Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
Gonga94 Β· Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Mwandiishi; LISSA

Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja nisogeze mda tu mbele, mana ahaaaa nilikuwa siyaelewi wala nn, apooo sasa zena kila siku ananitumia sms za kunitakia kazi njema na jioni atanitafuta kuniulizia kuwa naendeleaje ,sijuh pole na kazi mume wangu, yani mambo kibao, bado na mm nikawa narespond kama vile ambavyo yeye anataka,ila sasa pesa sikuwa nampa san kabisaaa, ambacho kikubwa nilikifanya kwake tulipoanza aya mahusiano ni nilimnunulia kitanda tu, mana ile kulala chini na mtoto kama binadamu ilikuwa inaniumiza ,ila ata kuonana na zena ,ni mala chache sana ndo naenda kwake, mostly mi nipo busy na mambo yangu, yani kuna mda nasahau kabisaa kuhusu aya mahusiano, ahaaa mahusiano ya kijinga jinga ndo nn sasa, apo ata nikienda kwake hataki ata nimkiss ,asa jamani ndo mahusiano gani ayoooo ,ata kumshika hataki, ata ukimtumia zile sms za mapenzi za usiku, ahaaaa zena hanijibu kabisaa ,wakati kuna wenzake mpaka picha za utupu wananitumia na unyama tu,

Ila pesa zangu nikimpa anachukua fresh kabisaa, na asante ana sema ila mm hataki ata niuguse kidogo mwili wake, yani ata ile kumshika mkonoo, yeee hataki yani, nikawa nahisi apa nachumwa vyangu wallah hakuna mapenzi apa, ila ngoja tuoneeeeee, apo kale ka ummy kannanipenda sanaaa, na kanajua mie ndo baba yake, ila sikuwa na jinsi, na ikawa kila week end ya j mosi ntapita kwa zena kumuona , ntakaa apo na kucheza na ummy,ntakula kabisa ndo naludi kwangu, na kwa kupika tu zena naajua kupika mashaaallah, basi ayo ndo yakawa aina ya mahusiano kati yangu na zena, nikapambana nae kweli kweli mpaka ikakata miez 2 ,wanangu utamu sijapewa na sioni dalili yoyote ya kwamba ata anatalajia kunipa , yani na nikimuita kuja kwangu aahaaaa hataki kabisaaa ata kusikia ,,so ikawa mm ndo kila siku naenda kwake ,yeye ata kupajua tu ile kwangu hapajui hajawahi kufika kwangu ata siku 1, apooo mnazani nimetulia thubutu, kama kawa mi na wanawake wengilu tu, kuna mdaaa ndo hivyo kazini demu akijichanganya naluka nae,yani awa maafande wa kike kam kawa ,na vile nna cheo kikubwa, basi unyama tu ,kama kawaida maisha yanaenda

Siku iyo sasa bwana, nilikuwa zangu job na mwanangu ibraaa, kuna kazi tulikuwa tunaifatailia , na tulikuwa busy sana, mh uo mda wa mchana naona zena ananipigia,apo zena ni mama ntilie bado mujue sijambadilishia chochote, naanzaje mambo hajanipa na pesa nampa a kawaida sana ,yani inaweza kata week ,nikampa.elfu 20, tena namwambia na ya mtoto ipo apo apo ya kuendea shule na wala hakuwa na shida katika suala hilo, na wala sikuona kama.anafosi sana juuu ya mm kumpa pesa ,ye chovhote ntakachompa anapokea fresh kabisaa maisha yanaenda, basi siku iyo kanipigia simu nilikuwa ofisini na mwanangu ibra kuna kazi tulikuw tunaimalizia, nikapokea simu, nikasema nambie mke wangu, akanmbia ahaaa pole na kazi mpenzi, nikasema asante nimeshapoa nambie, akanmbia ahaaa nipo nataka kuandaa chakura kizuri kwa ajili yako unaweza ukaja, ahaaaa asa chakura kitanisaidia nn, mi nataka chakura chengine bwana, nikasema asante zena but leo niko busy sana na kazi ,ntakuja mda mwengine kupata chakura na wewe, akanmbia sawa mpenzi, basi sawa endelea na kazi, basi mi nilivyokata simu nikasonyaaaa , ahaaaaa

Ibraa kanmbia nn, nikmwambia zena uyu ananita niende kwake jioni nikale, asa mi chakura kitanisaidia nini, mi sijisikii kwenda uswahilini kwake kwanza, ibraa akanmbia ila uhisi amani kwa sasa at least una mahusiano, mana sikumbuki millan ni lini ulikuwa n mahusiano ya kimapenzi ata week moja na mwanamke , ila uyu demu mna mwezi now, nikasema sababau hajanipa bado ila akinipa tuu ahaa anaachana nae. Basi ibraa akacheka sana akanmbia sawa bwana, basi bwana kaka yenu nikaendeleza mahusiano na zena ,ila sikumuweka kipaumbele sana, yani mpaka nijisikie sana , ndo ata ntanunua dera nampelekea kwenda kumzuga, kuna mda kama sitaki usumbufu, mi namwambia nimesafiri, apo natanua dar ata week 2, wala hanisumbui sana, siku nikivuta demu geto, simpokelei simu yake ata week 1, kawaida ,na nikimpigia namsondisha sanaa braa braa kibao, ila kitu ambacho alikuwa ananifurahisha zena , aseeee zena ni muelewa ,yani muelewa mnoo, ata kumdanganya sipati kazi ngumu. Ni kumpanga moja ,mbili 3 basi nimemalizaaa na anaonesha kuelewa kabisa, penzi bubu likanoga bwana, na kitu chengine zena sio mwanamke wa kupiga simu kuomba pesa hapana, yeye akikupigia ni mtaongea mengine tu, mpaka mtaagana yani kama kumpa pesa ni pale ntakapojisikia mwenyewe kumpa,

Basi nikasukuti sana na hili penzi mpaka likakata miezi 5, yani sijapewa na hakuna dalili, ahaaaa ilifikia stage , mi nikazalau kabisa aya mahusiano, na sana sana nilikuwa namwambia zena mm nimesafiri,yani sipo dar kabisaaa, ananmbia tu sawa so uko wapi, apo natafuta limkoa lolote namdanganya,ananmbia sawa nimeeleewa hakuna shida ukiludi njooo nyumbani, basi apo mi nakuwa busy na wachumba zangu, mala leo nipo na uyu kesho na yule, mi bwana kila siku natongoza na swaga ndo hizi hiz ntakuoa nakupenda sana ,kumbe ahaa wapi ni uongo mtupu, siku iyo bwana nilipata demu mkari kisenge, mtoto ana vitu vyangu kweli kweli, mtoto kajazia kajazia kweli, uyu demu nilikutana nae kwenye seminer ya kazi apa apa dar, oyaaaaa nikaomba kukutana na uyu demu, mtoto akakubali fresh kabisaa, apo ni kama nilimuomba mtoko si unajua yani tukutane sehemu tunyweeee , tuinjoy nikajua uyu akishalewa tu mie mzigo napewa bila ya shakaaa, millan mie tena na uhndsome uhuuu

Basi kweli mtoto.akakubali vizuri wanangu,apo mm nna mwez nimemwambia zena nimesafir nipo tanga kumbe nadunda mwanaume,ila naona michosho bwana na mapenzi yake ya kitoto, basi nikaongea na mtoto akanmbia yeye kwao kibaha so tusiende sehemu ya mbali, kupata vinywaji mda wa kuludi isimsumbue, nikamwmabia sawa wala usijali, mi freh nikacheki liquour nzur maeneo ya mbezi nikapapata bwana, nikampanga demu fresh, kweli mida ya usiku saa 2 ndo tulikubalina kuonana apo, mwanaume nikajiandaa fresh nikawaka ,nishapendeza ,ahaa unaweza kusema na mika 25, hivi kumbe nazeeka mbwa mm, basi mie nikatoka nikachukua gari yangu mpaka mbezi nilipokubaliana nakutana na mchumba, basi ile nimefika wala sikushuka, nimampigia mchumba akanmbia anakalibia kweli bada ya kama dakika 10 .akanmbia amefika na mm ndo nikashuka pale, kweli nikakutana.na mchumba na tukasalimiana kisha sasa, mwanaume nikamshika mkono yule mrembo kisha tujaingia ndani ya ile bar nweza kusema , nilivyomshika mkono sasa yul dada, kama najunaa nae mda mrefu, mi nilivyo maraya kumzoea mwanamke dakika 2, na simuogopi mwanamke kabisaa, hizo aibu ndo sizijuh ata zinafananaje, basi tukachagua sehemu nzuri kabisaa ya kukaaaa, tukawa tumetulia pale, tukingoja muhudumu, uku naanza kumuhoji hoji kuhusu yeye mana nilikuwa najua jina lake tu. .kwamba anaitwa tekra basi,

Sasa tukiwa paleeee akaja muhudumu sasa kuja kuchukua oder, mi nikaagiza bia zangu kama sita, demu nae kanakunywa akagiza savannah, kisha yule muhudumu tulompa.oder akaondoka sasa , sie tukawa tunae delea na story busy kweli keli , basi bwana daaah si naona zena ndo kabeba vile vinywaji tulivyoviagiza sasa anavileta pale, oyaaa mi nilikuwa nahisi kama naotaaa ,yani zena tena ukuu, kafata nn, mbona hajawahi kunambia kama anafanya kazi apa, ahaaaaaa nilichanganikiwa kwa dakika, aseeee zena akafika pale, akasema karibuni sana wateja wetu, kisha akatoa bia ,akawa antuwekea vizuri pale mezani , oyaaaa nilihisi ama nimemfananaisha mbona hajastuka kuniona apa, daaah nilikosa amani alafu nikajisikia vibaya mana nna mwez namdanganya nipo tanga alafu leo kanishaika apa ata la kuongea sikuwa nayo, tekra akasema thankss darling, alafu nataka na nyama choma, zena akasema sawa na wewe broo , ahaaaa nikamuanglia kwa aibua ,na yeye akaningalia kwa kunikazia sula, nikasema mi sitaki kitu , akanmbia sawaaa ,kisha akaondoka zake daaah nikajua demu nishamkosaa, miezi 10 nimefukuzia mzigo doooh leo naukosa, ahaa nishakamatwa na chet apa ndo sipewi kabisaaaaa

Basi zena akaenda ukooo ,pale mm nikabaki ata mood sina , yani ata ile kuongea na mchumba kama mwanzo sikuweza kabisaaa, yani raha na amani nikawa sinaaa si nishahalibu, basi pale pale nikamtumia sms ibraaa kisha nikampanga kilichotokea ,ibraa akasema inuka kaongee na zena ,mi nakuja najifanya uyo demu ni wangu apo, nikasema fresh mwanangu, kabla sijaionuka naomuona shey ndo kaleta nyama pale ,daaaah shey akanisalimia pale, nikaitikia kwa aibu acheni tu, kisha akaweka nymaa akageuza kuondoka, aseee nikamwambia tekraa nakuja sasa hivi, naenda toilet mala moja, akanmbia sawaa, daah chapu nikatoka nikamfata shey, nikamwmauita shey, shey akasimama, akanmbia millan ndo nn unafanya sasa, we si una mahusiano na zena ,yani unamdanganya mwenzako kwamba upo tanga kumbe hujaacha mambo yako millan nilizani kweli umebadilika kama ambavyo ulimuhaidi mwenzako, nikasema shey sikia mi yule sio demu wangu ni shemeji yangu, nimetangulia nae tu, na mwenye mtu wake anakuja soon, na tanga nimeludi leo na gari ya saa 12 jioni, yuko wapi zena niongeee nae kanza ,akanmbia mh anajiandaa anataka kuondoka mana imemkata sna na kazi ndo kwanza tumeanza jana, ananambia hajisikii tena kuwa apa, millan ebu usiwe hivyo, daaaaah kweli mi nikamwambia sawa yupo wapi akanmbia yupo kule anachange nguo, mi nikaemda mpaka uko ,nakuta na zena ndo anatoka ,kiukweli niliona hayupo sawa kabisaa, nikaona apa nishayatimba kabisaaaaa

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Mwandiishi; LISSA

Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja nisogeze mda tu mbele, mana ahaaaa nilikuwa siyaelewi wala nn, apooo sasa zena kila siku ananitumia sms za kunitakia kazi njema na jioni atanitafuta kuniulizia kuwa naendeleaje ,sijuh pole na kazi mume wangu, yani mambo kibao, bado na mm nikawa narespond kama vile ambavyo yeye anataka,ila sasa pesa sikuwa nampa san kabisaaa, ambacho kikubwa nilikifanya kwake tulipoanza aya mahusiano ni nilimnunulia kitanda tu, mana ile kulala chini na mtoto...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-21-na-22

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

777
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

755
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

743
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*

389
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

355
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

319
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

265
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

154
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

98
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*

47

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.52K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.23K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.7K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.62K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.61K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.55K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA β€œ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa β€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest