FROM BANGI TO BABY ππ SEHEMU YA 20
Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho
Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata
Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu, yaani kila kitu kilikuwa taratibu hata moyo wangu kwa asilimia 90 ulipunguza ile speed ya kudunda ukawa unaenda taraaaatiiibu Du......du.....du, Veda hata hakuwa na harakaaa, akanifanya nijisikia Salamaa kama nimetoka safari ndefu nimechoka kisha nikafika nyumbani kwenye kivuli maji ya kunywa na sehem safi ya kupumzika, Mahaba yake aaah basi bwana nitaanza kulia mieee aah ..
Nilikuwa nimefumba macho mpaka machozi ya Furaha yalianza kunitoka, kwa sababu ndio mara yangu ya kwanza najihisi hivii nikiwa kwenye tendo sio rahaa et useme nasikia rahaa sijui mpaka nachanganyikiwa Hapanaa raha nilikuwa naisikia lakini Amaniii amanii jamani kwa mara ya kwanza nilihisi amani nilihisi akili yangu imetuliaa siwazi chochote zaidi ya kile anachonipa Veda masikio yalikuwa yamezibaa sisikii chochote zaidi ya mishindo yake sikuwa napiga kelele za raha et wala kuugulia utam, Nilikuwa kimyaa lakini nilikuwa na amani sijawahi kuihisi nilikuwa nafurahia tendo sijawahi maisha yangu yooote ...
Machozi tu ndio kelele pekee zilizo amua kumsapoti kipenzi changu
Nikaona kasita yaani kaacha kazi yake hapo hapo akaniita "Ma mpenz!!"
Nikaitika "mmmh" Nikafumbua macho yameloa machozi ile kufumbua ndio kama niliyachokoza wee yakamwagia mengiii yaani mpaka nikavuta ile kama mtu alikuwa analia muda mrefuuu anamalizia uchungu wake, Veda alishtuka
"Ooh Ma mpenzi ooh Noo!!!" Akataka kutoka nikamzuia nikambana hapo hapo nikaliaaa
"Nimefanyajee.... nimekuumiza " yaani ndo nikazidi kuliaa, Veda nilikuwa namchanganya tu anahangaika hatari
"Naomba unisamehe kama nimekukosea, Nitazame embu nambie nimekosea ninii!!"
Nikamkumbatia kwa nguvuuu halafu nikafuta machozi, Nikamwambia "Sijui kwanini hatujuana mapema "
'"Huuu ndio muda sahihi, ndio maana tupo hapa mamaa" akanikumbatiaaa naliaa
Nikakumbuka ule wimbo ulee wa Bushoke na mdada flani hivi nimemsahau jina, ule unaibwa hivii
Bushoke:Mbona wanitazamaa kisha waanza kulia kama nimekukosea naomba unisamehe
Mdada: Hapana hujanikosea nina lia kwa furahaa mapenzi unayo nipa sijawahi kupata, Unapo sogea karibu unapo nishika mkono, unapo Nitazama machoni nashindwa vumilia, mapenzi unayo nipa sijawahi kupaata ..
Nimeishi na wasio jua mapenzi wasio, wasio jua hata kunyenyekea, nimeishi na wanao jua ku force wasio jua hata kubembeleza, napokuwa na wewe najiona ndio mwenyewee............)
Aaah we dadaaa weweee hakiamungu kumbe huu wimbo ulikuwa na maana kubwa sanaa leo ndio nilielewa kumbe kuna mapenzi bwanaa aisee kuna mapenzi nyiee mmmh hehehe Hakiamungu unahisi kama unakaribia kupata uchizii, nilikukumbuka huu wimbo nikamwambia Veda Auweke tafadhali yaani huu wimbo utaelezea hisia zangu zotee ..
Basi Ba mpenzi wangu hakuwa na hiyana mwenyewe tena alikuwa hata hana kwenye simu akaudownload aka play alooo yaani babyyy michuano ya Taratibu na haka ka wimbo kanatuburudisha tena kaweka ujirudie nyieee aah Mpaka Ba mpenzi chozi lilimtokaaa aloo hii siku aah au niache bwana ..
Baada ya Kazi laini sio ngumuu mie nimezoea kufanyishwa kazi nguvuu mkitoka hapo mnahema kama ma mbwa yanashindana mi jashoo zito hadi feni haifanyi kazi mnaanza kujipepea na mikono, Leo kazi ilikuwa lainiii kijashi chepesii kinachapuza kwa mbalii hata pumzi zilikuwa laini
Akanivuta karibu yake zaidi akaniweka kifuani, akanikumbatiaa, nikawa nasikia tu mapigo yake ya moyo , yanapiga taratiiibu
"Ma mpenzi wangu..." akaniita kwa sauti ya chini kumbe akiongea kimahaba huyu kaka anaweza kukupa uchini haki tena
"Mmh..." nikaitika kwa kugugumia hapo hapo kifuani wala sikuhangaika kumtazama
βNakwambia leo nikiwa na akili timamu, sitakuacha sitakutoroka wala kuku cheat"
Nikainua macho kumtazama. βUsiahidi kwa hisia za usiku tu, βnikamwambia kwa upole yaani yakutia huruma mpaka basii
βNiahidi kwa mchana pia.β
Akatabasamu, akanibusu kipaji cha uso.
βNakuahidi kwa mchana na kwa usiku. Kuanzia leo, maamuzi hatuyafanyi peke yetu ila na mtoto wetu mtunze mwanangu Vero hata nipate shida gani hata nije kubadiliika niwe kiumbe wa ajabu nakuomba mtunze mtoto "
Nikavuta pumzi ndefu.
βNa mimi nakuahidi kusikiliza, Sitakimbia, nitakupenda leo kesho na milele, wewe na mwanangu ndio vitu pekee nilivyo navyo hapa duniani"
Akaweka mkono wake juu ya tumbo langu kwa upendo βTutalinda hiki tulichokianzisha awe njia salama ya wadogo zake "
Nikajiegemeza kwake, nikahisi amani ikishuka polepole nikajilaza tena, Gafla nikakumbuka kuhusu D
"Ba mpenzi Samahani!" Nikainua uso kuumtazama nae akanikazia jicho yaani kama anauliza vipi tena
"Samahani, Naomba kuuliza muafaka wako wewe na D, kwa maana ni Boss wako na mmegombana haiwezi kukuletea shida kazini??" Akacheka hatarii
"Yule mjinga sio Boss wangu mie, Ile siku nilikuwa namtazama tu anavyojipakulia nyama kwako anapenda sana sifa yule" eh nikabaki tena nimetumbua macho
"Sio Boss wako??" Mpaka niliinuka nikakaa kitandani
"Ndio... alikiwa anakuoshea ile siku sa mie ningesema ninii?"
"We ulijuana nae vipi sasa??"
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi


Maoni