Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??"

"Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue ilitokea kati yake na Kaka yake maana kaka yake anaishi Rwanda na ndio Boss wetu, Na mie ndo naangalia Gari nyingi hapa Tz sasa kuna baadhi ya Vifaa viliibiwa ndio Boss akawa anamuhisi Huyu D akaniomba niwe karibu nae ili nijue mwenendo wake, Ndio maana nikaunga ukaribu nae na akawa mshkaji wangu tu"

"MUNGU WANGU!!!" mmh yaani mbona hamu sina tena mie nilijua nimepata bwana mi hela ipo kumbe hana lolote !

"Ndo hivyo, hata ile siku cassino pale ulipo ondoka nilishukuru sana aisee sikutaka kabisa wewe kuwa pale, naa ulipo kuwa unapiga simu sana alikuwa anaziangalia tu ndio nikamwambia anipe nikuulize hata kama umefika salama isije kuwa unapiga labda kuna Tatizo baada ya kunipa simu nikakupigia na ndio siku hizo nilipata nafasi ya kukagua simu yake , nika jua yeye hakuiba ila ndio aliuza Ramani ya Vitu waje kuibaa "

"Eeeh Mungu wangu!!!"

"Usijali Vero, Mie nashukuru tu Yule mjinga amekuepuka"

Nikamkumbatia Veda yaani mpaka naogopa jamani nilikuwa nimedumbukia wapi miee kwa huyu mjinga kila siku alikuwa ananambia ana magari makubwa ya kupeleka mizingo nje ya nchi na mie nikaamini maana ana hela za kutosha, Veda akanikumbatia kwa kunipa amani...

Nikamwambia sasa kuhusu vitu vyangu vile Veda amevizuia pale kwake maana yeye ndio alinipangishia akasema atafatilia kesho pakikucha ..

Basi ule usiku hakuna hata alietamani kulala ulikuwa ni Muda wa kila mtu kutoa lake la moyoni na Ahadi tam tam kibao ..


Kukakucha mwenyewe nikajidamkaaa si unajua ukweni tena japo sijazoea kufanya mi kazi kazi lakini lazima nifanye nikamkuta ma mkwe ndo mkwe tena jamani kafanya kazi haswaa kunizalia jidumee yaani ex mbona abarikiwe mie leo ningeishia kula kwa macho hili limkakaa..

Mama akanambia yaani rudi ukalale kama unaenda kazini jiandae uende sawa mimi sijazeeka kihivyo, halafu nina nguvu mie na hapa hakuna kazi hizoo za kukudamsha, Wakati mama anaongea Veda akatoka maana nilimuacha amelala, hata hajanisemesha akamsalimia mama yake halafu akanivutaa ndani mpaka kitandani
"Yaani wewe badala tumpe joto mtoto unakimbilia kumpigisha baridi nje" nikacheka tu akanisaula hapo akanikula asubuhi asubuhi basi nikabaki tu nacheka mabusu kama yote, nikaenda kuoga wakati natoka kuoga ma Mkwe akaniita Akaniuliza

"Vipii, Amelainika??" Nikachekaa maana aliniuliza kwa sauti ya chinii

"Ndio mamaa tumeyamaliza"

"Aaleleleleeee " alipiga vigele gele huyoo jamani akanipa Hongera kibao akanitakia baraka zote za kuishi na mtoto wake basi mie nikarudi ndani nimechanua meno yote duh yaani nimepata lindo kiwepesiii hata siamini

"Enhee mama amefurahi nini??" Nikacheka tu

"Ya Kike haya bwana" nae akacheka akanambia jiandae vizuri nakupeleka mie mwenyewe kazini, Waooh nikasema sawa Ba mpenzi wangu, Nikavaa chap chap, nikamwambia mie hizi nguo hata sio zangu naomba unisaidie kupata vitu vyangu kwa D akanambia usijali Ma mpenzi hilo zoezi nalifanya leo leo kabla sijasafiri ...jamani nikamuuliza unasafiri tena akanambia tutaongea ukirudi kazini ma mpenzi si unajua ndio kazi yangu na lazima maisha yaendelee daah nilihuzunika et vi machozi vikatoka ...

Akanikumbatia kwa muda mpaka nikawa sawa akanambia haya twende, wee nikapanda mpiki piki wa Ba mpenzi mamaaa aloo, akanipeleka mpaka kazini akanambia unatoka sa ngap nikuijie nikamwambia muda wangu akasema sawa nitakuwa hapa li saa li moja kabla nikacheka ...

Basi nipo nafanya kazi mchana ule muda wa Lunch nashangaa naitwa mapokezi kutoka namkuta Ba mpenzi na mfuko aloo nikabaki nacheka tukaenda sehem ya kupatia chakula akanambia nimekuletea tu matunda kwa ajili ya mtoto, nilicheka huyo mtoto jamani mmh basi tukala wote akaondoka ...

Tinner hizo simu anapiga balaa, nilipo mpa taarifa kwanza tumeyamaliza na hivi sasa penzi moto motoo aah alifurahi huyoo alifurahi hatari ..

Jioni kweli natoka namkuta Ba mpenz getini na Honda yake amependeza huyo waooh jamani mie nina bonge la mkaka hakiamungu Ex wee asante sanaa ..

Nikawa nacheka huku navuta hatua kwenda alipo kabla sijamfikia D huyuu eeh kwanza nikasimama maana walikuwa usawa sawaa

"Vero.. nimekufat huku tuongee naomba twende nyumban" kama kakatika kichwa hata sikumjibu kitu nikapiga zangu hatua mpaka kwa ba mpenzi wangu akani Hug mabusu kama yotee huku amenishika kiuno akaniuliza habar z kazi nikasema nzuri Babaa etu kipenzi akalishika Tumbo huyu nae vipi nikamwambia ananisumbua tu maana anakumiss sanaaa basi akainama akambusu mwanane, akanambia haya twende ile napanda kwenye piki piki nilishangaa nimevutwa kwa nyuma mpaka nikaanguka chini yaani ni kitendo cha sec jamani naiona ngumu inakuja Mungu wangu Veda aliwahi akamsukuma pembeni , Wacha wapigane ngumi nje ya geti la hospitali...

D alipigwa ngumi za haraka haraka ndio Veda akamuacha anavuja tu damu mdomoni mie pale chini kiuno kilikuwa kimekaza hata kuinuka siwezi, Veda akanibeba haraka alikuwa anahasira mpaka anatetemekaa jamani akaniingiza hospitali haraka nikafanyiwa vipimo nilikuwa nalia kiuno, Veda anaomba dua zote mtoto awe sawa akanambia kama mtoto amepata na shida naapa kwa Mungu yule Mjinga namuuwa leo leoo..

Mmh nikamwambia Veda usiseme hivyo bwana, Mie naogopa tuombe mtoto awe sawa"
Huyu Veda kwa ile staili aliyonionesha pale kwake mmh anaweza kuuwa huyu mwenzangu...

Basi nikafanyiwa vipimo wakasema mimba inatishia kutoka nikapewa dawa nikawekwa na Dripu siku enyewe tukalala hapo mpaka asubuhi Veda pembeni ya kitanda, asubuhi nikapimwa tena wakanambia nipo sawa ila nisifanye kazi ngumu wala kubeba vitu vizito nijiepushe pia na msogo wa mawazo nikasema sawa .

Tukaruhusiwa, Zile habar nyumbani mama zilimshtua sana ila akashukuru nipo sawa Tinner pia akaja kunipa pole ..

Nilipewa Ruhusa ya siku tatu kazini, mchana mama akatuita wote na Veda akanambia hizi siku tatu kwanini tusitumie kwenda kwenu ili uchumbiwe usiwe unaishi tu hapa sio vizuri hatujafata misingi yeyote"
Nikamtazama mamaa nikamwambia asante kwa kujali mama yangu asante sana lakini mie unavyo niona sina wazazi wala ndugu huyo Tinner mie ndio ndugu yangu ndio shoga yangu kwa sababu tumekuwa wote kwenye kituo cha watoto yatima sijawahi kuwa na wazazi nimejitambua nikiwa pale mpaka leo nipo mtaani!!"

Veda alishangaa akanambia kwanini hukunambia hilo, nikamwambia tu Hukuniuliza !" Akaniomba sana samahani ni kweli hatukuongelea chochote kuhusu familia zetu basi akaomba sana samahani jamani akanambia sasa nikitaka kutoa mahali naenda wapi nikamwambia nipe tu mwenyewe, tukacheka hapo mpaka basi ..

Jioni akanambia D vitu vyangu ameuza, Gari iliniumaa yaani kauza Gari yangu mjinga yule hata mkopo sijamaliza kulipia daah gari ilinuma ile kuliko chochote, Veda mwenyewe alijua nimeumia kuhusu gari, akanambia nitakununulia gari haitakuwa ya hela nyiiingi lakini nitaangalia uwezo wangu, Nikamwambia usijisumbue bwana, akanambia nitakununulia hiyo ni ahadi yangu

Basi mie nikaanza maisha ndani kwa Ba mpenzi wangu, Vedastus wangu baba wa mwanangu mapenzi yalikuwa moto sanaa akisafiri simu kila sec yaani kila sec aisee ni simu mimba ilikuwa inanisumbua sana nikaacha kazi kwanza nitulie nyumbani ..

Mimba ilikuwa kama na miezi 6 hivi, Ndio tukafunga ndoa ya kanisani kabisaa, Yule mdada aliekuwa mke wake daah alisumbua baada ya ndoa jamani et anataka wagawane mali, mali zenyewe ni ile nyumba aisee tena hakuwa anafanya kazi yeyote ila anavyotaka nyumba hatari, Mie hata kipaumbele changu hakikuwa nyumba kipaumbele changu ni Veda wangu na familia yake maana hawa ni kama familia yangu tena wadogo zake wale mapacha jamani walijua kunipa upendo walinipa thamani zaidi ya shemeji yao, tunakaa nyumba moja na mama mkwe lakini mpaka leoo sijawahi kuona kasoro ya yule mama jamani ananipenda kama bint yake ..

Yaani kanibeba kama bint yake sio mkwe wake kabisa



Basi bwana miezi ikasonga penzi pajaa tena na ba Mpenzi wangu, Nikajifungua mtoto wa kikeee Mashaallah sura ya Baba yakee kabisaa ..

Basi huo ndo ulikuwa mkasa wangu From bangi up to now ndo baby ndo ba mtoto wangu ndio Nyonga mkalia Inni wangu Veda wangu , Mwanangu sasa ana mwaka mmoja jamani kwahiyo bado kijana
Sijawahi kusikia habar za D popote kwanza hata sitakiii kusikia

Huu ndo mwisho wa mkasa wangu asanteni kwakua pamoja na mie mwandishi ni malkia osam na mie ni Veronika au Mama Vivian


MWISHOOO

Maoni

You're not logged in


profile
Said 04 Mar 2026 08:53
OYOOOH ASNT
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21


Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??"

"Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue ilitokea kati yake na Kaka yake maana kaka yake anaishi Rwanda na ndio Boss wetu, Na mie ndo naangalia Gari nyingi hapa Tz sasa kuna baadhi ya Vifaa viliibiwa ndio Boss akawa anamuhisi Huyu D akaniomba niwe karibu nae ili nijue mwenendo wake, Ndio maana nikaunga ukaribu nae na akawa mshkaji wangu tu"

"MUNGU WANGU!!!" mmh yaani mbona hamu sina tena mie nilijua nimepata bwana mi hela ipo kumbe hana lolote...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-21

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

782
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19

673
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

507
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

447
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

284
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

47
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

2

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.47K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.76K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.61K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.56K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.47K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.45K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.43K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers β€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee β€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest