Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
Gonga94 · Stories

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Tunaanza...

Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza. "Baba, mimi huyu hapa," alisema Amirah, binti mwenye heshima. Alikuwa amevaa vizuri, kama binti wa Kiislamu.

"Kaa hapa binti yangu," alisema Sheikh Abdullah huku akimwonyesha mahali pa kukaa kwenye sofa. Amirah alikaa na kumtazama baba yake. Muda mfupi baadaye, Bi. Sauda, mke wa Sheikh Abdullah na mama mzazi wa Amirah, aliingia ndani. Alikuwa akitoka kufanya usafi uani.

"Mke wangu, bora umefika, nilikuwa nataka kuongea na binti yako kuhusu lile jambo," alisema Sheikh Abdullah.
"Ongea naye, mimi bado nina kazi," alisema Bi. Sauda. Bila shaka alijua jambo ambalo mumewe alitaka kumuambia binti yake.
"Sawa."

Sheikh Abdullah alimwangalia binti yake kwa tabasamu.
"Hakuna kitu nachokifurahia kwa sasa kama kuona bado unaendelea na maadili binti yangu. Mwenyezi Mungu amefurahishwa sana na kitendo chako cha kuwa karibu naye. Ukiendelea hivi, Allah hatakuacha binti yangu."

"Amina, baba," alijibu Amirah kwa upole huku akiwa amejisitiri.

"Nilikuwa napenda kukuambia kuhusu chuo. Huendi tena Dodoma. Tumeona usomee tu hapa Dar es Salaam binti yangu, lakini utakuwa unaishi huko chuoni, ili uendelee kufanya vizuri zaidi. Hiyo kozi yako ya uuguzi inahitaji umakini mkubwa. Ujikite kwenye masomo vizuri. Ukiwa hapa nyumbani, aaaaah, utakuwa unajichanganya.
Mara sijui upike, mara vile, mimi sipendi kabisa. Kuna chuo kipo hapa Dar tu, ni kizuri sana na kinakufaa," alisema Sheikh Abdullah.
Amirah alifurahi sana.

Alipenda sana kuwa karibu na familia yake. Dodoma ilikuwa mbali sana. Alisomea huko kwa miaka miwili, na sasa alikuwa anaenda kumaliza miaka miwili mingine hapa Dar. Kwake, hii ilikuwa furaha maana hata akipatwa na shida yoyote, itakuwa rahisi kupata msaada wa familia.

"Baba, asante sana, ninafurahi kusikia hivyo. Kaka Muhammad amekubaliana na hili?" alihoji Amirah kwa furaha.
"Ndio, amekubali bila shida. Na mdogo wako Fatma wa darasa la saba anaenda shule ya bweni."

"Kwanini baba? Mimi naona si sahihi kabisa. Shule ya bweni kuna mambo mengi sana, halafu Fatma bado mdogo. Akae kwanza hapa, aanze bweni akiwa kidato cha kwanza," alishauri Amirah.

Sheikh Abdullah alikaa kimya kwa muda kisha akajibu, "Lakini ni kweli. Subiri niongee na mama yako kwanza." Maisha ya familia hiyo yalikuwa ya kawaida kabisa. Sheikh Abdullah alikuwa baba wa watoto watatu: wa kwanza Muhammad, wa pili Amirah na wa tatu Fatma. Alikuwa na mke mmoja tu. Muhammad, ambaye ndiye mtoto wa kwanza, alikuwa ameajiriwa serikalini na alikuwa na kazi nzuri tu.

Amirah ndio hivyo, alikuwa amebakiza miaka miwili amalize chuo. Ilikuwa ni familia iliyoshika dini sana.

Majira ya mchana, familia ya Mzee Stephen pamoja na Bi. Anna walikuwa wakipata chakula pamoja na vijana wao wawili, Treson na Joshua. Familia hii ilishika dini sana.

Stephen alikuwa mchungaji wa kanisa la Methodist, kanisa maarufu sana nchini Tanzania. Alijulikana kama Mchungaji Stephen.

"Nimesema kesho, kuna mfungo. Hivyo kila mtu ajiandae kufunga kabisa. Ni familia nzima, wala sitaki kuletewa visingizio hapa, mpaka huyo Fadhila atafunga," alisema Mchungaji Stephen. Fadhila alikuwa mfanyakazi wa ndani.

"Baba, mimi nitakuwa na zamu ya usiku kesho, nipo tayari kabisa
kufunga, wala sina kizuizi," alisema Joshua kisha akamtazama mdogo wake Treson, ambaye alikaa kimya bila kuongea chochote.

Ukimya wake uliwafanya kila mmoja amtazame.
Baada ya muda, Mchungaji Stephen aliongea tena. "Treson, wiki ijayo unarudi chuoni, huu ni mwaka wako wa mwisho kabisa. Pambana kijana wangu ili ulete matokeo mazuri. Kaka yako alikataa kufanya mambo ya biashara, alisema kuwa si mambo yake, hivyo nakutegemea sana wewe. Wewe una upevu kabisa na haya mambo. Mimi natakiwa kukaa chini kufanya kazi ya Mungu, na si kuendelea na mambo haya tena."

"Usijali baba, nimeenda kupigania kampuni yetu. Nategemea mambo yataenda sawa bila shida."

"Asante kijana wangu, ni kukutakia tu
masomo mema. Kumbuka mwaka huu ndio wa mwisho. Pambana sana," alisema Mchungaji Stephen, na Bi. Anna akaingilia kati kwa pupa.

"Mambo ya wanawake achana nayo. Kumbuka kanisani kwetu kuna mabinti wengi wazuri wanamuamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao. Ukimaliza tu chuo, utakuja kuoa. Achana na hao wa huko chuoni wanapenda tu kuchuna hela. Halafu wewe ni mtoto wa mchungaji, inatakiwa uoe vizuri, siyo kwa njia za panya."

"Nimekuelewa mama."

"Mama bwana! Unadhani Treson ni mdogo? Anaelewa kila kitu, ni mtu mzima huyo. Miaka ishirini na saba bado mdogo? Hayo maneno si ya kumuambia," alisema Mchungaji Stephen.

"Mtoto ni mtoto tu, lazima aambiwe."
Majira ya usiku, familia nzima ya
Mchungaji Stephen walikusanyika kufanya ibada ya usiku. Aliyekuwa mhubiri alikuwa Joshua. Ibada ilienda sawa kabisa, walimaliza na kila mmoja alienda chumbani kwake kulala.

Treson alikuwa bize na kompyuta yake akisoma mtandaoni. Licha ya kusoma chuo kikuu, bado aliona ni vyema kuelimika zaidi mtandaoni pia.
Upande mwingine, Amirah alimpigia simu rafiki yake kipenzi sana, Charline, na kumuambia kuhusu ratiba yake kubadilishwa chuo. Charline alifurahi sana. Wote walichukua kozi moja
lakini walitengana baada ya Amirah kwenda kusomea Dodoma.

Basi Amirah alichukua fomu mtandaoni ya chuo alichoambiwa na baba yake, na akatuma maombi yake. Asubuhi na mapema, aliamka na kuangalia kama amejibiwa. Alikuta amejibiwa na amepewa maelezo yote. Aliambiwa anatakiwa kuripoti chuoni mapema ili kuweka mambo mengine sawa.

Alimuambia kaka yake Muhammad kila kitu na alimuomba pesa ya kununua baadhi ya vitu, kama viatu na mahitaji mengine ya msingi. Jioni alitumiwa pesa na kaka yake. Kesho kutwa alienda kununua vitu vyake. Ilikuwa imebaki siku mbili tu aende chuoni. Ilikuwa kama bahati kwake kupata nafasi kwenye chuo hicho cha CCAP UNIVERSITY.

Baada ya siku hizo mbili, Amirah alijiweka sawa. Aliagana na familia yake. Kaka yake alikuwa bize sana siku hiyo hivyo hakuweza kwenda kumsindikiza mdogo wake. Alimpa tu pesa ya nauli na matumizi.
Muhammad ndiye aliyekuwa kila kitu kwa mdogo wake Amirah.

Chuo kilikuwa mbali kidogo na nyumbani kwao, kama masaa matatu hivi kwa gari, lakini ilikuwa ndani ya Dar es Salaam. Majira ya saa tisa, alipanda bajaji mpaka stendi na kupanda basi kuelekea chuoni.

Aliwasiliana na rafiki yake na kumuambia kuwa anaelekea chuoni. Charline alimwambia kuwa yeye tayari alikuwa chuoni, alifika asubuhi. "Natamani kukutana na wewe tena Charline, baada ya siku nyingi hivi, si mwaka?" alihoji Amirah. "Mwaka tayari, tunaelekea miaka miwili sasa."

"Mmmh! Nimekukumbuka sana."
"Usijali, kwa sasa utakuwa unalala na mimi. Nimeletewa jina lako hapa kama mwandani wangu wa chumba, yaani ninafurahi sana," alisema Charline.

Amirah alifurahi mno na hakutaka kuamini. Alimuambia ataamini mpaka pale atakapojiridhisha mwenyewe.
Baada ya masaa matatu, Amirah alifika eneo karibu na chuo. Sio chuoni penyewe, ila chuo kilikuwa kinaonekana kwa mbali.

Gari lilifikiri alikuwa anaelekea chuoni kabisa, hivyo alitakiwa kushuka ili achukue bajaji au bodaboda. Alishusha begi moja kubwa na lingine la mgongoni.
Aliposhuka, kulikuwa ni sehemu ya upweke sana, haikuwa na mwendo wowote. Hivyo kila bajaji iliyopita ilikuwa na abiria.

Alikaa takriban nusu saa akisubiri bodaboda au bajaji. Amirah alichoka baada ya kukaa kwa muda mrefu.
Aliamua kukalia begi lake kubwa. Muda mfupi baadaye, kuna gari nzuri tu ilipita na kusimama mbele kidogo. Mtu alishuka kwenye gari, hakuwa mwingine bali alikuwa Treson. Alimfuata Amirah kwa upole, na kumuuliza swali.

"Unahitaji msaada?"
Sauti ya Treson ilimshutua sana Amirah na kumtoa kwenye dimbwi la mawazo. Aliushika moyo wake baada ya kumtazama Treson, ambaye alitamani kuendelea kuongea lakini aliganda kwa muda. Hakutarajia kabisa kukutana na mwanamke mzuri na mrembo kama Amirah. Treson alijikuta amevutiwa sana na Amirah, alishindwa kuelewa.

Itaendeleya......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01



Tunaanza...

Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza. "Baba, mimi huyu hapa," alisema Amirah, binti mwenye heshima. Alikuwa amevaa vizuri, kama binti wa Kiislamu.

"Kaa hapa binti yangu," alisema Sheikh Abdullah huku akimwonyesha mahali pa kukaa kwenye sofa. Amirah alikaa na kumtazama baba yake. Muda mfupi baadaye, Bi. Sauda, mke wa Sheikh Abdullah na mama mzazi wa Amirah, aliingia ndani. Alikuwa akitoka kufanya usafi uani.

"Mke wangu, bora umefika, nilikuwa nataka kuongea na binti yako kuhusu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/amirah-wangu-sehemu-ya-01

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi amirah-wangu-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

926
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

792
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

627
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

462
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

201
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

124
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

99
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

96
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

57
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🤚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest