiwa nasimamia bas ya shangazi,...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-hot-pilot-zyro-rubani-wangu-1-to-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-hot-pilot-zyro-rubani-wangu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

1.09K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

1.04K
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

164
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

160
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

152
SHAMIRA Sehemu ya 51

SHAMIRA Sehemu ya 51

42
SHAMIRA 49 to 50

SHAMIRA 49 to 50

40
SHAMIRA 52 to 53

SHAMIRA 52 to 53

35

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.71K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.86K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.64K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA 52 to 53 Post Mpya
SHAMIRA 52 to 53
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 52 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana kesho yake asubuh husna na aisha wkaniletea uji na viazi vya rosti nilikula vizuri mana mwanangu kana nyonya mno. Basi nilipomaliza...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6 Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 6
@majario LIVE

MTUNZI: SMILE SHINE EP 6. Kumbe alikuwa ni Kingslay, jamani kanichungulia,niliona aibu nyie dah!, upande wa Kingslay aliingia Moja Kwa Moja chumbani kwake,alijikuta hisia zimempanda Ile Ile, "uyu binti jamani ni mrembo๐Ÿ˜‹,...

MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5 Post Mpya
MY HOT PILOT ZYRO ( Rubani Wangu ) 1 to 5
@majario LIVE

(Kitabu Chote) MY HOT PILOT ZYRO ( rubani wangu ๐Ÿ”ฅ) MTUNZI; SMILE SHINE EP 1. Ikiwa ni majira ya saa tatu usiku, nikiwa jijini dar, maeneo ya tabata bima, Kwa Jina naitwa milembe mzaliwa wa...

SHAMIRA Sehemu ya 51 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 51
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi na aisha hakuchelewa sna akaleta vifaa vyangu na kadi langi la clinic pale.mimi sielewi nikawa nasema jamani nipelekeni nikazae naumwa sana. Manurse...

SHAMIRA 49 to 50 Post Mpya
SHAMIRA 49 to 50
@majario LIVE

Sehemu ya 49 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aisha alinishauri nitafute mwanaume mmoja nimpe mimba. Nimasema wala sina mda uo. Kwanini nikamuongopee mtu kuhusu mtoto Uyu mtotot akizaliwa .mimi...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest